Ni kijana aliyekuwa ni kibaka kwa zamani ameelezea jinsi alivyoweza kuachana na wizi wa kuiba mali za watu na situ alipoikimbilia Defender ya Polisi na kupanda mwenyewe
Uliamua kukimbilia pira mwenyewe,acha kabisa chuga co mchezo,ila kwasasa chuga imetulia watoto wadogo kama hao wanaiga na kufata mkumbo,lakini chuga na matukio ilikua ni zamani kuna watu walikua wanaitwa kina musa bananaa acha kabisa izo pipo asa ivi chuga imetulia.
Siku zote Mungu hushangilia kondoo mmoja akimgeukia na kuachana matendo yake mabaya. Big up to you!
Big up milad upo vizuri Sana inaijulia kaz yako
Uliamua kukimbilia pira mwenyewe,acha kabisa chuga co mchezo,ila kwasasa chuga imetulia watoto wadogo kama hao wanaiga na kufata mkumbo,lakini chuga na matukio ilikua ni zamani kuna watu walikua wanaitwa kina musa bananaa acha kabisa izo pipo asa ivi chuga imetulia.
Duh nakumbuk m nilikutan nawatoto wa mbwa wangarenaro wakaniibia cm yngu Kali dadeq xhenz nyinyi
Safi sana Adhuman hongera kwa family
Vyema umetoka na kubadilika
sura ya kazi kweli ww kubaka
Milladi we kiboko mpaka athmani Totoo
big up milad ayo thank uuuuu
ngalimi soko mjinga, naona kwa mbali sehemu za kidemi nguzo mbili sokoni one. mic sanaaaaa kitaaaa
SELEMANI KAPARA. ngalelo....
ndo kitaa
ngalimited oyooo.ukijidai we wakutoka town wamekudandia.hakuna rangi utaachaona babulaii
Milad upo sawa broo
Kweli ayo tv mpaka ungalim
Unga limited daah sifa zake💣💣💣
Arusha
ar chug Stendap ngarenaro repab hom boy one lov bong bahat mbay
uko poa milard
umemaliza primary mwaka2006 juzi tu lakini saivi utazani unamiaka50
😂😂😂😂nimaliza primary 1997
Maisha magumu ndio sababu
Mtaani kwetu...
Sema watangazaji wa ayo tv mjiongeze katika kuuliza maswali ya maana
Juma Issa mtangazaji anaogopa hapo hyo sura sio ya mchemchezzo
Kwel man umecha usela
Hahah Ila big up mwamba
aaahaa ahaahaha raia balaa
Sura ya kazi
namiss kitaa jamaa namfaham sana
😁😀
Huyo jamaaa namsomaaa sana
😄 😄 😄 😄 😄
miradi the good nice
Athuman hahahaha
Haposawa m bb
Nishidaaa
Unafikiri wanaacha kiukweli ukikutana nae night 🌃 uko alone hawakuachi
Bongonyorii ukireta eee unafyonzwaaaa
ngalim iyoo lakin bado ukizingua unavimbaa
amna kitu
Hyo ndo ngalimi....
Ara chuga mojaa ngulelooo
Queen mashauri
Hahahahahahahah
Shaban Ramadhan
Cheka ung'atwe
Apo wengi ni warangiii
Sana warangi ndo wengi hapo ungalelooo
VIP utapanda?
Stupid questions mtangazaji
Unga limited
Athoman toto