Mtaa wa Matajiri na Watu Maarufu Tu- BEL-AIR, Los Angeles

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ย. 2023
  • Nilienda kutembelea mtaa maarufu huku California uitwao Bel-Air. Ukitazama video hii utaweza kuona jinsi mazingira yalivyo na shughuli ambazo watu hufanya wakiwa maeneo hayo.
    Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
    My previous video;
    • Hua napenda kuenjoy na...
    🔸FOLLOW ME ON;
    INSTAGRAM: / jacchalz
    TikTok: www.tiktok.com/@officialjackw...
    My Other Channel: / @jackchalz
    #jackwausa #california #belair

ความคิดเห็น • 777

  • @jackwausa
    @jackwausa  10 หลายเดือนก่อน +10

    Please SUPPORT me by joining here;
    patreon.com/JackWaUSA

    • @HansFlever-lg7cw
      @HansFlever-lg7cw 10 หลายเดือนก่อน

      Selemani natoka Daa posta mtaa wa Samora

  • @athanaschacha.9424
    @athanaschacha.9424 10 หลายเดือนก่อน +9

    Nimegundua kwamba utajiri mkubwa wa hapo ni umiliki wa ardhi, kumbe huku kwetu tuna utajiri mkubwa sana, maana watu wanamiliki ardhi bila kujua umuhimu wake. Naangalia kutoka kahama 🇹🇿

  • @kenydope2582
    @kenydope2582 11 หลายเดือนก่อน +7

    Watching from Dodoma, Tanzania.🇹🇿 Sikupingi, natamani siku moja nione uko mitaa ya silcon valley.

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 11 หลายเดือนก่อน +21

    Daah kuzuri sana mazingira ni mazuri miti mingi asante kwa kutupeleka marekani bila viza😁

    • @user-bq7be4ou6b
      @user-bq7be4ou6b 11 หลายเดือนก่อน

      Mimi Niko mueda sunbiji muda wowote nafuwatilia!🎉

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana!

    • @hebronnjaghi
      @hebronnjaghi 10 หลายเดือนก่อน +1

      it a nice place natqmqni hats mimi kuwa happy siku moja c uniconnect hapo❤ m Hebron from Kenya Taita taveta

  • @maximilianludovick5407
    @maximilianludovick5407 11 หลายเดือนก่อน +9

    Manyara KITETO. One of the warm blooded fans of yours.

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน +1

      One love!

  • @ElisioVicenteMadimba
    @ElisioVicenteMadimba 11 หลายเดือนก่อน +7

    Umenifikisha Bel Air kwa simu yangu, kiukweli nimependa video hi.

  • @user-nb2zv2kp5q
    @user-nb2zv2kp5q 11 หลายเดือนก่อน +14

    Watching from Nairobi 🇰🇪 Dope!

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน +2

      Kenya!!!✌🏾

  • @douglasmongo6969
    @douglasmongo6969 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka hii ni kazi Safi Sana, Belea iko Safi Sana mtaa umetulia. Mimi Niko Qatar Doha kikazi but natokea Kenya Mombasa

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 11 หลายเดือนก่อน +19

    Great videos man. Take care of yourself man kwenye mitaa ya matajiri kama hii hasa ukiwa mweusi. Maana 🇺🇸 matajiri wengi 🔫 zao hazilali.
    Watching from Seattle, WA

    • @flyGoflove
      @flyGoflove 10 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😂 uko mablaki ndo wengi

  • @moseskariuki6461
    @moseskariuki6461 11 หลายเดือนก่อน +5

    Great video,chunga kaka usipoteze maisha yako Bure, risky sana ukiwa mweusi huko, Nairobi, Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @uniqtraveller2162
    @uniqtraveller2162 11 หลายเดือนก่อน +12

    Nakucheki nikiwa kazuramimba kigoma hapa!! Kazi nzuri mno kaka! Tupeleke na Pacific Palisades kule pamoja na New Port beach

    • @bakarially253
      @bakarially253 11 หลายเดือนก่อน

      MAMBO VIPI DOGO NAKUOMBA UKIPATA TIME UNACHECK MUHIMU SANA

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน +1

      Naenda Newport beach soon. Fuatilia video zinazofuata

  • @soweto05
    @soweto05 11 หลายเดือนก่อน +8

    Nakufatilia sana Niko kigoma Tanzania

  • @mallowmduhu4933
    @mallowmduhu4933 11 หลายเดือนก่อน +8

    Oya Jack tuko pamoja sana, tunakukubali sana kwa kazi yako ya kutufikisha Yues 🇺🇸 kwa bila nauli. Nipo Mwanza, Ukerewe Island ❤

  • @shithyomar3828
    @shithyomar3828 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nakucheki mzee wa kahama nikiwa manguzi South Africa salute

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana

    • @bastartaito7416
      @bastartaito7416 11 หลายเดือนก่อน

      Yah sho 😊

  • @amenyemwansile6919
    @amenyemwansile6919 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli mzungu ni mzungu tuu mazingira mazuri ajabu naangalia hii picha kutoka green city mbeya tz

    • @jacksonmbonea7411
      @jacksonmbonea7411 11 หลายเดือนก่อน

      Mbona sioni hata gardener,tuombee kazi huko

    • @user-fh8lv3sf9b
      @user-fh8lv3sf9b 10 หลายเดือนก่อน

      Mambo vip

    • @user-fh8lv3sf9b
      @user-fh8lv3sf9b 10 หลายเดือนก่อน

      Vip michongo kuna issues gani uko zamaana unitafutie viza kutembea ni kujua mengi

  • @challagundlavenkatesh8878
    @challagundlavenkatesh8878 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana,kweli mazingira maziri sana,hapo oxygen yakutosha kabisa,
    Kutoka Zakhem Mbagala hapa-Dar es Salaam

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Wafikishie salamu!

  • @jemaarsen6996
    @jemaarsen6996 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nakufuatilia nikiwa sigunga kigoma nakukubari sana brother jack one day nitakuja Marekani

  • @allenk7491
    @allenk7491 11 หลายเดือนก่อน +1

    Natazama live kutoka kampala! Kazi nzuri sana Jack wa Tz!! Keep it up bro, we appreciate the great work you do.

  • @MomadeAndurabe-ip5ek
    @MomadeAndurabe-ip5ek 10 หลายเดือนก่อน +3

    Amazing from Mozambique 🇲🇿

  • @mabalarobert1767
    @mabalarobert1767 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali sana kaz zako za kujitoa Kwa moyo Moja anaamini ipo sku utatimiza ulichokipanga

  • @jameswahu1302
    @jameswahu1302 11 หลายเดือนก่อน +4

    Good job Jack Nairobi Kenya

  • @emmanuelnsimba
    @emmanuelnsimba 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri jack,unatufumbua mambo mengi,nakucheki toka tabora tanzania

  • @kakamkuu5383
    @kakamkuu5383 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kijana kwa kujiamini huwa najisikia fahari sana nikiona mtu mweusi kama mimi wa kutoka Iringa naye anatoka Kahama siyo Dar Arusha Mwanza wala Kilimanjaro hongera brother unatumia vizuri shule

  • @user-bb5zy3de7r
    @user-bb5zy3de7r 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana jack kwa kazi unayo yifanya,mie niko kigali rwanda asante

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe we ni home boy kabsa. (Kahama) hongera sana kwa ujasil ulionao bro

  • @barakayusuph4617
    @barakayusuph4617 7 หลายเดือนก่อน +1

    nmeuona mtaa wa rick ross..it's so amazing..thanks mr jack❤❤

  • @HamimAbedi-ff5sk
    @HamimAbedi-ff5sk 11 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi nzur Jack waTZ 🇹🇿 we are proud of you me nilikuwa naombi moja one day tuandalie content kuhusu ulemchezo wa WIPE OUT mshindi huwa anapata dollars 💵 elf50 it’s a lot of money 💰

  • @joackimmutulu
    @joackimmutulu 11 หลายเดือนก่อน +5

    Keep up the good work!

  • @djamaelzafisoa
    @djamaelzafisoa 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nakufatlia sana Niko Comoros 🇰🇲🇰🇲💪

  • @wizjones3746
    @wizjones3746 11 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah hatar San 🔥 Watu na maisha Yao bhna

  • @user-mm4kp9fc8g
    @user-mm4kp9fc8g 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mr, uko vizuri endelea kutujuza kutoka Marekani, naangalia kutokaMwanza.Tupele tukacheki mjengo wa Roman Rings.

  • @adolpheniyonkuru2201
    @adolpheniyonkuru2201 10 หลายเดือนก่อน +2

    From Bujumbura we love u🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @DavidLucas-ou7vp
    @DavidLucas-ou7vp 11 หลายเดือนก่อน +1

    Welcome back bro❤❤

  • @mpigadaud4180
    @mpigadaud4180 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hii video naitazama nikiwa pande za bija mpola kahama mwanetu tunakupa salute saana

    • @jackwausa
      @jackwausa  5 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana

  • @diagfinamix1861
    @diagfinamix1861 11 หลายเดือนก่อน +2

    Eti tuna ma diaspora huko ugaibuni dah! Huu kijana namkubali kwa hii show kabisa . Na kufuata nipo Bujumbura Burundi mzee. Kazi ya kinyamwezi bro. Ebu tutaftie badhi ya ma stars wanao julikana ki mataifa kama itawezekana.

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      ✌🏾

  • @ElidebeliMashine-kj1jp
    @ElidebeliMashine-kj1jp 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaka mpya nilikuwa church nakula sebene ,vib lilikuwa la kutosha.

  • @yahyanassor9237
    @yahyanassor9237 10 หลายเดือนก่อน

    Hey brother nimepanda hiyo location ya sehmu ilivyo mm nipo zanziber

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja jack natazama hii video nipo makubusho Dr 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @edwinfelix6298
    @edwinfelix6298 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nipo Mozambique semu nruri Sana nimeipenda kazi nzuri

  • @kelvinkangomba9590
    @kelvinkangomba9590 11 หลายเดือนก่อน +3

    Unafanya kazi nzuri sana Jack

  • @joshuamwakijungu9517
    @joshuamwakijungu9517 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana jack . Iko powa sana

  • @Dekingalba
    @Dekingalba 11 หลายเดือนก่อน +2

    Oy hii video Natizama nikiwa Zanzibar...🎉

  • @nassarliongo6993
    @nassarliongo6993 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nakucheck nipo bariadi hapa uoto wa asili wa eneo langu kama huko

  • @shakurusaid5301
    @shakurusaid5301 11 หลายเดือนก่อน +1

    Big up ma boy 🔥🔥. Ii ni nyasubi one home boy

  • @clementinekambe8044
    @clementinekambe8044 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wonderful job 👍

  • @emmanuelnsimba
    @emmanuelnsimba 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana,mazingira wametunza vizuri.

  • @user-np9wp4vo6m
    @user-np9wp4vo6m 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mhhh! Mwenzangu nyumba ni hizhiz za bongo semaa maadhari ya garden yanavutia sana ndo utofauti uliopo

  • @awadhally1052
    @awadhally1052 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ebana mkali wangu naichek nikiwa dar.slm Tanzania.

  • @noelypavementblocks6033
    @noelypavementblocks6033 11 หลายเดือนก่อน

    nakupata jack, kazi nzuri, naitazama hii video nikiwa dodoma

  • @saidjuma-zk7ud
    @saidjuma-zk7ud 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio nafuatilia video zako Niko Zanzibar endelea kutupa taarifa tunafurahia mno kiongozi

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana naitazama kutoka Iringa

  • @didiniyo1063
    @didiniyo1063 11 หลายเดือนก่อน +2

    Am burundian stey Zambia tunakufwata 100%

  • @bestman8182
    @bestman8182 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hao jamaa wapo deadly expensive. Hapa East Africa bado maisha ya kifahari yana bei rahisi. I once visited Kenya nikalala what they called the most expensive hotel in Nairobi lkn kulala nikilipa 12k na glass ya wine for 700😅. 😅 🇹🇿🇹🇿

    • @jackwausa
      @jackwausa  6 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @prot6liv981
    @prot6liv981 10 หลายเดือนก่อน +1

    I feel like I know California kama mwenyeji juu yako 🇰🇪

  • @fishwear391
    @fishwear391 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naikubali sana kazi yako kakangu
    Natizama kutokea Nairobi , Kenya

  • @stivinrobert9536
    @stivinrobert9536 11 หลายเดือนก่อน +1

    From Kilimanjaro, Tz... nawaza unatembea mitaa haina watu dah any way good job bro

  • @michaelmbwanna1197
    @michaelmbwanna1197 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jack kitengo unyama sana blood🎉🎉✍️🇹🇿🥂

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      ✌🏾

  • @shabanimnape
    @shabanimnape 11 หลายเดือนก่อน

    Nice,mazingira mazuri sana jamaa wako na uthubutu ,Tandahimba mtwara ndipo nilipo

  • @hamadhamis9763
    @hamadhamis9763 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mi nakupata vzur Sana mwanangu nipo kahama

  • @jamesmakona6083
    @jamesmakona6083 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahia video zako sana. Najihisi nikiwa marekani ijapokuwa sijawahi fika huko

    • @OmariSalum-dw3so
      @OmariSalum-dw3so 11 หลายเดือนก่อน

      Npo jonsbagy

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana!

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nyumba kama zetu TZ tu ila kilichotuzidi ni bustani na miundombinu ya barabara Iko Bora kuliko ya kwetu

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mm nipo tabata segerea ilala chini ya gereza la segerea dar es salaam ,nimejifunza.

  • @kaltumahamid7892
    @kaltumahamid7892 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo ni nyumba za kawaida sana ata kenya zipo ni vile tu gharama zao ni tofauti na huku kenya coz huku ni Africa

  • @chinamichael3340
    @chinamichael3340 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka nakuchek nikiwa Igoma Mwanza,kaz nzuri.

  • @mylesgibs4372
    @mylesgibs4372 11 หลายเดือนก่อน +1

    Niko Kenya 🇰🇪 your biggest fan from kisii

  • @MkuziSaha-ll6ex
    @MkuziSaha-ll6ex 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi swafi,napenda kazi zako

  • @PHILTV10
    @PHILTV10 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana bro kutupeleka sehemu Nzuri.kama hiyo.niko bujumbura burundi

  • @thomaskiagati8843
    @thomaskiagati8843 11 หลายเดือนก่อน +2

    Watching from pwani Tanzania

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakufatilia kutokea kipande cha kakola kahama, big up bro

  • @user-no1ow9ti1p
    @user-no1ow9ti1p 11 หลายเดือนก่อน +1

    Natazama nikiwa zangu dar es salaam kazi nzuri sana brother

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana!

    • @sospeteralex378
      @sospeteralex378 11 หลายเดือนก่อน

      Kazi nzuri kaka

  • @HansFlever-lg7cw
    @HansFlever-lg7cw 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo VIP Jack Wa USA Kwa jina naitwa Selemani tunakupenda sana unavyo elimisha mzee

  • @NiyorukundoDieudonne-qk9yp
    @NiyorukundoDieudonne-qk9yp 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nakucheki kutoka Burundi bro hua nakufuatilia sana tu

  • @Timothymchomi
    @Timothymchomi 11 หลายเดือนก่อน

    watching from Mwanza nakukubali sana bro nataman na mm siku moja nifike huko 🇺🇸!!!

  • @isaacashel3328
    @isaacashel3328 11 หลายเดือนก่อน +1

    Niko masaki naitazama kweli nyumba pambe😊

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 11 หลายเดือนก่อน

    Great job, Jack, I'm watching from Sumbawanga.

  • @japhethlugwisha7921
    @japhethlugwisha7921 10 หลายเดือนก่อน

    Mzee nakucheki nikiwa Kahama nyumbani dah! unyama mwingi sana mzee baba endelea kutujuza.

  • @linussaid9612
    @linussaid9612 11 หลายเดือนก่อน +1

    baba asaente sana kutuonyesha mitaa ila nyumba za kaida tuu tofauti ni price bongo kuna nyumba kali tuu kushinda hizo nakuzoom nikiwa chasimba tegeta dsm tz.

  • @sadikiballack1631
    @sadikiballack1631 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umetembea Kaka pole kabisa kazi yako ngum keep up😅

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Shukrani

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo vipi jack hii video naitazama nikiwa rock city mwanza-Tanzania

  • @rashidsaidi6184
    @rashidsaidi6184 11 หลายเดือนก่อน +1

    BEL AIR,, noma naicheck toka m/nyamala tanzania,, umetisha JACK

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana. Wafikishie salamu huko
      M/Nyamala

  • @Dice_KE
    @Dice_KE 11 หลายเดือนก่อน +1

    Man that parking lot to belair hotel 🔥🔥

  • @binzid9046
    @binzid9046 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nice video from Zanzibar 🤗❤️

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Thanks for watching!

    • @binzid9046
      @binzid9046 11 หลายเดือนก่อน

      Everyday must l looking your video nakukubali sn broo adi nawashawish watu wazidi kusubcribe kukufuatilia cos hauna baya broo jack❤

  • @mpetaamarijani2656
    @mpetaamarijani2656 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nipo mwanza ila ahsante Kwa kutupeleka huko kupitia mb zangu

  • @user-vp6cf3wj5z
    @user-vp6cf3wj5z 5 หลายเดือนก่อน +2

    Naitazama video nikiwa mbezi dar es salaam hua nakufatilia sana kaka

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um 10 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 👏

  • @Burning-ru7ht
    @Burning-ru7ht 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naikubali Mzee baba love from Kenya.

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana +254🇰🇪

  • @nahimjumanne8188
    @nahimjumanne8188 11 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana 🤝 Kijana Kazi Nzuli Jack Khm 🇹🇿

  • @davidosindi9094
    @davidosindi9094 11 หลายเดือนก่อน +2

    Keep it up,from Nairobi Kenya.

  • @rashidsaidi6184
    @rashidsaidi6184 11 หลายเดือนก่อน +1

    jack wa u s a nakuangalia nikiwa m/nyamala tanzania umetisha mzee,

  • @erickpaul7161
    @erickpaul7161 11 หลายเดือนก่อน +1

    Brother jack nimepaelewa sana apo mazingila mazur kwel niushuwan cyo poa nachik video hii nikiwa mwanza

  • @user-rr8ei1ro2f
    @user-rr8ei1ro2f 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri

  • @MensonSichinga-rs3mg
    @MensonSichinga-rs3mg 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huanaogopa sana ukiwa unatembea na camera hawakuogipi kama unachukua sili fulanikwao

  • @jumandaba503
    @jumandaba503 10 หลายเดือนก่อน +1

    From Sengerema,tunakufatilia sana br Asante kwa kazi nzuri

  • @luvalesindani8460
    @luvalesindani8460 10 หลายเดือนก่อน

    Kitale - Kenya
    Kitale - Kenya
    Kitale - Kenya
    Kitale - Kenya
    Nakutambua kwa sana kaka na naipenda kazi yako.

  • @noelypavementblocks6033
    @noelypavementblocks6033 11 หลายเดือนก่อน

    hahahaha nimeipenda hiyo, sijaona nnzi hata mmoja.

  • @lymondmande4422
    @lymondmande4422 11 หลายเดือนก่อน

    Broo Jack I really appreciate ur work but samahan naomba kuulizaa huku Tanzania pesa ndogo sana kwa sasa n sh 50 na kubwa zaid ni elf 10,000 how about huko???. And last question mshahara mdgo zaid kwa mtu kulipwa huko anaefanya kaz za kawaida kama ualimu na kadharika n sh ngap kwa mwez?? Thanks one love man from kahama Tanzania we really enjoy ur podcast man ur really hero

  • @allyabdallah8534
    @allyabdallah8534 11 หลายเดือนก่อน +1

    Powa Sana my bro,mw mungu akubariki

    • @jackwausa
      @jackwausa  11 หลายเดือนก่อน

      Asante na Amina

  • @barakasangana4735
    @barakasangana4735 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nipe stori mwanangu unafaidi life tu huko

  • @LucyNyambura-lg9dj
    @LucyNyambura-lg9dj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Watching from Nairobi Kenya ❤❤❤

  • @georgemuigai7427
    @georgemuigai7427 11 หลายเดือนก่อน +2

    Video nzuri sana,nipo jiji la MBEYA