ALICIA KEYS alivyoivunja NDOA ya SWIZZ BEATZ na MASHONDA, hii ni BARUA kali/ndefu aliyoandikiwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ย. 2021
  • Kabla ya kumuoa Alicia Keys, Swizz BBeatz aliwahi kuwa kwenye ndoa nyingine na muimbaji Mashonda Tifrere. Uhusiano wao ulianza mwaka 1998. Nini kilitokea hadi ikavunjika? Na vipi Alicia anadaiwa kuwa sababu ya kuvunjika kwake? Ungana na Sky kwenye makala hii

ความคิดเห็น • 106

  • @michaeljeremiah5364
    @michaeljeremiah5364 2 ปีที่แล้ว +33

    Ukiona ndoa imedumu jua mwanamke kavumilia Sana mungu wabariki wanawake wote,wanaume si ni watu wa ajabu kuliko ajabu yenyewe...

    • @vailetjulius4782
      @vailetjulius4782 2 ปีที่แล้ว

      Amin Mungu akunatiki maisha yako yote

    • @deborahcharles5676
      @deborahcharles5676 2 ปีที่แล้ว

      Kweli halisi

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 2 ปีที่แล้ว +1

      Brother ujengewe Sanamu au😂🙌🏾

    • @michaeljeremiah5364
      @michaeljeremiah5364 2 ปีที่แล้ว +1

      @@luisojr3480 😄😄😄dah!!!...ndo ukweli huo chukua iyo

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 2 ปีที่แล้ว

      @@michaeljeremiah5364 😂😂 Nakubal brother

  • @paulinebohela2540
    @paulinebohela2540 2 ปีที่แล้ว +14

    MASHONDA IS STRONG..REAL SUPERWOMAN!!!

  • @moudboss2030
    @moudboss2030 2 ปีที่แล้ว +18

    Kuna WANAWAKE mnapitia Magumu kwenye MAHUSIANO Hadi Najiuliza MUNGU anakuwa wapi muda Huo 😭😭😭
    Lkn Napata Jibu kuwa MUNGU Ukupitisha kwenye kila Gumu kwasababu anajua wewe Ni MSHINDI NA UNALIWEZA CHA MSINGI NI SUBIRA NA MAOMBI KWAKE.
    MUNGU NI MWEMA na Wakat wake Ni Wakat SAHIHI SANA.

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 2 ปีที่แล้ว +12

    Mashonda super woman 🙌

  • @vickyhunterpapa1247
    @vickyhunterpapa1247 2 ปีที่แล้ว +7

    I just love sns news, keep doing wonderful job

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 ปีที่แล้ว +11

    Cracking head story, ladies born to suffer I can tell it through this story, imagine being In a marriage with a man and all over the suddenly he choose another woman over you, he z In marriage but he can't feel guilty to cheat, those are the men, yes I am man too, God help us not to hurt our beloved ones, it has no sense when you hurt someone who is genuine and crazy in love with you. 😭😭😭😭😭

  • @jordanjordan3935
    @jordanjordan3935 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwanaume ndio alisaliti ndoa he is to blame kwa asilimia 95 na alisha 5 tu! Jamani mtu haibiwii anaenda mwenyewe! HaTa Alicia angemucha angenda kwa mwingine

  • @chichi-gp4ss
    @chichi-gp4ss 2 ปีที่แล้ว +11

    Hizi nakala nzuri sana sky… wengine tulikua wadogo ila wasanii tumewajua ukubwani so we need the stories za zamani

  • @mauwapremice7080
    @mauwapremice7080 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimejifunza kitu apa 🙌 duuh ila mashoda nimvumilivu💪super women kabisa ❤ na Asante sns kwa huu ujumbe 🤗

  • @costadady2718
    @costadady2718 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashonda is real super women

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 2 ปีที่แล้ว +7

    Swezz beats mshenzi kama washenz wengine

  • @alibinali_
    @alibinali_ 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks sky for the news 🙌

  • @munisomiraji9879
    @munisomiraji9879 2 ปีที่แล้ว +1

    so touching story

  • @dainagano3656
    @dainagano3656 2 ปีที่แล้ว +2

    Sema mashonda mdhuriii😍😍😍

  • @bintnouh4483
    @bintnouh4483 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashonda ni mmarekani lakini ana roho ya mama wa kiafrika😍😍

  • @KesheMedia
    @KesheMedia 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashonda kajua kujing'anganiza mpk anapelekwa kwenye therapy yupo tuu...Mwanaume akikuchoka huna kitu unaweza fanya

  • @nzumbimasanja
    @nzumbimasanja 2 ปีที่แล้ว +8

    Najitathmini na mimi, swiz beat ni Malaya sana

  • @tallyfa05saeed67
    @tallyfa05saeed67 2 ปีที่แล้ว +1

    She's very very strong woman

  • @zaitunifamao7777
    @zaitunifamao7777 2 ปีที่แล้ว +1

    So touching story😢😢😭

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 2 ปีที่แล้ว

    Makala nzuri

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 ปีที่แล้ว +5

    Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzio

  • @levinamaico6888
    @levinamaico6888 2 ปีที่แล้ว +3

    Daaah barua imeniogopesha hii duuuu mapenzi haya

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 2 ปีที่แล้ว

    Ufafanuzi..Mkali Sana Elimi Poa:-🤞🏾🙌🏽😊

  • @xxmidnightzepetosuni8106
    @xxmidnightzepetosuni8106 2 ปีที่แล้ว +4

    wanaume wana tamaa huyo aloibiwa mume chombo sana

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว

    Duuuu!!bonge la ujumbe ujui utajua tu💔🔥🔥🔥inaumaa sanaaaaaaa jmn jmn

  • @africatoday861
    @africatoday861 2 ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢😢😢 cjui kwa nini nimelia...mungu nisaidie

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 2 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda Alicia Keys ila nimempenda Mashonda zaidi! Swizz Beats kanionesha tu uhalisia wa wanaume

    • @jumakhaji1620
      @jumakhaji1620 ปีที่แล้ว

      Umeuwaaa Mzee ☝️🙏💃😂😁🤣🤣🤣🙏

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 2 ปีที่แล้ว

    Nikiolewa arafu nikasalitiwa itabidi nikuwe muvumilivu kama MASHONDA 🙌🙌❤️❤️amekuwa shuja kwenye ndoa yake

  • @FromTanzaniatoNorway
    @FromTanzaniatoNorway 2 ปีที่แล้ว

    ✌🙏❤❤

  • @mugishomichael1151
    @mugishomichael1151 2 ปีที่แล้ว

    😢😢

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 2 ปีที่แล้ว +1

    Eh ndio mi husema 1. Ogopa wasanii... Japo pia kuna watu wengi hupitia the same things as Mashonda.. So 2. Mwanaume wa kucheat will always cheat, ama 3. Huenda Swizzbeats hakumpenda tu huyo ex wake ju all that cheating... All in all, Mashonda ni mvumilivu sana, viatu vyake vinafinya sana ukivivaa

  • @matha7750
    @matha7750 2 ปีที่แล้ว +1

    Anyway inabd tu kukubali mana kama kapendwa mwingine zaidi yako what can you do
    Ila kbongo bongo haipooooo

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 ปีที่แล้ว +3

    Duuuh kumbe Swizz and Alicia nao walikuwa wamo🚶‍♀️

  • @user-rl3yh6ls7b
    @user-rl3yh6ls7b หลายเดือนก่อน

    Ni dhahiri kuwa Alicia Keys ni Superwoman

  • @fadhilplatnumz8474
    @fadhilplatnumz8474 ปีที่แล้ว

    Mashonda- stering wamahusiano duniani 👏👏✔️

  • @chuwagoodgood3524
    @chuwagoodgood3524 2 ปีที่แล้ว +2

    SNS is the best

  • @sadadololi4545
    @sadadololi4545 2 ปีที่แล้ว +2

    Daah, alivumilia sana 🤔

  • @francissamson7594
    @francissamson7594 2 ปีที่แล้ว +7

    Ndege wafananazo ndiyo huruka pamoja, swizz beatz na diamond ni washkaji.

  • @mchagashop1342
    @mchagashop1342 2 ปีที่แล้ว +14

    Swizz na mond ndio maana nyota zao zinaendana🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shamomar629
    @shamomar629 2 ปีที่แล้ว

    Makaburi

  • @kidatokezaa9064
    @kidatokezaa9064 2 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana mashonda kwani amechukulia maisha na ubinaadamu kua utu unathamani kubwa sana kwake

  • @zainabnassoro1109
    @zainabnassoro1109 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole mwashoda😭

  • @virendavictoria5174
    @virendavictoria5174 2 ปีที่แล้ว +1

    wanawake msing'ang'anie msipopendwa ndo mwishowe mnakuja kulia hadharani tuwaonee huruma kumbe mmejilazimisha kwenye mahusiano. we mtu kacheat once twice thrice uko tu eti mwanamke uliyejitoa sasa kama umejitoa unalalama nini, acheni ujinga

  • @alibinali_
    @alibinali_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama diamond Platnumz

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 ปีที่แล้ว +1

    Hila huyo #Mashonda ni Mrembo mno kuliko #Aliciakeys

  • @samsonemmanuel1918
    @samsonemmanuel1918 2 ปีที่แล้ว

    Samson Emanweli

  • @xxmidnightzepetosuni8106
    @xxmidnightzepetosuni8106 2 ปีที่แล้ว +2

    mashonda inaonesha ni mvumilivu na.mstaarabu sana

    • @vailetjulius4782
      @vailetjulius4782 2 ปีที่แล้ว

      Yes ni mwanamke mwenye uelewa sana na uvumilivu mkubwa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 ปีที่แล้ว

    Move on Mashonda

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 2 ปีที่แล้ว +1

    Sns yr too much 🙌🏽🙌🏽. For real kuingilia ndoa ya mtu daima itakukuna aiseee

  • @SaidiAyee-gi3ov
    @SaidiAyee-gi3ov 9 หลายเดือนก่อน

    Hap hujifuz kit mzz wa bundal

  • @saudazigaba2424
    @saudazigaba2424 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawezi kuwa karibu bila chuki kuna kitu anatafuta

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Mashonda

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila kitu ni kuamua

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 ปีที่แล้ว

    Halafu utaona watu wanasema msipe Dai tuzo anapenda wanawake 😀😀😀😀hao waandaji,watoa tuzo Dai hawafikii hata nusu,,chezea wanaume wee😀

  • @rashidramadhan7708
    @rashidramadhan7708 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashonda ni chuma

  • @hamzambasha8577
    @hamzambasha8577 2 ปีที่แล้ว +2

    Sisi wanaume ndoo mamaster wa kusaliti wanawake tusameheni tuu na mtuombe maana Tabia zetu zimefanana..

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @chany9950
    @chany9950 2 ปีที่แล้ว

    Daaah

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 2 ปีที่แล้ว +2

    UJENGEWE SANAMU HAPA US BABA NICO 🙌 😍

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe na huko wapo?

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 2 ปีที่แล้ว +1

    Nihatari kumbe njoo maana wana pendana na mondi kumbe wote ni ivo wa kuzaa nakila mama

  • @majaliwa.j.richard5436
    @majaliwa.j.richard5436 2 ปีที่แล้ว

    0

  • @JAMESMBWILOHACKJEMMYLITE
    @JAMESMBWILOHACKJEMMYLITE 2 ปีที่แล้ว +2

    Aisee Alicia keys m nakupenda Sana kumbe n muharibifu hvyo. 😢😢

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 2 ปีที่แล้ว

    Mashonda ni mwNamkee

  • @ezeredamwenda7254
    @ezeredamwenda7254 ปีที่แล้ว

    Mashonda mvumilivu janmani

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 ปีที่แล้ว +1

    kumekuchaa, Dunia yaleo Hakuna ndowa yakwe ni ngono duniya imeshewicha

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 2 ปีที่แล้ว +1

    hakumpenda mashonda, mashonda kalitambua hilo na kaendelea na maisha yake

  • @salomemchewa5187
    @salomemchewa5187 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli, hao wanzungu, sisi ngozi nyeusi hapatoshi

    • @lizzybeth6344
      @lizzybeth6344 2 ปีที่แล้ว

      Wanauzungu upi? Black American

  • @jamespilimo8986
    @jamespilimo8986 ปีที่แล้ว

    Bets ametisha,kuwaunganisha wanawake so jambo dogo

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 2 ปีที่แล้ว +5

    Kasim daudi dini .swali je jina lake ni la kiislam ye mwenyewe bado ni muislam?Allah amuongoze km bado muislam coz quran inatuambia piga uwa garagaza tusije kufa isipokuwa waislam

    • @graysontogo4251
      @graysontogo4251 2 ปีที่แล้ว

      Sawa sawa mkuu sio mchezo..!! Muombe sana Mungu akufunulie mambo zaidi

  • @happynjukiz6495
    @happynjukiz6495 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwamba swizz bonge la mzinzi hahaha

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 ปีที่แล้ว

    Awa ndio waume