Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
I never thought that wise men are still existing! Makonda is among the wise men! I enjoy the knowledge and skills he uses to solve the problems. Determined men are alive! The kind of Sokonne!
Big up my son, may the lord increases you. Keep up one day utakuwa rais I wa hii nchi. Kumbe tuna Magufuli wengi!!!! Binafsi niliwaza tutampata wapi Magufuli type. Aksante Yesu yupo Makonda.
Alafu kuna mjinga mmoja aliwahi kutuaminisha Mh makonda ameishia Darasa la 7 😂😂😂 na alinunua vyeti wao waliosoma vipi akili hizi na busara za kutatua changamoto za watu wanazo......???
Makonda anafanya kazi nzur sana, ila hata Huyu Diwani(Mchungaji) amejitahidi sana kwa nafasi yake. Naomba mkuu wa Mkoa amsaidie diwani kutatua hapo alipofikia ili kumpunguzia uhasama na uaduni katika mazingira yake.
😂😂😂😂😂 mama kamuona diwani 2 lakin makonda hamuoni. Mama apewe like zake apa kwa kua kipofu lakin bado anauwezo wa kumuona mchungaj wake au diwani wake 2.
Kweli Makonda. Mungu Ambariki na ampe ulinzi wa Mbinguni.ona wenyeviti wanavyoliza wananchi wanyonge wa Tanzania. Jamani Makonda njoo Moshi uone wamama ,wajane wanavyopokonywa haki zao. Ee Mungu Nchi hii Mungu aingilie kati tu .uonevu ni mkubwa mno
Mungu wa mbinguni akubariki sana sana mkuu wa mkoa Makonda kwani Mungu ndiye amekuweka uwatetee wanyonge damu ya Yesu inayonena mema ikulinde dhidi ya maadui zako wote ❤
Mungu akupe nguvu uzidi kuwatetea wanyonge,hakika umeshaacha alama hapa Duniani,kwa jinsi unavyotenda kazi kwa haki mm sikudai kitu,Mungu akuzidishie uwe baraka kwa watanzania wote
Makonda ...ana kitu flani ..kma magnetic trap ..kwa watu ..kuangalia vdeo zake tu ni Sanaa ..yaani mtu anavutiwa na vdeo ..Kama movie au written script ..inavutia ....like jinsi anavyo conduct series of sublevel mpka kufanya maamuzi inclusive idara zote 💪
@@stephenkalidush5446 Ni kweli ulichosema kwamba Dini ni Uislamu tu. Kwani hayo mengine ni makundi tu ya kibiashara hayana uhusiano wowote na Dini ila ni picha tu ya usoni kwa ajili ya kuwalaghai wasiopenda mahusiano mazuri na MUNGU MUUMBA. AKILI KICHWANI MWAKO KUJUA NANI ANA UELEWA MDOGO KATI YAKO NA SISI WAISLAMU.
@@basharahamtzhalisi6871 uislam si kitu ni taasisi ya watu tu, God is not religious Mungu ni ibaada ktk roho na kwel, kusema dini ni ukisefu wa ufahamu
Watu wengine bwana .we ni mtu wa mungu mambo ya serekali wapi na wapi ona Sasa umetetea kondoo wengine ukawaache wengine hawana mchungaji. Dhambi hizo .Diwani mrudie mungu wako huko ulikoenda rushwa njenje.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mchungaji.😅😅😅😅😅
Baba umetangulia ndio ila jua huku nyuma umeliacha jembe linalolima Hadi barabarani!!!!!! Po makonda pg kazi baba kazi iendeleee chukua maua Yako!!!!!🎉
Muheshimiwa makonda Mimi nakukubar Tangu miaka hio ukiwa katka mbegani chuo cha uvuvi Bagamoyo na hata ulipokua mkuu wa mkoa wa Dare'salaam.shukrani sani
Daaaaah!!makonda una hekima sana mdogo wangu,kwa umri wako na maamuzi yako aisee ni kweli umekomaa kisiasa na kiutawala,Mungu aendelee kukutunza mdogo wangu.
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Kipofu lkn jicho moja tuu.
Nitakuja kukuona mkuu nami Nina mizigo yangu mingi tuu.
000q4
Allah ajaalie kila mwenye shida na apate ufumbuzi
Ni
Uko vizuri mhe mkuu wa Mkoa Arusha Mungu akubariki akupe Mabega makubwa uzidi kutubeba aamina yarabi aamina .
Aliemsikia mama kasema diwani yko hapa nimemuona wakati mama ni kipofu na mheshimiwa hamuon gonga like twende.
Nimeiskia hiyo😂😂😂
Itakuwa wanae wamemwambia 😂😂😂yupo
Nimecheka kwa huruma😂😂😂😂😂😂😂❤❤
Diwan nimemuona Yuko hapa, ila mkuu wa mkoa ckuoni 😂😂
😂😂😂
Makonda ana hekima ya mfalme Suleman.duh Mungu Ambariki sana
Hekima anazo lakini za sulemani hakuna wakuzifananisha nae na hatatokea hata maandiko yanasema ivyo🎉
Kumbuka huyu alikua mtekaji sjawah ona akitubu hzo n siasa2 Moyo uleule2😢
V@@ezralameck4150 ona hii bweha
Kabisaa na angegombea ningepiga kura
Hongera sana mheshimiwa makonda unapenda haki itendeke MUNGU akubaliki sana
Diwali yuko vizuri sana
Makonda ni kichwa sanaa.
Mungu azidi kumjaza hekima na maarifa.
I never thought that wise men are still existing! Makonda is among the wise men! I enjoy the knowledge and skills he uses to solve the problems. Determined men are alive! The kind of Sokonne!
I agree with you Makonda is the best leader! ❤
Mchungaji afyata mkia mbele ya Makonda, hongera makonda, hawa watendaji ndio chanzo cha migogoro.
🎉mungu akulinde Sana makonda nikifumba macho mungu ajaniambia wew ni waziri mkuu ujae mungu akulinde na maadui wenye roho mbaya
Andrew
Maestro Makonda ❤️🙌 hakika wewe ni baba wa Taifa👏
Mungu akufunike kwa damu ya Yesu kazi nzur sana unayoifanya kupitia selikali ya mama Samia mbarikwe kwa kuwatetea wanyonge.
Makonda anafanya kazi nzuri mpka unataamani yeye ndio awe rais aseh
Kabisa alafu anasolve matatizo kwa haki
Kwani Raisi Alie kuwepo si ndio matunda ya Rais Samia.
Tunampenda Rais Samia. Mpole msikivu
Kabisa ❤❤❤
Haiwezekani tumtoe mama aingie makonda jamani
Wala usikonde, siku Moja Huyu Makonda atakuwa Rais wa Taifa hili
Makonda una Mungu ndani yako
Wewe ahuna Mungu😮😮
Mungu akupe maisha marefu makonda
Aaminaa
Mungu akupe maisha marefu na uzima,nakuombea kwa mungu ujekuwa Rais
Makonda Mungu akuweke duniani daima.
Big up my son, may the lord increases you. Keep up one day utakuwa rais I wa hii nchi. Kumbe tuna Magufuli wengi!!!! Binafsi niliwaza tutampata wapi Magufuli type. Aksante Yesu yupo Makonda.
Huyu mh makonda ni magufuli mtupu God bless him
Nalipoti kutoka Lubumbashi kongo Mungu muweke Pool Makonda uishi miaka mingi
Diwani he is very smart and appreciated him 🙌
Diwani ni kiongozi haswa
@@nellishahmasasi3524 kabisa mamaangu
Huyu jamaa nzuri sana mwenzi mungu mmuweke
Wananchiii wenzangu kila mtu kwa Imani yake tumuombee Sana pooll Makonda huyu ni mfano wa Musa ameletwa na mungu kuwakomboa Wana wa
Maona uongozi wa juu ndani ya Mheshimiwa Makonda, ni rais wa moyo wangu.
Alafu kuna mjinga mmoja aliwahi kutuaminisha Mh makonda ameishia Darasa la 7 😂😂😂 na alinunua vyeti wao waliosoma vipi akili hizi na busara za kutatua changamoto za watu wanazo......???
Mungu wambinguni akulinde nimeamua kuhama chadema. maana ccm inanifurahisha Mama hongera kwa kumuona makonda anafaa Tena anaweza
Mama tulete Tanga makonda
Makonda ni kama King Solomon kwenye Bibilia. Very wise and just leader.
Mh, Makonda Mungu Akuifazi Kabisaaa
Makonda, Makonda,Makonda, I love you from DRCONGO, Come to be our president.
😂😂
Shindwa
Makonda mimi ni mkenya lakini akuna kama yy mungu akulinde akufunike na ndamu ya yesu
Munguakubariki mkuuwamkowa
Goodleaship ;_____makonda❤❤❤❤❤
Beautiful makonda we love you
Makonda anafanya kazi nzur sana, ila hata Huyu Diwani(Mchungaji) amejitahidi sana kwa nafasi yake. Naomba mkuu wa Mkoa amsaidie diwani kutatua hapo alipofikia ili kumpunguzia uhasama na uaduni katika mazingira yake.
😂😂😂😂😂 mama kamuona diwani 2 lakin makonda hamuoni. Mama apewe like zake apa kwa kua kipofu lakin bado anauwezo wa kumuona mchungaj wake au diwani wake 2.
Mungu wa Mbinguni akuzidishie afya njema ya mwili, roho na Akili uendelee kutetea haki za Wanyonge Mh. Mkuu wa Mkoa Makonda. nakukubali sana
Ngosha makonda,piga kazi MUNGU na akusimamie💪🏹🔥
,😂😂😂😂 ety Yuko apa huyo Diwan nimeisha muona 😂😂😂 na mala ya kwanza kasema hawez kuona yye n kipofu 😂😂
Makonda wewe wapige spana tu mpaka ziwaingie 😂
Hongera sana baba kwa kuwatetea wananch wanyonge mkoani Arusha. Mungu akupiganie na kukutetea katika kipindi hichi Cha uongozi wako.
Huyo mama ni kipofu na Amemuona Diwani😅😅😅
Lakini hakumwona makonda
😊😅😅
diwani yupo hapa nimemuona😂 ila mm ni kipofu
hahahahaha mama amemuona diwan yuko hapa
Jicho moja ...sio yote
Diwani yupo humble na anajitambua.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Diwani kakaaaaaza mwisho kawa mdebwedo dadeki tujitahidi kuwa na problem solving skills inasaidiaa
Mama hamuoni Makonda ila kamuona diwani mzulumati
😂😂😂makonda haonekani ila diwani wa serikale hanaonekana
Hiyo ndio Arusha bwana kazi kweli kweli
Mama Rais mtizame sana makonda ni mtu tunaomba uibuie watu kama hawa Mungu akitunze kiti chako cha enzi
Sio wavamizi hata kidogo waliuziwa na mihuri wanayo huyo Diwali ni mbabaishaji tu.Mheshimiwa Makonda tunaomba uwape adhabu .
Hongera sana Mh.Makonda Kazi yako ni njema sana,Mungu akubariki mnoo
😂😂😂😂😂 nimecheka kwa huruma et mkuu wa mkoa hata wewe sikuoni mara oooh diwan yuko hapa nimeiona 😢😢😢😢
😂😂
Makonda angekuwa Kenya,angekufa.Mungu amlinde na amzidishie busara
Kweli Makonda. Mungu Ambariki na ampe ulinzi wa Mbinguni.ona wenyeviti wanavyoliza wananchi wanyonge wa Tanzania. Jamani Makonda njoo Moshi uone wamama ,wajane wanavyopokonywa haki zao. Ee Mungu Nchi hii Mungu aingilie kati tu .uonevu ni mkubwa mno
Kuanzia leo nitaanza kukufatilia🎉🎉🎉🎉
Pole sana mama pole sana sana inauma sana pole sana, Mungu ni mwema sana
Mungu wa mbinguni akubariki sana sana mkuu wa mkoa Makonda kwani Mungu ndiye amekuweka uwatetee wanyonge damu ya Yesu inayonena mema ikulinde dhidi ya maadui zako wote ❤
Makonda,Mungu akujalie maisha marefu. Amen
Huyu Diwan atafika mbali sana
Hongera MAKONDA
Hongera baba makonda
Waa kuwa raisi kaka makonda Mungu akubariki
Mungu akupe nguvu uzidi kuwatetea wanyonge,hakika umeshaacha alama hapa Duniani,kwa jinsi unavyotenda kazi kwa haki mm sikudai kitu,Mungu akuzidishie uwe baraka kwa watanzania wote
Mungu akutunze zaidi kaka. Wewe ni kiongozi tena kiongozi na nusu.
Thank you my Lord for give us good leader wich are intelligent and with full wisdom
Makonda kazi Yako Ina manufaa kwa watanzania. Kaza Uzi. Migogoro mingine ni migumu sana inatakiwa umakini wa haki ya juu.
Makonda ...ana kitu flani ..kma magnetic trap ..kwa watu ..kuangalia vdeo zake tu ni Sanaa ..yaani mtu anavutiwa na vdeo ..Kama movie au written script ..inavutia ....like jinsi anavyo conduct series of sublevel mpka kufanya maamuzi inclusive idara zote 💪
Mungu akuifadhi makonda umechukua moyo wa Magufuli jaman ❤❤
Mungu azidi kukutunza na akulinde thidi ya maadui
Hongera sana baba kwa kazi nzuri nakuombea uje uwe rais ajae
Mungu mlinde makonda mpe hekima na maarifa zaidi💪💪
Makonda mungu anasababu na wewe kwakweli wasaidie
Makonda hongerasana munguakusimamie kilasekunde Makonda yanimakondaww badokuamuislamutu uingiepeponi munguakubarikisana
Safi ndugu yangu, umewaza kama mimi.
uislam hauingizi mtu pepon, ila imani ya mtu kwa Mungu muumba ,ukisema uislam unasema dini na ni kiwango kidogo sana cha uelewa
@@stephenkalidush5446 Ni kweli ulichosema kwamba Dini ni Uislamu tu. Kwani hayo mengine ni makundi tu ya kibiashara hayana uhusiano wowote na Dini ila ni picha tu ya usoni kwa ajili ya kuwalaghai wasiopenda mahusiano mazuri na MUNGU MUUMBA. AKILI KICHWANI MWAKO KUJUA NANI ANA UELEWA MDOGO KATI YAKO NA SISI WAISLAMU.
@@basharahamtzhalisi6871 uislam si kitu ni taasisi ya watu tu, God is not religious Mungu ni ibaada ktk roho na kwel, kusema dini ni ukisefu wa ufahamu
@@stephenkalidush5446 Ukafiri wako umekuondolea maarifa na fikra njema za kumjua MUNGU WA HAKI HUABUDIWA KUPITIA DINI.
Napata tu raha nikimsikiliza makonda anafanya kazi haswaa maua yako chukuwa🎉🎉🎉❤
Makonda your a good lawyer God bless 🙏🙏🙌🙏🙌 you
God has remembered Tanzania.i can see onother magufuli coming up Tanzania don't lose this mighty leader
Mama haoni ila mchungaji kamuona this is tanzania 😂😂😂
Baba makonda mungu akupe maisha malefu kwa hak kwa wanyonge balikiwa sana baba
Huyu kaka mwanasheria makonda mfikirie anasaidia sana wanachi anafafanua miktaba bila upendeleo tofauti na wanasheria wengine
Yani Makonda ni Magufuri mtupu Mungu amrinde, ampe maisha maisha marefu.
Huyo hapo nimeshamuonaaa,,, 😅😅😅
Mungu yuko na makonda
Huyu mama Kanisani haingiyi tena kWa diwani
Ata kama ni Mimi siendi tena
Watu wengine bwana .we ni mtu wa mungu mambo ya serekali wapi na wapi ona Sasa umetetea kondoo wengine ukawaache wengine hawana mchungaji. Dhambi hizo .Diwani mrudie mungu wako huko ulikoenda rushwa njenje.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mchungaji.😅😅😅😅😅
Nomaaaaa sanaaa
Respect mweshimiwa makonda
Mungu akulinde makonda Kila silaha itakayoinuka juu Yako haitafanikiwa
Mzimu wa magufuli nauona Kwa makonda❤❤❤❤
Huyu hafai kuwa mchungaji 🤔🤔
Safi sana Kiongoz, tuwapate wapi Wakuu wa Mikoa kama hawa?
Mungu akubariki mh shimiwa makonda kwahilo dhulma kubwa sana wametendewa wanach wako
MUNGU mlinde Makonda,mtie nguvu,Kivuli chako kiende pamoja naye.Amen.
Baba umetangulia ndio ila jua huku nyuma umeliacha jembe linalolima Hadi barabarani!!!!!! Po makonda pg kazi baba kazi iendeleee chukua maua Yako!!!!!🎉
Napenda uwezo wa makonda kuelewa na kutatua matatizo
Me pia
Mungu akumbariki mwenye kiti kwa mamuzi yako ya hekima
Hongera mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Arusha.Mheshimiwa Makonda
Been watching this programme and for real it too painful...watching from Nairobi kenya
Makonda mtetezi wa haki chapa kazi🎉🙏🙏🙏🙏🙏
Makonda we2 oyeeeeee|h❤❤❤❤❤
Au magu mungu kamrudisha ili kufuta macho ya watanzania jaman makonda unatupa raha watanzania❤😂🎉❤
Mheshimiwa Jicho la Mungu lisikuache popote utakapokuwa barikiwa Brother.
Upo vzr sn muheshimiwa hongera
Mkonda blaaaa
Muheshimiwa makonda Mimi nakukubar Tangu miaka hio ukiwa katka mbegani chuo cha uvuvi Bagamoyo na hata ulipokua mkuu wa mkoa wa Dare'salaam.shukrani sani
Mama hamwoni mkuu wa mkoa,,😂 lakini anamwona diwani ....amazing.
Hatarii sanaaaa
Daaaaah!!makonda una hekima sana mdogo wangu,kwa umri wako na maamuzi yako aisee ni kweli umekomaa kisiasa na kiutawala,Mungu aendelee kukutunza mdogo wangu.
MakondaaaA❤❤❤❤❤❤
Kazi yako Ni nzuri sanaaa
Mungu akubariki sana mwanangu endelea kuwatetea wanyonge
Makonda wewe ni mtu wa mungu ubarikiwe sana
Huyo diwani aache uchungaji ni mwongo Mungu hafanyi kazi na waongo
Kweri kabisa aondolewe uchungaji na uo udiwani apokonywe usimuache kwasababu ajitambui