JAFO AKERWA WAWEKEZAJI KUKIMBIA NJE, WAFANYABIASHARA KUCHUKIANA, ATOA AGIZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @Lubango-gj3ud
    @Lubango-gj3ud 14 วันที่ผ่านมา

    Mh.wsziri Hotuba nzuri sana inatia moyo wafanya biashara na wawekezaji ,kama na vitendo vitakuwa hivyo unavyoaahid.safi Go ahead.

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 22 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu jamaa ni hazina ya taifa, siyo akina Mwigulu, Nape, January na akina Tulia.

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 22 วันที่ผ่านมา +2

      Namkubali sana huyu jamaa hanaga masifa ni mchapa kazi wenye akili timamu ndio TUnamuelewa huyu

  • @Majhidymhessa
    @Majhidymhessa 23 วันที่ผ่านมา +3

    Tatizo mnalijua sana:
    Ni utitiri wa Kodi zenu.
    Mfano bidhaa nyingi za inchi jirani kwa mfano @Rwanda,Burundi,Uganda, Malawi n:k zinapitia hapo Bandari ya Dar kule zinauzwa nusu ya bei tofauti na siye.
    Angalieni hilo. Na kinacho sumbua hapo kwetu ni Roho Mbaya za watu na maslahi binafsi zaidi.

  • @halidomar9874
    @halidomar9874 22 วันที่ผ่านมา +2

    Madeni tuna bambikiwa tra hatuyaelew

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 22 วันที่ผ่านมา +2

    Nimefurahia sana huyu jamaa huwa ana maono ya nchi iendelee.

  • @user-vb7vw2jr7d
    @user-vb7vw2jr7d 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi mwenyewe nimetoka kulipa faini ya milioni moja ya kubambikwa kwasababu hakuna pakusemea na mpango wakuhama kwenda nchi jirani

  • @tisamokebulemasubugu6222
    @tisamokebulemasubugu6222 15 วันที่ผ่านมา

    Wakubwa wanakimbia lakini wadogo wanatishiwa Police ukiziangalia lawama zote tatizo ni maamuzi Kwanini wachumi wa hii Nchi hawana michango katika uendeshaji wa uchumi Endelevu ?

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 21 วันที่ผ่านมา +1

    TRA na Kodi sio rafiki kwa wafanyabiashara

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 15 วันที่ผ่านมา

      TRA just want to see the numbers growing😢😢

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 23 วันที่ผ่านมา

    Hao kina mo dewj wanapaka kuilazimisha ili wapinguziwe Kodi Yani waziri wawachie waende

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 23 วันที่ผ่านมา

    Nafurahi umerudi ulingoni, jaffo, majaliwa, makonda, haya nimejembe, hayaishi ukaliwake, kule walikokuwa wamekupeleka walikuziba mdomo, nakuombea sana Kwa Mungu akupe hekma kumaliza migogoro ya wafanya biashara,

  • @tisamokebulemasubugu6222
    @tisamokebulemasubugu6222 23 วันที่ผ่านมา +1

    Maamuzi ya viongozi hayaangalii uepushaji wa Athari Kwa wafanya Biashara