Sabah Salum - Nenda Ukaliwe pesa (Video Taarab Lyrics)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
  • เพลง

ความคิดเห็น •

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic  ปีที่แล้ว +2

    Lyrics
    Liiii laliil llalala ohoooo
    Liiii lailii lalala oohhoooo
    Oooohhhh
    Aaaaahaa
    Ayeeeeeee tumeishi siku nyingi
    Tumeishi siku nyingi katu sijakupa tabu
    Ayeeeeeeeee utanitaje shangingi
    Utaniitaje shangingi Yajaje hayo muhibu
    Ayeeeeeee tumeishi siku nyingi
    Tumeishi siku nyingi katu sijakupa tabu
    Ayeeeeeeeee utanitaje shangingi
    Utaniitaje shangingi Yajaje hayo muhibu
    Si mtu wa vigenge wala wauvu swahibu
    Si mtu wa vigenge wala wauvu swahibu
    Usinisemeshe Usinisemeshe mengi
    Tukatiana Tukatiana aibu
    Usinisemeshe Usinisemeshe mengi
    Tukatiana Tukatiana aibu
    Usinisemeshe Usinisemeshe mengi
    Tukatiana Tukatiana aibu
    Usinisemeshe Usinisemeshe mengi
    Tukatiana Tukatiana aibu
    Madhali Madhali sijakukosa
    Wala wala sijishughulishi
    Madhali Madhali sijakukosa
    Wala wala sijishughulishi
    Nenda uka nenda ukaliwe pesa
    Wala warembo wala warembo huweshi
    Nenda uka nenda ukaliwe pesa
    Wala warembo wala warembo huweshi
    Liiii laliil llalala ohoooo
    Liiii lailii lalala oohhoooo
    Liiii laliil llalala ohoooo
    Liiii lailii lalala oohhoooo
    Ayeeeeee sinilete vurugu
    Sinilete vurugu mimi ni mstaarabu
    Ayeeeeee sitoki kwenye magugu
    Sitoki kwenye magugu wala kwetu sina tabu
    Ayeeeeee sinilete vurugu
    Sinilete vurugu mimi ni mstaarabu
    Ayeeeeee sitoki kwenye magugu
    Sitoki kwenye magugu wala kwetu sina tabu
    Kwa kadiru yake Mungu pendo kwisha si ajabu
    Na kadiru yake Mungu pendo kwisha si ajabu
    Mola ata mola atanipa wangu
    Wakulishana wakulishana zabibu
    Mola ata mola atanipa wangu
    Wakulishana wakulishana zabibu
    Mola ata mola atanipa wangu
    Wakulishana wakulishana zabibu
    Mola ata mola atanipa wangu
    Wakulishana wakulishana zabibu
    Madhali Madhali sijakukosa
    Wala wala sijishughulishi
    Madhali Madhali sijakukosa
    Wala wala sijishughulishi
    Nenda uka nenda ukaliwe pesa
    Wala warembo wala warembo huweshi
    Nenda uka nenda ukaliwe pesa
    Wala warembo wala warembo huweshi
    Liiii laliil llalala ohoooo
    Liiii lailii lalala oohhoooo
    Liiii laliil llalala ohoooo
    Liiii lailii lalala oohhoooo
    Ayeeeee sipiti nikatangaza
    Sipiti nikatangaza usikhofu mahabubu
    Ayeeeeeeee kwa utuli sitoweza
    Kwa utuli sitoweza na wala sitojaribu
    Ayeeeee sipiti nikatangaza
    Sipiti nikatangaza usikhofu mahabubu
    Ayeeeeeeee kwa utuli sitoweza
    Kwa utuli sitoweza na wala sitojaribu
    Njia nyeupe kabisa nendaa kwa huyo kizushi
    Njia nyeupe kabisa nendaa kwa huyo kizushi
    Vyovyote wewe vyovyote wewe wa kwanza
    Kukuheshimu kukuheshimu wajibu
    Vyovyote wewe vyovyote wewe wa kwanza
    Kukuheshimu kukuheshimu wajibu
    Vyovyote wewe vyovyote wewe wa kwanza
    Kukuheshimu kukuheshimu wajibu
    Yote uliyonifanza, namuachia wahabu
    Vyovyote wewe wa kwanza, kukuheshimu wajibu
    Madhali Madhali sijakukosa
    Wala wala sijishughulishi
    Madhali Madhali sijakukosa
    Wala wala sijishughulishi
    Nenda uka nenda ukaliwe pesa
    Wala warembo wala warembo huweshi
    Nenda uka nenda ukaliwe pesa
    Wala warembo wala warembo huweshi

  • @SubraBweta
    @SubraBweta ปีที่แล้ว +1

    Nzr sn