Waliodhani nitashidwa kulea my 2 girls after their dad’s demise, habari ziwafikie that my oldest girl ako University abroad. God is good 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
The powerful song..imenibariki sana.madui hii habari iwafikie walipo,yesu aninipigania bado naendelea..wakati bwanangu alikufa walisema mimi nimeisha sasa but Mungu wa mbinguni anakupigia Watoto wasoma bado tunaendelea kwa yesu..Amen and Amen.
Bailey mt wa mungu nakupenda sana mungu amefanya njia ya kusikia nyimbo zako ndizo zanisogeza kwa mungu baba vailet naomba no yako ya cm niko pamoja nawe kwa habari ya kulmlingana mungu ninayo ajenda kimya kwenda mbinguni kama wewe mungu akubariki kwa jina la yesu bwana na mokozi wa maisha yetu❤❤
Since today i'm down mentally and physically, as I keep on listening to this song my prayer is that Jehovah dissapoint those that are awaiting for my downfall😭😭🙏🙏
wanio niwazia mabaya kwa kweli habari za miwujiza ya Yesu iwafikiye kwamba Yesu ametupigania tuko hayi na tumesonga 🌧🌧🙏🙏🙏🙏🙏🙏30.04.2024.mwezi wa May naendeleya kubalikiwa double ×2
Listening to this very inspirational song...on May 17 ,2023, 2:15am. My sister Faith is admitted in the hospital. Waiting for God's visitation today.❤Am so encouraged.
@@langatronald4130 God did it for her. She is under home care and doing very well. To God be all glory. He is indeed Jehovah Rapha....He has the whole world in His hands.
It's a great song for the year 2023,it encourage me to continue depending on God. Mungu sio mwanadamu aseme uongo,Mimi bado Kwa Yesu. Yesu ananishindia yote,Amina.
Je suis tellement béni par cette chanson inspiré par Dieu, et je célèbre cette grande exceptionnelle, monte encore frère clovis, que les portes du succès puisse s'ouvrir au Nom précieux de Jésus christ que l'éternel Dieu vous amène encore très loin. Et que sa grâce vous accompagne toute au long de votre vie au Nom précieux de jésus christ. et qu'il vous donne la force et une capacité qui vous permettra de garder cette grâce merveilleuse.
I feel I'm blessed with this song,,,natamani nisije nikamkosea Mungu,,,God help me and the one who sung this song to be blessed and continue keeping on pple are being blessed
Iyi nyimbo imenigusa sana, this song reminds me of a narcissist so called uncle who once told me that I will end up bad and who wished me death. Today I live peacefully, i have a better job with decent pay, about to start my apprenticeship training, I'm healthy by God's grace and Have big plans for my future.
ninae yesu Mimi ndie mtetezi wangu ninaye yesu anayenipigania ninaye yesu Mimi ndie kimbilio langu ninaye yesu Mimi yeye ni msaada wangu katika vita yangu ananipiganiakatika magumu yangu anasimama na Mimi waliodhani nitakuwa habari ziwafikie waliodhani nitashindwa habari ziwafikie waliodhani sitainuka Tena habari ziwafikie waliodhani sitapona habari ziwafikie habari ziwafikie wowowooo Mimi Bado ohoo, Bado naendelea Taarifa ziwafikie Bado naendelea kwa yesu ninasonga mbele Bado naendelea waliodhani sitainuka baado naendelea, naendelea kubarikiwa Bado naendelea, naendelea kuinuliwa Bado naendelea,habari ziwafikie Bado naendelea,ninaye yesu jemedari Bado naendelea,watoto wangu wanasoma bado naendelea kama ni kazi nafanya Bado naendelea,ananisaidia Bwana Bado naendelea,ninaye Ebenezer Bado naendelea............(beat) Mungu soon mwanadamu hata aseme uongo ahadi zake ni kweli na neno lake ni kweli, anayoniwazia Mungu sio kama wanadamu,walinizika ningali hai kwa maneno yao wapo waliosema sitainuka Tena, wapo waliosema nimewachwa na Mungu,lakni mwaka Hadi mwaka ninauona wema wa Mungu,mwaka Hadi mwaka ninauona baraka zake sijaona kushindwa ninauona ushindi,walioniwazia mabaya habari ziwafikie,walioninenea mabaya habari ziwafikie Mimi Bado kwa Yesu bado naendelea oooh Mimi Bado wapendwa, Bado naendelea waambie hao maadui Bado naendelea,Yesu anakupigania Bado naendelea, Yesu anakushindia bado naendelea,Yesu anakutendea Bado naendelea watangazie wasikie bado naendelea,waliosema hutainuka Bado naendelea waliosema hutabarikiwa Bado naendelea,oooooh wambie Bado naendelea,waliosema hutasonga Bado naendelea,waliosema hutapona Bado naendelea, oooooh Yesu ananitetea Bado naendelea,oooh Yesu ananishindia Bado naendelea....
ASANTE MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI NA VITU VIOYE VIIIVIOMO WALIANINEA NIRUDISHWE NYUMA HAPA MALI PANGU PA KAZI HABARI ZIMEWAFIKIA BADO NAENDELEA KWA JINA LAKO TAKATIFU AMEN AMEN AMEN
Praise God nashukuru mungu kwa umbali amenitoa anaenda kunifungulia njia zangu anipatie ahadi zenye ameniahidia mungu akisema ndio hakuna wakupinga hallelujah thank you jesus my saviour 🙏
Waliodhani nitashidwa kulea my 2 girls after their dad’s demise, habari ziwafikie that my oldest girl ako University abroad. God is good 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
what a win... all thanks to the Almighty of His good deeds
Ooh God im now self employed with abig business habali ziwafikie wadui zangu
Mungu sio mwanadamu hata aseme uongo,walinizika ningali hai Haleluyaaa🙏🙏🙏mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
😂❤
Translate please
@@tawongamwase3266God is not human that He can lie,,,they buried me alive
Hakika habari ziwafikie ya kwamba YESU amenikumbuka na kuniinuwa kutoka chini na kuniketisha na wakuu, jina la Bwana ribarikiwe
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wasanii wa tz wanaomba nyimbo za kumsifu Mungu mbarikiwe sana wewe ukiwa mmoja wao natiwa nguvu sana na nyimbo zako. Neema zaidi
My fellow Kenyan we're in this together
Congratulations sana kazi nzuri sana huu Wimbo ni kama ulinitungia mie ni kama nilikupa ushuhuda ndipo ukanitungia hongera sana
Mungu wa huruma akupe nguvu katika uwezo wa roho mtakatifu
Hata mimi naona mungu anazidi kunipigania na familia yangu kwa jumla.Amen
Walinizika ningali hai kwa maneno yao. Walai habari ziwafikie, Jamani Ni Mungu tu! I'm alive today because of His grace the Almighty God ❤
Hallelujah he never fail
Hallelujah ❤❤
Have marcy lord upon us
k🎉
🙏🏻🙏🏻
Swahili is a nice language when you listen, even if you don't understand. Much love from Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Ameen mungu akubark sana ata ivyo mawazo ya mwanadamu n tofauti na ya mungu ❤❤❤munngu n mwema na atabaki kua mwema cku zote🎉
Nipo na yesu mm sitaogopa mabaya yyt barikiwa sana kaka
WALIOSEMA SITAFIKA MBALI HABARI ZIWAFIKIE. BAADO NAENDELEA MUNGU SIO MWANADAMU YESU AMENITENDEA . 🙏🙏
Mutoto wa Tanzania that's good , with me I don't understand that language but I see the presence of God 🙏🙏🙏🙏🙏
🎉🎉😊
Yesu ananishidia bado ninaendelea mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
mgan uyo
Ata mimi nayesu naedelea maadui mtanyamaza wimbo nzuri inanipa nguvu kuendelea kumwamini mungu ndiye mueza yote❤ i love the song
N xwa tu n maisha aki woi
amurwe
The powerful song..imenibariki sana.madui hii habari iwafikie walipo,yesu aninipigania bado naendelea..wakati bwanangu alikufa walisema mimi nimeisha sasa but Mungu wa mbinguni anakupigia Watoto wasoma bado tunaendelea kwa yesu..Amen and Amen.
Mungu yuko.watahaibika.Basabere Amaya nyasae akorende
Same here am going through hard times since my husband died 😢 but mungu bado ananipigania
Ubarikiwe na mungu🙏🙏🙏
Inaringana tu nayenye napitia Sasa Mungu anipiganie woiye wale maadui mbona Mungu akawaumba 😢
Enock
Mungu akona kila sababu usichoke kuomba Na hakiki utabaki kuwa mshindi
They are there to make you strong
Mwaka hadi mwaka naona wema wa yesu, mwaka hadi mwaka naona baraka zake, sijaona kushindwa...God bless you brother.
Amen Amen Amen
This song is very touching,I love it so much,endelea vivyo hivyo Enock Jonas,keep it up my brother
Praise God 🙏 nikweli Asante MUNGU kwa kumtoa mwanao Yesu kwa ajili yangu nasikia kushukuru Mungu sana amekuwa mtetezi wangu
Kiukweli mungu angekufanya kuwa yesu maana nyimbo zako zinagusa maisha ya kikao binadam mfno wewe ni nani ee! MUNGU bariki kazi ya mtumishi huyu
Jehovah Nisi
Jehovah Yahweh
Jehovah Adonai
Jehovah Shamma
Jehovah El-Gibo
Jehovah Jire
Jehovah Rapha
Jehovah Elohim
Jehovah Sabaoth
Jehovah King of kings
Jehovah Ebenezer
Jehovah Mungu
Jehovah Eloheka
------------------------------
Mulungu
Katunda
Ngai
Asis
Nyasaye
Enkai
jehova adonai
😂💪
🎉🎉🎉🎉walisema biashara yangu imeisha,wanipee mda,coming back soon with testimony
I love this song, it talks about me. Licha ya shida nyingi naendelea. Kwa Yesu sing'oki ng'o
Né pas mettre fin dans la vie. Vraiment maman. Parceque c'est Dieu qui connait vie de personnes. Pas toi mais Dieu seul connait vraiment fin.
Bado naendelea kwa kina la yesu,,,, walidhani ctainuka tn
Hakika Mungu sio mwanadamu,,,this song really builds me I keep listening on a daily basis 🎉🎉🎉🙏🙏
Am truly blessed with this song,madui zangu waskie vizuri
Habari ziwafike!!
Ukweli kabisaa nilidhikwa kama Ni ngali Hai,but Mungu Ni Nani bado naendelea tuu kuona Baraka zake,Huu wimbo unijenga kiimani sana
Walioninenea mabaya habari ziwafikie jamani!,,,,neema yake imeniweka hadi Leo.Amen
Bailey mt wa mungu nakupenda sana mungu amefanya njia ya kusikia nyimbo zako ndizo zanisogeza kwa mungu baba vailet naomba no yako ya cm niko pamoja nawe kwa habari ya kulmlingana mungu ninayo ajenda kimya kwenda mbinguni kama wewe mungu akubariki kwa jina la yesu bwana na mokozi wa maisha yetu❤❤
Since today i'm down mentally and physically, as I keep on listening to this song my prayer is that Jehovah dissapoint those that are awaiting for my downfall😭😭🙏🙏
So shall it be in Jesus Precious Name , Amen !!!
Waliodhani nitakufa habari ziwafikie waliodhani sitainuka.tena habari ziwafikie Amen 🙏🙏
Umeimba ma, umehubiri jina la Yesu litukuzwe. Nice song Bukusu woyeee
Huu wimbo unanitia moyo sana kufanya kazi ya nyumba Saudi Arabia sio rahisi may God bless you prophet
wanio niwazia mabaya kwa kweli habari za miwujiza ya Yesu iwafikiye kwamba Yesu ametupigania tuko hayi na tumesonga 🌧🌧🙏🙏🙏🙏🙏🙏30.04.2024.mwezi wa May naendeleya kubalikiwa double ×2
It's a good song hakika inanibariki wakati ninapo shidwa Ina nips nguvu,,,,,,,yesu ni mwema kila wakati
Listening to this very inspirational song...on May 17 ,2023, 2:15am. My sister Faith is admitted in the hospital. Waiting for God's visitation today.❤Am so encouraged.
Ooh LORD, I am still waiting for Your visitation. I know You will do it at Your own time.
It shall be well brother 😊
@@langatronald4130 God did it for her. She is under home care and doing very well. To God be all glory. He is indeed Jehovah Rapha....He has the whole world in His hands.
@@gideonkioko4072 Amen Glory to God she will be strong again to worship and thank the Lord.
@@langatronald4130 Amen amen.
Ninapenda sana nyimbo,huu naendelea na yesu from 🇲🇿
Nabarikiwa kupitia wimbo huu, Albertus toka Butembo
It's a great song for the year 2023,it encourage me to continue depending on God.
Mungu sio mwanadamu aseme uongo,Mimi bado Kwa Yesu.
Yesu ananishindia yote,Amina.
❤❤❤
Hakika Ndani ya yesu kuna Raha Nitakaa Ndani yake siku zote za maisha yangu❤❤❤❤
🎉❤
He deserves more than these views. This song is a blessing to many.
Sure, i expected more views than what is there now.
.Amen . From Tanzania
Sitasau mema ya Mungu mu maisha yangu tumuchezee Bwana Yesu asifiwe milele na milele.
ENock amen very powerful song amen may God bless you amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are wonderful God 🙏🙏🙏 amen ❤❤❤ amen ❤❤
When I come across this song I just be grateful because of my life bro keep it up amen amen 🙏
It's 2024, let's see who's listening to this masterpiece❤❤🎉🎉
Me heree
Lava
😊🎉😢😮😅😊😊😂
2025, am here❤🎉
Kabisa Bado naendelea kwa neema ya mungu,watujua hao si mungu na mungu sio mwanadamu
Ma fevorete song I will never get tired of this song I am a leaving testimony,🙏🙏🙏🙇🙇🙇💃💃
A
Je suis tellement béni par cette chanson inspiré par Dieu, et je célèbre cette grande exceptionnelle, monte encore frère clovis, que les portes du succès puisse s'ouvrir au Nom précieux de Jésus christ
que l'éternel Dieu vous amène encore très loin.
Et que sa grâce vous accompagne toute au long de votre vie au Nom précieux de jésus christ.
et qu'il vous donne la force et une capacité qui vous permettra de garder cette grâce merveilleuse.
This song decerves million and millions of views.🙏I love it 💯.Be blessed
Maadui yesu anazidi nishindia zaidi na huu n mwaka wa nuruu,mtakatifu ko ni moto juu ya moto mjue hilooo 2025
Munhu sio mwanadamu.
I feel I'm blessed with this song,,,natamani nisije nikamkosea Mungu,,,God help me and the one who sung this song to be blessed and continue keeping on pple are being blessed
Iyi nyimbo imenigusa sana, this song reminds me of a narcissist so called uncle who once told me that I will end up bad and who wished me death. Today I live peacefully, i have a better job with decent pay, about to start my apprenticeship training, I'm healthy by God's grace and Have big plans for my future.
Rehema 0:00 0:00
hallelujah hallelujah amen wonderful song may God continue to bless 🙏🙏🙏
ninae yesu Mimi ndie mtetezi wangu ninaye yesu anayenipigania ninaye yesu Mimi ndie kimbilio langu ninaye yesu Mimi yeye ni msaada wangu katika vita yangu ananipiganiakatika magumu yangu anasimama na Mimi
waliodhani nitakuwa habari ziwafikie waliodhani nitashindwa habari ziwafikie
waliodhani sitainuka Tena habari ziwafikie waliodhani sitapona habari ziwafikie habari ziwafikie wowowooo
Mimi Bado ohoo, Bado naendelea
Taarifa ziwafikie Bado naendelea
kwa yesu ninasonga mbele Bado naendelea waliodhani sitainuka baado naendelea, naendelea kubarikiwa Bado naendelea, naendelea kuinuliwa Bado naendelea,habari ziwafikie Bado naendelea,ninaye yesu jemedari Bado naendelea,watoto wangu wanasoma bado naendelea kama ni kazi nafanya Bado naendelea,ananisaidia Bwana Bado naendelea,ninaye Ebenezer Bado naendelea............(beat)
Mungu soon mwanadamu hata aseme uongo ahadi zake ni kweli na neno lake ni kweli, anayoniwazia Mungu sio kama wanadamu,walinizika ningali hai kwa maneno yao wapo waliosema sitainuka Tena, wapo waliosema nimewachwa na Mungu,lakni mwaka Hadi mwaka ninauona wema wa Mungu,mwaka Hadi mwaka ninauona baraka zake sijaona kushindwa ninauona ushindi,walioniwazia mabaya habari ziwafikie,walioninenea mabaya habari ziwafikie Mimi Bado kwa
Yesu bado naendelea oooh Mimi Bado wapendwa, Bado naendelea waambie hao maadui Bado naendelea,Yesu anakupigania Bado naendelea, Yesu anakushindia bado naendelea,Yesu anakutendea Bado naendelea watangazie wasikie bado naendelea,waliosema hutainuka Bado naendelea waliosema hutabarikiwa Bado naendelea,oooooh wambie Bado naendelea,waliosema hutasonga Bado naendelea,waliosema hutapona Bado naendelea, oooooh Yesu ananitetea Bado naendelea,oooh Yesu ananishindia Bado naendelea....
Thank you so much for uproudng I love you songs watching from Ugandan 🌹👍
From Canada barikiwa mtumishi wa Bwana . Hongera kwa worship time nzuri
You are beloved brother!!! Step forward, you are together with your God , I wish you more my @Enock Jonas,I love you More
Naendelea kabisaa wasionitakia mema nataka wajue hivo , I really love the song ❤
Ninaye yesu mimi anazimama nami 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakuka Mungu ni Mungu tuu anayezidi kunipigania sifa heshima na utukufu zimurudilie yeye tuu maishani mwangu.
Very nice and encouraging song, you are blessed brother
❤❤
This gospel 🎶 gives me more confidence about my future. Believing and trusting in Jesus Name. Amen and again Amen
Bonge la wimbo naupenda sana e🙏🙏🙏
Wameongea juu yangu sana naendelea bila msahada Yao Mungu asifiwe🎉🎉🎉
God forgive my sin and let me start a new life and clean me with😢😢😢😢 blood of God
Amina 🙏....bando naendelea. Asante Yesu kwa kusimama na mimi 🙏🙏....bando naendelea kubarikiwa 🙌🙌🙌...
Powerful one,,,this song teaches me much,,,it encourages me a lot🎉🎉
Georges from RDC, Kweli Mungu anatushindia kwa maneno Yako.Amen
the song reinforces my foundation and dependence on the 4th Man, Bro great work, God bless and empower you to spread His Gospel through your songs
Aliniambia Mimi kwani aliambiwa na nani
Huu wimbo umenibariki sana.Yesu ndio mambo yote
Walidhani wamenimaliza bado naendelea katika Jina la mungu
Mtumishi wa Mungu Enock unanibariki mnoo nakumbuka Yale mapinduzi ya wimbo ule Wema wa Mungu umenizunguka.
I will keep coming until this song gets to a million views
Daniel KHAEMBA
Jajaja
3.3 milion already kwakuwa yesu yu nasi🙏🙏🙏
Now 5M views
Huu wimbo uni bariki sana,mungu akujalie zaidi man of God
Qwel mungu ni mwaminivu
MUNGU akulinde na kukusaidia daima, unaimba kwa ujasiri na Imani sana , MUNGU asikuache daima🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Full-time inspiration, believe in the Lord. He has the power
Mungu akubalikisana lafiki yangu Jerome nime penda xana wimbo wako eenderea ivoivo mungu ata kubaliki amnn
Bado naedelea habari ziwafikie
ASANTE MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI NA VITU VIOYE VIIIVIOMO WALIANINEA NIRUDISHWE NYUMA HAPA MALI PANGU PA KAZI HABARI ZIMEWAFIKIA BADO NAENDELEA KWA JINA LAKO TAKATIFU AMEN AMEN AMEN
The love I have in this song is on another level. May God continue giving you more wisdom.
🙏🙏
Love it so much
Habari ziwafikie walidhani maisha itanishinda nirudi kwa boma lao lakini Mungu si mwanadamu
Whenever i listen to this song i gather more courage to soldier on.
Praise God nashukuru mungu kwa umbali amenitoa anaenda kunifungulia njia zangu anipatie ahadi zenye ameniahidia mungu akisema ndio hakuna wakupinga hallelujah thank you jesus my saviour 🙏
God bless you so much, your song is very encouraging
Mungu yupo usijali Bada hatakufungulia Jia Wacha watu waonge usikuwe Na wasiwasi Mungu akonawewe
Mungo sio mwanadamu ata waseme uwongo
Mungu naimani maaduyi zangu wame anguka,habari ziwafiyeeee.amen.
Amen,mungu kweli habari iZi zaendeleya kufikiya maaduyi zangu wote
God's blessings continue in your life 🙏🏻
Mwenyezi Mungu akupe nguvu nakuendelea kutuburudisha song zako madui zangu sikia🎉
Mwimbo mtamu sana
Tanzania is a blessed country, seems Mungu aliwahi tembelea kule, all songs are lit
The song is a blessing 🙏
Furaha ya maadui ilikuwa nishindwe lakini mungu wewe ni nani umeendelelea kunidumisha maadui uwape maisha marefu washuhudie baraka zangu
The way I like this song only God knows
Jonas Mungu akuinue zaidi akupeleke viwango vya juu zaidi 🙏🙏
Habari ziwafikie bd napumua na nazdi kuendelea by radi by force keep it up 👍
Bado naendelea in jesus name. Huu wimbo wanibariki tu sana
Mungu pigana na wanao pigana,wwe ndiye mwamba imara kwako nimejificha.🙏🙏