Shena niko online dating napambana pia nakutana na watu mbalimbali na wengine ni matapeli ila wengine wamenipa ahadi ya kuja tz.nasubiria ila pia naona naitaji kupiga picha nzuri😂😂😂😂
Mimi naona wazungu wengi wanazarau sana yaani najalibu kuchati nao naenda location napiga picha nzuri lkn hawana ushirikiano kabisa alafu wengi wanakuja wazee kuanzia miaka 55-78 lakini vijana kuanzia miaka 25-35 hawana ata mpango yaani watakagua profile mbaka so poa mm nimeenda mbaka kwenye daring ya Muslim wao hawana shida wanakuja lakini mimi kinachonishinda kuoa wake wengi kila nae chati nae ananiambia nikawe mke wa pili au watatu icho kitu sikiwezi lakini naomba Mungu niendelee kujitafuta naamini nikikosa ndoa naamini mm majuu ntaenda tuu yaani iwe mvua au jua kikubwa uzima naamini majuu ntaenda tuu naenda kuwa na Subra naamini kunanchi naweza kwenda nikiwa na passport ila ukishafika huko hapo unaweza gongewa viza ukifika airport mfano wa izo nchi kama Malaysia,singerpore n.k naamini ntafika inshallah 🤲
Watu wengine siyo wakweli kwa hiyo hawaamini kama hakuna waliyo wakweli! Wanadhani maelezo yanayopatikana online yanakuwa siyo ya kuaminika! Tubadilike na kujifunza kuwa waaminifu na kuweka taarifa sahihi kwenye profile kusudi kupata mwenza atakayekubaliana na hizo taarifa.
Kuhusu hao matapeli ktk dating matapeli WaPo kibao WaPo wana Nigeria hao ndio Matapeli wa mapenzi linaweka likaweka kichwa cha mwanamke kumbe janaume linakuambia nitumie kitu KIDOGO nikanunue labda nguo au nikasuke nywele nk nk kumbe NI jizi tu
Usikate tamaa kijana bcs life is not easily and is not like u want..so unaongeza experience yamaisha kwamana ndo unakuwa kwenye maisha utafika mbali kikubwa kupambana na ndoto zako
Na ndio tatizo kubwà wanawake wa Tanzania kwenye kujitambua kama tabyaa kwenye mahusiano na mwanaume kutoka njee kufikiria tabiya zitakuwa sawa natabiya zakibongo lazimaa ubadilike ,usiweke mawazo kudhani Dunia inafanana tabyaa kutakaa kuladhimiza afatee tabiya ya kkoo au manzesee mkawezanaa ,
Shena najifunza vingi kpitia wewe sema watu wengine ni watovu wa nidhamu pia jack Charles wa USA naye ananifikirisha vingi kijana anafunza pia anajitolea Hadi anagawa chakula kwa watu wasio na nakazi
Huwa nafuatilia channel ya Jack yuko vizuri sana. Hongereni sana kwa kazi zenu nzuri.
Umejibu vizuri sana . Kila mtu ana- mtazamo wake. Huwezi kuzuia mawazo ya binadamu.
You are so positive
Culture shock umesahau chakula jack😅😅😅😅😅, Allah akusaidie ufike mbali Hollywood. Kama Lupita kafika na ww Utafika tu In Shaa Allah
Hivi ni up gani hiyo umetumia jeff
The guy is very smart. Keep going kijana.
Da Shenna Upewe Mauwa Yako Jaman🎉🎉🎉🎉, Asante Kwa Kutuletea Jack
Kweli channel yake nzuri sana,usikate tamaa,mpaka ufikie ndoto yako ya kuwa mwingizaji wakimataifa tena mtanzania.
Msukuma wa kahama all the best my home boy
Nice interview da shena na kaka jack💐
Nice to have Jack from US here
Safi kabisa 🎉🎉🎉🎉
Jmn Shena ushungi unakupendeza balaa😂🎉
Kahama to the top
Huyu Dogo atafika mbali yuko smart sana🎉🎉
Namfuatilia huyu msukuma wa kahama yupo vizuri.
Msikate tamaa kazi yenu inamaua Leo leo
JACK NIMEMFATILIA KWA MUDA SANAA KANIINSIPIRE SANA
Uko date ipi mwamba
Jack wa usa namkubali sana
Shena niko online dating napambana pia nakutana na watu mbalimbali na wengine ni matapeli ila wengine wamenipa ahadi ya kuja tz.nasubiria ila pia naona naitaji kupiga picha nzuri😂😂😂😂
Dar na mimi nilimpata mmoja nishamaliza kila kitu anasema anakuja mwezi fulani mwaka huu sijui kwel😂 from uk
Tuendelee kusubiri.
Mimi naona wazungu wengi wanazarau sana yaani najalibu kuchati nao naenda location napiga picha nzuri lkn hawana ushirikiano kabisa alafu wengi wanakuja wazee kuanzia miaka 55-78 lakini vijana kuanzia miaka 25-35 hawana ata mpango yaani watakagua profile mbaka so poa mm nimeenda mbaka kwenye daring ya Muslim wao hawana shida wanakuja lakini mimi kinachonishinda kuoa wake wengi kila nae chati nae ananiambia nikawe mke wa pili au watatu icho kitu sikiwezi lakini naomba Mungu niendelee kujitafuta naamini nikikosa ndoa naamini mm majuu ntaenda tuu yaani iwe mvua au jua kikubwa uzima naamini majuu ntaenda tuu naenda kuwa na Subra naamini kunanchi naweza kwenda nikiwa na passport ila ukishafika huko hapo unaweza gongewa viza ukifika airport mfano wa izo nchi kama Malaysia,singerpore n.k naamini ntafika inshallah 🤲
In Shaa Allah kuwa na subira utampata tu
@Ayoub atakuja tu pray more
Uko vizuri
Jac namfatilia mda sana
naitwa meshack niko kahama nyasubi nakukubali sana kwaunachokifanya
Watu wengine siyo wakweli kwa hiyo hawaamini kama hakuna waliyo wakweli! Wanadhani maelezo yanayopatikana online yanakuwa siyo ya kuaminika! Tubadilike na kujifunza kuwa waaminifu na kuweka taarifa sahihi kwenye profile kusudi kupata mwenza atakayekubaliana na hizo taarifa.
Dogo utafika mbali unapambana🎉
Kuhusu hao matapeli ktk dating matapeli WaPo kibao WaPo wana Nigeria hao ndio Matapeli wa mapenzi linaweka likaweka kichwa cha mwanamke kumbe janaume linakuambia nitumie kitu KIDOGO nikanunue labda nguo au nikasuke nywele nk nk kumbe NI jizi tu
Best interview of all the time @shena @jackwaUSA❤❤❤❤❤❤❤
Ulaya pa ngumu watu wasikiria hela ni upepo ni kutoa jasho kweli kweli
Jack yuko vizuri sana
Very good interview
Usikate tamaa kijana bcs life is not easily and is not like u want..so unaongeza experience yamaisha kwamana ndo unakuwa kwenye maisha utafika mbali kikubwa kupambana na ndoto zako
Na ndio tatizo kubwà wanawake wa Tanzania kwenye kujitambua kama tabyaa kwenye mahusiano na mwanaume kutoka njee kufikiria tabiya zitakuwa sawa natabiya zakibongo lazimaa ubadilike ,usiweke mawazo kudhani Dunia inafanana tabyaa kutakaa kuladhimiza afatee tabiya ya kkoo au manzesee mkawezanaa ,
Shehna ❤❤
Ninamkubali kweli hasa anavyotuonyesha USA ilivyo
Beatrice kila MTU Ana passion yake. Niffer sio jack
Maneno mazuri 📌😍
Nimelike tyr..😊
Jack pambana bro ukiskiliza watu hutoboi
Kijana mdogo akili kubwa, keep it up utafika mbali
Jacky unatakiwa uanze kuwatafuta wasanii wakubwa utengeneze connection nao kwanza,hasa African American,kama wakina Will Smith,Joe Hatt nakadhalika
Mmmmmm
Unafikiri ni rahisi kama kukutana na bambo na kingwendu 😊😅
❤❤❤
❤❤ Shena
Hii wherever nini?
Mimi leo wakwanza au
Huyu dogo ni kanumba huyoo,ana maneno huyu hata kanumba hamfikii
Binafsi nilikuwa sijui kama Kuna homeless wengi kushinda afrika
Shena najifunza vingi kpitia wewe sema watu wengine ni watovu wa nidhamu pia jack Charles wa USA naye ananifikirisha vingi kijana anafunza pia anajitolea Hadi anagawa chakula kwa watu wasio na nakazi
🤝
naijua saaaana inanipa faraja inanipunguzia mawazo saana
nimejifunza
Kwani unafanyaje ili kujiunga? Maana Mimi nimeingia sehemu nyingine ila nime ambiwq nitumie elfu 20000
Wabongo kwa kutuambia nitafutie mzungu
😁😁 hatari
nakupendenisana wadogozangu tunaitaji kuwasiliana nanyinyi
🇹🇿👋👋👋👋
Nadhan usingekutumia brandname mfano "My swahili world" iwe ndio brand yako badala personal name
Naomba kuuliza shena vp ukioa pia mtu kutoka England unapata uraia moja kwa moja au kuna vigezo vingine tofauti
Uraia baada ya miaka 10
Germany je?
Mwana umeopoa nini tayari unasikilizia
Nani jack simela
Jack alafa nataka nikuulize wewe na jux nindugu mbona mnafanana
Dogo wakishua huyu
😂😂
Huyu dogo wa kishua huyu
Sana hajakulia kwenye shida tz
Amen not inshlah wewe n mtoto wa Yesu
Kumekucha 😁🤦🏾♀️
😂😂😂
@kevinmary Nabii Issa (as) Yesu hana mtoto katika ulimwengu
Ulienda china na kurudi Bora ungefanya tuu biashara saa hii ungekuwa bilionea Fulani kama kina niffer
Mhhh
Acha ujinga na akili finyu sasa niffer ndio unamtolea mfano kweli bongo bado sana
Kwaiyo niffer n billionaire ??
Hatuwezi kuwa wafanyabiashara wote lazima tufuate ndoto zetu
Kweli kabisa niffer hawezi kuwa mfano huyu nae kachelewa