Chamazi Music
Chamazi Music
  • 58
  • 1 394 073
"Fumbo Mfumbie Mjinga" Lyrics Video - Sabah Salum | Zanzibar Stars Modern Taarab
Experience the captivating taarab masterpiece "Fumbo Mfumbie Mjinga" by Sabah Salum in this beautifully crafted lyrics video. Performed by the renowned Zanzibar Stars Modern Taarab band, this song highlights resilience, self-respect, and standing against jealousy and gossip.
🎶 Song Details:
Title: Fumbo Mfumbie Mjinga
Artist: Sabah Salum
Genre: Taarab
Language: Swahili
Country: Tanzania
Join Sabah Salum as she takes you on an emotional journey with her powerful lyrics and traditional taarab melodies. Don’t forget to like, comment, and subscribe for more lyrical content and taarab classics!
🔔 Subscribe for more: @ChamaziMusic
📥 Stream or download this song on your favorite platforms!
#FumboMfumbieMjinga #SabahSalum #Taarab #ZanzibarStars #SwahiliMusic #LyricsVideo
มุมมอง: 132

วีดีโอ

Eliwa ni ngoro nae aende wake -wimbo wa Kipare -
มุมมอง 4621 วันที่ผ่านมา
ewajwa Ne Ngoro nae Aende Wake
Sabah Salum - Mlango Wa Mungu Uwazi (Official Lyrics Video) | from Kwa Raha Zangu Taarab
มุมมอง 404หลายเดือนก่อน
Discover the inspiring Taarab song "Mlango Wa Mungu Uwazi" by Sabah Salum, a deeply spiritual piece from her album Kwa Raha Zangu Taarab. Sabah Salum beautifully conveys themes of faith, humility, and resilience in this track, reminding us that the door to God's blessings is always open. Whether facing challenges or celebrating life, this song encourages listeners to trust in divine guidance an...
Mapenzi Yamepungua - Bi Shakila | Official Lyrics Video | Taarab Song by Lucky Star Taarab
มุมมอง 235หลายเดือนก่อน
Enjoy the official lyrics video for "Mapenzi Yamepungua" by Bi Shakila, a soulful Taarab song performed with the talented Lucky Star Taarab band. This beautiful track expresses the sorrow and acceptance of a love that has faded. With Bi Shakila's powerful voice and poetic Swahili lyrics, "Mapenzi Yamepungua" is a heartfelt piece that resonates deeply with anyone who has experienced heartbreak. ...
Nimechoka Maumivu - Naima Mohammed ft Coast Modern Taarab |Taarab Song lyrics 2024
มุมมอง 3083 หลายเดือนก่อน
Enjoy the latest taarab sensation, "Nimechoka Maumivu," performed by the talented Naima Mohammed featuring Coast Modern Taarab. This powerful song, written and produced by the renowned Omary Teggo, delves deep into the emotional struggles of love and heartache. Let the soulful melodies and poignant lyrics take you on a journey through the rich traditions of taarab music. 🎶 Song: Nimechoka Maumi...
Utapendaje Wawili - Abdul Misambano ft. Omary Sosha & TOT | Taarab Classic Lyrics
มุมมอง 1.3K3 หลายเดือนก่อน
Experience the timeless Taarab classic "Utapendaje Wawili" by Abdul Misambano featuring Omary Sosha and Tanzania One Theatre (TOT). Released in 2003, this song delves deep into the emotional complexities of love and relationships, exploring the challenges of being caught in a love triangle. Enjoy the powerful lyrics and rich melodies that have made this song a favorite among Taarab music lovers...
Sioni Thamani Ya Pendo - Asia Utamu ft. Wakali Wao Modern Taarab (Lyrics Video)
มุมมอง 1.2K4 หลายเดือนก่อน
Experience the emotional depth of Taarab music with Asia Utamu's hit song 'Sioni Thamani Ya Pendo,' featuring Wakali Wao Modern Taarab. This official lyrics video takes you on a journey through the heartbreak and disillusionment expressed in the powerful lyrics of this 2015 classic. Produced and composed by Thabiti Abdul, this song captures the essence of unrequited love and the pain of feeling...
Si Basi Tu - Abdalla Issa | Zanzibar Taarab | Official Lyrics Video
มุมมอง 1.1K4 หลายเดือนก่อน
Experience the timeless melodies of Zanzibar Taarab with the captivating song "Si Basi Tu" performed by Abdalla Issa. This classic Taarab piece blends poetic lyrics with soulful Swahili music, offering a deep reflection on beauty, deception, and societal standards. Enjoy the lyrical journey and sing along with this official lyrics video. 🎶 Song Title: Si Basi Tu 🎤 Artist: Abdalla Issa 🎵 Genre: ...
Moyo Hausemezeki - Zanzibar Taarab (Lyrics Video) | Classic Taarab Music
มุมมอง 1.8K4 หลายเดือนก่อน
Discover the timeless beauty of Zanzibar Taarab with "Moyo Hausemezeki." This classic Taarab song, released in 1980, captures the essence of love and the heart's uncontrollable desires. Immerse yourself in the poetic lyrics and melodious tunes that define this iconic genre. Sing along with our lyrics video and experience the magic of Taarab music. Lyrics: Moyo hausemezeki Kwa kitu ukipendacho M...
Maua Tego - Midomo yenu Naiweza( ft. Coast Modern Taarab)
มุมมอง 14K4 หลายเดือนก่อน
Maua Tego - Midomo yenu Naiweza( ft. Coast Modern Taarab) #lovesong #swahilimusic #taarab
Bi Shakila - Macho yanacheka Moyo unalia (Video Lyrics Taarab)
มุมมอง 8K5 หลายเดือนก่อน
#lovesong #swahilimusic #taarab c
Sema Sema Kweli Yako by Omary Kopa | Zanzibar Taarab Band (2001)(English Subtitles)
มุมมอง 5316 หลายเดือนก่อน
Immerse yourself in the timeless beauty of Taarab music with "Sema Sema Kweli Yako" by the legendary Omary Kopa, performed with the Zanzibar Taarab Band in 2001. This classic Swahili song is a heartfelt expression of love and devotion, encapsulating the rich cultural heritage of the East African coast. Lyrics Highlight: "Mapenzi yako ni ghali, ghali yalo thaminika. Nayaomba kila ghali kwa thama...
KHADIJA KOPA - GWIJI (TARUMBETA VERSION) BY MR MAIKI OG
มุมมอง 1856 หลายเดือนก่อน
tarumbeta Chamazo uswahilini
Sabah Salum - Nenda Ukaliwe pesa (Video Taarab Lyrics)
มุมมอง 2Kปีที่แล้ว
Sabah Salum - Nenda Ukaliwe pesa (Video Taarab Lyrics)
Nenda Salama by Omary Kopa | Video Taarab Lyrics
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
Experience the soulful Taarab melody 'Nenda Salama' by Omary Kopa, as we celebrate a woman's journey to a new life with her husband. A heartfelt farewell, with best wishes for a bright future. Omary Kopa, the brother of Zuchu, weaves magic in this beautiful composition. Don't miss this musical gem!
SABAHA SALUM UFUKWENI MWA BAHARI LYRICS
มุมมอง 753ปีที่แล้ว
SABAHA SALUM UFUKWENI MWA BAHARI LYRICS
Watoto - Nostalgic Swahili Children's Song | Varda Arts | Nipa Nag | English Subs (Video Lyrics)
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
Watoto - Nostalgic Swahili Children's Song | Varda Arts | Nipa Nag | English Subs (Video Lyrics)
Mwanahawa Ally - Nimekinai Umaskini Wangu (Official Taarab Lyrics Video)
มุมมอง 14Kปีที่แล้ว
Mwanahawa Ally - Nimekinai Umaskini Wangu (Official Taarab Lyrics Video)
pendo linaua Taarab lyrics
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
pendo linaua Taarab lyrics
Subal kheri mpenzi taarab lyrics
มุมมอง 677ปีที่แล้ว
Subal kheri mpenzi taarab lyrics
🎶 "Nifanye Nini" - Makame Fakii | Zanzibar Taarab 🎶 (Video Lyrics)
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
🎶 "Nifanye Nini" - Makame Fakii | Zanzibar Taarab 🎶 (Video Lyrics)
Makame Fakii - Mimi Kwa Ajili Yako (Lyrics Video) | Zanzibar Taarab | Swahili Love Song
มุมมอง 1.6Kปีที่แล้ว
Makame Fakii - Mimi Kwa Ajili Yako (Lyrics Video) | Zanzibar Taarab | Swahili Love Song
Kifo Cha Mahaba (Death of Love) - Taarab Song with Lyrics | Bi Shakila Said
มุมมอง 11Kปีที่แล้ว
Kifo Cha Mahaba (Death of Love) - Taarab Song with Lyrics | Bi Shakila Said
Rukia Ramadhani - Nimezama Kwenye Huba Zako (Lyrics Video) | Soulful Taarab Melodies
มุมมอง 4.3Kปีที่แล้ว
Rukia Ramadhani - Nimezama Kwenye Huba Zako (Lyrics Video) | Soulful Taarab Melodies
East Africa Melody - Paka Mapepe (Lyrics Video) | Ashura Majaliwa's Soulful Taarab
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
East Africa Melody - Paka Mapepe (Lyrics Video) | Ashura Majaliwa's Soulful Taarab
Zanzibar Taarab - Sishiki Ya Walimwengu (Video Lyrics)
มุมมอง 4.5Kปีที่แล้ว
Zanzibar Taarab - Sishiki Ya Walimwengu (Video Lyrics)
Umbo Langu Dawa Sadiq Taarab lyrics
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Umbo Langu Dawa Sadiq Taarab lyrics
Sifedheheki Zuhura Shabani Taarab lyrics
มุมมอง 19Kปีที่แล้ว
Sifedheheki Zuhura Shabani Taarab lyrics
Omary Kopa Nipepe (Official Taarab Lyrics Video)
มุมมอง 38Kปีที่แล้ว
Omary Kopa Nipepe (Official Taarab Lyrics Video)
Nikumbatie/Selelea - Sabah Salum (Official taarab Video + Lyrics)#taarab
มุมมอง 3.9Kปีที่แล้ว
Nikumbatie/Selelea - Sabah Salum (Official taarab Video Lyrics)#taarab

ความคิดเห็น

  • @ambaluwanga
    @ambaluwanga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    When Love was true..... unlike today's rough,lewd and perverted!

  • @mkitotv7621
    @mkitotv7621 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbosso kajifunza kwa omar kopa

  • @AishaSaidi-qi8bh
    @AishaSaidi-qi8bh วันที่ผ่านมา

    imenikosha hatali

  • @IsmailMjeshi-y6d
    @IsmailMjeshi-y6d 3 วันที่ผ่านมา

    Uyu hua namuitwa' fundi la mafundiiiiii❤❤❤❤❤❤❤

  • @tunusefu2018
    @tunusefu2018 5 วันที่ผ่านมา

    Pambe Atari 👌👌

  • @WaldaShabani-q5u
    @WaldaShabani-q5u 5 วันที่ผ่านมา

    Weeuweeeeeee, huna ubaya maua tego.

  • @gladiegladness5210
    @gladiegladness5210 6 วันที่ผ่านมา

    2024❤

  • @UwiringiyimanaErnestine-v1w
    @UwiringiyimanaErnestine-v1w 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @natasharamadahn
    @natasharamadahn 11 วันที่ผ่านมา

    Noma sana

  • @waswafedha5154
    @waswafedha5154 15 วันที่ผ่านมา

    Hio taarab uniguzu sana kwa yale wanayonitendea.

  • @HanifaHarun
    @HanifaHarun 16 วันที่ผ่านมา

    Atariiiii❤️❤️❤️

  • @snapreal9814
    @snapreal9814 17 วันที่ผ่านมา

    Ni saa7:47 usiku trh 1/12/2024 naskuliza hii ngoma nikiwa na kumbukumbu za miaka zaid ya 20

  • @snapreal9814
    @snapreal9814 17 วันที่ผ่านมา

    Ni saa7:47 usiku trh 1/12/2024 naskuliza hii ngoma nikiwa na kumbukumbu za miaka zaid ya 20

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic 19 วันที่ผ่านมา

    "Fumbo Mfumbie Mjinga" - Sabah Salum Performed by Zanzibar Stars Modern Taarab Fumbo mfumbie mjinga, Mwerevu! Mwerevu hutambua. Fumbo mfumbie mjinga, Mwerevu! Mwerevu hutambua. Wanifumbia mafumbo, Ukiniona huna raha. Wanifumbia mafumbo, Ukiniona huna raha. Watamani kuniua, kuniua! Watamani kuniua, kuniua! Je, nimekuibia mumeo? **Sema! Sema!** Je, nimekuazima nguo? **Sema! Sema!** Je, nimekuomba chakula? Sema! Je, nimekuomba mapambo? **Sema! Sema!** **Bibie, unikome!** Unikome! Nakuambia, unikome! Bibie, unikome! Unikome! Nakuambia, unikome! **Wachemshe hao hao, wachemshe hao hao,** Kwangu mimi utapoa! Majungu hapo ndiyo kwao, Majungu hapo ndiyo kwao. Majungu hapo ndiyo kwao, Hasidi usiyojijua. **Mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee.** Usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia. Mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee. Usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia. **Bibi, wacha ushambenga,** Losh! Mzushi wewe. Professor wa kuzua, Losh! Mzushi wewe. **Si hayo tu, na mengine mtazusha,** Ya fitina na majungu, kwangu utagonga mwamba. Usinitafute undani, ya kwako yamekushinda. Ya kwako yamekushinda, yangu utayaweza? **Usinizeeshe mwenzio, usinizeeshe mwenzio,** Usinizeeshe mwenzio, midomoni kunitia. Sitembei na mumeo, sitembei na mumeo, Sitembei na mumeo, ndereje kunichukia. **Mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia.** Kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia. **Nitue mwana mwenzio,** Losh! Mzushi wewe. Professor wa kuzua, Losh! Mzushi wewe. **Si hayo na mengi mtayasema,** Ya umbea na fisadi, kwangu utagonga mwamba. Uso haya ujionii, mafumbo yako ya nini? Uso haya ujionii, mafumbo yako ya nini? **Sitaki! Sitaki maneno nawewe!** Sitaki! Sitaki kukaliwa mwao. **Wewe unawako, na mie nina wangu,** Maneno ya nini? **Wewe una nyimbo, mwenzio nina mambo,** Rusha roho za nini? Ukome ukware, kuharibu hadhi yangu! Bure kiherehere, hutakiwi kifagio. Kimuhe-muhe cha nini?

  • @idrisafadhil5978
    @idrisafadhil5978 20 วันที่ผ่านมา

    🔥

  • @RahmaNassoro-n2g
    @RahmaNassoro-n2g 21 วันที่ผ่านมา

    ❤❤ So much

  • @hafidhiabdullah3172
    @hafidhiabdullah3172 22 วันที่ผ่านมา

    Alikua fundi jamaa

  • @veroEdson
    @veroEdson 23 วันที่ผ่านมา

    Asanteee sn ❤

  • @AsiaQueen-ku9qx
    @AsiaQueen-ku9qx 26 วันที่ผ่านมา

    Nimezama jaman daah😊😊

  • @AbdullatifBaalawy
    @AbdullatifBaalawy 29 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂🙌 Memories back then

  • @beatricemwashighadi7552
    @beatricemwashighadi7552 หลายเดือนก่อน

    So lovely and emotional👌💞💞💞💯🤲🤦🤷🏊👰👰👰👰

  • @MwanaDola
    @MwanaDola หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @johnstonekhamisi3519
    @johnstonekhamisi3519 หลายเดือนก่อน

    So lovely

  • @shamsamohammed6386
    @shamsamohammed6386 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AcmaniThobiasi
    @AcmaniThobiasi หลายเดือนก่อน

    Siyo Wimbo wa Sabaha. Bali ni Bi Rukia Ramathani 🎉🎉❤❤❤

    • @ChamaziMusic
      @ChamaziMusic หลายเดือนก่อน

      @@AcmaniThobiasi Sabah Salum ameirudia

  • @aminabest6957
    @aminabest6957 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @aminabest6957
    @aminabest6957 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 👌👌❤️

  • @beatricedali4783
    @beatricedali4783 หลายเดือนก่อน

    Nilipokuwa mtoto nikiona watu wakishikana nilijua kumbe upendo nilipokuwa mhhh kumbe mapenzi kitu buree kabisa sina haja nayo😢🎉

  • @jumaali1390
    @jumaali1390 หลายเดือนก่อน

    Very nice.. beautifully voice

  • @ZulfahYussuf-p3c
    @ZulfahYussuf-p3c หลายเดือนก่อน

    Aki daaaa inauma I say😭😭😭💔💔💔

  • @CathyMommy-n2y
    @CathyMommy-n2y หลายเดือนก่อน

    Love songs2024

  • @samuelnjoroge5249
    @samuelnjoroge5249 หลายเดือนก่อน

    nipo ndani mzima hadi leo naiskiza ...ina utamu wake

  • @Mohammad-v9i7x
    @Mohammad-v9i7x 2 หลายเดือนก่อน

    Taarabu hii yanikumbusha marehem mke wangu wa kwanza... Allah amuifadhi...tangu 1994 Hadi 2023

  • @SalumShaban-nq9sk
    @SalumShaban-nq9sk 2 หลายเดือนก่อน

    Inavuta hisia sana.

  • @ShedyChris-k5r
    @ShedyChris-k5r 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa Najua Hii Nyimbo Ya Ray C Kumbe Alifanya Remix!

  • @azaabdallah4255
    @azaabdallah4255 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ ❤

  • @SweetyKatoto
    @SweetyKatoto 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MecklinaTindwa
    @MecklinaTindwa 2 หลายเดือนก่อน

    Tamuuuu balaaa❤

  • @AngelJuma-w5o
    @AngelJuma-w5o 2 หลายเดือนก่อน

    Hatal iyo

  • @deogratiusmfoy1989
    @deogratiusmfoy1989 2 หลายเดือนก่อน

    Who else is with me listening to this masterpiece song for children in 2024 of October? Credits to Nipa Nag.

  • @Chris-tc8sm
    @Chris-tc8sm 2 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi namna hi si mapenzi ni kupatikana na shaytani ( malignant narcissist) Manake mapenzi na athabu ni vitu tafauti . Ukiji ona umepatikana na " mapenzi ya athabu" na huwezi kutoka basi una mapenzi na shaytani. Ni shaytani ano ku ahdi maenzi lakini anakupa athabu, na hawezi, hataki kukuwacha wala kukuwatcha wewe umwatche yeye. Ameku funga katika jela. Na lazima mujuwe sisi wengine tume zaliwa kwa waze namna hi. Mimi sasa nafika miyaka 50 na maisha yangu yote yali kuwa hivi kasababu ya vevuzela ( mamangu). Karibu ku fanya wazimu, nili anza kulewa, karibu kufa mara mengi, mwisho nili kimbiya. Ni mewawacha family yangu. Bada miyaka 7 nime jaribu kunda kuwa ona tena ( qwa sababu ilikuwa bado moyo wangu hawkufahamu hawa ni watu wabaya..." bada myaka 7 bado nilikuwa " nimezama kwa ma penzi" Walipo kuanza kuni teda tena nili kumbuka vipi wameni athibisha na vipi walini tenda maisha yangu yote...na hofu moyoni neme kimbiya tena. Sasa nime " matazuka" 😂😢 Mgu tu kani affu. Manake hakuna alo na ngufu kumshinda shaytani spokuwa mgu. Nashukuru. Si kila mama na killa baba, na nakilla ndugu ana mapenzi na mtoto ama ndugu yake. Wegine wana chuki nawewe. Watu hawa fahamu mambo haya na kasababu ya hi ndiyo watu kama sisi dasturi tu na kufa ( uwawa) Mgo kani onesha, kani funguwa matcho habiri ya mambo haya halafu kani ondowa kone hatari ( family yangu) akani tibu. Nashukuru. Kuzaliwa katika family kama hi ni kama umezaliwa motoni. Sasa nataka kufundisha watu wapate kujawa habri ya mambo kama yaha, mapenzi kama haya ya uwongo.

  • @AbdulShaban-r5y
    @AbdulShaban-r5y 2 หลายเดือนก่อน

    Old is gold.

  • @HassaniUwessu
    @HassaniUwessu 2 หลายเดือนก่อน

    pEndasanaww 10:37

  • @furahamichael6047
    @furahamichael6047 3 หลายเดือนก่อน

    ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @herihamadi6291
    @herihamadi6291 3 หลายเดือนก่อน

    Familia 😅

  • @nancyathuman
    @nancyathuman 3 หลายเดือนก่อน

    Fungua macho uiingalie hii Dunia

  • @RadhiaYassin
    @RadhiaYassin 3 หลายเดือนก่อน

    My Lovely song

  • @fatimataidrissa-bangura202
    @fatimataidrissa-bangura202 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran Swabaha ❤❤

  • @lillianochieng2751
    @lillianochieng2751 3 หลายเดือนก่อน

    NAPENDA PENDA.PENDA❤❤❤❤❤

  • @nellyamme4821
    @nellyamme4821 3 หลายเดือนก่อน

    🪙 gold