Mchungaji Hananja ninakupenda kutoka moyoni Kwa sababu ya ukweli wako kuhusu Biblia na umejitahidi kumeza maandiko,unatema nono la Mungu sio maneno.Wewe ni mfano wa kuigwa aisee❤
Mungu unaye mbona kwenda kuchukua maji? Omba Mungu wako akuponye huwezi chukua vifaa vya kiroho hata upewe kinyesi chukua upone.Maana wewe hiamini Mungu uliyenaye kama ni muweza wa yote.
Naye kanisa lake mbona anataka sadaka kwani,kanisa litaendeshwaje.hakuna nabii anayewalazimisha watu kutoa sadaka ni unavyoona wewe mwenyewe.kama anafunga wakati anaandama wenzake,si awaache Tu .kila MTU si atabeba mizigo wake,waache watumishi wa bwana.
Mchungaji umekosea sana, matendo ya Mitume inasema,imani yetu imejengwa juu ya mwamba wake Kristo mitume n'a manabii, hapo mchungaji hajatajwa, Petro aligawa vitambaa n'a kupelekwa kwa wagonjwa n'a kipona, Mchungaji unakosea sana unapokosoa maono ya watumishi wa Mungu, Yesu alitumia udongo kuweka jichoni n'a kupona n'a mengi sana, hayo ni maono unakosea sana
Agabo ni nabii agano jipya, ,huduma, ministry na ofisi , office, hapo ni lugha imekuchega mzee, manabii wapo na mitume wapo , isaya alienda kwa hezekia, elisha kumfufua mtoto wa mshunami, yesu aliitwa nabii, yohana 9:1___, paulo hata leso wagonjwa waliponywa , mafuta ya upako ,marko ,6:13, kwa nini musa anakabidhiwa fimbo na alitumia zaidi ya mara moja , kwanini eliya alitumia vazi zaidi ya mara moja, manabii ninachokiona wataurithi ufalme ,wachungaji wamejaa kujihesabia haki ,
Kweli mchungaji hananja anajua sana ukimsikilza kam wew ni kiongoz wa din unaweza ukazan anakutusi ila huo ndo ukweli na hajitungii coz vyote vipo kwnye bible
Manabii wa siku hizi wanakukula hela alafu wanasema tunapeleka kwa baba ,watu wanavua hadi nguo eti nabii apite akanyage,eti na maaskari wanamlinda jamani .. Nachekaga mm😅😅😅😂😂😂😂
Upo sahihi kabisa na Mungu akutunze kabisa hujaongopa wakorinto 8.8. chakula kwaajili ya tumbo na tumbo kwaajili ya chakula tusipokula hatupungukiwi kitu tukila hatupungukiwi kitu
Nami nampenda Sanaaa Mchungaji Hananja kwa ukweli uliotukuka kwa Dizi zote mbili ya Uislamu na Ukristo. Mungu amuweke zaidi atufunze zaidi.
Mzee wangu Mimi nakuungaga mkono sana uwa na kukubali kweli Mungu akubariki sana
"Huduma ya kinabii ipo ila ofis ya kinabii haipo". It takes maturity in God's word to understand this, Hongera pastor
Mzee una madini mengi Sana God bless you
Gifted man of God . Keep it up! Such 'minds' should at times be teaching in bible colleges.
😁 Mchungaji Ananja anatikisa kichwa kwa kusikitika 😁 Huyu mchungaji anaongeaga ukweli bhana
Asante sana mtumishi waMungu barikiwa sana
Mmwagieni maji!!!! Acheni ujinga atawang'ateni!!! Mwanzo mwisho uko safi sana Mch.
Nice teaching always mchungaji
Mchungaji Hananja ninakupenda kutoka moyoni Kwa sababu ya ukweli wako kuhusu Biblia na umejitahidi kumeza maandiko,unatema nono la Mungu sio maneno.Wewe ni mfano wa kuigwa aisee❤
Mungu akubariki Mchungaji kwa ukweli wa Mungu unaoleza.
Safi saana mchungaji sana apo uko sawa mimi ni mwadventista
❤❤❤nimefarijika na ujumbe wako muadventista
Mchungaji hananja upo sahihi Mungu akutunze sana!🙏🤝
Huyu mzee mwenzangu Hananja ni real. Ni pastor wa kweli❤
Yote yatapita Neno la Mungu litasimama litangaze muchungaji,I like it
Daah unapendeza sana dada love from south sudaness 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Kwl kila mtu anawakati wake saiv n wakati wa Hananja Kutrend hakika anatrend kwa ukwl wake,....Mungu akubarik ❤️ mtumishi AMINA...
Shukrani sana mzee wetu nakukubali pia❤❤❤❤
amina mchungaji napenda sana mafundisho yako yananitoa hatua kwenda hatua nyingine
😂😂😂😂 dah uyu mchungaji comedian sana 😅 water skukuu
👍very nice Hananja
Mchungaji Hananja, nakupenda sana kwa maelekezo.
Napenda swagga ya huyu mzee yani anaongea kama wimbo yani anapiga verse Kisha anaweka chorus Enheeee Enheeeee😂😂
😂😂😂 akh eeeeh
Hongera sana baba! Mimi nakuelewa sana sana
😂 sipingi hata kitu kimoja hapa father umemaliza kila kitu God bless you
huyu jamaa geneous sana mchungaj pekee aliyebaki kusimama kwenye ukweli
Mungu akubariki ! Cjapoteza bando langu bure
😅😅😅😅nimefurahishwa sana na maelezo ya mtumish huyu wa Mungu ana hekima yakimungu kwakwel..
Mungu akubarki mchungaji❤❤❤❤❤❤❤❤
Mimi ni muislam,ila nampenda Sana huyu baba🎉
Nakubali sana mzee wangu
Uko sawa, pasta Hananja,
Waambie wasijie haponime kusikia umenena vema,
Barikiwa
Nice baba mchungaji,anabidi apewe PhD, ya heshima, na chuo kikuku
Uko vizuri sana mtumishi
Yupo vizuri sana na anaujuwa ukiristo karibu katika uislamu
Napenda kiswahili ya watanzania.
Nampendagasana uyu dingiii❤❤❤
Safi sana barikiwa daima
Mm sijawai ona mchungaji km huyu ni mkweli sn. Nakupenda sn mchungaji
mwalimu Hananja asante. watu hawasomi Biblia kabisa. wanakariri vimistari vichache
hongera mchunguji kwa elimu nzur
Namuelewa sana mzee wangu
Mungu unaye mbona kwenda kuchukua maji? Omba Mungu wako akuponye huwezi chukua vifaa vya kiroho hata upewe kinyesi chukua upone.Maana wewe hiamini Mungu uliyenaye kama ni muweza wa yote.
Naye kanisa lake mbona anataka sadaka kwani,kanisa litaendeshwaje.hakuna nabii anayewalazimisha watu kutoa sadaka ni unavyoona wewe mwenyewe.kama anafunga wakati anaandama wenzake,si awaache Tu .kila MTU si atabeba mizigo wake,waache watumishi wa bwana.
Mungu anataka ujumbe wake uwafikie watu ananitumia mimi.nikishalifikisha Kwan walengwa, kazi yangu imekwisha naendelea na kazi yangu.
Uko vizuri baba unajua neno songa mbele
Amina Leo tunatoa Unabii kwanjia ya Neno,.
Ameeeeeeeeeeen mzeeeee wang,
Kkkkkkkkkkkk moto kimbunga moto kkkkkkkk niubunifu kkkkkkkk you are the best
Huyu mzee akamatwe apimwe akili asije kua ni YESU amerejea😂😂 mbona anasema ukweli sana
Hey you spare my ribs
For sure 😂😂😂😂
Keel ndgu yang
😂😂😂😂
😂😂😂😂 nimefurah sana comment ako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu akubariki mchungji
Upo vizur sana aisee
Safi sana mtumishi
ubarike sana ,mungu akuongoze
Namkubali sana mzee hananja
Mashallah...
Ubarikiwe sana
Mchungaji Hananja Ni Proffesor akili mingi kichwa kimejaa mistari mitakatifu iliyojaa ukweli ndani yake hongera baba
Mchungaji hananja yuko vizuri.naomba nijue anapatikana kanisa gani
😂😂😅hanjana uwa unanifraisha sana nakuelimisha Yani nakukubali mno eti unapiga uji
Allah akujaalie ungie ktk uislam amin
Eeeeeeehe wew nae
Bigup Mchungaji
Eti uwatemi mate😅😅😂hawawatemi mate kumtemea mate mchezo hananja bn uyo mstari wabibilia wakuwatemea mate wanajifanya hawaouni wawatemee mate
Amen 🙏🙏
Amina kweri kabisa
Mchungaji umekosea sana, matendo ya Mitume inasema,imani yetu imejengwa juu ya mwamba wake Kristo mitume n'a manabii, hapo mchungaji hajatajwa, Petro aligawa vitambaa n'a kupelekwa kwa wagonjwa n'a kipona, Mchungaji unakosea sana unapokosoa maono ya watumishi wa Mungu, Yesu alitumia udongo kuweka jichoni n'a kupona n'a mengi sana, hayo ni maono unakosea sana
Acha kutuhumu mtu..ww ni ndugu yake Mungu hadi ufikie huko na kujua sana et.....
binti hongera kwa kujistiri kwako
Eti kweli mtume anamikiki prado na kiyoyozi wakati paulo alijichimbia mahandaki akakaa huko yaani mmh hii mitume na manabii hewa Mungu awashughulikie
Ahsante sana
Huyu ndugu anaongea ukweli Siyo mnafiki❤
Mungu akulinde mzee wangu nakupenda unasema ukweli
god bless u
Ubarikiwe kwa ufafanuzi mzuri kuhusu mfungo Mchungani.
Live long baba,,unasema ukweli siku zote.I love you
Mchungaji nakuelewa sana
Agabo ni nabii agano jipya, ,huduma, ministry na ofisi , office, hapo ni lugha imekuchega mzee, manabii wapo na mitume wapo , isaya alienda kwa hezekia, elisha kumfufua mtoto wa mshunami, yesu aliitwa nabii, yohana 9:1___, paulo hata leso wagonjwa waliponywa , mafuta ya upako ,marko ,6:13, kwa nini musa anakabidhiwa fimbo na alitumia zaidi ya mara moja , kwanini eliya alitumia vazi zaidi ya mara moja, manabii ninachokiona wataurithi ufalme ,wachungaji wamejaa kujihesabia haki ,
"Apostle" is rather a concept than (institutional /framework"), I think so.
Mchungaji umenifundisha jambo kubwa sana natamani nipate ata namba yako niwe nakutumia chochote kitu
kweli kuna ukwel ndan yake baba amen
Hii ni kweli kabisa jamani tufunguke
Huyu mtu ana akili kuliko kawaida.. jinsi ya kushika hayo maandiko tu inatosha kuwa umefunuliwa
Amen
Kweli mchungaji hananja anajua sana ukimsikilza kam wew ni kiongoz wa din unaweza ukazan anakutusi ila huo ndo ukweli na hajitungii coz vyote vipo kwnye bible
Manabii wa siku hizi wanakukula hela alafu wanasema tunapeleka kwa baba ,watu wanavua hadi nguo eti nabii apite akanyage,eti na maaskari wanamlinda jamani ..
Nachekaga mm😅😅😅😂😂😂😂
Upo sahihi kabisa na Mungu akutunze kabisa hujaongopa wakorinto 8.8. chakula kwaajili ya tumbo na tumbo kwaajili ya chakula tusipokula hatupungukiwi kitu tukila hatupungukiwi kitu
Ahsante sa n a baba
Na kuhusu mwisho wa nabii, nabii wa mwisho aliyemtabiri YESU ALIE HAI na kunyosha mapito na kitengeneza njia nabii wa mwisho ni YOHANA Mbatizaji
Huyo ni konki masta mi mwenyew namkubal
Huyu baba apewe TV tuelimishwe zaidi
Sawa Sawa ilibidi waliona hilo japo wasafi au clouds au eatv au yeyote tuu a pate na masponsor
,kweli baba
Jioni ya reoo😂😂
Nakukubali sana mpendwa
Mwandishi Leo umependeza tofauti na unavyovaaga
Hapa nimeondoka na kitu chema na kikubwa sn, asnt Baba Mchungaji.
Mzee we nomaa
Huo ni ukweli mtupu kuhusu dini 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
Hananja uko juu
Ila kweli mchungaji hananja,Yani Imani za Sasa hivi ushirikina,njoo na udongo tuuombee,
maisha marefu hananja ♡♡♡
Mm nilishudia mke wa boss wangu kontena lilishika moto akatoa mafuta kila akimwaga moto unazidi zimamoto wakamwambia mama moto hauzimwi kwa mafuta
😂😂😂😂😂
Shemeji yake mungu 😂😂😂
Jero Jero😅😅😅
Yesu hakuwa na kanisa. alikuwa akihubiri katika makutano.
kanisa manake nini?
Wewe nawe uliza uelewe Nini maana ya neno Kanisa labda nukusaidie Kanisa Ni watu sio jengo
Wee mzee wakupe maua yako manabiii waongooo