Asante kwa neno hili la wakat kwangu,nimemtafakari Yefutha aiseee 😢😢😢,kuna vitu huwa ni vigumu sana kibinadamu ila ukiweza kuvuka aiseee unakuwa wa tofauti sana hutakuwa yule tena kamwe
Ooh glory to GOD OUR FATHER MOST HIGH & ONLY WORTHY OF PRAISE, MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGANJI,following you from Kenya, I just like your preaching Rev Dr kimaro,reach out God's sheep,may God give you grace. 🙏
Amina Baba Mungu akubarki sanaa zaid ya sana azid kukutunza uendelee kutukomboa namuomba Mungu anisaidie naitaj kuweka nadhir saiv nipo oman nikirud ntamtolea Mungu wangu sehem ya kumi ya kaz yangu BARIKIWA SANA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana baba mchg, adi nakosa niandike nn kwa utukufu wa Mungu juu yako kwetu jmn🙏🙏🙏
Mimi ni mkatoliki hapa Kenya.....Hakika Father Ubarikiwe sana.....kabisa mahubiri Yako yameninjenga kiroho kabisa. Be blessed a lot.
Mungu akubariki
Naitwa JOSHUA MAGOTI nipo tarime kiukweli unanibariki sana japo mimi nisali sda na kweli napitia mda wa kulalia jiwe naomba MUNGU anitetee
Asante kwa neno hili la wakat kwangu,nimemtafakari Yefutha aiseee 😢😢😢,kuna vitu huwa ni vigumu sana kibinadamu ila ukiweza kuvuka aiseee unakuwa wa tofauti sana hutakuwa yule tena kamwe
Naomba Mungu sana siku Moja afungue nafasi utembelee kanisa yangu Kenya(A -i -c Umoja 2)nitashukuru Mungu sana
Ooh glory to GOD OUR FATHER MOST HIGH & ONLY WORTHY OF PRAISE, MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGANJI,following you from Kenya, I just like your preaching Rev Dr kimaro,reach out God's sheep,may God give you grace. 🙏
Amina Baba Mungu akubarki sanaa zaid ya sana azid kukutunza uendelee kutukomboa namuomba Mungu anisaidie naitaj kuweka nadhir saiv nipo oman nikirud ntamtolea Mungu wangu sehem ya kumi ya kaz yangu BARIKIWA SANA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu wa mbinguni ilinde mbegu hii ya kitumishi ktk nyakati hizo ngumu,Bwana akukirimie utumishi uliotukuka .Ameeeeeeen!!!
Ubarikiwe sana Mchungaji kwa ujumbe mzuri Mungu akuinue zaidi( Mimi Musa Elisha Niko Arusha)
Mungu akulinde sana mchungaji na mungu aendelee kukutumia.binafsi nabarikiwa sana nikisikiliza maubiri yako
Asante sana mtumishi wangu!
nmejifunza kitu kikubwa sana leo!! ninaweka nadhiri yangu leo na nitaisimamia 🙏🙏🙏
Mungu akutunze 🙏 nabarikiwa na huduma naitwa Neema wa makambako Njombe
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
I receive, GLORY TO JESUS 🤲 🙏
Haika mnu kimaro mlyisi oko shiwikyio mbora mbe🎉❤
Mchungaji barikiwa sana somo la nadhiri limenibariki sana.
😊
Amen amen nspokea na kuset starndard ktk jina la Yesu❤
hakika mungu ni mwema na kila wakati mungu yu pamoja nasi mungu akubariki sana dr eliona kimaro 🙏🙏🙏
Mungu atusaidie. Ubarikiwe sana mchungaji wetu Kwa neno la wakati ambalo Mungu akutumia Ili useme nasi kutukumbusha kuhusu maisha ya Nadhiri
Maiisha ni nadhiri na nadhiri ni maiisha
It was a wonderful moments , spiritual clinic be , blessed Man of God , Glory and Honour an to Your God
Mm ni muislam lkn mchungaji unanifundisha,unanijenga,ubarikiwe sana🙏
Amina
Barikiwa ndugu yetu
Barikiwa sana hata mimi kuna mawaidha uwa yananibariki
Okoka mpe Yesu maisha yko
Aameen ameen ameen.
Ubarikiwe mchungaji
Mungu akubariki sana
Nabarikiwa sanaa na mafundisho yako
Barikiwa sana mchungaji Eliona kimaro❤❤❤❤
Mungu mtunze huyu baba. Ni baraka sana kwa taifa letu
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
ubarikiwe sana Mchg. Dr. Eliona Kimaro
Katika maisha yangu siwezi kaa siku mbili tatu bila kutoa ushuhuda wako baba. Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Barikiwa Sana mchungaji
Yes dady🙏 kuna siri nzito kwenye utoaji
Amen!
Asante mtumishi.
I wish if ican see you one day,,Mlisi oko Kimaro
Ubarikiwe sana sana Mchg Kimaro
Aminaaaaaa
Mungu naomba unifufue kwa jina la yesu.
Amin nabarikiwa sana na masomo yako😢
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amina mtumishi
God bless you mchungaji
Amina sanaaa ubarikiwe
Amen Mchungaji
Ubarikiwe sana baba mchungaji 🙏
Amen 'niko Mahal Flan
amina baba mungu akurinde daima
Ameen barikiwa hata mm nasti standard
Amen 🙏
Amen Amen Amen mchungaji
Amen Amen and Amen
I can, I will, l must.✔
Kila ninapo Fuatilia mahubiri yako Nabarikwiwa sana asa kwetu sisi vijana
Ameen nimebarikiwa sana
Amen Amen
Amen Mchungani
Ameen mtumishi🔥🔥🔥
Amen❤🤲🙏
Ameeeen 🙏🙏🙏
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Amen 🙏🙏🙏
Bwana akubariki
Amen
Amen.
BARIKIWA SANA MTUMISHI💫
Mahubiri yako mchungaji na nguvu sana Mungu akuongezee zaidi na zaidi
AMONGST THE 99!
Amen amen
Emen umeongea ukweli mchungaji ubarikiwe san
Great
Amina
❤aminaa
Kweli
Ameeen
Ameni
Ameeeeeeeeeeeeee were mchungajiiiiiiiiiii
SAA INAFIKA. AMEEN
Najifunza kitu kila ninaposikiliza mahubiri yako!
AMINAAAAÀA
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee3eeeeeennnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnniiii
Nime barikiwa sana amen 🙏
Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen
Amen
Nashukuru sana mchungaji kuna sehemu kubwa nimepokea
Amen