Niacheni Nijivune - SABAH SALUM(Video lyrics 4K)taarab

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มี.ค. 2022
  • listen on Spotify: open.spotify.com/album/0vQ5bY...
    listen to apple music: music.apple.com/us/album/niac...
    listen on boom play: www.boomplay.com/songs/587732...
    niacheni nijivune by sabah salum
    imeandikwa na baraka b mkande
    niacheni nijivune huu ni wakati waangu
    achukiaee anuneee hii ni bahati yanguu
    niacheni nijivune huu ni wakati waangu
    achukiaee anuneee hii ni bahati yanguu
    sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu
    sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu
    sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu
    sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu
    mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
    mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
    twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
    twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
    twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
    twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
    nimemshika imaraa kufurkuta hawezii
    nimemponza fikiraaa amelove kwa mapenzi
    nimemshika imaraa kufurkuta hawezii
    nimemponza fikiraaa amelove kwa mapenzi
    hapati la kumkeraa nampa mema malezii
    hapatii la kumkera na mpa mema malezii
    hapati la kumkeeraa nampa mema malezii

    ohhoooo hh mhhhhhh
    mnanichukia buree kupendwa ni damu yanguu
    mutavimba mujikeree naringa na sawa yaangu
    mnanichukia buree kupendwa ni damu yanguu
    mutavimba mujikeree naringa na sawa yaangu
    mtakufa kwa kiheree alienipa ni Mungu
    mtakufa kwa kihere alie nipa ni munguu

    pendo letu hili gumu wenyewe tunalienzii
    mwataka kulihujumuu pendo life kipuuzi
    pendo letu hili gumu wenyewe tunalienzii
    mwataka kulihujumuu pendo life kipuuzi
    bure mtajipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
    bure mta jipa sumu mfe ovyo kwa simanzi

    hey hey
    chezea nzanibar one we
    wa toto wa mc nuhu
    wanamuita mariamu juma
    sambamba na fatuma jaku
    pamoja na mama lao
    sabaha mwiichacho
    aah raha hizi tamu zinapatikana
    channel ya baraka b mkande
    siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika
    waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa
    minasema kwa hakika nampenda kweli kweli
    huyu anipagawisha amneirusha akili
    mnaotakaniachisha hapa dili limefeli
    siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika
    waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa
    msiopenda niwe nae mbona mnajipa dhiki
    baby nitadumu nae kumbi kumbi sibanduki
    tena mnichukie wallah sibabaiki

    waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaaaaaaaaa
  • เพลง

ความคิดเห็น • 14

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic  2 ปีที่แล้ว +5

  • @user-bv9gv1wd8i
    @user-bv9gv1wd8i 27 วันที่ผ่านมา

    Niacheni nijivune, masha Allah❤

  • @fatumahemeddy9667
    @fatumahemeddy9667 3 หลายเดือนก่อน

    Hadi rahaaa

  • @user-md6gm7zu2p
    @user-md6gm7zu2p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hatari sana

  • @safialuqman990
    @safialuqman990 ปีที่แล้ว

    Hadi raha manshallah

  • @SophiaSaidi-hp7dq
    @SophiaSaidi-hp7dq ปีที่แล้ว

    Nampenda hyu mama wa kimataifa duniya nzima

  • @rahimaramathani7402
    @rahimaramathani7402 6 หลายเดือนก่อน

    Waambiee

  • @999sameen
    @999sameen 10 หลายเดือนก่อน

    عاشوا❤❤❤

  • @user-ue4uk3ox9r
    @user-ue4uk3ox9r ปีที่แล้ว

    Umenikosha huu wimbo

  • @mamysoph8865
    @mamysoph8865 ปีที่แล้ว

    Juma necha

  • @skynerabdulkadir6098
    @skynerabdulkadir6098 2 ปีที่แล้ว

    mashaAllah jazakallahu kheri 🙏

  • @manyasamasubi8155
    @manyasamasubi8155 ปีที่แล้ว

    Niaxhini nijivune

  • @buifighter2317
    @buifighter2317 7 หลายเดือนก่อน +1

    🎉

  • @mwajumaomarykanikimwajuma2588
    @mwajumaomarykanikimwajuma2588 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥