Mashallah allah akufanyie wepesi usimame sawasawa kwenye Imani ya dini na Allah akupe mwisho mwema pia kwa sote Inshaallah maana ibris tunaye kila kona hatujui kesho yetu itakuwaje tuombeane salama yarabby 👏
Ni simulizi yenye mafunzo mazuri kwa vijana wote tujihadharini sana na makundi ya hovyo juu mtume wetu muhammad swallallaahu alayhi wassalaamu anasema mfano wa rafiki mwema km muuza mafuta uturu na mfano wa rafiki muovu km mfua vyuma.muuza uturi imma atakuachia harufu nzuri na imma utanunua toka kwake.na mfua vyuma imma ataiunguza nguo zk na imma utapata harufu mbaya toka kwake.
Allah akuongezee brother na wengine pia Allah awaongoze kwani ni msiba mkubwa, ndungi zetu wadogo na wakubwa wameadhirika Sana, Allah ni mgeuzi kwa kweli
Mm ndio Maan sipend hii mirad I ayo TV Maan wanautoa abali nusu nusu aziish sijui tatizo nn msitoe Habari ndefu watu tukaangalia Kam ndefu San weka episode ya 1 ya 2 mtu unajua nikimaliza kipande hiki na angailia kingine ili nielewe Sasa mwisho wahii abali imeisha aisee Sasa aisee nn mbona mna kuwa wazembe hiv
Sasa mbona story haijaisha.? Ila MILLARDAYO haya mambo ya part Two na vichwa vya habari ndiyo yalifanya nipoteze uaminifu wa media zako nika Unsubscribe ..umeanza kufuria bora #Samimisago
Masha Allah mateja wengine waige mfano wako
Usirudie tena madawa ya kureyva ni haramu kweli kweli
Huyu jamaa historia yake inasisimua sana nilimuona kwenye GENDEMBWE.
Nilimwona tandale au mburahati..namkumbuka sana huyu kaka
Mashaa Allah Allah akuhifadhi akufungulie milango ya rizki
DOGO UHALIFU HAULIPI,UMEFANYA MAAMUZI YA BUSARA, WEWE NI NGUVU KAZI YA NCHI.
Umechagua njia sahihi kwa sasa, washauri na mateja wengine wawe kama wewe
Mashallah allah akufanyie wepesi usimame sawasawa kwenye Imani ya dini na Allah akupe mwisho mwema pia kwa sote Inshaallah maana ibris tunaye kila kona hatujui kesho yetu itakuwaje tuombeane salama yarabby 👏
Amin inshallah
Allahumma amiin jamigha limuslimin
Mbona Kama bado teja
Masikini kaka mzuri WAZUNGU WANETUWEZA HAKIKA
Kiberelo alikua msafi sana enzi hizo nikiwa dogo
Yaan tejaa ni tejaaa yaan zilee tabiaa bado anazoh ilaa Allah amsimamie snaah
hajapona kabsaa hyo
Nilimuona anaojiwa na wasafi
Mungu amekuweka mpaka mda huu na matukio mabaya mungu anakutaka umrudie
Huyu jamaa historia yake inasisimua sana nilimuona kwenye GENDEMBWE kwa ZEMBWELA.
MSWAHILI sio NGENDEMBWE🤔
Millard Ayo mnazingua, mnawekaje interview nusu..!??
Acheni upuuzi bana
Ila naona huyu bado madawa hayajamtoka kabisakabisa, labda anywe maji kwa wingi asafike vizuri. 10.02.22.
@@gooddeeds162 labda ninavyohisi,kwa kuwa maji hutoa sumu mwilini ukinywa kwa wingi.
@@gooddeeds162 ok asante kwa kunifahamisha, Mungu atamuondolea kabisakabisa hiyo hali, na atakuwa safi inshallah,
Et asafike 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@jacquelineadrian6436 ndio kwani kusafika ni vibaya.
Mpenz me umenichekesha tu si vibaya upo sahihi
Dah hongera
Mwenyez Mungu hamtupi mja wake
Mmmh hapo kwenye" HATA WEWE"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nadhan mtangazaj angekua na moyo mdogo sahz ayupo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kibelela mtu powa Sana
Nacheka km mazuri
Maskini kwenye kifo watu humkumbuka mungu bila kutarajia afu nani mwingine kaona ndani ya bukta kavaa taiti ya mwanamke 😂😂😂
Respect kamanda uwe na maisha marefu
Stor haijaisha
Hongera sana mjomba Mungu akubariki sana na endelea kujifunua na kuwafunza masela mavi waache michezo michafu
Millad vipi Sasa mbona story imeishia njiani
Et mwenyez Mungu hamtup mja wake kwenye kuiba jmn Mungu anasingiziwa hee
Huyu jamaa kasoma shule niliyosoma mie makurumla
Mboo bado teje
Msenge umekata stoli katikati
Alianza shule 1998 akamaliza 1990 😅😂
Mnapunguza utamu 😅😅😅😅🙌
mwendelezo please
Imeishia njiani part 2 ischelewe pls
part two lini wadau????
teja wa kwanza kuona ana simu
Yani huyu madawa kaacha ila bangi ipo umu
Hapan kaafectika na daw nd mn anaongea hv
😄😄😄
Ni simulizi yenye mafunzo mazuri kwa vijana wote tujihadharini sana na makundi ya hovyo juu mtume wetu muhammad swallallaahu alayhi wassalaamu anasema mfano wa rafiki mwema km muuza mafuta uturu na mfano wa rafiki muovu km mfua vyuma.muuza uturi imma atakuachia harufu nzuri na imma utanunua toka kwake.na mfua vyuma imma ataiunguza nguo zk na imma utapata harufu mbaya toka kwake.
Allah akuongezee brother na wengine pia Allah awaongoze kwani ni msiba mkubwa, ndungi zetu wadogo na wakubwa wameadhirika Sana, Allah ni mgeuzi kwa kweli
Anavuta uradi aisee daah hatar sana.
Sema alhamdulillah usiseme hatati
Tuwekee pat2
Mtangazaji dawa ndio biashara Ina control nchi usije ukawa mashakani Wacha majunky wapone tutakula wapi.msa ken.
Sas hii nayo n story ya kuweka episode kweli??
Nipe liker 😋
new intro okay
Duuuh🚚🚚🚚🚚🚛🚛🚛🚛
Oyooo
Namjua hyu mkakaa kama kaacha wallah mefurahi sana
Noomaa sanaaa
Zembwela ashamhojigi hyu
Why haijamaliza story
Mnazingua
Huyo mbona zebwera kasha maliza zamani
Part 2 tafadhali
Daah mbn imeishia patamu
Nynyi mbona mnazingua part2 lini????
Mung akusamehe
Mm ndio Maan sipend hii mirad I ayo TV Maan wanautoa abali nusu nusu aziish sijui tatizo nn msitoe Habari ndefu watu tukaangalia Kam ndefu San weka episode ya 1 ya 2 mtu unajua nikimaliza kipande hiki na angailia kingine ili nielewe Sasa mwisho wahii abali imeisha aisee Sasa aisee nn mbona mna kuwa wazembe hiv
Haijaisha
Alikuwa anaitwa marehemu farida 😂😂
Hii stor mbona zembwela alishaiyoa mmeenda tena kuirudia
Tunaombaa mwendelezo
Mbona story fupi
Yan Hadith nzur sema mtangazaji haoji vzr Yan vingine mnarusha rusha ili mradi bando letu liende tu mfyuuu
Huyu wasafi walishawahi kumuhoji Mwamba na Nusu 😂
SNS ebu nendeni kenya mombasa mkatafute jamaa anajiita KUCHI ndio mtajua watu walio save kutokana na vifo vya jamii
Yunasubir part two
Msinidanganye huyu bado anatumia
Muendelezo wa hili picha bac asee
Sijapenda kutuletea habar nusu nusu
Part 2 loading.........
Mbona umeikatisha
Sasa umeikatisha ili tusubiri season 2,..😏
Mwamba anajuwa kujib atarii
Nafuu umefanya maamuz mazr
Kumbe weweeee ndo ulinikatia dilisha kuiba cm yangu nokia mayai miaka ileeee.
Imeisha hinyo
Mbona hauja maliza
😂😂🤣🤣Sasa muendelezo Iko wapi mbona munatuacha njia panda ivyo
Ipo sehemu ya pili nimeiona
@@teresakapinga7947 shukrani Wacha nikaitafute
bado anatakiwa ampokee Bwana wa Bwana Mfalme wa wafalme , shujaa wa kubadilisha Watu walio shindikana
Master Jesus Christ ....
Wewe nawe sijui umetoka wap
Tusha mujua bna kupitia wasafi media
Mbona imeishia njiani
Kibe boy 👦💙❤
Mbona kama bado anavuta
Saut imemlegea bado
Daw bdo hazjatoka
Mungu ashindwe chochote
Eti nae sasa anavuta uradi sas😁😁😁mbona kama bado ana fanana nama dawa yanyewe 😁
Huoni kama madawa yalimuasir
Usithubutu usijaribu hata wewe
Sasa mbona story haijaisha.? Ila MILLARDAYO haya mambo ya part Two na vichwa vya habari ndiyo yalifanya nipoteze uaminifu wa media zako nika Unsubscribe ..umeanza kufuria bora #Samimisago
Mbona video fupi?
Nasubiri kilichofuata
Teja ni teja tu hatabariki, hata huyo bado simuamini kama ni kweli ameacha madawa
Mungu hashindwi, hata ulio mzima unaweza ukaingia
@@ameirzapy1318 sahihi
@@ameirzapy1318 kabisa
Tushaiona hii wasafi tv hatuna shida nayo..
Ww ndo huna shida nayo ila wapo wenye shida nayo
Kama umeshaiona zima data endelea na majukumu mengine.
Zembela aliendakumuoji huyu tumeiyona mwanzo mwisho
@@hanifatanzania7258 uliulizwa?
Ujinga wa kutumia smart ukubwani
mwendelezo please