Bi Shakila- Nimezama Kwa Mapenzi taarab(Video lyrics)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @johnkirigwi4050
    @johnkirigwi4050 ปีที่แล้ว +7

    Wimbo huu nakupenda, huusikiza wakati wowote ninapo waza mapenzi, hakika, umebeba maelezo mengi❤❤

  • @shabaniombija1158
    @shabaniombija1158 ปีที่แล้ว +8

    Umenikumbusha mbali rafiki yangu kipenzi mungu amrehemu na adhabu ya kabri

  • @selemanimussa
    @selemanimussa ปีที่แล้ว +5

    Nitasikiliza nyimbo zake maisha yangu yote

  • @Mohammad-v9i7x
    @Mohammad-v9i7x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Taarabu hii yanikumbusha marehem mke wangu wa kwanza... Allah amuifadhi...tangu 1994 Hadi 2023

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 ปีที่แล้ว +8

    Apa nasikiliza uku nimelaza kichwa changu kwenye mapaja ya mke wangu kipenzi nuryah ❤️❤️🤲🤲

    • @AmratChicago
      @AmratChicago 8 หลายเดือนก่อน +2

      Jamani naburudika sana mwaka 90 npo darasa lapili mama angu ndio nyimbo zake shakila mungu ampumzishe kwaimani

  • @mungarothuva6346
    @mungarothuva6346 ปีที่แล้ว +5

    Weka non stop za jkt taarab Tanzania. Bi shakila, Patricia Hillary, Elizabeth sijila, bia Hassan, na ISSA matona mweyewe

  • @fathiyaalmaskari5544
    @fathiyaalmaskari5544 ปีที่แล้ว +7

    Nyimbo nzuri sana naipenda sana

  • @mohamajasaid
    @mohamajasaid ปีที่แล้ว +3

    nyimbo hatari sana iyo

  • @kingdady8611
    @kingdady8611 7 หลายเดือนก่อน +5

    Piga kelele kwa watanga woteee najivunia kuzaliwa Tanga jaman Tanga rahaaaaàaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @SalumShaban-nq9sk
    @SalumShaban-nq9sk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inavuta hisia sana.

  • @KassimBakari-mw8ey
    @KassimBakari-mw8ey 10 หลายเดือนก่อน

    Voice of rehema , umefanya kwa uwezo WA MUNGU ,hongera bibie
    Kassim Bakari Bindo, from kigamboni dar es salaam Tanzania

  • @AsiaQueen-ku9qx
    @AsiaQueen-ku9qx 27 วันที่ผ่านมา

    Nimezama jaman daah😊😊

  • @SolomonNganga-f1v
    @SolomonNganga-f1v 4 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤ SPECIAL REQUEST KUTOKA KWAKE BEKA SAID BEKA BILA KUMSHAU ZAM ZAM MAHAMOUD

  • @stivenjiduki6606
    @stivenjiduki6606 ปีที่แล้ว +10

    Nimekumbushwa mbali san na huu wimbo nikiwa na mpenzi wangu tukiwa advance huko tanga♥️♥️💋💋

  • @fabiolaelias6814
    @fabiolaelias6814 ปีที่แล้ว +5

    Pambe tuuuu😂😂😂

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 ปีที่แล้ว +2

    Nyieeee ombeni sana musizame bahari ya mazimwi mtaomba kufariki na kufariki hamtakuona.🤔☹️☹️☹️😔😔😔

  • @abubakarmuhammad1156
    @abubakarmuhammad1156 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hii Nyimbo haichoshi kuisikiliza hata ukiisikiliza kila siku.
    Nyimbo bora kwangu za kidunia kuliko zote

  • @nefertititodiefor5888
    @nefertititodiefor5888 ปีที่แล้ว +14

    This is arguably one of the best taarab song I used to listen to while growing up in the 90s...nimezama Kwa huu wimbo naupenda Sana

    • @emanuellucas939
      @emanuellucas939 ปีที่แล้ว +1

      na haichuji😁

    • @nancyokello-dt2gl
      @nancyokello-dt2gl ปีที่แล้ว

      Kiijjiin 8jii niiiiiiiiiiiiiinininjjjjiiijiii 88iiin 8jjiiiin8kiiiinn n8jiijjin jiiin8jiii8i ii iijiiiiii 88ji 88iiin 888iiiin8iiiiiimjiijjiii 88888kjjiiijjiiiii 88iijj iii 8jiijiii88ijiii 8jiii8ii iin 8jij iiin 8jiijn8jij iii iiiiii88 iii 8kik iin 8kij iii inniiin88jiijiii88😅jijiii8j ii in iiiii 8iii 8jiiimjjijii. 8jiiii 8jij iii8jiii8jiiii 8jiiin8jini8ijii8iiiii8in8ji8jijii 8ki. Ii88ij iii8jiiiiii 8ij ii88jiiiiimjiki 8jii88i i88kjiin8iin8ji iiimiii88in8minn8kjiin8jijn8888imkn8jikiii8jiii8ijii88jiinnimin8ji 8iji8iin8ijnnijii8jj. I in88inn jjjji i88ji iiiijinmkjii8jijiiii kjk😊

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว +1

      Utachujaje na mapenzi yapo na yanaendelea

    • @RiricaMswati
      @RiricaMswati 10 หลายเดือนก่อน

      ​Tungo za humu matumizi ya maneno melodies ndio balaa​@@emanuellucas939

    • @ambaluwanga
      @ambaluwanga 9 หลายเดือนก่อน

      Correct....Beautiful music....add on Njiwa Peleka Salamu, Nitachonga Sanamu- Bango Sounds,Waniua Ua,Ua Langu etc

  • @BakariChelangwa
    @BakariChelangwa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Respect from tanga

  • @johnstonekhamisi3519
    @johnstonekhamisi3519 11 หลายเดือนก่อน

    Hatuj mahala pa kikomo ❤

  • @snapreal9814
    @snapreal9814 18 วันที่ผ่านมา

    Ni saa7:47 usiku trh 1/12/2024 naskuliza hii ngoma nikiwa na kumbukumbu za miaka zaid ya 20

  • @SandjaiGoeldjar-de2ob
    @SandjaiGoeldjar-de2ob ปีที่แล้ว +2

    Very beautiful song❤❤❤

  • @anwarykilunga5694
    @anwarykilunga5694 2 ปีที่แล้ว +9

    Mh! Kiukwel uyu Bibi yng Shakira anaimba bhana 2022

  • @lillianochieng2751
    @lillianochieng2751 3 หลายเดือนก่อน

    NAPENDA PENDA.PENDA❤❤❤❤❤

  • @muhsinali8409
    @muhsinali8409 2 ปีที่แล้ว +10

    Tamu sana ikitu ila chungu sana hakuna kitu kinaumiza kama hayo mapezi

    • @jamesshinini3214
      @jamesshinini3214 หลายเดือนก่อน

      Walahi tena mtu wangu wee acha tu,mapenzi we achana nayo tu...!!!

    • @jamesshinini3214
      @jamesshinini3214 หลายเดือนก่อน

      Walahi tena mtu wangu wee acha tu,mapenzi we achana nayo tu...!!!

  • @RehemaNgumbao-f1s
    @RehemaNgumbao-f1s ปีที่แล้ว +2

    Wallah hii nyimbo inanimalza

  • @kingfaisalhashimmbogo8531
    @kingfaisalhashimmbogo8531 11 หลายเดือนก่อน

    Memories of my home Sweet Pangani dah miaka yaenda San

  • @khadijaahmed6420
    @khadijaahmed6420 ปีที่แล้ว +3

    Wallah nimezama
    Naupenda mnooo

  • @MwajumaNgwembano
    @MwajumaNgwembano 11 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri mnoo

  • @ShedyChris-k5r
    @ShedyChris-k5r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa Najua Hii Nyimbo Ya Ray C Kumbe Alifanya Remix!

  • @sulehyaomaya1034
    @sulehyaomaya1034 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah huu wimboo nakukumbuka sana

  • @agnesskelvin7401
    @agnesskelvin7401 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri mnoo

  • @rahmasalum9873
    @rahmasalum9873 2 ปีที่แล้ว +6

    Kabisa mapenzi hatar

  • @susanpatrick6468
    @susanpatrick6468 2 ปีที่แล้ว +7

    Taarab never gets old...so sweet if u know u know

  • @SaidJuma-u4f
    @SaidJuma-u4f 4 หลายเดือนก่อน

    Tenaaa sizan kam tazuka

  • @rehemailabu8071
    @rehemailabu8071 ปีที่แล้ว +2

    Wallah huu wimbo unanikosha sana

  • @collineskabaye
    @collineskabaye 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kisauni Majengo likoni nipe like ❤🎉❤🎉❤🎉❤

  • @valentinejomo1845
    @valentinejomo1845 5 หลายเดือนก่อน

    Jamming onto this classic taarab from +254 🇰🇪🇰🇪

  • @beatricemwashighadi7552
    @beatricemwashighadi7552 หลายเดือนก่อน +2

    So lovely and emotional👌💞💞💞💯🤲🤦🤷🏊👰👰👰👰

  • @rashidkinyasi5645
    @rashidkinyasi5645 ปีที่แล้ว +5

    This is not SHAKILA..........This MWANAHELA SALIM...........

  • @danielanzigale1317
    @danielanzigale1317 ปีที่แล้ว +4

    Best soothing music ever. 👍

  • @HelenaMagaya
    @HelenaMagaya 9 หลายเดือนก่อน

    Isha viuwa vijeshi

  • @ambaluwanga
    @ambaluwanga วันที่ผ่านมา

    When Love was true..... unlike today's rough,lewd and perverted!

  • @Magreth-j8i
    @Magreth-j8i 4 หลายเดือนก่อน +2

    2024 like zenu tafadhali

  • @SultanCorosso
    @SultanCorosso 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dah, 1995 Mombasa Bora Bora night club ladies night. Wankumbusha zama za Ujana.

  • @DisayaMani
    @DisayaMani ปีที่แล้ว

    Wimbo kali kabisa kama ulieachwa.😢

  • @jojanes8477
    @jojanes8477 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mi sijui kwann sizami jmn. Au kwetu hamna bahari?

  • @meandme3437
    @meandme3437 ปีที่แล้ว

    MWANAHELA 🎉

  • @josephatosew6615
    @josephatosew6615 6 หลายเดือนก่อน

    Zama zangu nakumbuka

  • @johnkinyanjui5331
    @johnkinyanjui5331 10 หลายเดือนก่อน

    The best of them all

  • @IssaWanja-p3b
    @IssaWanja-p3b 7 หลายเดือนก่อน

    Kabisa

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada❤

  • @furahamichael6047
    @furahamichael6047 3 หลายเดือนก่อน +1

    ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @kiuktv
    @kiuktv 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks for the lyrics. One of My favourite taarab

  • @omshadyshady
    @omshadyshady ปีที่แล้ว +1

    hakuna mfanoe yaan hiii nyimbooooo hajafa haz hata kdg

  • @africanproudly4004
    @africanproudly4004 2 ปีที่แล้ว +3

    Vya kale dhahabu 💣

  • @ralfchurchill7214
    @ralfchurchill7214 9 หลายเดือนก่อน

    Napenda instrumentals za wimbo huu

  • @TatuId
    @TatuId 9 หลายเดือนก่อน

    Ukizisikiliza nyimbo hizi, unainjoy

  • @kangavehassan8074
    @kangavehassan8074 2 ปีที่แล้ว +1

    Heliwa saana

  • @JumaChambali
    @JumaChambali 6 หลายเดือนก่อน

    Hiatanitoka nakumbuka Chuda kampani yangu

  • @Aisha-f2g
    @Aisha-f2g ปีที่แล้ว +1

    My favorite

  • @peterphilips270
    @peterphilips270 ปีที่แล้ว +4

    Kipindi na mwandikia barua sometimes narusha vijiwe batini ishara kua mjuba nipo chobingo😅

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews ปีที่แล้ว

    Nimezama ivo😊

  • @khadijaahmed6420
    @khadijaahmed6420 ปีที่แล้ว

    Naiona yangu khali...

  • @rashidkinyasi5645
    @rashidkinyasi5645 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Siye SHAKILA aliyeimba. Huyu ni MWANAHELA SALIM ndiye aiyeimba ingawa wote wanatokea TANGA....

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 7 หลายเดือนก่อน

    2024 🔥🔥🔥🔥

  • @hajimahamudu7059
    @hajimahamudu7059 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @alexsavatia5584
    @alexsavatia5584 ปีที่แล้ว

    My best

  • @bas2823
    @bas2823 6 หลายเดือนก่อน

    😅😂😂🤣😅LOL😁!

  • @habibaamiri9786
    @habibaamiri9786 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @jacksontesha7997
    @jacksontesha7997 ปีที่แล้ว +2

    😍❤❤❤

  • @noelabel5700
    @noelabel5700 ปีที่แล้ว +19

    Wimbo wenye hisia kali unanikumbusha miaka 40 iliyopita..at my foolish age..😅

    • @fathiyaalmaskari5544
      @fathiyaalmaskari5544 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaahhaha

    • @rashidkinyasi5645
      @rashidkinyasi5645 ปีที่แล้ว +5

      Huu wimbo haujafikisha miaka 40....…..ni wimbo wa miaka ya 90.....takribani miaka 30 iliyopita.....

    • @ricardoortizqomboc2184
      @ricardoortizqomboc2184 ปีที่แล้ว +1

      ​@@rashidkinyasi5645ulikua na umri gani wakati huo, unauhakika gani huu wimbo haijafikisha miaka 40 je wewe ni shabiki wa taarab??

    • @rahmamahumbuka2254
      @rahmamahumbuka2254 ปีที่แล้ว +1

      Umefika hakika hata mimi nina 40 plus but niliukuta wakati nakua

    • @katalayshemndolwa3146
      @katalayshemndolwa3146 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@rashidkinyasi5645huu wimbo ni wazamani sana kitambo icho mwaka 1990nina soma darasa la kwanza zilikuwa zinapigwa sana redio tanzania dar kwenye kipindi chajambo kilichua kina tangazwa na kina hasana jambau shafilu makosa nk

  • @omarsalim57
    @omarsalim57 2 ปีที่แล้ว +3

    💚💚💚👍

  • @jumbekibindo3021
    @jumbekibindo3021 10 หลายเดือนก่อน +1

    2024/02/18 ❤

  • @ibrahimleo8722
    @ibrahimleo8722 2 ปีที่แล้ว

    so sweet

  • @ahmadsaid1078
    @ahmadsaid1078 2 ปีที่แล้ว +1

    2022

  • @hassanbasmer8210
    @hassanbasmer8210 2 ปีที่แล้ว +1

    yuko Hai au ashafariki?

  • @beymc184
    @beymc184 2 ปีที่แล้ว +3

    Makn xan

  • @snapreal9814
    @snapreal9814 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ni saa7:47 usiku trh 1/12/2024 naskuliza hii ngoma nikiwa na kumbukumbu za miaka zaid ya 20

  • @selemanimussa
    @selemanimussa ปีที่แล้ว +2

    Nitasikiliza nyimbo zake maisha yangu yote

  • @naominjeri7188
    @naominjeri7188 10 หลายเดือนก่อน

    Very beautiful song ❤❤

  • @mohamajasaid
    @mohamajasaid ปีที่แล้ว +1

    ❤❤

  • @HildaJuma-c4z
    @HildaJuma-c4z 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @bahatib4486
    @bahatib4486 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @HildaJuma-c4z
    @HildaJuma-c4z 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @HildaJuma-c4z
    @HildaJuma-c4z 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @nancyhamogo4072
    @nancyhamogo4072 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤