Mimi ukweli Mungu akinijaalia uwezo wa kipesa na kunijaalia uhai mpaka nafunga harusi yangu. Watu maarufu ninao tamani wafike kwenye harusi yangu ni Mchezaji wa Basketball wa Kike wa Marekani ANGEL REESE na Mchezaji Tenisi wa kike wa urusi MARIA SHARAPOVA. Nawapenda sana yani ❤
Sasa hayo ndio maisha tunatakiwa kila mmoja aishi hapa duniani haya mfuateni LoveGod awaunganishe to the real world ❤❤❤❤ kuogopa kwako ndio umasikini wako.Matajiri wanakula na matajiri wenzao.
KUFURU SANA HII KUNA SIKU HUYU ATAFILISIKA NA HATAAMINI WAKATI KUNA WAHINDI KIBAO HUKO INDIA NIMASIKINI WAKUTUPA WANALALAA NJE MADUKANI USIKU YAKIFUNGWA NA WENGINE WANISHI NYUMBA ZA MANAILONI CHAKAVU
Kuna watu hapa duniani wanaishi kama wako peponi
Ya Rabbi tujaalie na sisi Maisha mazuri yenye furaha🤲
Ameen
🙏🏿
maisha ya kesho Akhera ni bora kuliko maisha haya ya mwanzo
@@hatibumohamedi3471 kweli ndugu Mungu atujaalie Mwisho mwema 🤲
@@hamzaibrahimu Amiin
Mimi ukweli Mungu akinijaalia uwezo wa kipesa na kunijaalia uhai mpaka nafunga harusi yangu. Watu maarufu ninao tamani wafike kwenye harusi yangu ni Mchezaji wa Basketball wa Kike wa Marekani ANGEL REESE na Mchezaji Tenisi wa kike wa urusi MARIA SHARAPOVA.
Nawapenda sana yani ❤
Wenzenu wanakufa njaa huko india nyie mnaharibu helatuu
Sasa hayo ndio maisha tunatakiwa kila mmoja aishi hapa duniani haya mfuateni LoveGod awaunganishe to the real world ❤❤❤❤ kuogopa kwako ndio umasikini wako.Matajiri wanakula na matajiri wenzao.
Waache wafanye hvy,maana "hawana pa kuzipeleka hizo hela"
Allah akiwa katkat yetu inatoshaa
🙏🏿 kabisaaaa
@@emmanuelmchomvu2676 Swadaqta 👍
Shida ni kwamba Wahindi ndio wanaongoza kwa kuachana.Nimefurahi kuhudhuria atleast nikawaona ma celebrates wakubwa🎉🎉🎉🎉❤
Wakati huku kutoa maali hata laki mbili zimetushinda , tunapitia madirishani kuoa
Uyo mume sasa😂😂
Muwasaidie Wahind Wenzenu Wanaolala Nje..😂😂😂😂
Mama samia
❤❤❤❤
mimi natamani san mungu akaonekane katika kwenye ndoa yangu
Mzee Ambani kamfanyia sherehe Mwanae kwa sababu maalum I think Kamua mumfuraisha Dogo but.....
KUFURU SANA HII KUNA SIKU HUYU ATAFILISIKA NA HATAAMINI WAKATI KUNA WAHINDI KIBAO HUKO INDIA NIMASIKINI WAKUTUPA WANALALAA NJE MADUKANI USIKU YAKIFUNGWA NA WENGINE WANISHI NYUMBA ZA MANAILONI CHAKAVU
Duuu 🎎🎎🎎🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🤲🤲🤲🤲🤲
Mm nataka aje Michael Jackson na 2pac😂😂
khaa nimemvulia nguo huyo tajiri😂😂
Dunia inamambo utajili ulio kithir
Hamna kitu hapo wanavijisenti tu hao.
Acha uongo😂😂😂@@berry4726
Miaka 29 kama hiyo kuna jambo ......... Ins
Hamna pesa hapo wanavijisenti tu hao.
Ambao mume alikwa na hatadhuria naombeni Link zenu maana mimi naenda kutumbukiza komasava live
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilikua huko harusi ilikua bomba sana
Safi sana ulikuwa kiroho ila kimwili upo bongo unafukuza nzi 😂😂😂😂
@@devisshirima6780 india mbona kama ubungo tu pesa yk tu unapaa. Inawezekana alikuwepo huko
Classic used: Wakualike ww km nani mfano😅😅😅😅 nani anakifahamu huko?? 😂😂😂😂 Acha uwongo 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Huyo bwana harusi
Dah😂😂😂
😂😂😂😂
Mume ni yupi
Aliyevaa nyeusi huyo tufetufe
Kwa huo unene kitovu ndio kitakuwa kinaonekana, Bluetooth connector yake itakuwa ndogo kama chunusi 😂😂😂
😂😂😂😂😂@@devisshirima6780
@@devisshirima6780kumekucha 😅😅😅😅
@de😂visshirima6780
All free mason ukishaona mastaa wa marekani ujue wamekuja kumuunga mkono mwenzao
Wanalipwa hao, kama alivyolipwa Rihanna na Bieber
Tafuta pesa kijana
😂😂😂umaskin mbaya sana
Acha ujinga tafuta pesa