VIDEO: WANANCHI WAMTAKA MUSHI AONDOKE ARUSHA,ANASINGIZIA WATOTO WAKE WAMEBAKWA ILI APATE MILIONI 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 127

  • @udazakikoti3419
    @udazakikoti3419 ปีที่แล้ว +12

    Huyu watoto wake kawatia mimba mwenyewe, ila anajificha kwa kuwasingizia watu kwa kukwepa aibu

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 ปีที่แล้ว +9

    Arusha kuna tatizo kubwa la kiroho,Vituko haviishi,ukatili na mauaji.

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 ปีที่แล้ว +11

    Mama yao hayupo, huyu baba anawageuza watoto wake kuwa wake zake. Wawabane hao mabinti watasema.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Funjeni chungu akafie mbali awezekani mnaka mnamfuga huyo mpumbafu hapo

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mzee ni msenge sana

  • @JulithapouloJulithapoulo-st9ih
    @JulithapouloJulithapoulo-st9ih ปีที่แล้ว +8

    Baba anakaa Na watoto Wa kike bila Mama yawezekana baba amewapa wanawe mimba alaf anasingizia majiran maan shetani yupo kazin

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 17 วันที่ผ่านมา

    Huyo alie fungwa jela achiwe jamani sio vizuri 😢😢wamwachie haja kesi jaman JUSTICE FOR JACKIE

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 ปีที่แล้ว +4

    Na watabakwa maisha Yao yote kama ni kweli anasingizia ni mbaya sana ,,yaani watabakwa kweli maisha Yao yote hawataami 😅😅😅 familia ya ovyo sana

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 ปีที่แล้ว +5

    Kuna DNA watoto wakizaliwa wapimwe, kwa sababu ukweli anaujua huyo baba mabinti na mtuhumiwa na kama wanaweza kuwa na ujauzito basi ni wanajitambua, wahojiwe ukweli ujulikane,

  • @user-eb3sr5wi5v
    @user-eb3sr5wi5v ปีที่แล้ว +1

    Sio vizur,,,,,jaman fanyen haki,na mungu ataweka wepes ktk shughul zenu za maisha ya kila siku

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 ปีที่แล้ว +4

    Huyo baba atakuwa amewapa mimba wanae anashindwa hata kujielezea

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 ปีที่แล้ว +5

    Sijui nieleze au chap chap 😂😂

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 23 วันที่ผ่านมา

    Kuna kijana amefungwa kama utani Kwa mambo kama haya, anamtumia binti yake kujiingizia fedha kijana wa watu ameshahukumiwa miaka 30, ila Mungu atamsimamia tunaamini, maskini hana haki

  • @testarguy8609
    @testarguy8609 ปีที่แล้ว +4

    Eleza tu isiwe chap chap bhana aaiisseee mama wa kijana

  • @idrisapetto3234
    @idrisapetto3234 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana ndugu zangu

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 ปีที่แล้ว +2

    DNA ndo itasema.kweli maana huyo bwana Mushi ni mkorofi na atatafuta pesa kwa kuwatumia watoto wake wa kike. Solutiwananchi muuweni maana amekuwa tishio na amefunga Vijana wa Watu bila hatia

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nachooona uyo mama anapambaniwa na wananchinkwakua anapesa 😂😂ila huyonmzeee anasaidiwa na serikali hapo moto utawaka na swala lakubaka cyo lakumtetea mtu kisa yupo smart nilakuacha uchunguz ufanyike

  • @idrisapetto3234
    @idrisapetto3234 ปีที่แล้ว +2

    Sijui huyu mzee anaongea nini hata sielewi kabisa

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo watoto wako wana mimba ndiyo ukawabambikize watu wengine kesi wafungwe bila makosa,huo ni uzembe wako na mke wako kutengana,sheria ichukue mkondo wake.

  • @hazard7157
    @hazard7157 หลายเดือนก่อน

    Jack akirudi kwenye huo mtaa ata waheshimu xana hao wananchi sijui atawaangakiaje wamemsaidia😊😊😊

  • @noelkaale5952
    @noelkaale5952 ปีที่แล้ว +3

    Jamani hizi Sheria za nchi yetu ni zaaina gani inakuwaje mtu asingiziwe kubaka alafu hata mtoto hajazaliwa afanyiwe DNA idhibitishwe ni kweli mimba ni ya mbakaji mtu anafungwa maisha mbona watu wanacheza na maisha ya watoto wawatu hii nchi kwa sasa inataka katiba mpya mama angalia idara ya mahakama rushwa na ufisadi vimetanda huko watoto wa maskini wanafia huko kwa kukosa haki

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 11 หลายเดือนก่อน

      Hujajua kwamba mahakimu wa mchongo na matabibu wa michongo ndo wanaotamba kwa sasa !!

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +4

    Watoto wanafundishwa na babayao wawatege wanaume mjini shule

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 ปีที่แล้ว +1

    hao watoto wapimwe DNA, Huyu baba mwenyewe akili zake haziko sawa,

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani duniya imefika ukingoni sikuizi kubaka imekua ni dili ukiwa na mtoto imekua ni dili lakini mungu yupo

  • @isackeliphas690
    @isackeliphas690 ปีที่แล้ว +1

    Serikali ya mama iko macho itawasaidia afu kumbe huu msemo ni wa kweli ( every problem is an opportunity)

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 ปีที่แล้ว

    Arusha ooyeee

  • @rodasanga1312
    @rodasanga1312 ปีที่แล้ว +3

    Hizo mimba ni za kwako wewe baba

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 11 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa hapo sio kumfukuza kijijini! Ni kukataa au kuzuia watoto wenu kwenda kwa mtu yoyote! Watoto wakae nyumbani na mtoto wako akitoka ana safari maalmu na sio kwenda kwenye mji wa mtu! Afu inakuaje watotp wake tu ndo wanabakwa mtaa mzima?

  • @norahazan796
    @norahazan796 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba usikute ujauzito ni wake alikuwa anawala kimyakimya

  • @aminaamina9568
    @aminaamina9568 ปีที่แล้ว

    Subuhanna Allah 😭

  • @pendo8082
    @pendo8082 หลายเดือนก่อน

    Huyu baba anawatumia watt wake ili apate pesa na usikute huo ujauzito wa watt wake labda ni yy ndio kawajaza mimba

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 ปีที่แล้ว +1

    🤪🤪🤪🤪 jamaaa kageukia mayai yake noma sanaaaa

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu หลายเดือนก่อน

    Umeona sasa nawambiaga wengi waliopo jela wamesingiziwa usione mtu anasema mtoto wake amebakwa sengi wao ni waongo

  • @user-eb3sr5wi5v
    @user-eb3sr5wi5v ปีที่แล้ว +1

    Noel anauchungu mno,,,nikwel katiba mpya ni muhim sana ,,watu maskin wanateseka mno,jaman jaman,

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 ปีที่แล้ว

    Ww ndio umewatimimba ww hapo kwann hukai na mkeo ww pumbavu zakao👍👍👍👍👈👈👈👈

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂wa tz washa Fanya uchunguzi na umeshakamilika mimba za baba

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 หลายเดือนก่อน

      @@RahimaMct-ik8mr😂😂😂😂😂

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 ปีที่แล้ว

    Kwann asingiziwe kubak , subirn upelelez

  • @geeva99
    @geeva99 ปีที่แล้ว

    Huu ugoroko wa hela ni wa level za fisi wa mapangoni, mambo ya aibu sana

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 ปีที่แล้ว

    Kuna wakati hila hutumika ili kumnyima maskini wa Mungu haki yake ila OLE WA MUNGU UKO JUU YENU mjue madaktari hawawezi kutoa majibu ya vipimo vya uongo

  • @hellenmollel6679
    @hellenmollel6679 ปีที่แล้ว +2

    Kwamba hakuna mabinti wengine hapo mtaani?? Mungu ingilia kati

    • @mlamytz
      @mlamytz ปีที่แล้ว

      Wapo lkn wakwake ndio wanatoa ofa

  • @user-rv7zt6tj3d
    @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว +5

    Kama mmeshamjua anafanya biashara ya kuibia vijana kwa kisingizio hicho afu watt wake huenda wanafanya umalaya wao sasa kwann awe anaomba pesa!? Kesi ya uongo utakuja fanyiw kitu kibaya bure wew ongea na wanao kuhus tabia zao mbaya afu wanafunzi acha kusingizia vijana mtaani unawapotezea ndoto zao za maisha. Huyo ameamua kufanya hvy ili kujipatia pesa maskin itamponza na wanae mchaga ndio utafute pes kwa njia hiyo!? Ujinga tu na umaskin.

  • @glorymsopa4221
    @glorymsopa4221 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kaka nimmpenda hiyo ndio dawa

  • @mecksonjoseph2522
    @mecksonjoseph2522 ปีที่แล้ว +1

    Ww una uza watoto uta juta kuzaliwa wananchi washa kukataa

  • @talents7934
    @talents7934 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli mtoto kabakwa Unataka hela za kazi gani?? Maanake unawauza au? Yani hao mabinti wakipepelezwa vizuri watasema huenda baba yao ndo anawabaka

  • @monerexshowz5200
    @monerexshowz5200 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa kaskazini na uongo du hawa husiwasikilize

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur หลายเดือนก่อน

    Eti serikali itachikua nafasi yake nakati wewe ushakua serikali mwenyewe .Na kama ulichukua pesa

  • @AmosYusuph-cj6gb
    @AmosYusuph-cj6gb ปีที่แล้ว +1

    Serikali iweke sheria binti akibebashwa mimba nae aajibike maana kwa %furani nawao wanachangia sikuizi vijana wanategewa mitego mingi ili kuingizwa mtegoni pia ukiangalia hapa kuna janjajanja serikali litazameni hilo kwa Makin vijana tutaishia jera

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      mama usiwe mthaifu kiasi hicho hizo ela zenge mtokea puani awezekani nchi iwe kama aina uongozi nenge mfanya kuku mpumbafu huyo mpumbafu

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndo CCM
    Mmeipenda wenyewe
    Acheni muandamane eeee ccm mbele kwa mbeleeeee

    • @EmmaPonera
      @EmmaPonera หลายเดือนก่อน

      Ccm inamtuma mtu abake

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 หลายเดือนก่อน

      Tabia Zawatu Na CCM Niwapi Nawapi.

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 หลายเดือนก่อน

    Arusha Arusha Arusha mna nini jamani.Huu Mkoa unahitaji maombi

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 ปีที่แล้ว

    Kesi zake ziwe reviewed..zimrudi!

  • @lordymawoiya5818
    @lordymawoiya5818 5 หลายเดือนก่อน

    Au ni ndugu ya sambaya

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว

    Sasa niulize mbona watoto wako ndiyo wapewe mimba na kulawitiwa na watu tofauti ama unawatumia mwenyewe unajitetea upewe matumizi 😂😂😂😂

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 ปีที่แล้ว

    Subiri wajukuu waje wafananie na babuuu huyu Mzee mshenzii ata kuongea hawezi shenziii huyu Mzee

  • @user-wr2pm7of5w
    @user-wr2pm7of5w หลายเดือนก่อน

    ngoja wazaliwe wapimwe DNA ndoutajua maana ya sheria

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว

    Huyu baba kawala watoto wake afu anasingizia vijana wa majirani oneni alivokosa hayaa

  • @augustkisaka5107
    @augustkisaka5107 ปีที่แล้ว

    Hiili swala lina shida linaitaji uchunguzi ,au kamati ya uchunguzi navipimo vya dnA

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l ปีที่แล้ว

    Ila.kilimanjaro Kuna jamboree litaanzia hapo matukio ni mentioned mnomno cjui Kuna Kosar gani

  • @erickmanyeck3913
    @erickmanyeck3913 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wawili wote wawili wanaujauzito?

  • @user-sl7mi8vc9b
    @user-sl7mi8vc9b หลายเดือนก่อน

    Wakizaliwa watoto wakapimwe DNA KATI YA WATOTO WATAKAO ZALIWA NA BABA HUYO

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 หลายเดือนก่อน

    SERIKALI INGOJE HIZO MIMBA ZIZALIWE NA WAPIMWE DNA HUWENDA NI VITOTO VINATABIA YA UCHAFU MAJIBU YA DNA YATASEMA KWELI.

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 ปีที่แล้ว

    Milady ayo isambaze tena iyo video viongozi waone walichukulie huzito huo

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 หลายเดือนก่อน

    Hawa watoto ningekuwa hiyo kidinga ningepiga wote makofi

  • @monicambuya-sq9ms
    @monicambuya-sq9ms ปีที่แล้ว

    Wewe watoto wako ulikula mwenyewe mimba zako hizo inawezekana ndio maana mama yao alikukimbia

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 ปีที่แล้ว

    Kwani sheria za Tanzania zikoje ushahidi uliotolewa mpaka kubaini kuwa watoto wamebakwa na huyo mtuhumiwa ni nini?

  • @telkilo1240
    @telkilo1240 ปีที่แล้ว +2

    ndo tanzania 🇹🇿 iyo

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว

    hao WATOTO WANA MIAKA MINGAPI

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว

    Wapimwe DNA

  • @user-eb3sr5wi5v
    @user-eb3sr5wi5v ปีที่แล้ว

    Mupeane nafas kuzungumza,,,,,,,hata wabunge wanatii hili suala lakuzungumza kila mtu kwa naras yake,,,,,😂,

  • @aishahussein9348
    @aishahussein9348 ปีที่แล้ว

    Apo inatakiwa uchunguzi wa kuna

  • @user-gs1xl8nu1s
    @user-gs1xl8nu1s หลายเดือนก่อน

    Nyakati za mwisho ziko mlangani zinabisha hodi

  • @annaurassa7082
    @annaurassa7082 หลายเดือนก่อน

    Fukuza kijijini

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 ปีที่แล้ว

    Acha kizazi chake sasa kibakwe na shetani hadi madakitari waliotoa ripoti ya uongo nao vizazi vyao vishughulikiwe na shetani.

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 ปีที่แล้ว

    Wewe baba ni mpumbavu

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anaonekana kabisaaa kua mpigaji wa wanae 😅anakula mwenyewe huyu ila hao watoto 2 wana mimba na kama mama yupo mbalj basi huyu ndo anazagamua😅 anaonekana tu huyu sura yake😂

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      ina maana amna police hapo arusha

  • @flavy_kipps4025
    @flavy_kipps4025 ปีที่แล้ว

    hiki kitu Arusha kipo sana

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    Iyo ni kama yule mzee wa kiislam nae alie ambiwa hivyo hivyo

  • @givenmabena4950
    @givenmabena4950 ปีที่แล้ว

    Huyo mjanja anazagamua

  • @thinktwice7176
    @thinktwice7176 ปีที่แล้ว

    NYIE ARUSHA NA MOSHI ACHENI TABIA ZA KUSINGIZIANA KESI ZA AJABU

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 ปีที่แล้ว

    Kwani nini hukuwaonya watoto wako??watoto wako wenyewe walikuwa wataka kuwafuata wanaume

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 ปีที่แล้ว

    Nchi imeuzwa

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว

    wasubiri watoto wazaliwe NDIPO DNA IFANYIKE

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l ปีที่แล้ว

    DNA wapimwe mimba za nani

  • @JumaMsukwa-bu5nt
    @JumaMsukwa-bu5nt ปีที่แล้ว

    Shida isihalibu undugu

  • @RidhwanyIssa-nw9hz
    @RidhwanyIssa-nw9hz 10 หลายเดือนก่อน

    Ww jamaa ungekua huku mh

  • @saimonmloka8210
    @saimonmloka8210 ปีที่แล้ว

    Uyo baba ni muongo ata akiongea tu unajua

  • @fettyramadhan622
    @fettyramadhan622 ปีที่แล้ว

    Kupatia mimba mtu ni kumbaka

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 หลายเดือนก่อน

    Waarusha naitwa sijui nn mushi Rudi Moshi wewe

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni matoto makunwa TU mjinga wewe unawauza watoto mbwa wewe

  • @mmbando
    @mmbando ปีที่แล้ว

    Kidinga wa ujinga mwingi sana, mnao comment hapa hamjui, huyu jamaa yuko na mke wake, lakini mke hakai na watoto karibu,
    Hii kesi walitaka kumalizana nyumbani, baadae watetezi wa watoto ndio waliingilia kati, wakaendesha kesi, huyu jamaa hana pesa ya kumhonga hakimu amfunge mtu..
    Nanyi jiulize, unadhani hakimu hana akili, mpaka amfunge mtu maisha kirahisi.. mtoto aliyelawitiwa ni mdogo, hao wenye mimba ni wakubwa.
    Kidinga wanaujinga sana, wamezoea kesi za ubakaji wanarudisha nyumbani, sasa hapo wameshindwa.
    Elimu bado ni ndogo sana kwa jamii hii.. hao waliopewa mimba, wamepewa na vijana wawili, mmoja amekimbia, mmoja ndio anaendesha kesi..
    Mkisema amemsingizia, basi na hakimu wa serikali, ni mjinga kiasi gani amfunge mtu maisha..

    • @hemedyawadhi2935
      @hemedyawadhi2935 11 หลายเดือนก่อน

      Waty ndy walivyokuongea vitunwadivyo vijua kama wanajua

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +3

    Wachaga wana matatizo sana hawana utu hata kidogo wao pesa mbele ndio maana jamii zao zina migogoro mingi na mauaji, yaani wachaga wanaweza kuuwa hata ndugu mume mke kwa ajili ya hela .

    • @yorandayorandan4018
      @yorandayorandan4018 ปีที่แล้ว +1

      Ww una matatizo sana heri yako ww jamii yako ipo vizuri

    • @jacklinmacha2964
      @jacklinmacha2964 ปีที่แล้ว

      Hujielew jee familia yako ipo salama

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 ปีที่แล้ว

      Sio wote utakua unatukosea hiz shida ziko Duniani kote mpendwa tuombe tuu Mungu

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@ireneshao7950 wachaga mmezidi hamna utu nyie kwenu pesa kila kitu

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@yorandayorandan4018 wachaga mmezidi hamna utu nyie kwenu pesa kila kitu

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 หลายเดือนก่อน

    Nyie Wachaga nyie kwanini hivi?

    • @giftmeela6250
      @giftmeela6250 16 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo kila mtu Arusha ni mchaga?

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว

    Yaani huyo kijana kosa lake siyo kubaka ni kumpa mimba mwanafunzi
    Huyo baba anaongea kwa uchungu hata mngekua nyie mtoto wako wakike anafanyiwe hivyo mngejisikiaje
    Ila alichokosea tu ki kuomba hizo pesa tena uchumi wenyewe wa shida

  • @JumaMsukwa-bu5nt
    @JumaMsukwa-bu5nt ปีที่แล้ว +1

    Wewe mumwongo kwanni uslipot polisi

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 ปีที่แล้ว +2

    Waliobakwa wawe wanawekwa ndani pia,nawao ni wakosaji pia.Hiyo Sheria isipobadilishwa watoto wa kiume na wanaume sasa hivi wanasingiziwa sana kesi za kubaka.Huo ni mfano halisi.

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 ปีที่แล้ว

      Hakika hilo litakuwa suluhisho , maana watoto wetu wa kike nao wamekuwa wa moto ,ikitokea mwanamke kapata mimba wote wawekwe ndani itakuwa suluhisho kubwa

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 ปีที่แล้ว

      @@neemamasimba2981 Na mfano wa maamuzi haya mwenda zake alijaribu kuonyesha mfano watu wanaojiita watu wa haki za binadamu wakaona mawazo yake hayafai

  • @augustkisaka5107
    @augustkisaka5107 ปีที่แล้ว

    Alie bakwa na alie baka wote wakifinywa vizuri ukweli utajulikana tu, uwezi kusema ati mto wakwanza ametiwa mimba ,na mwingine tena ,ukiona ivyo mzee una malezi

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว

    DNA ihusike tu hahahahaaaaa kawajaza mimba mabinti zake na pia yaonyesha ni wale wababa wa ovyo

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว

    wasubiri watoto wazaliwe NDIPO DNA IFANYIKE

  • @fettyramadhan622
    @fettyramadhan622 ปีที่แล้ว

    Watoto wako wenyewe ni wajinga unazani ukimfunga watu hovyo ndo awata zaa ao watoto wako ni wajinga mbona walikwenda kuzitega kama mimba ndo useme wamebakwa tamaa zao na ww baba ao tumia busara ww ni mtu mzima