USTADHI DANIEL AWAWEKA CHINI MCH. NDACHA NA MASAWE JUU YA KUJITOA SDA NA UWAKITA, NA SIMBAULANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
  • KIKAO KIFUPI CHA USTADHI DANIEL MWANKEMWA NA MZEE SIMBAULANGA WAKIUCHAMBUA USABATO MWALIMU NDACHA NA MASSAWE

ความคิดเห็น • 29

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 27 วันที่ผ่านมา +3

    Ao wazee wabishi sijaona😊..ndacha anafuata😊....na muitafute intvw 1 ndacha na uyo daniel mwankemwa wakichuana wenyew kwa wenyewe kuhusu siku ya sabato..noma sana umo ndani

  • @GULIELMAS
    @GULIELMAS 27 วันที่ผ่านมา

    Nawafuatilia vizuri sana,. Kwa hakika hii ni kazi njema. Mungu awabaRiki.

  • @user-it7ih1it3m
    @user-it7ih1it3m 27 วันที่ผ่านมา +1

    Sabato iliumbwa kwa ajili ya mwanadamu lakini mwanadamu hakuumbwa kwa ajili ya sabato Mk 2:27:28

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 26 วันที่ผ่านมา

    Naombeni mwojiane na ndacha kuhusu sabato. Ili mtu weke sawa wanafunzi wa YESU KRISTO

  • @SabihaRajab
    @SabihaRajab 26 วันที่ผ่านมา

    Hamuna mpya wafuwasi wa wauwaji wa yesu

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 27 วันที่ผ่านมา +1

    Dini zote miyeyusho tu

  • @sheikhAbdulwaqass-k2u
    @sheikhAbdulwaqass-k2u 27 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi hamuna elimu

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 26 วันที่ผ่านมา

    hakuna muislamu mnaweza kumpata kwa hoja zenu mfu labda muwalipe au wale wasiojua kitu kabisa lakini bibilia ina mgongano sana

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 26 วันที่ผ่านมา

    Sasa wakristo wana kipi cha kuulizwa waulizwe wanaojua ni wanachuoni sio nyie hata mungu wenu hamumjui

  • @sheikhAbdulwaqass-k2u
    @sheikhAbdulwaqass-k2u 27 วันที่ผ่านมา

    Tena Sisi wainje tuona uwongo wenu ya masomo ambaye wenu,

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 27 วันที่ผ่านมา

    Wauni

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 26 วันที่ผ่านมา

    Hizo dini za kuanzisha na kina martin luther kina elen g white mwanamke wa kisabato halafu mnasema mna dini nyie watu mnachekesha sana

  • @SuleimanmumaniOmar
    @SuleimanmumaniOmar 7 วันที่ผ่านมา

    ATI kipimo Cha waisilamu kujuwa kama wako sawa ama hawako sawa, wawaulize wakristo, hahahaha. Yani binadamu anaweza tafsiri maandiko anavotaka yeye bars kimemfaa!!. Kwanamna hii tofauti zitaendelea kwamaana kila mtu anauwezo wakutafsiri atakavyo. Mbona muwalaumu ndacha na wenzake wakati nyinyi mnafanya wanacho kifanya wao?

  • @HajiAmbali-jq9dr
    @HajiAmbali-jq9dr 26 วันที่ผ่านมา

    Aaa we kafiri mwongo yani tukuulize hata kuchamba hujui

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 26 วันที่ผ่านมา

    Daniel acha uongo. Hakuna aya ndani ya qurani inayowaagiza wakawaulize wakristo juu ya dini yao. Tuwaulize lipi wakati Mayahudi wameghadhibikiwa na wakristo wamepotea njia.

  • @user-qo2xd3hb8l
    @user-qo2xd3hb8l 27 วันที่ผ่านมา

    Mnakemea mapepo kwa jina la yesu lakini kulisha mikate mitano watu 10000 kwa jina la yesu amuwezi!

  • @user-qo2xd3hb8l
    @user-qo2xd3hb8l 27 วันที่ผ่านมา

    Yesu aliondoka duniani akawacha wanafunzi si walimu

    • @ChamuyagoMelamate
      @ChamuyagoMelamate 26 วันที่ผ่านมา

      Kwani akina nani waliambiwa wakawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu kama hao wanafunzi wa yesu hawawezi kuwa walimu

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 26 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wakristo sio ahlu-lkitaab. Ahlu-lkitaab ni watu walioteremshiwa "Taurat" nao ni watu wa nabii Mussa, wengine ni walioteremshiwa "Injiil" nao ni wafuasi wa nabii Issa( huyo mnayemuita Yesu) nyinyi mnasoma biblia. Hii biblia kateremshiwa nabii yupi? Waliotakiwa kuulizwa ambao ni ahlu-lkitaabu sio nyinyi msipotoshe maandishi mkatafairi mnavotaka nyinyi wenyewe tupo

  • @mohdbest5859
    @mohdbest5859 27 วันที่ผ่านมา +1

    hivi wewe Daniel unadhani uongo ndio unajenga au unajidharaulisha hakuna Aya iliyosema waulizwe wakristo Tena tuwaulize kama eti kama Imani yetu iko sawa
    hujui lolote msikiti wa masjid al,aksa ndio uliojengwa ma suleiman

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 27 วันที่ผ่านมา

      Acha uongo

    • @SabihaRajab
      @SabihaRajab 26 วันที่ผ่านมา

      Wewe mpuuzi​@@daudimichael7338

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 26 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo mfalme nebkadneza hakuwahi kuvunja hilo hekalu? Kweli waislamu mnadanganywa

  • @sheikhAbdulwaqass-k2u
    @sheikhAbdulwaqass-k2u 27 วันที่ผ่านมา

    Tena Sisi wainje tuona uwongo wenu ya masomo ambaye wenu,

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 26 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wakristo sio ahlu-lkitaab. Ahlu-lkitaab ni watu walioteremshiwa "Taurat" nao ni watu wa nabii Mussa, wengine ni walioteremshiwa "Injiil" nao ni wafuasi wa nabii Issa( huyo mnayemuita Yesu) nyinyi mnasoma biblia. Hii biblia kateremshiwa nabii yupi? Waliotakiwa kuulizwa ambao ni ahlu-lkitaabu sio nyinyi msipotoshe maandishi mkatafairi mnavotaka nyinyi wenyewe tupo

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 26 วันที่ผ่านมา

    Daniel acha uongo. Hakuna aya ndani ya qurani inayowaagiza wakawaulize wakristo juu ya dini yao. Tuwaulize lipi wakati Mayahudi wameghadhibikiwa na wakristo wamepotea njia.