USTADHI DANIEL AWAPA SOMO MCH. NDACHA NA MASSAWE KUZINGATIA SABATO YA JUMAPILI NA UTATU MTAKATIFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
  • WAMEKAA PAMOJA USTADHI DANIEL NA MCHUNGAJI SIMBAULANGA KUWAFUNDISHA NENO LA MUNGU NA MWALIMU NDACHA NA JAPHARY MASSAWE KUHUSU SABATO

ความคิดเห็น • 25

  • @MiziziMti
    @MiziziMti 14 วันที่ผ่านมา

    Mko vizuri sana watumishi wa Mugu Simba ulanga na Danieli Mwankemwa

  • @dullahfar7775
    @dullahfar7775 14 วันที่ผ่านมา

    Daniel Ndacha humuwezi yupo sahihi sana na anasimamia ukweli

  • @vincentmutuku2876
    @vincentmutuku2876 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mumeshidwa na hoja ninyi mtangazaji awashida kwa kuelewa.

  • @paulmutuajustus5277
    @paulmutuajustus5277 8 วันที่ผ่านมา

    Hao wazee kama ni hivi bazi wamepoteza wengi.

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack12 14 วันที่ผ่านมา

    Ndasha anabashida kwamadiko

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 13 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wazee mnaongopa sana

  • @AMwanjoka
    @AMwanjoka 11 วันที่ผ่านมา

    Kwanini hoja inayouliza kuhusu jumapili,haiwahoji Wasabato kwa jinsi gani "jumamosi" ilifanywa siku ya kuabudu
    Kurejea nyakati za mazingira ya kuteswa,kufa na kufufuka kwa Yesu inahusiana zaidi na mazingira halisi kwamba ilikuwa jumapili kadri ya kalenda ya Warumi ambayo sio kalenda ya agano
    Kadri ya kalenda ya Mungu (Kutoka 12:1....) ilikuwa siku ya 14 ya mwezi wa kwanza tangu wametoka utumwani Misri...
    Mambo ya siku ya kwanza au ya ...ya juma sio kutoka kwenye maandiko
    Hakuna maandiko yenye mambo ya siku saba za juma
    Mambo ya siku za juma ni kadri ya Warumi na Wababeli

  • @djskadi7355
    @djskadi7355 14 วันที่ผ่านมา

    Wazee hawa wanazeeka vibaya akili zao zinachoka wanajikoroga wenyewe

  • @mussamashauri
    @mussamashauri 8 วันที่ผ่านมา

    Ww
    Ni mch wa uongo sabato ni pumziko

  • @piscaskasesetv1534
    @piscaskasesetv1534 9 วันที่ผ่านมา

    Acheni unafiki mwakemwa, hoja za ndacha hamu zewezi

  • @venancenkoronko9250
    @venancenkoronko9250 8 วันที่ผ่านมา

    Mnazunguka tu , mwisho mtarud kuwa wakatoliki

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack12 14 วันที่ผ่านมา

    Kumbuka sikuyasabato siyo ndasha alisema nyinyi

  • @mussamashauri
    @mussamashauri 8 วันที่ผ่านมา

    Nani kawatuma kuabudu jumapili pumbafu nyinyi

  • @joseph-masija
    @joseph-masija 12 วันที่ผ่านมา

    Mnaojitokeza kufundisha muwe makini sana..acheni ubishi wa kizee. Nimegundua hawa wameshajenga chuki na ndacha
    This is high level of ignorance, Viongozi vipofu wasiojua maandiko na hata wanachokiamini.....kwanza, imani ya akina ndacha wapo watu wengi sana Tanzania, kenya na dunia nzima kwa sasa.
    Na, Ndiyo Imani Moja ya biblia haina muunganiko wa imani nyingi. Pure Faith.

  • @vincentmutuku2876
    @vincentmutuku2876 10 วันที่ผ่านมา

    Mnaogea bila kuwa na ndacha hapo kwa Nini ?hako huko Tanzania mwiteni.wacheni woga.

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 13 วันที่ผ่านมา

    Ndacha akiondoka usabato ni sahihi kwa sababu kushikiria amri sheria na hukumu sio ukristo . Ukristo ni kumwamini yesu kuwa bwana na mwokozi ili kupata ondoleo la dhambi na sio matendo ya sheria

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 14 วันที่ผ่านมา

    Kwa maana hiyo mnakaa na wanawake makanisani na kama upo vizuri kama mwanaume na wake zenu wamevaa vimini na mkawatamani basi nyinyi wote mnazini hakuna ibada hapo ni ushetani tu

  • @philipmwendo1550
    @philipmwendo1550 13 วันที่ผ่านมา

    Sabato ni siku ya 7 la wiki ambayo imetengwa kuwa ya mafumziko na siku teule la kuabudu Mungu..

    • @AMwanjoka
      @AMwanjoka 11 วันที่ผ่านมา

      Hakuna pahala kwenye maandiko yenye kuonesha kuwa "sabato ni siku ya saba ya wiki" bali Sabato ni siku ya Saba baada ya kufanya kazi siku sita kama ambavyo wana wa Israel waliamriwa na kupewa fundisho hilo
      Ilikuwa siku ya 15 ya mwezi wa pili ... Safarini toka Misri ndipo walipoamriwa kupumzika baada ya kazi siku sita . Sio kwamba wapumzike siku ya saba ya wiki (mambo ya siku za wiki ni mambo ya Warumi na Wababeli sio mambo ya maandiko )

  • @KalamboSalumrashid
    @KalamboSalumrashid 11 วันที่ผ่านมา

    Huyo jamaa ndo hamnakitu kabisa

  • @vincentmutuku2876
    @vincentmutuku2876 10 วันที่ผ่านมา

    Sabato amesema aje yesu ?nasikia ukatholiki Dani yenu sana .

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 14 วันที่ผ่านมา

    Wasabato kwa kusema jumamosi Yesu yupo kaburini amepumzika, je kaburini ni mahali pa kupumzika?

    • @user-md7ug5dd9r
      @user-md7ug5dd9r 14 วันที่ผ่านมา

      Soma biblia utaona alikuawa anafanya nini,

  • @joseph-masija
    @joseph-masija 12 วันที่ผ่านมา

    Mnaojitokeza kufundisha muwe makini sana..acheni ubishi wa kizee. Nimegundua hawa wameshajenga chuki na ndacha
    This is high level of ignorance, Viongozi vipofu wasiojua maandiko na hata wanachokiamini .....kwanza, imani ya akina ndacha wapo watu wengi sana Tanzania, kenya na dunia nzima kwa sasa.
    Na, Ndiyo Imani Moja ya biblia haina muunganiko wa imani nyingi. Pure Faith.