HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 111

  • @jumaibrahim9773
    @jumaibrahim9773 7 วันที่ผ่านมา +7

    Mm sijaona cha maana alichoongea

  • @omarkapayer1412
    @omarkapayer1412 3 วันที่ผ่านมา +2

    Vijana tujitume tusitafute short cut na kuingiziwa fikra za ajabu na watu kama Hawa kidogo chetu🙏 Mungu Kwanza Pili Mungu Mwisho Mungu Allah atufanyie wepesi

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 9 วันที่ผ่านมา +4

    Haya wasio na laki wakakojoe wakalale 😂😂 nimecheka watu wako serious na kaz 😂 @chief mm nakuombea SKU moja ufanye kaz na Yesu utapendezea sana sante

  • @JumaChristina
    @JumaChristina วันที่ผ่านมา +1

    Kaka wewe unahela sana ila huna furaha maishani mwako lakini kuna mtu ambae hana hela rakini anafuraha sana

  • @panduafricangiant4902
    @panduafricangiant4902 10 วันที่ผ่านมา +6

    Hakuna cha iluminate kuna principles mnaishi nazo nmezijua am on they way to succes

    • @emiliankomba5217
      @emiliankomba5217 5 วันที่ผ่านมา

      Emb niambie mzaz, tushare wote damu yang hizo kanuni

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 วันที่ผ่านมา

      😅😅

  • @antidiusalfred365
    @antidiusalfred365 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kwahyo wanawake wote wameajiliwa sema kwamba unamahagano na Lusifa

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f 6 วันที่ผ่านมา +2

    Chifu MUNGU wa mbinguni akusaidie sana.duniani akuna tajili ambae atampita sulemani.lakin Leo yupo wapi.amegeuka udongo.wacha kupoteza roho za MUNGU kwasababu ya kumfata shetani wako.maisha ni kama kunijilisha upepo soma mathayo 16:26 okoka chifu Dunia hii sio ya milele.walikuwepo matajili kuliko wewe wamepita na Leo hawapo tena.basi ata wewe ndani ya mia 100.utakuwa umegeuka udongo.nafasi Bado ipo BWANA YESU anakupenda.acha kupoteza roho za MUNGU kwasababu ya pesa za mashetani.utajibu nn kesho mbele za MUNGU.muamini yesu nae atakuokoa.na kukutoa katika utumwa ambao teari umeingia .na unajutia nafsi yako sasa.mungu akusaidie sana amina.kila kitu kinapta Dunia hii.

    • @mussabaraka9498
      @mussabaraka9498 6 วันที่ผ่านมา

      Ni sawa lakini kila kitu kina zama zake huyo nabii uliemtaja ulikuwa wakati wake na huyu mwamba ni muda wake pia so #kojoaukalale boss kasema

  • @fuadbawayo9233
    @fuadbawayo9233 5 วันที่ผ่านมา +2

    Tajiri aongei sana ww Huna lolote mwizi tu alafu ni mshamba

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Maskini mbwa taka taka tutafute hela

  • @user-we7uq1qh7p
    @user-we7uq1qh7p 5 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu ni tapeli 😊

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz 3 วันที่ผ่านมา +1

    Laki tano kujiunga washamba washamba wapige tu!!😂😂😂😂😂😂😂

  • @riyadhelbakry6375
    @riyadhelbakry6375 4 วันที่ผ่านมา +1

    Huwezi kuowa tunajuwa kwasbabu ilo jicho latatu ndo unalitoa sasa nguvu zakuowa unapata wpi 😄😁

  • @Vladmir9112
    @Vladmir9112 6 วันที่ผ่านมา +3

    Wa kongomani kwanini hautujibu

  • @user-kg2tm2eq7q
    @user-kg2tm2eq7q 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanzo nlianza kumuelewa ani alianza kuni motivate ni work hard lkn alivyo weka mambo ya jicho la tatu 😂😂 Au bac poor me

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanamke hana hela atatoa wapi hela kama hafanyi kazi hizo hela atatoa wapi.wakati hutaki apigiwe smu na bosii

  • @feysalramadhan8541
    @feysalramadhan8541 4 วันที่ผ่านมา +1

    Utaiyacha

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dogo kuna kiti huwezi kilipia nacho ni uhai, so kojoa nenda kalale Mungu aliyekupa pumzi humlipi na ipo siku ataichukua. Stay humbled all the time

  • @EddykingJuma
    @EddykingJuma 2 วันที่ผ่านมา

    Mwiziiiiii😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😂😂😂😂mbona unaibia watu kama kujiunga asijiunge ukishaanza kumpa kiaci

  • @Kenya844
    @Kenya844 7 วันที่ผ่านมา +1

    Shoga ww pesa unayo ssa mbona maskin alipie laki apate wap

  • @Japharyhh
    @Japharyhh 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wajinga utawakamata mzee nakubali 🙌

  • @bariyowsinaiali5695
    @bariyowsinaiali5695 10 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe wakate ulikuwa maskina sana..umi sahawu shame on you..enjo ni kuowe

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 4 วันที่ผ่านมา +1

    Km umewez kumilik lak kwann usifight ukamilik 100m

  • @veronikatesha7000
    @veronikatesha7000 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We wakiume
    Nikushauri tu hamna tajiri anaejitangaka kuwa anapesa kama wewe mshamba tu
    Huna Hela Wala Nini unazakujikom tu maisha yako wenyepesa wetulia Wala hawajisema acha ushamba bro wakiume wewe

  • @Timothy-o2e
    @Timothy-o2e 4 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekuelewa sana

  • @user-eb8rf5sp3o
    @user-eb8rf5sp3o 9 วันที่ผ่านมา +1

    Boss lady nae yupo busy.

  • @LuluByams
    @LuluByams 7 วันที่ผ่านมา +2

    Utapeli tu kuoga Aaaaah 😂😂

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 8 วันที่ผ่านมา +1

    Dahh wanicheksha aisee kwa hiyo km mtu hana laki ya kukutafuta wewe akakojoe akalale sio haya bhan yetu macho km utajirii ni rahisi hivyoo unavyojinadi wengi tungekuwaaa tajiriii lakini pia unasema mwenyewe jicho la tatuu ndio mwanzooo wakufanikiwa hapo vipiiiiiiiiii c salknasema maisha na magari ya kwako

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kichaanini huyu

  • @chazjerome9999
    @chazjerome9999 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nguvu Ya ELUMINANTI Hiyo Msenge Nani Ww

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe wapo machoko wanaolipa laki laki zao😅😅 mbwa ww

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 7 วันที่ผ่านมา +1

    unawanga wewe saa nane za usiku...

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂nakukubali ila leo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jacksongabriel2092
    @jacksongabriel2092 วันที่ผ่านมา

    MTU atakae kuskiliz na akatuma ela kwel kumamake atakuw anajin za kufirw maan...kwanz howcames tajiri unatak ela ya maskin pia kivip unatumia nguvu kubw kujifanyia marketing maan huw kizuri kinafatwag

  • @reginamlay5263
    @reginamlay5263 10 วันที่ผ่านมา +1

    YESU TUHURUMIE TUMEZIDI KUPOTEA

  • @silageorge1638
    @silageorge1638 8 วันที่ผ่านมา +1

    Bro yani ungekua na hela sijui ingekuaje

  • @iamerickshirima
    @iamerickshirima 3 วันที่ผ่านมา

    Acha kutubeba ujinga 😂

  • @IddySimba-fp2cc
    @IddySimba-fp2cc 3 วันที่ผ่านมา

    Tuma pesa upigwe za uso😂

  • @Veni584
    @Veni584 6 วันที่ผ่านมา +1

    Ni wivu

  • @bizden007
    @bizden007 3 วันที่ผ่านมา

    Hamna cha maana alichoongea

  • @thejoeclassicsoldier
    @thejoeclassicsoldier 5 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂

  • @JitihadaIddi
    @JitihadaIddi 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ila jicho 3 hapo unatupotezaaaa hapo umefeli

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mbna huwa unatumia nguvu sana kutuaminisha kwmba una hela iv hela ndo zinatakiwa hivo ??

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmmm huna jipya

  • @abubakarmustwafa-lg8fe
    @abubakarmustwafa-lg8fe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huna hoja ni upuuzi tuu wa masharti ya Illuminati

  • @makameniga9566
    @makameniga9566 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huna kitu fala ww

  • @BettyNzegenuka-yr5xq
    @BettyNzegenuka-yr5xq 3 วันที่ผ่านมา

    Wenye D mbili tumeelewa

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i วันที่ผ่านมา

    Uchawi unakusumbua kijana

  • @iambeat2430
    @iambeat2430 6 วันที่ผ่านมา

    Toka hapa 😂😂 Mfano mimi sina hela kama zako..Ila hela zangu zinanitosha tokaaa hapa....😂😂😂😂😂

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 3 วันที่ผ่านมา

    Wacha maneno mengi bro napenda mafanikio lakini sipendi masharti yakufurahia mafanikio yangu kama wewe unavyotumikia mashart hata ukimpata huyo unaemtaka wewe bado mashart uliyopewa hayato kuruhusu kuwanae na ukilazimisha utakubaliwa lakini utapewa masharti mengine magumu zaidi, sasa ww nimuoga ndio maana umeganda hapohapo ukijiona mjanja leo naona umeamua kutuma ujumbe kwao kwamba unataka kuowa 😂 ila inategemea na ushawishi wako kwa jamii na unachokitoa kwao, anyway pambana kwanza uruhusiwe kulala muda unaoutaka sabab tunajua ukijilazimisha kulala mapema itakua noma watakukaza kinoma😂😂😂

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 8 วันที่ผ่านมา

    Muda haudanganyi, na muda huwa unaongea. Hata saa mbovu iliyosimama huwa inasema ukweli mara mbili katika siku !!

  • @mussaluhwago8829
    @mussaluhwago8829 10 วันที่ผ่านมา +3

    🎉🎉🎉🎉

  • @shimemondo2963
    @shimemondo2963 4 วันที่ผ่านมา

    Utapeli😂😂

  • @veronikatesha7000
    @veronikatesha7000 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ziifadhi hizo kauli zako we mkaka
    Huna loloteeeee isitoshe hata hamna anaekushobokea
    Kutwa kuongea uongo tu

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 วันที่ผ่านมา

    Mkiugua msiwe mnasumbua watu na michango mbwa nyie

  • @anoldpotentin2446
    @anoldpotentin2446 5 วันที่ผ่านมา

    Kwamba unataka mwanamke atakae kupa mda wake mwingi na kazi yake iwe kukuhudumia wewe then uyo mwanamke tena awe tajiri? 😂😂 sasa mda wa kuutafuta uo utajiri ameutoa wapi? Na utaki awe na boss ila unataka awe na hela, inshort ukitaka mwanamke wa kukutumikia wewe oa mwanamke masikini na uwe unampa hela nzuri mbona utaenjoy sana

  • @user-cv4yx4uf8u
    @user-cv4yx4uf8u 5 วันที่ผ่านมา

    Wenye laki ambazo Hazina kazi ,,kazi kwenu kutuma 😂😂😂

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 5 วันที่ผ่านมา

    We ni mpumbavu unataka mwanamke tajiri wakati unajinasibu una pesa wee siunataka kuwa kibenteni au kiserengeti ?

  • @sullecom
    @sullecom 5 วันที่ผ่านมา

    Si utafute unayemta sasa

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 8 วันที่ผ่านมา

    NI PESA HALALI, AU USHETANI NI MWINGI MZEE?❤

  • @user-wy7zl2vr6k
    @user-wy7zl2vr6k 10 วันที่ผ่านมา

    Unajua huwa kunamda nakuonaga wa maana ila leo nimekushushasana, sasa kwani huyo mke maskini humtaki kwani umaskini kautaka yeye, mh, yaani mke tajiri ndo wamaana, mh, ebu mungu naakupe huyo mke tajiri, mh, atakufanyaunalia kilaleo utakuja kunikomenti hapa

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 8 วันที่ผ่านมา

    Mtihani mkubwa, Huyu mzee Haki ni Shida

  • @StephenOkoth-zj5it
    @StephenOkoth-zj5it 10 วันที่ผ่านมา +4

    Kumbe unajiringa na eliminate utakufa kesho

  • @user-td4le3xf7h
    @user-td4le3xf7h 10 วันที่ผ่านมา

    Mr money mr famous mtoto mdogo mwenye pesa nyingi hakuna kubisha ila nikuombe sana sapot yako kwangu naelewa uko bize sana ila mambo yangu sio

  • @samuelmlapwa7858
    @samuelmlapwa7858 5 วันที่ผ่านมา

    Mwanangu kwa hiyo umefungua hii biashara?

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 6 วันที่ผ่านมา

    Naikwela juu ya matusi sura mbovu!

  • @EzekielChristian-h9p
    @EzekielChristian-h9p 10 วันที่ผ่านมา +1

    Nkwer

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 4 วันที่ผ่านมา

    daah mang'ombe mnashida sana

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 8 วันที่ผ่านมา

    Kama sisi wenye tumejihajiri ila sikiuchawi

  • @user-ob8cd2zj1o
    @user-ob8cd2zj1o 8 วันที่ผ่านมา

    We Msenge unaongeaga fact

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 5 วันที่ผ่านมา

    Time wili tell

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 5 วันที่ผ่านมา

    Mwanaume unavaa dhahabu una mume?

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 10 วันที่ผ่านมา

    Sasa hao mbona wapo hao ambao Awana kaz unashidwa nini

  • @mohamedkipara1315
    @mohamedkipara1315 8 วันที่ผ่านมา

    Labda kwenye ukoo wako we ndio tajiri.

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 7 วันที่ผ่านมา

    Tema mate chini

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 8 วันที่ผ่านมา

    Usipo owa umeolewa 😅

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 6 วันที่ผ่านมา

    Wizi wackichawi 😅

  • @YunusiAthuman-ep5mc
    @YunusiAthuman-ep5mc 5 วันที่ผ่านมา

    Hivi kama ungekua wewe ungetoa laki

  • @safaritrust7531
    @safaritrust7531 10 วันที่ผ่านมา

    Mpumbavu wewe unawatukana maskini na ndio hao unao watapeli laki zao kumbe we mpigaji😳 mi nilizani mfanya biashara mlio lala amkeni tapeli uyoooo Ela za vimbao

  • @HusseinChai
    @HusseinChai 8 วันที่ผ่านมา

    Unavyo ringa kama chokooo vileee

  • @Adroph10
    @Adroph10 8 วันที่ผ่านมา

    Ila chifu

  • @JitihadaIddi
    @JitihadaIddi 10 วันที่ผ่านมา +3

    Daaaaahhh umetisha brothe 100 ya 100

  • @noelmunuo4660
    @noelmunuo4660 8 วันที่ผ่านมา

    Tapeli tu ungeingiza kwanza wazazi wako na ndugu zako huko kwenye jicho la tatu na wao wawe na pesa alaf ndio uje utuambie sisi

    • @halimaJumanne-jn4ks
      @halimaJumanne-jn4ks 8 วันที่ผ่านมา

      Iyo kweli na kuowa angeowa yy c anawaingiza watu wapate utajili amuingize na uyo mke atakae muowa Ili awe tajili apate kuishi nae kama ni kweli wajinga ndio waliwao

    • @noelmunuo4660
      @noelmunuo4660 8 วันที่ผ่านมา

      @@halimaJumanne-jn4ks na wewe umemshtukia eeh, eti haoi mwanamke masikini sasa si aoe alaf amuingize huko awe tajiri

  • @daviddavidpeter-435
    @daviddavidpeter-435 7 วันที่ผ่านมา

    Na wewe kojoa ukalale na magari yako

  • @AmaniYoga-jx9ti
    @AmaniYoga-jx9ti 7 วันที่ผ่านมา

    Katombwe uko watapeli wanyakyusa wenzio

    • @mgambowayesu
      @mgambowayesu 6 วันที่ผ่านมา

      Wanyakyusa wamekujaje umu

  • @RamadhanMabwabwa
    @RamadhanMabwabwa 7 วันที่ผ่านมา +3

    Jicho latatu pengine ni mkundu nyie jichanganyeni tu 😅😅😅😅

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂live kaka

    • @huss668
      @huss668 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @ukhtymwana40
      @ukhtymwana40 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @R1Lifestyle-f6n
      @R1Lifestyle-f6n 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n 10 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mtu mi namuelewa sana na ukiwa huna akili huwezi kumuelewa 😂😂

  • @KatabaroCleophace
    @KatabaroCleophace 10 วันที่ผ่านมา

    Wanakusadia kujaza mafuta Ela unazo lkn so kumsaidia mtu kwa Ela ikiwa hiyo ya kujiunga hata kama ni 100000/= mara watu Walio angaria video hii si unanunua range ya pili Ela unazo lkn Unatumia akili sana ira ni Nzuri lkn kwa Tanzania hii kuwa makini usifanywe kama Hushpap mzee mi Nipo upande wako kwakua una hakili sana❤

  • @Nick16697
    @Nick16697 10 วันที่ผ่านมา

    Huna lolote wewe maskini tu,,

  • @jacksongabriel2092
    @jacksongabriel2092 วันที่ผ่านมา

    MTU atakae kuskiliz na akatuma ela kwel kumamake atakuw anajin za kufirw maan...kwanz howcames tajiri unatak ela ya maskin pia kivip unatumia nguvu kubw kujifanyia marketing maan huw kizuri kinafatwag

  • @emanueldunia0014
    @emanueldunia0014 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa unataka mke mwenye hela ambaye hafanyi kazi au😂

    • @anoldpotentin2446
      @anoldpotentin2446 5 วันที่ผ่านมา

      Shangaaa na wewe ndugu yangu😂😂😂

    • @emanueldunia0014
      @emanueldunia0014 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@anoldpotentin2446 huyo jamaa amechanganyikiwa 😂😂😂😂

  • @elineemamalissa5270
    @elineemamalissa5270 3 วันที่ผ่านมา

    Tapeli tu wewe na ww kakojoe ulale

  • @kingkaka2358
    @kingkaka2358 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @Richard33ke
    @Richard33ke 5 วันที่ผ่านมา

    😂

  • @daktar_kapaku_natural529
    @daktar_kapaku_natural529 10 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂