MashaAllah yan mwenyekiti iko makin san ,dr sule anauliza maswal kwa akil zaid na maznge nd profs mwenye woooot nawapnda kwaajil. Ya Allah ,Allah awap afy njma na umri mrefu ,kila ninap waon roh yangu hujawa na furah
Natamani umri wangu wa uhai uliobaki nimpe dr sule ili aongezee katika umri wake aishi miaka mingi zaidi amtangaze ALLAH, mungu nipe mwisho mwema aaamin
Am watching from Lusaka, Dr Sule is fantastically advanced,the question is within the topic but the Christian counterpart is trying to use innuendos to dodge, Islam is cool, very right
Nimeitazama Leo hii hio clip Dec 2023,kufanya mijadala na dr sulle kwa mkristo yuataji makinifu zaidi,mwalimu ndacha kibarua unayo Mungu akupe neema zake kwa hoja ilioko mbele yako,mimi ni victor mutai kutoka elburgon,molo,nakuru,Kenya
Kondoo waumini, zizi Taifa la Israeli,sauti ni ujumbe wa Yesu, Kondoo wasio wa zizi hili ni waumini wasio waistael. Kundi ni kanisa au jumuia ya waumini. Hiyo ndio Tafsiri ya Yohana 10:16
MashaAllah yan mwenyekiti iko makin san ,dr sule anauliza maswal kwa akil zaid na maznge nd profs mwenye woooot nawapnda kwaajil. Ya Allah ,Allah awap afy njma na umri mrefu ,kila ninap waon roh yangu hujawa na furah
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Baraka Allahu Fiikum
Mungu arahemu sheikh yahya and rico
Uyo msomaji Amefarik kwani
Mtumishi festo hallelujah ukristo ni Raha Sana nimefurahi Sana kwa majibu mazuri Sana na furahi kuwa mkristo ooohoooo na furahi sana.
Ubarikiwe sana
Allah akupe maisha marefu dr
Af Kuna kipenzi Cha watu docta sule💕🙌
Mashaallah mungu azid kuwaweka wahadhir we2
Mungu akupe maisha marefu Dr sule
Imam Petro mungu akupe pumziko la milele
Elieza shonza hallelujah ubarikiwe sana umejibu vyema Sana kweli ukristo Raha sana Asante Mungu kwakuni fanya niwe mkristo.
Kajibu nini? Shida biblia inajikana yenyewe, Marko inasema hivi mathayo inasema hivi katika jambo moja hilohilo
Allah kareem kaka wafanya kazi nzuri Allah atakulipa
Allah Akbar. Yaa rabi mjalie umri mrefu mja wako ili azidi kutupa darasa mara dufu
Mashaallah sheikh sule mungu akulinde inshaallah na akupe mwisho mwema
Amiin
MashaaAllah lslam Dini
Dr sule maashaallah mungu akupe mri mrefu
Dr Allah akujalie akupe maisha marefu uendelee kuaelimisha wakrisu mana niwabishi
Huyo ndio professor sulle
Shukran ma Sheikh wetu
Namkumbuka sana Imani petro Allah ampe kauli thabiit
Mashaallah Allah atupe mwisho mwema
Allah awalipe kher wahadhir wote mnaoitetea dini ya haqi ...
Allah atuhifadhie wahadhiri wetu ikiwemo Kiboko yao Dr Sule
Taakbir Allah Akbar... ❤❤❤
Natamani umri wangu wa uhai uliobaki nimpe dr sule ili aongezee katika umri wake aishi miaka mingi zaidi amtangaze ALLAH, mungu nipe mwisho mwema aaamin
Masha'Allah Dr Sule Allah akubarik popote ulipo amiin insha'Allah
Mwenyekiti wetu yuko makini sana Allah akubaariki nakukubali sana Allahumma Amiin 🙏
ALLAH ampe stareh za kabur Shekh Yayaha,amuepushe na adhabu za kabur
Allahumma aamin
Ameen
MashaAllah waislamu.wanahekima na.elimu.Mola awalipe.pepo
Mashaalah mungu akujaalie afya njema tunakupenda kwa ajili ya Allah👏👏👏👏👏
Shule kaseme hio sio Quran usanganye madiko ka kitheri
Kwakweli Allah awajalie mnanipendeza kwa jili ya allah
Masha Allah Dr sulle..
Am watching from Lusaka, Dr Sule is fantastically advanced,the question is within the topic but the Christian counterpart is trying to use innuendos to dodge, Islam is cool, very right
Are you Muslim
@@teammayuro7267 does it matter if he's muslim or not? Will it change the fact if he was pagan
Good
Wenye viti wana busara sana God bless you guys
MashaaAllah MashaaAllah Jazzaka Allah kheiry
Ishalla mungu akupe mwisho mwema
Mashallhaaa allha awape maisha mema
Ama kweli mm binafsi shekhe sule namuelewa sana mungu ampe umri aamin
Iman petro allah amrehemu amin
Amiiiiiiina
Hahaja
Allah awaraham waumini walio tangulia kina imani petro na yahaya nawenzao wengine
Amiin
Aamiiiin
Jazakkah Allah hail Dr Sulle, Dr mazinge Allah awajaalie muendelee kuitangaza dini ya kiislam ili wa2 wote tuingie kwenye din ya haki ambayo Ni uislam
Hakika ALLAH (s,w) ndie mungu pekee na Wala Hana mtoto
Aii kwanini Alla Hana mtoto,tasa Kaa Muhammad au???
Doctor Allah akufanyie wepes katika majambo yako mema inshaallah
Amiin
Maashaa ALLAH watapata tabu sana!
Wahadhiri tz mpo vizuri Tu Allah awalinde
Mashaallah mjadala mzur
Maashallah 😍😍😍😍
Allah awalinde na awafanyie wepesi
Muinjilisti ashaelewa...shida ni kuwa wanatafuta mkate wao bila ya kujali kuwa wanapoteza wacristo...Allah awaongoze...amiin
Hawawezi ongoka kwa sababu wapo kimaslahi
Allah akujalie mwisho mwema doctor sulle we ni kiboko ya wabishi
Mashallah❤❤❤
Jazaakallahu khairuh
Allah mpe kauli thabiti Shekhe Imani Petro🙏
Kazi ipo
Allahu Akbar, alhamdulillahi kwa Allah katupatiya Dr sule kuwa miongoni mwa watu wenye elimu na hekima ya dini
Yaa.Allah.mfungulie.kiumbe.chako.almaruhum yahya pepo.isiyohesabika
Mwenyekiti wetu Masha Allah anajielewa
Takbiiir....... ALLAHU AKBAR...
Hakuna Cha hatari,Biblia ni jibu. Yesu Yu hai,Kwa namna hiyo Ukristu nki Imani hai.
Mashallah sheikh Sule yuko Sawa
Allah akuhifafhi dr sule!!
Amiin
Mwenyeketi wetu ako ngagari kweli. Very brave and intelligent👍
Kbs Allah amlipe
Debate akiwepo Ustadh Mazinge na Dr. Sule yaani lazima watanyooka wapende wasipende
Na km ingekua Ustadh Amani petro yupo hai ingekuwa moto zaidi..
Allah awaondoshee adabu ya kabri na awajalie jannah inshaAllah
Imani Petro yupo hapoo amekaa upande wa kushoto
Mashallhaaa
Masha Allah waislam
Doctor sule💞❤❤❤❤💞💞 mungu akujalie afya njema
Mungu akujalie mwisho mwema doctor sule
mashaallah
Masha Allah
Nimeitazama Leo hii hio clip Dec 2023,kufanya mijadala na dr sulle kwa mkristo yuataji makinifu zaidi,mwalimu ndacha kibarua unayo Mungu akupe neema zake kwa hoja ilioko mbele yako,mimi ni victor mutai kutoka elburgon,molo,nakuru,Kenya
Mbona watakaa tuuuu mungu awaweke hayi miaka yotee mashee wetu
Mwalimu festo Mungu akutie nguvu
Dr,sule hatari Sana Masha Allah
Allah ambarik
Maswali ya Waislamu magumu kweli 😂😂✔️💯
🤣😂😂kama maisha ya kale
Uislam raha sana najivunia kuwa muislam
th-cam.com/video/aQA0-gRqKsA/w-d-xo.html
😁😃
@@latifachepa4435 kapsa raha bila karaha alhamdhulilah
ALLAHU AKBAR
Wallahi Dr Sule kawa changanya wainjilisti kweli kkkweli.
Daah mwenyenzi mungu awalipe kila lakheri nawajaliye umri mrefu ili mzidi kutangaza din yeetu yawislam
ALLAH HAFID INSHALLAH
Yahaya Allah amrehemu amin
ndiyo. th-cam.com/video/By4VATBOr70/w-d-xo.html
Amiiiiiiina
Amiin
Ameen
Aamiin Allahuma Aamiin 🤲🏽
Raha mpkaa baaaasi jameni, Sule nakupenda wallah kwa sbbu ya hii kazi.
masha allah 🥰🥰🥰
Dr sule mung akulipe kila la kher wanaelewa hao wakaidi 2
Mashallah doctor sule Yuko Sawa
Sule ni mtu hatari, watu wenye vipaji kama hivi Mungu huwaleta kwa misimu.
8oiì99⁹ftty😢😢😢😢y😢ýbb😢😢jn😢NMp❤ n55 is 😢 😢n😢
Allah awafungulie milango ya peponi wahaadhiri wetu wa kiislam
Mwenye Kanisa yupo Congo.
ALLAH AKBAR
Takbiiir
wachungaji mungu awabariki sana
ALLAH AKBAR MUNGU NI MKUBWA
Jazaka llahu lkhaira
Wakristo hawawezi kushindana n waislamu kw hoja ktk qur an hata bibilia maana wao ukweli hawawambia wanaowaongoza.
Imeshaandikwa Nuru na Giza havikai pamoja
Allah Akbar
Dk sule utauwa wallahi duu suali mzigo hilo
Perfect
Dr Sule wamuache tu 😂
Dr Sule kumbe ni mchungaji mzuri tu"'
Wakristo Noma Sana, sule bure
Mashallah😂😂👏👏👏👏
Yani Dr sule sichoki kukusikiza allah akupe umri mrefu innshaalah
Doctor sule maswali yake mpaka uwe na akili nyingi saaana huwez amini bado sijamuelewa mpaka sasa ila swali nmeliona zur
😂😂😂😂 hata mimi
namkubali sana shekhe wangu fundi huyooo wa kutumia lugha
Kondoo waumini, zizi Taifa la Israeli,sauti ni ujumbe wa Yesu,
Kondoo wasio wa zizi hili ni waumini wasio waistael.
Kundi ni kanisa au jumuia ya waumini. Hiyo ndio Tafsiri ya Yohana 10:16
Kondoo ni ni waumini zizi Taifa la Israeli bali sio dunia nzima. Yesu ni mtume wa wa israeli sio dunia nzima.
Mungu akuzidishie elimu
Hata umtwange kwenye kinu na ngano huyo anabakia vilevile alivyo mbumbumbu
Mtume (s. a. w) anasema al ihsan jazau ihsan
Cjutii kuslim ahsant Mungu