Hebu jiulizeni ...mshawahi ona Bakhresa ama mtoto wake akipanga Hela namna hio !? Na akiamua kupanga Hela zake ....bunge la Tanzania litajaa noti na Bado zikose za pa kuwekwa
Huyo fala tuu ...Hana Hela zozote maskini mlala hoi ...pesa haioneshwi ...pesa inajotoa yenyewe ...na ukiona mtu anijisifu Yuko na pesa jua huyo ni panya wa kanisani ama bangunangu
Mimi nakubaliana na mtangazaji hapo kuwa jamaa kachanganya na mibao lakini bado ana hela hizo mbao zote uweke chini najuu hela halali bado tu hela anazo Ila tumuite tajili mwehu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hizo pesa bwana watyu wanawivu sana ukipata pesa mchawi ukiwa maskini ugishugulishi sasa afanye nn kila mmoja anautafutaji wake sasa kaweka vibao ajaweka ayawahusu acheni ushamba😂😂😂😂😂
Mi nafikiri ufanye vitu vya maana vya kuelimisha,, kuburudisha na hata kutoa fursa wengine tunatamani tuwe kama wewe ila ndio hivyo hatujui kwaiyo achana na huyo ni maisha yake weka vitu vya maana
Oya rick kausha izi mambo zitakukata KWA sababu hazita kuongezea wafatiliaji ivi awe anahela ama hana hela nyinyi kinapungua nini ama kinaongezeka nini
Amekosa adabu Magu amekufa, angekuwepo nidhamu ingepatikana meenyepesa tangu lini kujitangaza, ana Bank nyumbani kwao? Serikali iko likizo au? Huu ni ujinga na hila za utapeli, kwa kazi gani yaliyo nayo?
Ha ha ha ha huna macho yakuona brother tazam hyo note amenuuwa yeny iko juu iko na maindishi yachni haina maindishi hat moja Aki mung nimukubwa ametupea macho vzri kam hujatazama vizri Unaweza fikiria ni Pesa na Han hta 1% 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
wabongo kwa kuchunguza tuko makini aisee
Mwenyepesa haijawahi kunitangaza hata mara moja😊
Chief mwanangu uko Sawa ,Niko Kenya nakufuatilia sana
Duhhhhh sio poa Hongera ndugu mtangazaji kwa kutujuza kitu ambacho tulikuwa hatukijui
Daaa! Ukiangalia kwa haraka huwez gungua da! Ila watu kwa kuchunguza noma
Pesa anazo ira asifanye kufulu maana mungu s mjinga akikupa wasaidie wasio jiweza lakin mungu anakun hay dua kwako broo😊
Dah kweliiiiii anatudanganya
devo king nampendasana
Jaman kaka tusaidie na wengine tufanye biashara
Hebu jiulizeni ...mshawahi ona Bakhresa ama mtoto wake akipanga Hela namna hio !? Na akiamua kupanga Hela zake ....bunge la Tanzania litajaa noti na Bado zikose za pa kuwekwa
Huyo fala tuu ...Hana Hela zozote maskini mlala hoi ...pesa haioneshwi ...pesa inajotoa yenyewe ...na ukiona mtu anijisifu Yuko na pesa jua huyo ni panya wa kanisani ama bangunangu
Noma sana
Mimi nakubaliana na mtangazaji hapo kuwa jamaa kachanganya na mibao lakini bado ana hela hizo mbao zote uweke chini najuu hela halali bado tu hela anazo Ila tumuite tajili mwehu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sas wew kama hujui kama ni kweli. unatangaza nin ??
Wazee wa ku zooom😳😳😳😳🤣🤣🤣🤣
Chief Godlove mbao
Naijua iyo
Huyo jamaa anapesa kweli
Dr kweli atamimi nimeamini siyo zenyewe
Hizo pesa bwana watyu wanawivu sana ukipata pesa mchawi ukiwa maskini ugishugulishi sasa afanye nn kila mmoja anautafutaji wake sasa kaweka vibao ajaweka ayawahusu acheni ushamba😂😂😂😂😂
Asa kama nivibao nahayo magari yagarama anayotembelea nimatoroli au huyo anayo pesa tumieni akili mtu anagari zaidi yatano kusoma hujui picha hauoni😂
Sauti ya mtangazaji mbaya.
Kama sio pesa sinatuhusu nini na ww igiza Kama nae anaigiza
😂 Haache polojo afanye kazi
Amna ukiwa na pesa nyingi ukizirekod Hua zinagoma Wakati mwengine 😂😂😂
Jaeni kwenyekumi nanane mmalizwe auyo akikupiga pesa anaweza kukuawa atakivyo
Michezo ya kwetu Tunduma hiyo 😅 hatari sana
Wanatunduma wote tukutane hapa
Pamoja na Nakonde😂 nilipita uko nimekumbuka mbali nikabadilisha na vipaundi vyanguu😂
Michezo ya kwetu Tunduma hiyo 😅
Izo pesa bhana
Kweli Siyo Hela.
Wewe mavi yko zile gari alinunua na makalio yko
Huyo maisha yalimpiga akaamua kujiunga na ushetan kwanza ajawahi kujiamin anakaa na mashaka kama amevurugwa flani ivi.?
Mwenye Pesa uwa hajionyeshiii huyo ana mawazo ya kimasikin
Yap upo sahihi mwanangu hata kama anazo ila kwa hapa amezingua
Iringa mpaka dar sio safari rahisi acha awatishie mbao za kwao😂
Mtangazaji punguza mbwembwe kwenye habari, unachefua yaan m2 anakosa ham ya kuendelea kusikiliza
Maskini mbwa takataka, Wana Wivu, lakini Mimi ninachojua Chief Ana pesa nyingi Sana, Sasa Acheni wivu nyie maskini,kenge,😔✌️
Matajiri wana pitiya wakati mgumu ki noma, wew unae sem ni mbao katu tengenezey na wey tuone, ao kiki izo?
Kama hujuiii kaaa kmyaa bhax mwandixh wa habari cjui nyingi utafungwa
Mi nafikiri ufanye vitu vya maana vya kuelimisha,, kuburudisha na hata kutoa fursa wengine tunatamani tuwe kama wewe ila ndio hivyo hatujui kwaiyo achana na huyo ni maisha yake weka vitu vya maana
Kuwa na pesa za kumotivate watu sio jambo rahisi zinaitaji uwe bilionea kweli kweli other wise lazima utaweka vimbao mbao kidogo Pesa ngumu majameni
Kwani watu wameona kuwa pesa ni nini labda kama tunakufa tunaziacha unazitambia nini ni upuuzi tu
Jamaa pesa anayo sema watu wivu tu
Ndio pesa anayo ila angalia vizur upande wa kushoto kwako kwenye hilo burungutu elfu 10 imejikunja kibao kimeonekana
Hana hela bro wenye hela hawana mbwembwe hizo na kwann anatumia nguvu kubwa mpaka vibao
Jamaa anahela kweli ila anazidishaga mbwembwe anapesa ya kawaida sio kama anavyo aminisha watu
Hana pesa ni fake za attetion😅😅😅
Jama pesa anayoila sioiyo anayotuonesha mitandaoni naongezea vitu bana anatupigaaaaa
Kulia kupokezana.😅😅
Acheni wivu jamn pesa anazo he hayo nagari yanatoka wap
mwamba anmuonea wivu mwana...mwana ana vumba bhanaa
Hakuna cha kuona wivu ukwel kuwa huyu jamaa hana pesa na mwenyew kasema
ACHEN UVIVU NA WIVU.... TAFUTEN HELA.. UPUUZ
Ginimbi 😂😂😂😂😂
Muacheni ale maisha kapambana kaondoka kwenye umaskin so muacheni kajitafuta kajipata
Kweli kama ni Pesa mbona Sisi atupatiye anipe kwanza njo nijuwe ni Pesa
Ela anazoo
Amna kitu apo ila ata kuji brandi ivo ni moyo na niviji senti pia 😂😂😂
ila jamaa anatupiga kwakwer mweny hela hajitangazi kwanz ili iweje kwa mfano 🙄🙄
Dada unaongea sana unabore na kiingereza chako cha mchongo
Kweli ana zingua
Anakera hasa, mm nikimsikia yeye kwenye habari zao Tyr najuwa hapa hamna kitu. Dada mbona wenzako hawabwabwaji hivyo
Ela mchezo kwan
Acha ushirikina Kuna kufa
Kaka tufanyeje
Sisi tunamjuwa huyo mpaka kwake ni tapeli tu
Oya rick kausha izi mambo zitakukata KWA sababu hazita kuongezea wafatiliaji ivi awe anahela ama hana hela nyinyi kinapungua nini ama kinaongezeka nini
Wajinga Kuna vingi vya kufanya
Jamaa pesa anayo si izo kazidondosha tumeona kuna wengine ata mia hawana
Pesa kidogo hizo ukitakakujua geuza kwenye dollar ndiyo utajua hunapesa kijana
FAKE IT UNTIL YOU MAKE IT🎉🎉🎉
Izo ni pesa sema ni wivu tu
Amekosa adabu Magu amekufa, angekuwepo nidhamu ingepatikana meenyepesa tangu lini kujitangaza, ana Bank nyumbani kwao? Serikali iko likizo au? Huu ni ujinga na hila za utapeli, kwa kazi gani yaliyo nayo?
Asawan Elphas from KENYA acheni wivu hizo ni pesabana
Ha ha ha ha huna macho yakuona brother tazam hyo note amenuuwa yeny iko juu iko na maindishi yachni haina maindishi hat moja Aki mung nimukubwa ametupea macho vzri kam hujatazama vizri Unaweza fikiria ni Pesa na Han hta 1% 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Brother nimekubri Unajua kuchunguza kweri makaratasi ngo nipesa 😂😂😂😂😂😂😂
Usikute anawatapel watu
Na hayo magar anayotumia yote ni fek ya kuzungusha subir tra waone
Tapeli huyo
Sio za kweli anaweka vibao
Nanyie tafuten sio nyoko nyoko tu
Je hatakama vbao unaweza rngana nae
Buraza mambo vipi
Hizo ni pesa JAMA anaheha
Yote yanini kujitafutia husuda za bure?!
Huyu ana ndangu,pesa za majini au ana jini ambaye anampatia hizo pesa
Anatak kumuiga tekash 😂😂😂 utachanip msamba
Cretivity dooh pink manilla paper
Nisaidie duguyagu
Nipesa izo
Wenye pesa hawaoneshi😂
Hakuna siku wataonyesha kabisa pesa zao ni vile wata hawajui
Huna hela mzee acha kuvimba na kiini macho kibao kinaonekana kbsa icho umeweka rangi ya waridi
Pesa ya Tanzania ovyoo
Huyo jamaha Hela anazotu😝
Pesa anayo mabwege nyie
Huyu mchizi kumbe boya 2. Tulijua huwa ananoti kumbe tapeli nyoooo
Jaman acheni wivu godlove hela anayo kuhusu pesa anayo
Bas itakuw ata izo stalee sizakwer
Unaongeya saaana dada
nataka ku joinfreemason
Ana kipi cha kumuingizia pesa
Nyie vp tafuteni pesa hizo ni pesa kwani pesa haziwezi milikiwa na binadam?
Aisee watu wanachunguza
Oi amna k2 apo
Hahaha jamaa muongo uyo
Mwehuuu
Hela hiyo acha ujinga
Mshamba tu uyo wenye huwa hajitapi km yeye !
Kama ana pesa hayo magari yanani au ana kodi
Jama kawa maarufu sasa
Uyoaachesifa