SIMANZI: VIJANA WAWILI WA MIAKA 18 & 19 WAUWAWA ARUSHA, WADAIWA KUIBA POCHI WAKIWA NA PIKIPIKI NJIRO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2022
  • Vijana wawili wenye umri wa miaka miaka 18 na 19 waliokuwa wanaishi katika kata ya Sombetini Mkoani Arusha wameuawa kwa kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali na kupelekea kufariki kwa kutuhumiwa kufanya uporaji wa pochi wakiwa na pikipiki yao katika maeneo ya Njiro.

ความคิดเห็น • 235

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 2 ปีที่แล้ว +11

    Arusha Arusha!!! Mbona mauwaji yamezidi mno, Mrudieni Mungu mitihani ni mengi sana.

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 ปีที่แล้ว +7

    Poleni wazazi, ndugu na marafiki wa marehemu ,Wazazi chunguzeni maisha ya watoto wenu,

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 2 ปีที่แล้ว +8

    Ila hawa watu mm walinivamia nilitoka kazini nilikuwa nafanya kazi redio nimemaliza kipind wakanivamia wawil wamepakiana kwenye Toyo moja. .toyo nyingine yupo mmoja wapo na mapanga wakanichukua na mm ..wakanipeleka kwenye vichaka walitaka kunibakaa...ila nilisaidiwa nahisi watu waliniona wakati wananichukua....NAWACHUKIA SANA HAWA VIBAKA WALLAH na wanaosema sijui hawakustaili hawa hayajawakuta wanaroho mbaya sana vibaka mm nahisi sikuile wangefanikiwa kunibaka nahisi wangeniua

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 ปีที่แล้ว +1

      HAYA MAJIZI DAWA YAO NI KUYAFUTA TU..

  • @marthamangasta2341
    @marthamangasta2341 2 ปีที่แล้ว +15

    mama juma pole sana ila kaongea kama mzazi uwezi mkania mtoto sema vijana tuache tamaa

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 2 ปีที่แล้ว +31

    Tatizo wazaz tunalea sana ujinga.. mim nmewah porwa pochi na hawa boda.. bahat nzur walikamatwa wakapigwa sanaa.. tumefika kituon mama wa kijana mmoja wao alikuw anakataa kabisa mwanaye siyo mwiz😳😳 sasa kama sio mwiz alikuwa anafanya nn kituoni🤔🤔?? Wazaz tunalea sana haya mambo hususani sis kina mama

    • @marrymarco4455
      @marrymarco4455 2 ปีที่แล้ว +9

      Unakuta mama hajui kama Watt wanaiba ndo mana anaktaa vuta picha ata Ingekua ww gafla TU uskie mtt kapigwa Kwa tabia ya wizi lazima akatae kikubwa kuwaombea Watt wetu TU huko wanakoenda waepukane na makundi mabaya😭😭😭😭

    • @ellyjacob9897
      @ellyjacob9897 2 ปีที่แล้ว +5

      Wewe Dada upewe ulinzi kabisa

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 2 ปีที่แล้ว +3

      Dada weee wazazi tunakuwa hatujui mwaya. Mbele ya mzazi aonyesha nidhamu. Lakini huko nje hatuyajui. Mwenyezi mungu awanusuru watoto wetu

    • @husna34562
      @husna34562 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ashuuuaisha9122 Amiin

    • @zamdaomanizamdaomani3172
      @zamdaomanizamdaomani3172 2 ปีที่แล้ว +6

      Dada we ni mzazi omba Mungu akulindie kizazi chako

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว +10

    Kiukweli Tunatakiwa kuistructure jamii yetu....
    Vijana wengi wanafanya matukio ambayo ukimuona huwezi kuamini kabisa.

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 2 ปีที่แล้ว

    Mm nisameheeni tu
    Wameniliza sana hawa kiasi ambacho sina huruma nao.
    Wazazi na ndugu wawe wanachunguza maisha ya watoto wao. Wengi wanajua wanaogopa kusema na wengine wazazi wanajua wanaogopa sema au wanafurahia wanacholetewa. Tena wazazi wa namna hii haugusi baya kwa wanawe.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +7

    Nchi bado haijauzwa sasa ngoja tushindwe kulipa madeni ya nchi

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani jamani Watoto tujitahidi sana kuwapeleka kwenye nyumba za ibaada wangali wadogo ili wakuwe katika malezi yanayompendeza Mungu. Wakati mwingine mtoto anafikia tabia isiyo sahihi kutokana na malezi pia ya wazazi.
    Ila jambo kubwa ni kumwomba Mungu tu.

  • @user-pq1yn8yz7h
    @user-pq1yn8yz7h ปีที่แล้ว +1

    Pole ya kazi gani acha wafeeee

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 ปีที่แล้ว +11

    Kama ni kweli waliiba Allah awasamehe na kama hawakuiba mwenyezi mungu awalipe waliodhurumu nafsi za hawa vijana

  • @abdallahamir9234
    @abdallahamir9234 2 ปีที่แล้ว +11

    Sheria ya kukata kiganja cha mkono hamuitaki,
    Mnasema ni ugaidi,
    Basi acha wachomwe.

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza wazaz wajitahid kuwa na tabia njema na tukijitahid sana kuwalea watoto kwenye maadili mema!! Na kabla ya vyote nikumtanguliza sana Mungu katika kila kitu!! Alafu pia wenye hasira kali nao wajitahid kubadilika,kumuua mtu si jambo dogo kama wanavyodhani

  • @abn8331
    @abn8331 2 ปีที่แล้ว +9

    Ukiangalia sura za hawa wakinamama utagundua wanajua kila kitu kuhusu tabia za watoto wao.

    • @dinnocelestin1894
      @dinnocelestin1894 2 ปีที่แล้ว

      Umenena mkuu. Mungu awafariji wafiwa. Awarehemu Anold na Juma.

  • @zenaramadhani5958
    @zenaramadhani5958 2 ปีที่แล้ว

    Poleni ndugu mungu awape subra

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni kwa wanafamilia,ila basi iwe fundisho pia kwa wenye nia kama hiyo.

  • @ayubleo
    @ayubleo 2 ปีที่แล้ว +2

    Hao machali wezi sana juz tuubwaliiba simu wakiwa na toyo wacha wafe tuu

  • @mossilamanne3350
    @mossilamanne3350 2 ปีที่แล้ว +12

    Ndugu zangu kulea ni Jambo gumu Sana linalohitaji kumtanguliza mungu zaidi ,Kwa mzazi Hana kosa Kwa sababu mtoto unaweza kumlea vizuri lkn akawa na tabia za Siri ambazo hata wewe mzazi kuzijua NI ngumu,kwahiyo mnaolaumu wazazi bila Shaka nyinyi bado hamna watoto.

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 2 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢kikweli inauma sanaa kupoteza watoto wawili kwa kwati mmoja sheria ichukuliwe 😭😭

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 2 ปีที่แล้ว +7

    Jamny vijana wa Arusha Badiliken jmny hii kupora poch na vitu vya watuu kwa tamaa mwisho ndo huu mungu awasamehee awashushie huruma yake na nyie wazazi kaen na watoto wenu karbuuuu semeni nao ikiwezekana kilasku

    • @fredsengo4122
      @fredsengo4122 2 ปีที่แล้ว +2

      sema hawa wamama wana mioyo migumu sana. hamna chozi kabisa aisee

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว +22

    Wazazi hatutakiwi kuwa tetea sana hawa watoto maana vijiwe vimekuwa vingi.

    • @mweusiasili8345
      @mweusiasili8345 2 ปีที่แล้ว +1

      tusichukue sheria mikononi

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mweusiasili8345 kwa kwel😭😭😭😭😭

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 2 ปีที่แล้ว

      @@mweusiasili8345 unanikasirisha sana Kwa kauli yako hujamuona mama Yangu kilema walichomfanyia wanaojiita tatu mzuka yaani mpaka natamani machozi ya ulemavu wake na maumivu yake yampate kila anayewatetea hawa waarifu hayajawakuta ndio maana

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว +2

    Mam wa mwish unajuw kila kitu
    Mungu awalz mhl pema pepon 🙏

  • @suzywambura8717
    @suzywambura8717 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh poleeee Sanaaaaa dada angu

  • @jamilasaid9760
    @jamilasaid9760 2 ปีที่แล้ว

    Polen. sana

  • @fredsengo4122
    @fredsengo4122 2 ปีที่แล้ว +8

    Maskini mama wa hawa watoto Mungu awatie strength kwa kipindi hichi mnacho pitia, Inatia huruma sana💔

  • @filbertrobert1141
    @filbertrobert1141 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana jamani kwa kupotelewa na ndugu inauma sana

  • @dallasmusic764
    @dallasmusic764 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana hata mm juzi nimeibiwa simu yangu Arusha mjini na hao vjana wa boda boda wanajiita tatu mzuka safi Sana wamezd kmamake

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 2 ปีที่แล้ว

      Mi mama Yangu wamempor pochi na kumtupia mtaroni wamemuachia kilema na maumivu yasiyoisha unafikir wangepona? Kwanza hiyo adhabu ni ya haraka sana kwao wangeonja kwanza mateso ya mama yangu alafu ndio wafe

  • @ayubumwakyeja3740
    @ayubumwakyeja3740 2 ปีที่แล้ว

    Poleni jmni

  • @Danielmoyo556
    @Danielmoyo556 2 ปีที่แล้ว +5

    Inahuzunisha hakika
    Vijana embu tujaribu kuwa na macho ya kuona mbali zaidi, fahamu unapofanya jambo ambalo litahatarisha maisha yako shida utawapa wazazi wako zaidi na familia yako kwa ujumla, kabla hujawaka tamaa za wizi iangalie familia yako kwanza, waangalie wazazi wako wawili Kwanza kwamba ni kwa namna gani utawahuzunisha kwakile ambacho utakifanya, Tamaa ni mbaya sana ndugu zangu nawausia tena acheni tamaa ya kutafuta mambo ambayo hamna uwezo wa kumiliki , ni vema sana kusubiri wakati sahihi wa hayo mnayo yatamani.
    NENO LA MUNGU LINASEMA
    kila jambo na wakati wake, na majira yake sahihi chini ya jua. Ni vizuri sana ukasubiri wakati sahihi MUNGU atakupa tu pasi na shaka.

  • @milazoomilazoo4494
    @milazoomilazoo4494 2 ปีที่แล้ว

    Jamniiii poleni sanaaaa

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 6 หลายเดือนก่อน

    😮

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 2 ปีที่แล้ว

    Pole mama mwenyez MUNGU akutie nguvu

  • @sakoson957
    @sakoson957 2 ปีที่แล้ว +2

    Kina mama mnaharibu vijana wenyew. Mama usipo mfunza mwanao atafunzwa na ulimwengu. Na walimwengu si una wajua.

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu awanusuru hawa watoto maana wanajihusisha na mengi...

  • @eddyjuniortz2234
    @eddyjuniortz2234 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aikumbuke Arusha..!!? Wapumzike kwa amani

  • @mickyiron308
    @mickyiron308 ปีที่แล้ว

    pole mama daahh inauma asee !!

  • @waziriomar1414
    @waziriomar1414 2 ปีที่แล้ว +2

    Duh inauma Sana kwakweli hata wameiba Hawa wazazi walipata uchungu Sana wakati wapo leba 😭😭

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 ปีที่แล้ว +1

    Vijana wetu wanahitaji maombi Mungu awaokoe

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 2 ปีที่แล้ว

    Wah january ii gumu kwl

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnaillah rajion

  • @waziriomar1414
    @waziriomar1414 2 ปีที่แล้ว

    Duh inauma kwa kuwaua ingawaje hata mm cku moja waliiba Masai camp wakawa wanakimbia wakakutana na mm uso kwa uso nikiwa na gari ikabidi niwakwepe wakagonga gari wakaanguka ingawaje waliaribu Sana gari na walitaka kumuua yule mmoja aliebaki lkn niliwaomba raia wamuache tu

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 ปีที่แล้ว

    Mungu utakase mkoa wa arusha mbona roho zimewakauka kama hivoo ro hombayaa kama hivoo kamawana kosa serikali ipo poleni sana wafiwa

  • @marianajohn360
    @marianajohn360 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah atujalie vizazi vyema...ukiibiwa inauma Sana..lakin maamuzi ya mkononi kutawaliwa na hasira nayonimagumu sanaa
    Yote kwa yote vijana wakubaliane na khali zao wasichague kaz na wajishuhulishe jmn 😥😥

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Vizur sana kuwauwa

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 ปีที่แล้ว

    Daa

  • @robinrizone9129
    @robinrizone9129 2 ปีที่แล้ว

    RIP

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 2 ปีที่แล้ว

    Yaan Arusha ni matukio jaman...mauaji
    Uunh mungu awasimamie jmn

  • @ommykiss7049
    @ommykiss7049 2 ปีที่แล้ว +12

    Huyu mama wa mwisho anaonyesha alikua anajua kazi ya mwanawe na inaonyesha alikua akimuasa xana. Mana hana uchungu kabisa

    • @sunaybrajabu238
      @sunaybrajabu238 2 ปีที่แล้ว

      Sidhani kama ni mama mzaz aisee

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 2 ปีที่แล้ว

      Kweli tena anaonekana usoni kama haoni uchungu kwa mtoto uliyemzaa

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 2 ปีที่แล้ว

      Nimesoma comment yako nimecheka nikakumbuka Nina mama mkubwa anamtoto kibaka akiletewa ela anafurahi ,akikamatwa anataka ukoo uchange akatolewe,Leo mama anayumba maisha magumu kwake malezi Yana changia.

    • @angelgervas1929
      @angelgervas1929 2 ปีที่แล้ว

      Sio mama mzazi uyo

    • @vailethmlay4977
      @vailethmlay4977 2 ปีที่แล้ว

      @@sunaybrajabu238 6xyrffgg

  • @ismailshamte4429
    @ismailshamte4429 2 ปีที่แล้ว +4

    Nahisi Arusha inaongoza kwa mauwaji

  • @tabiafataki6896
    @tabiafataki6896 2 ปีที่แล้ว +4

    Watu awawezi kuwachoma bila sababu

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +9

    Kama wameiba wakauliwa nivzr huo ndio mwisho wao

    • @ismailshamte4429
      @ismailshamte4429 2 ปีที่แล้ว +3

      Mwizi hukmu yake ni kukatwa mikono na c kuuliwa

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

      @@ismailshamte4429 ndio washa uliwa wakome

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 2 ปีที่แล้ว

    Inalillahi wainalillah rajiuni

  • @elmiaxmed6870
    @elmiaxmed6870 2 ปีที่แล้ว +1

    Watoto waizi wacha wafe wazizi msijifanye hamjui simnaletewa mali za uwizi hata mm nikiwashika nikuua tu

  • @aboobakke857
    @aboobakke857 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna system tz..

  • @daluckyFinancialServices
    @daluckyFinancialServices 2 ปีที่แล้ว

    Yaaan kama ni wezii na wameibaa yaan wafee tu wakajieleze huko maan maamuvi ya kuibiwa ayse dahhhhh😭😭😭😭😭😭

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 2 ปีที่แล้ว

    Arusha moshi vijana bangi nying uwiz sanaa yaniii pile mama

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awanusuru hawa watoto wanakazi nyingi usiku.

  • @bizzboy5490
    @bizzboy5490 2 ปีที่แล้ว

    Wame tuchosha tena wengine wanavamia kwama panga poleni wazazi mungu awatie nguvu.

  • @pus.4506
    @pus.4506 2 ปีที่แล้ว +6

    Enyi watu wa arusha .rarueni mioyo kwa kumrudia bwana.

    • @magretkijanga6038
      @magretkijanga6038 2 ปีที่แล้ว

      Acheni maneno vifo kila mahali

    • @pus.4506
      @pus.4506 2 ปีที่แล้ว

      @@magretkijanga6038 hatujakataa

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 2 ปีที่แล้ว

    Ila watoto wa Arusha wana tabia hizo sana,mm muathirika wa kuibiwa kwa silaha ila siwez kujua kama hawa waliiba kweli au vp mungu ndo anajua.

  • @mohamedaden5881
    @mohamedaden5881 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii sasa imekua to much Arusha mna Nini?

  • @rumongianomadex3315
    @rumongianomadex3315 2 ปีที่แล้ว +7

    Kweli Tz kama cape town... 17 years old anakuwa mwizi mkubwa kiasi icho... kipindi chetu iyo miaka tulikuwa tukiiba mboga na pesa za video.

    • @lailajuma1018
      @lailajuma1018 2 ปีที่แล้ว +1

      Umenikumbusha mbali

    • @devothasimbi1055
      @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว

      @@lailajuma1018 nimeangua kicheko jamani ingawa sikuwahi kuiba mboga wala pesa za video

    • @jacksongeorge3964
      @jacksongeorge3964 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 kweli kabisa umenikunbusha mbali umesahau na hela za PULIZOO

    • @diamondplatnumz6274
      @diamondplatnumz6274 2 ปีที่แล้ว

      @@jacksongeorge3964 nakwambia achatu

  • @amanibwire4423
    @amanibwire4423 2 ปีที่แล้ว +1

    Huku njiro kuna vijana wanakuja na mapikipiki wanaiba kinguvu, kuna mshikaji alipigwa na kukatwa mapanga wakamkwapua sim na pesa

  • @lexcoupsbadcove5907
    @lexcoupsbadcove5907 2 ปีที่แล้ว +1

    R.i.p maniger arf asee

  • @answardmsagati3045
    @answardmsagati3045 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii tabia ipo wanakuja na pikipiki kwa mwendo mkali kama umeshika simu wainyakuwa jaman watt wadogo

  • @monikakimath3810
    @monikakimath3810 2 ปีที่แล้ว +2

    Wizi umerudi kwa spidi sana;tena kwa pikipiki da;cm yangu!

    • @kebaeltv
      @kebaeltv 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 acha bange

  • @sidearsenal666
    @sidearsenal666 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni wezi sawa tu hainaga huruma wacha wafe wanatusumbua sana

  • @ummuziana5723
    @ummuziana5723 2 ปีที่แล้ว

    Innali LLahi wainna illayhi rajiun

  • @andreadelson4878
    @andreadelson4878 2 ปีที่แล้ว

    Leeni watt wenu vzr so wanakuja kua na tabia za ovyo mm mwenyewe nimeibiwa na bado,, munashindwa kuwalea vizr munajua kuzaa tu

  • @user-pq1yn8yz7h
    @user-pq1yn8yz7h ปีที่แล้ว

    Wauwawe tuu maana hawana maana. Nachukia sana wezi

  • @kebaeltv
    @kebaeltv 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama juma mbona hashtuki

  • @pendoyese4452
    @pendoyese4452 2 ปีที่แล้ว

    Mmmm jamani hiyo njiro kunanini jamani

  • @jacknassari9258
    @jacknassari9258 2 ปีที่แล้ว +2

    Wezi wauliwe tu jamani walichonifanya Christmas Mungu ndo anajua

  • @adelakimario7945
    @adelakimario7945 2 ปีที่แล้ว

    Matukio ya wizi njiro yameongezeka Sana.Mimi sishangai Sana Hilo tukio.

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

    pole wafwa wote😭😭😭😭🤝🤝

  • @user-nz8wr5rx8g
    @user-nz8wr5rx8g 9 หลายเดือนก่อน

    Arusha jamani mbona Kuna jina nzur linavutia. Lakin Kuna mambo ya ajabu. Mungu awaponye wote wenye Tabia mbaya

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 ปีที่แล้ว

    WAZAZI WENGI ARUSHA MALEZI YA WATOTO YAMETUSHINDA, KWAKWELI NA UTAKUTA HATA WAZAZI WANACHUKUA VITU HARAMU WANAKULA WANAVAA MAOVU KUTOKA KWA WATOTO WAO.ARUSHA WANAPENDA SANA MAISHA YA TAMAA. MWENYEZI MUNGU ATUSAMEHE.

  • @queenmaeda1334
    @queenmaeda1334 2 ปีที่แล้ว +2

    Watoto wetu ni kuwakabithi tu kwa munguu

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 ปีที่แล้ว

    5

  • @givenlugenge2212
    @givenlugenge2212 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh huko njiro hadi 2mepakalil

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 7 หลายเดือนก่อน

    Kuna nini Arusha, Moshi na Kilimanjaro?

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama juma mbona mkavu hvyoo?au ndo yupo shocked?

  • @abdallahamir9234
    @abdallahamir9234 2 ปีที่แล้ว

    "Mara baada ya kudaiwa kuuwawa"
    Ndo lugha gani hiyo.

  • @monikakimath3810
    @monikakimath3810 2 ปีที่แล้ว

    Jana hapa kuna Dada kaibiwa da kwa namna hiyo hyo ya pikipiki;da

  • @fundiazamdstvstartimes6556
    @fundiazamdstvstartimes6556 2 ปีที่แล้ว +2

    Mngetakiwa mkishaua mchome kabisa Hawa vijana wanaiba vitu vidogo vidogo,,ua

  • @OBEDYMeshack
    @OBEDYMeshack ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว

    Jamani njiro wizi upo tena haswaaa hebu jaribu kukatiza maeneo ya nyuma ya 8 8 kuelekea Renea au Lemara utalizwa na hao hao 3mzuka na wanajulikana siyo siri wanavyuo ndo wanakabwa hatari

  • @deodatusnabaku6255
    @deodatusnabaku6255 2 ปีที่แล้ว

    Unamwitaaje mwanao Arnod?mambo mengne mnajitakia

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 2 ปีที่แล้ว

    Chuga kurikoni mwezi haushi salama bila matukio ya mauaji jamani!!poleni wafiwa

  • @mcmamayoyoo9822
    @mcmamayoyoo9822 2 ปีที่แล้ว

    Ndo uwizi ulioshamiri sana

  • @mkenyamzalendo254
    @mkenyamzalendo254 2 ปีที่แล้ว

    Arusha kunani Jamani??Mbona vituko vya ajabu Kila maraa??

  • @lisametta6116
    @lisametta6116 ปีที่แล้ว

    Huyo mama wapili ameongea ukweli awezi kumkania mwanae huongo, kiukweli vibaka wanakera sana

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 3 หลายเดือนก่อน

    Watoto tunajitahid sana kwa malezi ila magulupu nihatar wanafundishana maovu

  • @hamidaabdallahhamid9966
    @hamidaabdallahhamid9966 ปีที่แล้ว

    Ichi kifo kimetokea lini et jamani

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 2 ปีที่แล้ว

    mh. mh hapo njiro hapo

  • @idanyahmed8701
    @idanyahmed8701 2 ปีที่แล้ว

    Kiukweli me nikimkamata bmwizi na nikawa nauhakika kaiba simuonei huruma

  • @mickyiron308
    @mickyiron308 ปีที่แล้ว

    Boda boda wezi sana wahuni !!

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 2 ปีที่แล้ว +5

    Teni hi sheria wangeipitisha kabisa Tanzania akikamtwa mwizi Ni kuu kabisa Amna Cha mtoto mzee mtu mzima ua kabisa watu atutembei kwa raha bana

    • @mrh2812
      @mrh2812 2 ปีที่แล้ว +3

      Amri ya MUNGU inasema usiue je wew unapingana na MUNGU

    • @isihakajungu6658
      @isihakajungu6658 2 ปีที่แล้ว

      Je na wale wezi wa selikali ,,

    • @diamondplatnumz6274
      @diamondplatnumz6274 2 ปีที่แล้ว

      Yan Kama ujaibiwa fresh Sana ilaukiibiwa utajua inauma vip

  • @ibrahimjuma8766
    @ibrahimjuma8766 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo wameona wauanze mwaka kwa kuibia watu kwa bodaboda sioo!! moshi walinikwapua hivyo hivyo na wakanitukana eti mm fala😅 kumbe inawwzekana kabisa nao kukamatwa, sasa mwaka wote huu mmekwisha mjichimbie makabur kabisa suine..

  • @dullahshaaban728
    @dullahshaaban728 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo mzazi anapokuja kuambiwa kwamba mtoto wake ni mwizi anawafukuza na matusi juu mpaka pale litakapo tokea tukio la kuwawa ndipo anaanza kujuta.....✍️✍️✍️