Mchungaji Asante sana namshukuru Mungu kwa kusema NAMI Leo hii. Kwa Yale ninayoyapitia na Binti yangu kufukuzwa kwenye eneo la biashara yetu. Ninaamini neema Iko mbele yetu🙏🏿
Pastor! Umeniokoa sana,! Niko ktk Hali ngumu sana ya kusingiziwa na baadhi ya waumini na kuchukua la kunitoa Kanisa nililojenga Kwa kumpata mfadhili. Kosa nilimwamini nikawapa namba za mfadhili badala yake wakampigia cm kwamba Sasa sio Kanisa Bali nimefungua baa, mfadhili hataki kupokea cm yangu na amewaambia wasimamie Kila kitu ilihali wakati najenga Tena kwenye mvua, nikaanzia ibada hapo likiwa jengo limefikia kwenye Renta ya madirisha, mvua zinatunyeshea tumeweka maturubali, Leo Kanisa imeisha kabisa, wakaja kama waumini niakawapokea vizuri, wakiwa waaminifu sana, baada ya miezi 2 ndo wamenifanyia haya. Afadhali Leo nimefarijika.
Asante Yesu kwa kuniona, ujumbe huu ni ka ajili yangu leo nimevuka eneo moja kwenda nyingine, ubarikiwe Mchg. Dr. Kimaro unatumika kutuhuisha wengine tulikuwa tumeshakata tamaa
🇮🇱UZIDI SANA KUBARIKIWA Dr, Mch. Mhubiri Eliona Kinaro. Na machozi ya furaha yamebubujika. Hasa pale uliposisitizia kwa LUHGA ya KWAKO. (Nyi kindo kyarua!!- Kuore kindo kyaRuwa) Amen.
Mchungaji wangu wewe ni mwalimu wa maisha yangu, unaongea nami kila siku. Asante maana bado ila neema yangu iko mbele yangu. Napata misukosuko mingi ila naamini ktk Yesu kristo unayemtangaza
Amina Amina Amina hakika Ubaya unao kusudiwa kwetu baada yakuuvumilia nakuupokea kwa njia yakuukubali na kukubali kuhangaika nao hadi upite mwisho wake huwa kumejaa mema yakushangaza
Mchungaji Asante sana namshukuru Mungu kwa kusema NAMI Leo hii. Kwa Yale ninayoyapitia na Binti yangu kufukuzwa kwenye eneo la biashara yetu. Ninaamini neema Iko mbele yetu🙏🏿
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Pole ni mapito
Nayo yatapita na hiyo ni njia ya mafanikio Zaidi
Pastor! Umeniokoa sana,! Niko ktk Hali ngumu sana ya kusingiziwa na baadhi ya waumini na kuchukua la kunitoa Kanisa nililojenga Kwa kumpata mfadhili. Kosa nilimwamini nikawapa namba za mfadhili badala yake wakampigia cm kwamba Sasa sio Kanisa Bali nimefungua baa, mfadhili hataki kupokea cm yangu na amewaambia wasimamie Kila kitu ilihali wakati najenga Tena kwenye mvua, nikaanzia ibada hapo likiwa jengo limefikia kwenye Renta ya madirisha, mvua zinatunyeshea tumeweka maturubali, Leo Kanisa imeisha kabisa, wakaja kama waumini niakawapokea vizuri, wakiwa waaminifu sana, baada ya miezi 2 ndo wamenifanyia haya. Afadhali Leo nimefarijika.
Mchungaji umezungumza na mimi. Asante sana Namshukuru sana Mungu kwaajili yako.
Nimeisikiza hili mara tatu leo 25 November 2024. Asante kwa kunitia moyo leo Mch..🎉
Mchungaji hongera kwa mahubili ya kututia moyo, Asante sana MUNGU azidi kukubariki.
Barikiwa, Asante mchungaji kwa maneno ya kututia moyo...tuliokata tamaa
Mtumishi wa Mungu Bwana Yesu akubariki sana kwa huduma hii
Am touched by the teaching of you man of God!.
Asante Yesu kwa kuniona, ujumbe huu ni ka ajili yangu leo nimevuka eneo moja kwenda nyingine, ubarikiwe Mchg. Dr. Kimaro unatumika kutuhuisha wengine tulikuwa tumeshakata tamaa
Lilian...upo
🇮🇱UZIDI SANA KUBARIKIWA Dr, Mch. Mhubiri Eliona Kinaro.
Na machozi ya furaha yamebubujika.
Hasa pale uliposisitizia kwa LUHGA ya KWAKO.
(Nyi kindo kyarua!!- Kuore kindo kyaRuwa)
Amen.
THIS MESSAGE TO DAY IS FOR ME
Ahsante sana Mtumishi wa Mungu kimaro.Nimeelewa sanaaaaaa.limenifariji mnooo
Nakushukuru mchungaji kwa maneno niliyopata kutoka kwako, mungu akubariki sana
Amina mtumishi wa mungu ubarkiwe sana kwa mahupili mazuri sana yanatujenga kiloho
Ameen Ameen Ameen IN Jesus Name
KUOR'EE KINDO KYAA RUWA❤
Eee den
Amen Amen mtumishi wa Mungu, Mungu akuzidishiy maisha marefu na Afya nzuri ndani ya wokovu wey na you family
Mchungaji wangu wewe ni mwalimu wa maisha yangu, unaongea nami kila siku. Asante maana bado ila neema yangu iko mbele yangu. Napata misukosuko mingi ila naamini ktk Yesu kristo unayemtangaza
Amen mchungaji,mungu tujalie neema ya kuweza kuvumilia na kukutumaini Ili tuweza kuona wema huo in Jesus name amen
Duh,mbona kama naambiwa mimi,Asante Mungu nimefarijika sana
Kuore kindu charuwa Mch.✅
Ameeeen!
Amina mtumishi wa Mungu.
Hakika Bwana amesema na mimi.
AMEEN Mtumishi wa MUNGU Ubarikiwe mno yaani nimepata kitu kipya
Amen ubarikiwe sana
Amina mwalimu wa kweli🎉🎉🎉
Pastor GOD BLLESS YOU
Amina mtumishi ubarikiwe sana, haya mahubiri yamenigusa sana
Amen, pastor nimebarikiwa ujumbe wako
Mungu akubariki
Barikiwa mchungaj kwa neno hakika linatujenga
Mungu aendelee kukulinda ili uendelee kufanya kazi ya Mungu .
Amen baba,Mungu akutunze
Namshukuru mungu .kunakitu Cha mungu ndani yangu ndiyo maana wanajitahidi kunitenga na Binti zangu.
Mungu afanye alichokusudia kwako
Khuole kindo Cha Lua Amen 🙏
🇮🇱Kuore kyindo Kya RUWA!!
Amen, umenifunza kitu Man of God
Mungu akubariki nimesikiliza naona moyo wangu unapata Amani Mungu atusaidie sote🙏
Hakika kuna kitu cha mungu
Ameeen!asante sana Baba kwa ujumbe huu
Amina mtumishi nimebarikiwa sana sana
Amina Amina Amina
hakika Ubaya unao kusudiwa kwetu baada yakuuvumilia nakuupokea kwa njia yakuukubali na kukubali kuhangaika nao hadi upite mwisho wake huwa kumejaa mema yakushangaza
Ameen mchungaji kwa kweli kindo Kya iruwa
Ameen yani iyi leo imenipa faraja sana mungu ni mwaminifu sana
Amen Mungu akubariki sana baba Mchungaji
ubarikiwe sana mchungaji mbarikiwa
Amina amina
Ameen nimepitia kipindi hichocha Haman sasa naona uelekeo wa Modekai
Ameeen
Be blessed 🙏 mchungaji
Amen baba 🙏🙏
Nakuombea umri mrefu unanitia moyo sana unayofundisha ndio tunapitia mungu akusimamie
Amina.nami.nimebarikiwa.asante
Your the best ever
Amina!
Asnte kwa somo hili la leo nimepta kitu jipya 🎉❤
Ameen kuere kindo Cha ruwa
Amina mchungaji unasema kweli kabisa
🙏🏾🤲🏽
Amen mtumishi mbona Mungu ameniona mm asabuhi hii yaleo
Amina mchungaji wangu
Amen pastor
Mchungaji eeh ebu mungu akupe maisha marefu mataifa tupone
Mungu sio mungu
Amina
Asante sana
Hakika noore kindo Kya Iruwa🙏🙏✍️
Cha looi
Amen l have gain hope again 😭😭😭
Ameeeen
Ameen🙌🙌
Ameen
Amène 😭🙏
Mchungaji ubarikiwe saaana
Amen 👏👏👏
Haika Mbee Mlisi.
Amen amen 🎉
Amen Amen Amen 🙏 🙌
Amen 🙌
AMEN, 🙌.
🎉🎉🎉
Kindo kyaRuwa!!!!!
Amen amen
amen
Nimepata ujumbe wa kunivusha kimaisha
Amen
Ameni
Shalom Mch mie ni Pata ndoto magufuli matatu yamefungwa juu ya bati sijaelewa Maana yake
MUNGU kakutuma ili tupone
Nashukuru baba Nashukuru nimepona Nimepona
Machozi yangu yaoree kindo kya Ruwa hasara masengenyo adai zangu kufurahia hali ninayoipitia kuore kindo kya Ruwa
Ameeen!asante sana Baba kwa ujumbe huu
Amina
🙏🏾🤲🏽
Amen 🙏🙏🙏
AMEN 🙏🙏
Amen amen
Amen
Amina
🙏🏾🤲🏽
Amen Amen Amen
Amina
Amen 🙏
🙏🏾🤲🏽
Amen
Amen
Amen