FAHAMU SIRI YA MUDA WAKO BINAFSI NA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 08/09/2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
- M-Pesa Lipa Namba : 5252176
- MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
- KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
-Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
I thank God for you pastor be uplifted higher and higher
Kwa hakika pastor umekuwa mwalimu kwangu nimejifunza mengi nilikua kwenye giza kwa muda mrefu mungu azidi kukutia nguvu 🙏🙏🙏
Maarifa uliyowekeza kwangu yamenifanya kuwa mwombaji mzuri sana tena kwa muda mrefu.nimeona MUNGU akinifungua mimi mwenyewe na kunipa macho naona.nina miezi saba sijawahi kuombewa na mchungaji wangu kanisani najiombea mwenyewe kwa kuwa na muda binafsi.
Mungu akuzidishie zaidi ubarikiwe ninafurahi mungu nimwema
Thank God for that pastor tunajifunza mengi kutoka kwake be blessed pastor
Asante Yesu,Roho Mtakatifu kwa fundisho hili barikiwa mtumishi
Amen hallelujah hallelujah thank you Lord 🙏🙏🙌
Mungu akubariki pastor umefanyila chombo cha Mungu kusema nami
Mungu akubariki pastor, nabarikiwa na ibada zako
Asante kwa ajili ya neno lako la uzima. Mtumishi wako abarikiwe sana
Asante saaaaaaaana baba kwa neno hii umenitosha chini na kuniweka juu Sana Asante Tena baba
Thanks alot pastor b blessed
Amen Ameeen glory to God hallelujah 🙌🙌🙏
Aminaaaaa
Amina Amina Amina glory be to God..mungu nionyeshe cha kufanyaa.halleluhyaaa.Amina
Ubalikiwe pastor George umefanyuka baraka kwenye maisha yangu
Thanks pastor
Such teachings ni adimu sana. More grace man of God . From kenya
Amen pastor
Ubarikiwe sana mchungaji
Naona kama mungu alikutuma kwa spirit yangu, hakika umegusa kila kona ya Maputo ya maisha yangu.🙏🙏🙏🙏
Very powerful sermon man of God, I am blessed my spiritual father be blessed ed ur family more grace Amen
Ubarikiwe pastor
Pst hiyo neema 2 Bwana Amen
Muchungaji mafundisho yako yamenihimarisha mno kila wakati. Mungu hazidi kukutumiya tupone 🙏
Mungu akuinue zaidi mchungaji...unanitegeneza kila wakati...barikiwa sana from kenya ❤
Ameeeeeen ameeeeeen
Amen.Amen.Amen Niko Mombasa Kenya Mtumishi wa mungu akubariki sana na usao wako umenijenga kiroho sana ...Almighty GOD bless you so much alot man of GOD
Mungu akupe maisha marefu watu tupate kupona
I thank God for a word in season am blessed and natamani niwe na Muda wa Siri na Mungu
amen amen
Ubarikiwe
Ameen 🤲❤️
a sante sana pastor kwa mafundisho yenye utaratibu na upole yananibariki sana ubarikiwe and live long to see the grace of the lord
Nikile ambacho Mungu anakufunulia ndichokinachokufunua
Nashukuru saaaaaana Pasteur George Mukabwa tena Asante kwa mafundisho😊
Nahitaji muda na wewe Mungu wangu
Asante sana pastor George leo nimejua sana maana ya muda binafsi na MUNGU.
Barikiwa pastor.
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Neno hili limenijenga sana
Thank you God nimejifunza mengi pàstor mungu akuongezee neema
Amen amen 🙏🏾🙏🏾
Yes yes that's true pastor
Pastor nimeifanyia kazi hii nimeweza kupita mahali ambapo sikustahili.nitarudisha shukrani yangu kwa marina uliyowekeza kwangu.
Ubarikiwe sana kwasababu nimejifunza kuwa na muda wangu binafsi kwaajili ya kuwasiliana na mungu
Hallelujah nimefatilia haya mahubiri nashukuru mungu sana mtumishi ubarikiwe sana 🙏
Amen 🙏🏻, may God gives me grace to maintain his time.
Hallelujah ameen 🙌🏽
This is so powerful, thankyou God.
Amen❤❤
Amen amen thanks alot man of God
Following from Kenya,barikiwa mchungaji
Amen
LORD JESUS bless you Pastor
Asante Yesu kwaajili ya Mtumishi wako huyu,nimeongeza hatua.
Nmepata nguvu I will make it serious😮 by the help of the holy spirit
Amina. Asante kwa mahubiri mazuri paster
Amennnn. Amennn. Ubarikiwe mchungaji
Amen Baba kwa kunijenga nimepokea kitu muimu sana kwa maisha yangu ya kiroho
Jambo
Amena mtumishi wangu maumbiri yako mazuri sana unaogea nikweli ivyo
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu na wanaojiandaa
Amen thanks my Jesus Christ Amina
Najifunza vitu ving Sana kwako Mungu azidi kuku tumia baba
Ninakwenda kuinuliwa kwa jina la Yesu.. Amen
Shalom nataka I kujua ni lini lile darasa ambalo alitangaza Past Mukabwa kwa Watumishi la Mtumishi Osanyu ni lini nipo Arusha natamani kuhudhuria
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏
Amen, nabarikiwa
Ubarikiwe na bwana mchungaji
Amen amen amen mtumishi
Thank you jesus
Amen and Amen
Bwana asifiwe pasta naomba uniombee nikilala naota watu wananiuliza watoto wangu wanakuja namba ngapi shule alafu naota Niko shule apo shu kunatokea vita wanafunzi watapigana mpaka wadungane visu naomba unisaidie na maombi
Hello Happy, Pole sana kwa hiyo hali inayokutokea ningependa kushauri kitu kama somo lilivyosema MDA BINAFSI NA MUNGU pata mda wa kushukuru, kuomba toba, nakupeleka haja zako kwa MUNGU ukiishi kwa kuzingatia hayo mambo MUNGU hakuachi ......
Mda mzuri wa maombi ni usiku ambapo na mambo ya gizani hutokea inaweza kua saa 5,6,7,8,9, 10 au 11 usiku tenga hata nusu saa katika hayo masaa usiache mpendwa iwe kila siku jumatatu hadi jumapili baadae utashangaa Roho Mtakatifu anakuongoza kwenye huo mda wako binafsi uombee nini
Na MUNGU atakujibu utaenda na ombi la kukemea huyo adui anayefuatilia watoto wako lakini MUNGU atakufungulia makubwa yale ambayo hukuwaza kuyaomba kwa wakati huo utashangaa ameshakujibu, MUNGU akutie nguvu usimame mwenyewe kwenye hili
Amina Amina mchungaji
Hallelujah 🙏 bwana asifiwe 🙌
Ameee🙏🙏🙏
Amen. Nimebarikiwa. Mungu atukuzwe
❤
Amina
Mimi Leo nimejifunza mengi kumbe pamoja na kuwa naomba sana lakini nimekwama kumbe nimekosea muda binafsi na huyu Mungu wangu 🎉
Kuna kitu kinwongezeka kwangu kila nikikufatilia Pastor. Mungu azidi kukuimarisha.
Uongezeke sana
❤
Namna yakupata kitabu cha maombi kwa wanawake ninaomba
Sisi tulio mikoani tunaomba namba yako poster ili tupate huduma ya maombezi
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Ameen ameen In Jesus name 🙏🙏🙏
Amen amen amen 🙏
Ubarikiwe sana Mchungaji
Amen 🙏
Amen 🙏 Amen
Amina
Amen
Asante sana mtumishi wa mungu kwa chakula hiki cha Kiroho nimebarikiwa sana kufunguliwa
Amen amen 🎉🙏
Amen Amen 🙏
Amen amen
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Ameni 🙏🙏
Amen🙏🙏🙏
Hallelujah amen