Hiba zako za usiku zinanipa raha----old taarab

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2019
  • Instagram: cuteneyda02

ความคิดเห็น • 8

  • @SirHabb-qt3nt
    @SirHabb-qt3nt 15 วันที่ผ่านมา +2

    Naomba niliwaze kwa wote wako ujuzi Tiba zako zikatize mie kwako sijiwezi ❤❤❤

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +4

    Tiba zako za usiku zinanipa usingizi
    Wenye raha na shauku pia nyingi njema njoz
    Ahsante Dada Cute Neyda
    Old is Gold taarab Zanzibar
    Asili haipotei @Abdulhamid de Zanzibar

  • @PiliSobo
    @PiliSobo 15 วันที่ผ่านมา

    Mmezipoteza taarabu za usiku kwa kuzivusha na kumwachia mzee yusufu kuziharibu,, akazifikisha mahala ambapo hawezi kuzirudisha tena

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +5

    Naomba uniliwaze kwa wote wako ujuzi
    Tiba zako zikatize mie kwako sijiwezi
    Hao usiwasikilize zidisha yako mapenziii
    Hao usiwasikilize zidisha yako mapenzii
    Wadharau uwapuuze wajue hawatuwezii

  • @user-ew2wf5ff7o
    @user-ew2wf5ff7o 8 หลายเดือนก่อน

    ❤ Raha za zenji

  • @mohammedsaidnassor9932
    @mohammedsaidnassor9932 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtunzi wa shairi hili niko hai jamani,
    0773587272.

    • @ismailmjesh5683
      @ismailmjesh5683 3 ปีที่แล้ว

      Hatar hyoooo kaka.......

    • @khadijadidah6610
      @khadijadidah6610 ปีที่แล้ว +1

      Waitwa nani alafu mashairi au nyimbo zako ziekee TH-cam zote jamani