ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MAKONDA AKASIRIKA, ATOA MAFUTA YA KUPAMBANA NA WEZI WA ARUSHA "TUTALAUMIANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @nahlaaasidee1848
    @nahlaaasidee1848 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mh Makonda Allah akulinde dhidi ya wabaya katika juhudi zako za kujitoa kwa ajili ya wananchi wenzako, huo ndo uzalendo na ubunifu wa uongozi,...wananchi tumuunge mkono Mh Makonda ktk harakati zake kwa kweli anajitoa kwa ajili ya wananchi wenzake...
    Kwa kweli Mola akulinde, tupo pamoja na ww mheshimiwa.

  • @Innocentnyika-ml5tr
    @Innocentnyika-ml5tr 23 วันที่ผ่านมา +5

    Safi you are more than leader

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 23 วันที่ผ่านมา +4

    Makonda Allahu Akuhifadhi wewe na Family yako

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 23 วันที่ผ่านมา +4

    Makonda Mbunifu sanaaaaaaa ila kua na Subra ya kufika mbali Utanikumbuka ❤❤❤❤❤❤

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 23 วันที่ผ่านมา +1

      Unamaana anaharaka kufika mbali au mbona sielewi 🤔🤔🤔

    • @salimsoyo8118
      @salimsoyo8118 22 วันที่ผ่านมา

      ,,😂😂😂😂😂😂😂​@@user-nb6yh2bn9y

  • @user-qg3nu1kv2n
    @user-qg3nu1kv2n 23 วันที่ผ่านมา +5

    Umetoa mafuta mengi sana mkuu toa lita 100 tu kwa wananchi wenye hasira kali utakuwa umeokoa mafuta mengi sana

    • @ms123ru
      @ms123ru 23 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂 daah kaka

  • @RubenMmassy
    @RubenMmassy 21 วันที่ผ่านมา

    Mhe. Paul Makonda hongera sana kwa kuanzisha hilo zoezi la kutoa mafuta na vitendea kazi kama magari na pikipiki kwa ajili ya kukomesha zoezi la wizi

  • @PeterMichael-ks4jw
    @PeterMichael-ks4jw 23 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana makonda kazi nzuri

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 23 วันที่ผ่านมา +6

    Wanapigaga konyagi ya kupima usiku mkuu chai watatapika

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 23 วันที่ผ่านมา +4

    Mm kwa kwel nasema kutoka moyon CCM mpen nafac makonda ambayo atatugusa watanzania wotee hata ya uwazir mkubwa nabbaadae ikiwezekana kwa mapenz ya mungu aiongoz Tanzania

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 23 วันที่ผ่านมา +2

    Arusha mpo vizuri

  • @user-yc3hb9wl6b
    @user-yc3hb9wl6b 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu Makonda mpe awe rais wa nchi Mungu naomba mpe nafasi hiyo

  • @user-js7lr8vr9i
    @user-js7lr8vr9i 23 วันที่ผ่านมา +1

    Pamoja sana bingwa 👊

  • @hbdina
    @hbdina 23 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂Makonda watu weusi tuige mfano wa Kiongozi huyu kwa moyo wa dhati anahudumia taifa la Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

    • @hbdina
      @hbdina 22 วันที่ผ่านมา

      Kwanini viongozi weusi wasiwe kama Makonda?Nchi za Kiafrica zingekuwa mbali kiuchumi na maendeleo ya jamii kiujumla

  • @GervasiMwacha
    @GervasiMwacha 22 วันที่ผ่านมา +2

    Haya sasa. Na kahawa ya usiku mtapata pigeni kazi wakuu.

  • @hassanmkono1563
    @hassanmkono1563 22 วันที่ผ่านมา

    Well said broo

  • @nickmkude7571
    @nickmkude7571 23 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda ananikumbusha historia ya Yusuph alivyokuaga mbunifu kuitoa kwenye njaa nchi ya misri

  • @user-xw3kj6dt7p
    @user-xw3kj6dt7p 22 วันที่ผ่านมา

    Mmmh wewe ni mfano wa kuigwa upo vizuri sana barikiwa sana

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 23 วันที่ผ่านมา +3

    Mkuu mm naamin utatoa ila wana tabia yakusema hawana mafuta yan hiyo haikwepeki hiyo ni tabia yao hapo wataoiga salut sana ila kwenye utekelezaji mh

  • @yessesamsom961
    @yessesamsom961 22 วันที่ผ่านมา

    Safi sana kamanda makonda ila la zisda? Ni huu usafiri wa Costa zinazoenda moshi kutoka arusha upakuani wake sio mzuri siti ziko nne 4 ila aburia wanafisiwa wake watano haifai mkuu tunaomba ilikemee hilo tafadhali sana kwaujumla hata zinazoenda kikatiti nikitokea arusha mjini na zo ni hivyohivyo tunaomba ilikemee hilo tafadhali sana tuko pamoja mkuu wetu.

  • @Franco_carlo25
    @Franco_carlo25 22 วันที่ผ่านมา

    Nilidhani ni mafuta ya kuwachomea wezi😂😂😂😂

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 23 วันที่ผ่านมา +3

    Mmmh dogo ww, kongole,ni.mbunifu sana. Endelea kuna nuru mbele yako.

  • @dingadinga6674
    @dingadinga6674 21 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo 23 วันที่ผ่านมา +2

    Wawekewe nakupigwa picha kwenye vituo vya mafuta

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 23 วันที่ผ่านมา +2

    Usalama ukishakaa vizuri ingia kwa wakulima wapate pembejeo wazalishe vya kutosha. Nani kama wewe? Hakuna!!

  • @kolumanialoyce4623
    @kolumanialoyce4623 22 วันที่ผ่านมา

    mkuu wangu wa mkoa MUNGU yupo
    pamoja na wewe fanya kazi tupo pamoja

  • @GiftAyo-s9e
    @GiftAyo-s9e 22 วันที่ผ่านมา

    Tunamshukuru mama kwa kutupa uyu kiumbe jamn

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 23 วันที่ผ่านมา +2

    Wizara husika mpoo

  • @aguumoppao15
    @aguumoppao15 22 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 22 วันที่ผ่านมา

    Nikweli selikali inaweza kasa mafuta, hii ni mbinu za kisiasa,kutishya watu polis wanafeli makonda anazalilisha jeshi mafuta ni aibu

  • @cosein
    @cosein 23 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye kahawa ni htr sana

  • @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
    @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 22 วันที่ผ่านมา

    President poul makonda

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mitano tena

  • @paulolmabu7161
    @paulolmabu7161 19 วันที่ผ่านมา

    Kuna wakati unatamani baadhi ya matamko ya Makonda yatimizwe na mikoa yote

  • @NeemaNjera-ho6ln
    @NeemaNjera-ho6ln 23 วันที่ผ่านมา +1

    Hao.polisi.wenyewe.waizi.

  • @aloyztv8434
    @aloyztv8434 21 วันที่ผ่านมา

    Safi sana ila sasa katabia ka kusema tuchangie kataisha hauuu???

  • @DM_15
    @DM_15 23 วันที่ผ่านมา +1

    Safisana

  • @feysalramadhan8541
    @feysalramadhan8541 23 วันที่ผ่านมา

    Eye ndo mwekit wa usalama mkoa..ivo lazima atengeze usalama wakutosha kwenye mkoa wake,,aman ikiwemo laia hufanya kaz vzur ..binadam mda mwngne tusibeze kilaktu .

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 22 วันที่ผ่านมา

    Mafuta yatauzwa hayo sio mda na watendaji waovu unao humo humo,,,, tena washatafuta wateja vile tu ulivyowaambia

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 23 วันที่ผ่านมา

    Yani makonda bn kila sem akipita anaacha alama Yani kapewa mkoa anafanya kazi kweli kama kapewa nchi sasa akipewa nchi sibalaa iyo

  • @ukweli255
    @ukweli255 23 วันที่ผ่านมา +4

    Kuna Ubaya Gani hili Taifa Likapata viongozi Jasiri na wenye Maono tu...Hasa kutoka Kanda ya Ziwa
    Fikiria John Heche Rais wa Tanzania halafu Paulo Makonda Waziri Mkuu🤠

  • @ShamsiKasoma-fn4cl
    @ShamsiKasoma-fn4cl 22 วันที่ผ่านมา

    kuna mtu anasema msomi halafu maarifa hana ili jamaa hata lisingeenda shule hata darasa mmoja kwa kaz hz ni zaidi ya msoma piga kaz kaka

  • @dizzosukariyaoSukariyao
    @dizzosukariyaoSukariyao 22 วันที่ผ่านมา

    Hiii Millard ayo. Niyakinafki Mambo ya CHADEMA hairushi achaaaaa roho mbayaaa u jamaa

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 20 วันที่ผ่านมา

      Ushaona chadema wanahudumia wananchi wacha siasa

    • @dizzosukariyaoSukariyao
      @dizzosukariyaoSukariyao 20 วันที่ผ่านมา

      @@AllyMaya-yj3xdKwan u umeudumiwa unavyo sema Chadema aiudumii wananchii 🤣 unafel

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 23 วันที่ผ่านมา

    Watayauza yote hayo mafuta

    • @msafiriomary893
      @msafiriomary893 23 วันที่ผ่านมา

      Hapo Sasa wanainchi mjiandae kubambikizwa kesi hro diri kwa polis wamepata

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 23 วันที่ผ่านมา

    JWTZ unaiingizaje huku?

    • @salvatoryboniface1089
      @salvatoryboniface1089 22 วันที่ผ่านมา

      Kwani ndo nn wasiingizwe huko? Shda ni nn kwa mtazamo wako

    • @celestinermantenga2463
      @celestinermantenga2463 22 วันที่ผ่านมา

      @@salvatoryboniface1089 hao JWTZ lazima wawepo wezi wengine wana mbinu za Al-shabab lazima wakutane na hiyo kubwa yake JWTZ.

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 23 วันที่ผ่านมา +1

    Lakini ujue hiyo siyo yako,ni kazi ya wizara ya mambo ya ndani.Wewe fikiria kwa nini kuna wizi na ukomeshe umasikini wa wananchi masikini wasio na kipato.
    Hata uwape mapipa ya mafuta
    kama hujui namna ya kuondoa umasikini ni bure.
    Ni bahati mbaya sana kuwa na viongozi wasiojali wanyonge.
    Halafu hayo mafuta unayodai mpaka Mungu aseme basi 😂,kwani ni mvua?

    • @user-id6xo9td6k
      @user-id6xo9td6k 23 วันที่ผ่านมา +1

      Unashangaza sana

    • @AleiHadji-js3ed
      @AleiHadji-js3ed 23 วันที่ผ่านมา

      Wacha Choyo 😢😢😢😢

    • @KevinJamesVictor-os5xd
      @KevinJamesVictor-os5xd 23 วันที่ผ่านมา +1

      Kwn ukiwa maskini ndo ufanye uhalifu? Makonda tunakuombea sn bro pga kzi

    • @florianhenry7198
      @florianhenry7198 23 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe kibaka nn umasikin anawezaje kumuondoa kwako usipofanya kazi na kulindiwa Mali zako Kwa usalama ??

    • @salvatoryboniface1089
      @salvatoryboniface1089 22 วันที่ผ่านมา

      Sawa hyo cyo yake nahc itakuwa y'ako,,,uvunjifu wa Amani unapotokea katika mkoa anaewajibika ni wizara cndyo😂😂 kweli Akili ni nywele

  • @robertngowi9228
    @robertngowi9228 23 วันที่ผ่านมา +1

    Vibaka wanachomwa kila leo mh usiwalee hao wanaojiita wadudu futa kabisa huo ujinga wa wadudu watakuangusha mh

    • @tanzanianpatriotic3532
      @tanzanianpatriotic3532 23 วันที่ผ่านมา

      Sio wote niwahalifu mkuu,japo ndani Yao Kuna wahalifu.