Hofu ya Mabadiliko | Fear of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING)* 08/ 07/ 2024
    SEMINA YA NENO LA MUNGU
    UJUMBE WA LEO:"HOFU YA MABADILIKO"
    (FEAR OF CHANGE)
    NENO KUU:
    "UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
    Kumbukumbu la
    Torati 28 : 6
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    WHAT IS METATHESIOPHOBIA
    METATHESIOPHOBIA is the Fear of Change, which may be rooted in a human desire to keep life in a comfortable and consistent place.
    METATHESIOPHOBIA:
    Ni HOFU YA MABADILIKO, ambayo inaweza kuwa na Mizizi ktk KIU & HITAJI kubwa la binadamu la kuweka maisha mahali pa utulivu na kupumzika kwa uthabiti wa Daima.
    "MAHALI PEMA PEPONI"

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 28

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa Baba Umetisha upo kwenye idara yangu niliisoma na ni Daktari mmoja Matata Sana Mungu wetu wa mbinguni akutunze mmmmmh aiseeeeeeed✍️✍️✍️🙏🙏🙏🙏👏👏👏

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 15 วันที่ผ่านมา +8

    Mimi nilikubali mabadiliko sasa hivi ninamaisha mengine kabisa

    • @megastudio5763
      @megastudio5763 14 วันที่ผ่านมา

      Habar, nime penda kujua ilikuwaje kwa upande wako, m nipo njia panda nataka nibadlike kbs, mbali na nyumbn

  • @emmanuelmbola5246
    @emmanuelmbola5246 14 วันที่ผ่านมา +2

    Wow this is fantastic sermon, May God bless you pastor!

  • @dadprince1490
    @dadprince1490 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nitabarikiwa ningiapo na nitabarikiwa nitokapo Amen be blessed servant of God

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @margaretsseriamalisa8913
    @margaretsseriamalisa8913 13 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana. Roho wa Mungu akutunze kwa jinsi anavyokutumia.

  • @stellashao7885
    @stellashao7885 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu anatupenda 🙏❤️

  • @JudithFungo
    @JudithFungo 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nimebarikiwa mtumishi sanaaa Mungu akuweke

  • @user-wy3uc2cd8x
    @user-wy3uc2cd8x 14 วันที่ผ่านมา +1

    😊😊😊😊😊

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 15 วันที่ผ่านมา +1

    Amina.ubarikiwe.sana

  • @MOLLY-r6o
    @MOLLY-r6o 14 วันที่ผ่านมา +1

    Very nice teaching.

  • @CatherineSonco
    @CatherineSonco 13 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumishi, nimebarikiwa

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 15 วันที่ผ่านมา +1

    Amina.asante.sana

  • @user-by8oy7nk6e
    @user-by8oy7nk6e 15 วันที่ผ่านมา +2

    Godbles you

  • @merinaemmanuel3593
    @merinaemmanuel3593 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 15 วันที่ผ่านมา

    ✍️✍️✍️✍️🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏👏👏👏oooh my God oooh my Lord thenk U Lord thenk U Lord......

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ameen

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 15 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @dadprince1490
    @dadprince1490 14 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @HelenaHamisiMakala
    @HelenaHamisiMakala 14 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 15 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli.❤

  • @sindimangale8232
    @sindimangale8232 14 วันที่ผ่านมา

    Nitawezaje kuwa pamoja nanyi kwenye smartphone ama television

  • @MagrethRuttha
    @MagrethRuttha 15 วันที่ผ่านมา +1

    Metathesiophobia,

  • @user-dw4zq3ii4h
    @user-dw4zq3ii4h 7 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @ZawadiMwandenuka
    @ZawadiMwandenuka 14 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @bethwinfred4400
    @bethwinfred4400 14 วันที่ผ่านมา

    Amen