Enock Jonas - Acha ni Vimbe (official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2024
- Yapo mambo mengi ambayo Yesu ametutendea kwenye maisha yetu lakini tunakuwa na roho ya uzito kuweza kushuhudia mbele za watu,
kupitia wimbo huu ukafanyike baraka kwenye maisha yako na kushuhudia mambo makuu uliyotendewa na Yesu bila hofu wala woga ili Jina la Yesu Kristo lipate kutukuzwa. - เพลง
Wale tunaovimba kwa ajili ya Mungu like zenu hapa
😂😂❤kweli kabisa kaka🤸🤸🤸Amina🤣🤣🤣
🙏🙏🙏👏👏👏🙌
Tupoooo
🎉🎉🎉❤
4:21 tuko hapa@@juliethashija4617
Acha nivimbe vile Mungu amenitendea hata kufika 2024 ni Mungu.
Nyimbo nzr saana my brother GOD BLESS YOU 🙌 🙏
Achanivimbee yesu niwaajabu sana
Jinsi Mungu alivyoniponya pale nilipokuwa naona nimefika mwisho na sikuwa naona nikipona kamwe, ,,Acha tu NIVIMBE💃💃💃❤
Vimba 😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina Acha nivimbe pale alipo waponya wanangu wakati wanaumwa vidonda vya kichwani
Amina baba mi navimba
Heri tu nibaki kuvimba na yesu...nice song 🎉🎉❤
Acha nivimbe na Mimi kama roboti kwenye movie kwa ajili ya Mungu!
Acha ninone,, nirefuke,kifua mbele,Mungu ametendea
Kuishi kwangu na ni kwa ajili ya kulindwa na mungu, acha nivimbe
A beautiful song, it has blessed my heart. If we must boast then we boast of Christ. 1 Corinthians 1:31.GOD bless you man of GOD for honouring your wife, always by your side. That's the way man of GOD. May the LORD continue to use you for His glory.
Acha nivimbe aki huyu yesu ndiyo jibu langu🙏🙏be blessed much love from kenya ❤
I'm proud of God because he has done me well, wacha tu nivimbe kwa Mungu.
Acha nivimbe!!!!!!!!! Najua alikonitoa mpaka kuniokoa mim, navimbaaaaaaaa
Amiina barikiwa Acha nivimbe kuishi kwangu ni mungu
Kaka anajuwa sana tunakuombeasana kwamungu navimbasana
Hooo unajuwa
Sisi watuwazima tunajuwa nyimbo achanivimbe
WIMBO mzuri sana kaka J ila imefifia kidogo lakini kanzi nzuri sana Barikiwe sana mtumishi wa Mungu...
Acha nivimbe!!!!!!! Najua alikonitoa na kuniokoa, navimbaaaaaaaaa!!!!!
Nyimbo nzuri sana mtumishi wa mungu❤❤❤❤❤❤
Acha nivimbe nampenda yesu
Nina vimba na Yesu hallelujah 🙌
Kaka anafanya vzur mung amuinue zaid
Amen acheni nivimbe jamani ni mungu kanitendea
Wacha nivimbe mungu amenitendea kunitoa theatre na kunipa nguvu mpya nashukuru mungu
Tuvimbe sisi sote kwa ajili ya neema ya Mungu..
Enock never disappoint...twakupeda sana humu Kenya ..... awesome song ❤
Jeuri yangu nikwa yesu tu.
Acha nivimbe ninae YESU moyoni mwangu. Ninalindwa, ninabarikiwa, ninaponywa, nimeinuliwa kiroho. Asante YESU wangu. Acha NIVIMBE. HONGERA MTUMISHI KWA WIMBO MZURI
❤❤❤🎉Ameni wacha nivimbe na muniache nivimbe wapi wale wakuvimba kwa ajili ya neema ya mungu
Acha nivimbe kwa uhai.nilionao 🙏🙏🙏🙏🙏
Shukrani sana kaka kwawimbo wako muzuri san nawupenda san kabis mwenyenz mungu akubariki usonge mbele kwakazi nzuri yauimbaji ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Wacha nivimbe kwa jina la Yesu, 🙏🙏
Wawoooh very nice and blessing song my brother Jonas.God bless you.❤
What the Lord has done in my life and my family it is a miracle,,ACHA nivimbe.....
God bless you my brother may God expand your ministry ❤❤❤❤❤
Kaka hongera hii inaitwa new 2024 tuta vimba sana Kwa kibabe ahsante mungu akubariki sana kwa ujumbe mzuri ahsante
Kaz mzuri sana ❤
God bless you man of God🥰🙏🙏🤲
The song is so amazing and the voice is always amazing ❤🎉
Much Love from Kenya🙏🙏🙏🙏
Jamaa anarudi sasa nawaapia
Mungu akubariki Sana Mtumishi
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Wimbo huu unatufanya tuvimbe tunapouanza mwaka. Safi sanaaa
Woow🎉this one is 🔥🔥🔥more Grace keep the spirit 🔥🙏
🎉🎉🎉🎉 Brother Yesu akutunze sana
Ubarikiwe sana hii ni ya moto sana imeenda
Mungu amenifanya Nivimbe ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
mimi pia navimba ndani ya yesu
Acha nivimbe kwa Raha zangu, kwani Mungu amenibatiki
I will never panic,i will ever be a warrior ,ever defeating not defeated
huu wimbo ni the best song 2024
wacha nivimbe Yesu ananitendea sifa heshima na utukufu ni kwako Yehova Ire barikiwa sana mtumishi Enock wimbo umenibariki mnoooo
🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
Yani umenikoshaaaaaaaaa from now navimba kwa kwendambele
Acha nivimbe mie nivimbie huku burundi 🇧🇮
Kiburi changu ni YESU acha nivimbe mieee.....asante YESU kwa yote
Waoo Nice song
Hongera Kwa kazi nzuri
2024 nataka kuvimba kabisa kwa jina Yesu...
Asante sanaaaa this song 🎵 I need it for my Son Mungu Asante 💪🏿💪🏿💪🏿🎶🎥🎵❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Weeeeeh! Acha nivimbeeeee na ninavimbaaaaasaa
Hata Mimi ndani ya Yesu navimba
Huku Kenya Kilifi county Mungu mwema pia pia😊
Waooo tuvimben jaman mungu huyu ni mungu wa kweliiiiii
Wanadamu ni wale wale ..Wacha niendelee kuvimba Kwa jina la yesu
Ndani ya Yesu nami navimba ....my all time song
Much love and more blessings 🙏
Mwana kumeli songela sana kwakuguliyaaa❤❤❤
Huu wimbo ni mkubwa utafika mbali
Coz amegusa maisha ya watu
Navimba na yesu amina
Wacha ni vimbe barikiwa kaka
Umetishaa sana boss
Ninavimb na yesu nyimbo nzur sana,hongera mtumishi wa MUNGU
A very lively and soul uplifting Masterpiece. Please do always remember that you have fans who don't understand your language.
Wacha nivimbe mungu amefanya
Navimba ninayesu tuuuu
Barikiwa sanaaa brother ngoma kaliiiii sanaaaa 🫶
Hallelujah acha nivimbe miee 🥰🥰🥰🥰
Wacha nivimbe kwa neema y Mungu amenipa uhai pamoja n familia yangu💪💪🙌🙌🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen amen barikiwa sana bro Wimbo umenigusa tunavimba man yesu ametutendea ❤❤❤❤❤
Kweli kabisa namshukuru huyu Mungu sitajibana maana Mungu amenitendea makubwa aaaah navimba pia mimi amenitendea Yesu
Just awesome and touching...keep up brother have listened ten times now
Acha nivmbe jamani uyu mungu achen ainte mungu jamani
Amazing...mwaka huu ni kuvimba tu ndani ya Yesu
Ubarikiwe san mtunishi mungu, ukainuliwe kw viwango vingn vya juu zaid,
I am leasining from Kenya,nice song,acha mm nivimbe na mungu wangu
Apewe Sifa na utikifu ni wake Bwana...
Great message....keep up the good work bro Jonas
Nimejikuta navimba 🙌🙌🙌🙌
Upo vzr enock wimbo unanigusa Sanaa,be blessed
Hogera sana bro maneno ya kweli ❤❤
Wow mung akuinue zaid nina vimba amen
Hongera shemela
❤❤hapo sawa
Sawa kaka mana wana damuuu kila utakalo fanya wana sema acha waseme tuuu sisi twasonga mbeli
Amen barikiwa Sana achanivimbe imenibariki Sana
Wacha nivimbe kwa jina la yesu,,,,hongera sana bro
😇👑👑👑 king of gospel song
Acha mm nivimba from 0yr hadi sahi acha niendele kuvimba na. Mungu wangu
Acha nivimbe kabisa kwa sababu Mungu ni mwema
Ninavimbaaa: Huyu Yesu ametenda. Acha nivimbe 😢
🔥 acha nivimbe
Boast of being with Jesus
Nam pya na mshukuru mungu kwakuninda ad sasa na mlele amenn