Maisha ya Marekani: Miji midogo, kupata kazi, kufanya biashara na kufanikiwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Unapokuja Marekani, kuna miji midogo na miji mikubwa. Angalia upendacho na ufanyie kazi vizuri uweze kutimiza ndoto zako

ความคิดเห็น • 104

  • @IBRAHIMELSUBHY
    @IBRAHIMELSUBHY ปีที่แล้ว +13

    da barikiwa sana laiti waafrica wengi tungekuwa na moyo kama huu tungekuwa mbali sana hasa watanzania mtu akifika huko hataki hata umuulize swali lolote lile litakalomsaidia sijui tunafeli wapi....mungu akubariki sana kaka na naweka nadhiri nikipata hii DV nina zawadi yako kukuunga mkono

    • @omarisarai7699
      @omarisarai7699 ปีที่แล้ว

      Sana tu huo ni moyo wa kipekee kwa kweli

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huko wananchi wanafaidi kodi zao. Yaani mpaka vinjia za waenda kwa miguu vina lami. Huku kwetu serikali zetu ni za kiwiziwizi tupu. Hela za kodi hazitoi huduma za kijamii bali zinahudumia watu binafsi

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 2 หลายเดือนก่อน +1

    sas kaka nipe mawasiliano yako mm uwa na kafatilia sana mm drive wa truck nipo Tanzania ila na Fanya safar ya congo

  • @nasrinairi9556
    @nasrinairi9556 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu Akupe Maisha Marefu Bro.🫡

  • @AlexPetro-p2z
    @AlexPetro-p2z 9 หลายเดือนก่อน

    I feel happy to see Great place like that but I think I would like to be in America at the coming days,My thoughts😅😅 why there's no any American around on that environment?

  • @michaelkiama2638
    @michaelkiama2638 ปีที่แล้ว

    Tuenoesheee vile mtuuu hutengeneza CV ya kuomba kaziii ya uko USA

  • @pilitanzania1420
    @pilitanzania1420 8 หลายเดือนก่อน

    Dear kaka mi mzima habari za kazi
    Nipo Mozambique nafanya kazi ya welding napenda sana kama tapata opportunities ya kufanya kazi USA

  • @eliakimhaonga73
    @eliakimhaonga73 5 หลายเดือนก่อน

    Mkuu nielekeze jinsi ya kufanya kupata hiyo green card?

  • @margaretkaranja1864
    @margaretkaranja1864 ปีที่แล้ว

    And if you marry a person with a kid after the application

  • @ayubujosiah
    @ayubujosiah 2 หลายเดือนก่อน

    EBM hakika Mungu akubariki sana kwa moyo wako wa upendo kwa fursa ya kuja Marekani

  • @chizylove9290
    @chizylove9290 11 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi nikishinda green card ningependa uwe host wangu

  • @SadiNassib
    @SadiNassib ปีที่แล้ว

    Kwani una apply vipi io green card maana wengine tuko oman huku tunapambana shida tupu

  • @HassanZakayo
    @HassanZakayo 4 หลายเดือนก่อน

    kaka mi nimekuelewa una moyo utu mm nataka kuuliza namna kupata hiyo greene card

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 ปีที่แล้ว

    kama uku ww ni Askar wa fire ukipata dv unaweza fanya kaz hio hio ya fire uko USA?

  • @AlexMesha
    @AlexMesha 10 หลายเดือนก่อน

    Nimecheza mwaka huu naamini nitashinda nipo chini Qatar

  • @kwizeramo-white6086
    @kwizeramo-white6086 10 หลายเดือนก่อน

    Hi 👋🇧🇮🇧🇮👌👌

  • @SadockKyokyo-fu2nn
    @SadockKyokyo-fu2nn 8 หลายเดือนก่อน

    Kikweli kama watu wangekuwa kama we hata kumi tx tusingelia ugumu wa maisha

  • @ranayuhase1405
    @ranayuhase1405 ปีที่แล้ว

    Kaka mie nahitaji kufanya kazi huko za ndani nipe conection

  • @veronicaoyuga8726
    @veronicaoyuga8726 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo ukifika uko unatafuta kazi mwenyewe?

  • @MasolaFarm
    @MasolaFarm 9 หลายเดือนก่อน

    Je kwenye intavyu unawaza kutumia kiswaili

  • @samuelndungu3969
    @samuelndungu3969 ปีที่แล้ว +3

    EBM you are doing a great stuff for all especially East Africa Community keep it up brother

  • @samuelbayizere1712
    @samuelbayizere1712 ปีที่แล้ว +2

    Naitwa Sammuel from Rwanda uko na roho nzuri God bless you dream🇺🇸🇺🇸🇺🇸🙏🙏

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 ปีที่แล้ว +1

    Je huko belton hakuna watu wahalifu au magenge ya kihalofu kama miji mingine

  • @ranayuhase1405
    @ranayuhase1405 ปีที่แล้ว

    EBM nisaidie nipate kazi za ndani huko pls

  • @MasolaFarm
    @MasolaFarm 9 หลายเดือนก่อน

    Sawa ebm

  • @gorbywilliam2617
    @gorbywilliam2617 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama mazingira yana upweke sana.

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 ปีที่แล้ว +1

    Biashara naweza kufanya tatizo langu English kwangu. Ndio changamoto kubwa uku natumia kialabutu nilaisi kuliko lugha ya wazungu

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland ปีที่แล้ว

    Sijaona hata mtu akitembea uko jamani duuuu

  • @samuelmbaga1557
    @samuelmbaga1557 3 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mwezi wa sita, je umesha kuja tz kwa mkutano

  • @goddkito646
    @goddkito646 ปีที่แล้ว

    Barabara za huko mbona zimpasukapasuka sana...!?

  • @mteimanway9035
    @mteimanway9035 8 หลายเดือนก่อน

    Ur doing a great job kaka

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland ปีที่แล้ว

    Kaka vipi mm nae sajili siwezi pata kazi

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs 8 หลายเดือนก่อน

    Nimependa unavo tu explen

  • @MasolaFarm
    @MasolaFarm 9 หลายเดือนก่อน

    Unatupa sana elimu ebm

  • @MasolaFarm
    @MasolaFarm 9 หลายเดือนก่อน

    Ebm unatupa elimu sana

  • @SadockKyokyo-fu2nn
    @SadockKyokyo-fu2nn 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana kaka am on the way

  • @BakariKombo-cj5iu
    @BakariKombo-cj5iu 10 หลายเดือนก่อน

    Mkuu ni vipi ukiwa umezaa na mwanamke lkn hujamuoa Kihalali kumaanisha huna certificate je kwenye hiyo form hiyo sehemu ya marital status utajaza vipi kaka

  • @gollanpeter4718
    @gollanpeter4718 ปีที่แล้ว

    Tunakuja Mkuu

  • @AliceAkinyi-u8d
    @AliceAkinyi-u8d 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @elogevyizigiro1157
    @elogevyizigiro1157 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka.

  • @INSSUMA
    @INSSUMA ปีที่แล้ว +1

    Nafaidika saana kweny hii live shukran saana kaka EBM

  • @nathanielkheri1880
    @nathanielkheri1880 ปีที่แล้ว +1

    Kutoka Qatar, hii video imenitia motisha kaka imepangika pia sio Bure kwa Mola atakulipia.

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 ปีที่แล้ว +2

    Kaka EBM asante kwa upendo wako mungu azidi kukubariki

  • @maulidkamundi6095
    @maulidkamundi6095 ปีที่แล้ว +1

    Maeneo hayo Kuna msikiti

  • @flaziaisack4038
    @flaziaisack4038 ปีที่แล้ว +1

    Bro.. Niliskia huko marekani mtu huruhusiwi kuwa na kabustani kako wala kupanda miti nyumbani kwako ila kwa kibali maalum.. Je ni kweli?

  • @michaelmpamwa5772
    @michaelmpamwa5772 11 หลายเดือนก่อน

    vipi kuhusu kama watoto wamezaliwa nchi nyingine lakini wanapassport ya Tanzania inakuwaje

  • @kingkadharz77
    @kingkadharz77 ปีที่แล้ว +1

    Nice EBM, you are doing great, if I win I would love to move there.

  • @planet102tv6
    @planet102tv6 ปีที่แล้ว +1

    God bless you 🙏 ❤️ for being different from other guys

  • @mwinjilistigodvoicemshanga
    @mwinjilistigodvoicemshanga ปีที่แล้ว +1

    Kaka EBM nakupenda Bure kaka

  • @rashidsalumu8129
    @rashidsalumu8129 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali EBM unatupa taarifa sahihi unafaa ugombee ubunge kigoma

  • @sosteneslutambi4524
    @sosteneslutambi4524 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki uko vizuri sana.Naitwa Sostenes tulikutana Zanzibar

  • @KamungaMukinayi
    @KamungaMukinayi ปีที่แล้ว

    Habari yako Coach, mimi ni Alex baliba from Tanzania, nimekuwa nauliza ivi
    Kama Mtu iko na mke na mtoto ataeza kujaza aje kwenye form ili kuwajulisha naomba majibu please Nisaidie sana

  • @peterkinyua5399
    @peterkinyua5399 ปีที่แล้ว

    My Lord this place looks lonely!.. I wouldnt seek such a life,

  • @danstanmgaya1251
    @danstanmgaya1251 ปีที่แล้ว

    Nimesoma leo instructions za DV lottery aisee mambo ni magumu kwa ambao wame ishia form four au diploma hawa ruhusiwi kuomba dv

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 11 หลายเดือนก่อน

    Leo umenifurahisha sana kwenye live yako kwa msemo uliyonipa...MUACHE YESU AFE NA WAFUWASI WAKE huu msemo Mungu akipenda pindi tukija kuonana mwaka wowote Mungu akipenda lazima nikukumbushie

  • @FlyingDoctor-cx9sj
    @FlyingDoctor-cx9sj ปีที่แล้ว

    Ok nimekupata EBM,kwahio namba ikiwa kubwa unaweza fanya usaili octobar 2024?

  • @afriusfamily74
    @afriusfamily74 ปีที่แล้ว +1

    Here watching 😊

  • @habibarnabas
    @habibarnabas ปีที่แล้ว

    Habar kaka za kazi hongera Sana Kwa kazi nzuri unayoifanya ... samahani kaka Mimi ni mfanyakaxi Serikali Nina uzoefu wa miaka Saba na Nina elimu ya high level samahani na Mimi naruhusiwa kuomba green card lottery ... ?

  • @valentinoraymond7659
    @valentinoraymond7659 ปีที่แล้ว

    Green card lottery naona ni maisha ya kubahatisha tu, muhimu tutafutie ma agency tutoe pesa tuingie kwa uhakika tu

  • @zuhurakhamisi328
    @zuhurakhamisi328 ปีที่แล้ว

    Naomba kuliza kaka..ukija kwa mualiko unaweza kufanya hizo kazi umetuonesha?

  • @AlexMesha
    @AlexMesha 10 หลายเดือนก่อน

    Binafsi nakkubali sana kaka Ebm umenipeleka kwenye ndoto yangu kubwa ya kuwa mkazi wa kudum wa taiga teule la mauretania

  • @adellahchipanyanga5107
    @adellahchipanyanga5107 ปีที่แล้ว

    Kaka je naweza kuja kusoma elim ya secondary huko na je ipo shule ya bei rahisi tafadhali

  • @mudybomeza574
    @mudybomeza574 11 หลายเดือนก่อน

    tuko pamoja bro EBM mungu akubariki maana unatupa madini yakutosha hususani cc wenye ndoto ya kuja marekani

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +1

    EBM, Una moyo wa kusaidia wengi

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele ปีที่แล้ว

    UNAFANYA KAZI NZURI SANA NA UNA ROHO NZURI SANA, INGEKUWA AMRI YAKO UNGETULETA WOTE MAREKANI

  • @rihilajuma6740
    @rihilajuma6740 ปีที่แล้ว

    Sasa kama sisi ambao hatuna elimu lakini tunandoto za kuishi marekani tunapita mlango gani

  • @alexndabatinya7953
    @alexndabatinya7953 ปีที่แล้ว

    Asante kwa video nzuri mkuu. Video nyingine uongelee kuhusu police clearance kwa Tanzania embassy. Huwa inaulizwa?

  • @Voyageurapprenant
    @Voyageurapprenant ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa content hiyi,Ila Nina ombi,kama itawezekana ,utu fanyie vidéos ya kazi ya trucking uko Missouri kama ina lipa ngapi

  • @faridamagori8355
    @faridamagori8355 ปีที่แล้ว

    Case number kubwa inaanzia namba ngapi kaka EBM?

  • @gollanpeter4718
    @gollanpeter4718 ปีที่แล้ว

    Brother Mungu akuweke Sana unatungulia njia aisee amuna mtu kama we ambaye amewah kutokea kufanya kitu kama hiki

  • @mukhtarally5819
    @mukhtarally5819 ปีที่แล้ว

    Wew ata kama you have put 30000 no matter coz unatufungua akili sana baba

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 ปีที่แล้ว

    Ongera. Kaka kwa kazimzuri ningekua lugha ya wazungu ningekuambia naminaitaji nifikeuko ila ndoto yangu imeishia apa. Oman Nina miaka mitano apa najua kiarabutu

    • @justiniddi
      @justiniddi ปีที่แล้ว

      Kikubwa ni wewe kuamua ruga cyo kikwazo jifuze iyorugha kwani shingap kk

  • @nzigiyimpainnocent8738
    @nzigiyimpainnocent8738 ปีที่แล้ว

    Thanks for the informations ,ila mimi kwa sasa naishi Zambia. But I'm originally from BURUNDI. Na nilisha panga kwanba kama nitashinda dv 2024, interview yangu Nifanyie Tanzania.
    vip sasa kuhusu Medical exams??? Na yenyewe itakua ni Tanzania au BURUNDI??

    • @sibomanakevin124
      @sibomanakevin124 ปีที่แล้ว

      Same to me I live in Zambia I m Burundian

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele ปีที่แล้ว

    NIKIJA HUKO KWA NJIA YOYOTE ILE NITAKUTAFUTA HATA TUPATE KAHAWA TU PAMOJA

  • @adellahchipanyanga5107
    @adellahchipanyanga5107 ปีที่แล้ว

    Na inawezekana nikija nasoma huku nikijifanyia ka kazi kadogo kwa kujipatia riziki

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 ปีที่แล้ว

    Nimegundua huko hukuti mtu barabarani aidha utaona magari tu tofauti na bongo barabarani unakutana na watu wengi

  • @dafrosakomba7504
    @dafrosakomba7504 10 หลายเดือนก่อน

    Thanks so much E B M

  • @questAfrica
    @questAfrica ปีที่แล้ว

    Inakuaje kama mume akishinda green card na mke akashinda pia green card?

  • @JohnMbugua-kr2vk
    @JohnMbugua-kr2vk ปีที่แล้ว

    EBM Mola azidi kukubariki kwa ajili ya kujitolea kutupa information kwa uwazi.

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 ปีที่แล้ว

    Goodtour👏🏿👏🏿👏🏿
    .
    🇹🇿

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 ปีที่แล้ว

    Taratibuzao za kupata. Ajila ningum. Sana adi aliesomatu kufikia dipurma Sisi tunajua kiswairi atuwezikufika

    • @justiniddi
      @justiniddi ปีที่แล้ว

      Wapo wengi wanafanya kaz na awana elim ya diproma kikubwa omba mungu tu weka nia kwani auna kipaji chochote au uzoefu wa kazi yoyote

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 ปีที่แล้ว

      @@justiniddi Nina weza KAZI zandani au kupika na. Usafiwa mazingila KAZI yashamba pia naweza ndio fani nilizonazo ata. Uku. Oman. Nafanya izo KAZI ninamiaka sita. Sasa

  • @kelvinochuka
    @kelvinochuka ปีที่แล้ว

    Mi Mkenya ubarikiwe

  • @beatricejames-ss9sx
    @beatricejames-ss9sx ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka kwa elimu

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv ปีที่แล้ว

    Kwamfano ukija Kwa mwariko unaweza kufanya kazi.

  • @jessicamboya8763
    @jessicamboya8763 ปีที่แล้ว

    Kwani Lottery nyingine ni mwaka ngani tena ili tuweze kujiandikisha

  • @isaacmaluki2705
    @isaacmaluki2705 ปีที่แล้ว

    I love the country my dreams will come true

  • @agnesmaina9662
    @agnesmaina9662 ปีที่แล้ว

    Hospitals ziko wapi?

  • @sosteneslutambi4524
    @sosteneslutambi4524 ปีที่แล้ว

    Swali je kama umefanikiwa green card nilazima watoto na mke mje nao pamoja?

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele ปีที่แล้ว

      Siyo lazima lakini ni vizuri mnaenda Pamoja Kama wanataka KURUDI WARUDI baadae baadae ya kupata Green Card

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 ปีที่แล้ว

    # EBM

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 ปีที่แล้ว

    good job kaka EBM

  • @husseinhashimu1590
    @husseinhashimu1590 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri kaka

  • @Wayne111
    @Wayne111 ปีที่แล้ว

    Asante❤sana kaka

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe 🙏

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele ปีที่แล้ว

    UKIOA BAADA YA KUSHINDA AIKUBALIKI

  • @rashidsalumu8129
    @rashidsalumu8129 ปีที่แล้ว

    Nakubali EBM unatupa taarifa sahihi unafaa ugombee ubunge kigoma

  • @trueone_tz
    @trueone_tz ปีที่แล้ว

    Unafundisha na kufungua sana watu kaka big up 🤝