Hili songi nilipigiwa hyo siku ya kitchen party yangu mwaka 2004 ile naingia tu ukumbini nikakumbuka maskin naolewa mume simjui halafu ss nimeacha masomo nimechaguliwa chuo cha ndala tabora we acha tu wacha niangushe mchozi 😭😭😭ila sijajutia maishani
Kutoka Nairobi Kenya.Mie hapa mpenda Taarab sana.Hawa wana Zanzibar wanapendeza sana.Kina Zubenda,Bi Salum,Khadija na mwenye ule wimbo wa Umejuaje nimefamikiwa,Jokha,Shabaan na awengineo.Nawapenda sana ingawa mie Mchristo.Nyimbo hizi zina mafunzo sana.

Pole sana Dada angu, muhimu ulistirika tu
Masha Allah, kikubwa hujajutia naamini umesitirika.
pole dear
Mume humjui? Ulikubali vipi kuolewa na mtu usie mjua?
@@Tupena-ov7xq ndoa hizo zipo mbona
Naipenda sana hii nyimbo bado naisikiliza 2024
Nyimbo yangu pendwaaa❤❤❤❤❤
Asanteni Kwa huu wimbo naupenda sana❤❤❤❤❤
Hii nyimbo naipend mno naomba mungu niolew ntatoak na hiyo nyimb yaan dah 2024 naangalia kila siku
In Sha Allah utastirika mdogo angu
Kuolewa tena ohhh hongera leta no
2024 bado tupo naweee loveeee
Mimi nampenda Zena sana.Nyimbo za wa Zanzibar ni zuri sana.Nairobi Kenya
Kuna taarab moja inaitwa Dunia Mali ya Mungu ya five stars, naomba tuwekee hiyo
Bado inavutia japonica kuwa ya zamani❤
Napenda huu wimbo tu sana. Huyu dada azidi kungaa popote alipo ..
Naipenda sana
Mtajipa shidaa ninyii
Subira nilo nayo....
Zena 👏👏👏mara ya kwanza kuusikia ilikuwa milele FM na kaka sema 2019
Kama bdo unaskuliz huu wimb 2024 gng like hp
Kutoka Nairobi Kenya.Mie hapa mpenda Taarab sana.Hawa wana Zanzibar wanapendeza sana.Kina Zubenda,Bi Salum,Khadija na mwenye ule wimbo wa Umejuaje nimefamikiwa,Jokha,Shabaan na awengineo.Nawapenda sana ingawa mie Mchristo.Nyimbo hizi zina mafunzo sana.
Mashallah nyimbo nzuri sana❤❤
Dah inyimbo imekumbusha mbali sanaa malehemu mama yangu mdogo alikua anaipenda sanaaa😭😭😭😭 mpaka nimelia
Pole jamani muombee dua
Pole sana
Aah pole sana mungu amfanyie wepesi katika kaburi lake inshaallha
Naupenda sana wimbo huu big up dada zena
Hii nyimbo nzuri sana napenda kuisikiliza
Zubeda me naomba nyimbo ya mossy Suleman..... Safari ya huba naipata vp
Nyimbo naipend Sanaa Yan jmn imenkosha
Unanikumbusha mbali saana
Mashaallah ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wimbo wangu pendwa
Nakupenda❤❤❤
Waoo nimeipenda
Uongo ii nyimbo 2004 ilikua bado aija toka
Zenu jitihada
Hazishindi kudra ya Rabana
Huna baya dada nashukuru nimesitirika
Wapi vidwo anaimbaaaaa
Hii video yk ipo bro. Tulifanya
Hongereni sanaa,🙏🙏
I like this song mashallah. ❤
.ashallah nice song
Mashaallh nyimbo nzuri
Sanaaaaa🥰🥰🥰
Zamani Sana lkn ni nzuri
I like. Tarabu songs
This song is nice for me
Hivi la uchungu halisahauliki imepoteleaga wapi
Hata mie siioni
Nakubalia wow 💃💃💃
Nyimbo nzurii Sanaa yan
Mashalaaaah❤
Manshalaaa
Wallah nimesitirika
🎉🎉
Sawa mamaa
Tbt
Lovely song
It's very well song
Mashaallah
Picha mgandisho ni za wimbo wa five 🌟 la uchungu halisahauliki
🔥🔥🔥🔥🔥
My favourite song❤
Love song
Smart
❤️❤️
Wimbo pambe huoo
❤
Wimbo maashàallah
ZUBEDA UPOO...
Ok
Oof
00
0
❤
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤