PART 1:THE REAL WORLD/CHIEF AKITOA HISTORIA YAKE/NILIZALIWA NA MIEZI 13/NILIMNG'ATA MAMA ANGU/UCHAWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 มิ.ย. 2024
  • PART 1:THE REAL WORLD/CHIEF AKITOA HISTORIA YAKE/NILIZALIWA NA MIEZI 13/NILIMNG'ATA MAMA ANGU/UCHAWI
    Chief Kwenye Mkutano Na Wafuasi Wake Wa THE REAL WORLD_Akitoa Njia Ya Kuwa TAJIRI Lakini Pia Akitoa HISTORIA Yake Ya Maisha Yake Na Kuwaambia Kuwa Alizaliwa Akiwa na MIEZI 13 Na Akiwa Meno Mawili Na KUMNG'ATA Mama Ake___HII SI YA KUKOSA ‪@millardayoTZA‬ ‪@Chief_godlove‬ ‪@SimuliziNaSauti‬ ‪@globaltv_online‬ ‪@Wasafi_Media‬ @

ความคิดเห็น • 135

  • @user-td4le3xf7h

    Zaasubui kaka mr money mr famous mtoto mdogo mwenye pesa nyingi hakuna kubisha ila nikuombe msada niko vibaya sana niombe sapot yako

  • @nyamizisimbachawene3292

    Chief ana kundi Lake humo ambao wanafanya Michezo ya kitapeli kuhadaa watu yeye chief si Ana pesaro Iwaje achangishe

  • @user-mk9fc7bo2m

    Oya awa JAMAA wamekusanya umma na kupotosha watu wazma nyie mnashida gan kufa kupo karbu fanyeni mambo ya maana taften KIPATO halal siku Zimeisha wazee

  • @DottoMarko-ex4wb
    @DottoMarko-ex4wb 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo hakuna Freemason wa nini huyo anatafuta matakwa yake mwenyewe ivi anauwezo wa kumfanya mtu alie pangiwa na mungu kuwa maskini akamweka kuwa tajir? Sema binadam mungu akisha mfanikisha huwa anamwona mwingine kama mjinga

  • @bahatilyimo659

    Hawa ni matapeli wanawahamasisha vijana ili wawavute. Hawana lolote wanafanya usanii. Mkono wa Mungu uwakute na mkono wa Farao ukavunjwe kwa Damu ya Yesu

  • @user-ik8yy2wj6f
    @user-ik8yy2wj6f 21 วันที่ผ่านมา +2

    Yaan ukiwa naakili chiifu utamuelew anacho kifanya kama huna akili unaloho mbaya unamakasiliko yasio kuwa namaana huezi kumuelew ila mim chiifu kanisipaya sana toka nianz kumufuatilia nimepata mafanikio makubwa mm sijali anaamin ki2 gan ila mim video zake zinaniispay sana nasana nakuombea kwamungu uzidi kuepo kwan ww ni zawad 2lio pewa namungu cha kwanz huna roho mbay m2 huna undugu nae ila unamushauli pambana umasikin sio mzul ila kuna wapumbav wengin wanakuchukia ama kweli hata uwe mwema vp huez kupendw nawote chiifu chiifu mtoto mdogo mwenye hela nyingi nakukubali kaka 🫡🫡🫡

  • @activestudios.
    @activestudios. 28 วันที่ผ่านมา +2

    NIPENDE KUSEMA CHIEF PAMOJA NA MAMBUMBU WENZIO MIMI NINAANZISHA GANG LANGU SISI TUTAABUDU MUNGU ALAFU TUSHINDANE KWA PESA BAADA YA MWAKA UTANIONA

  • @iambeat2430

    Ukiwa na tamaa utavutiwa sana na haya mambo...Eeeeh Mungu wangu fungua akili ya watu wako..Pesa zipo kwenye maarifa yenu wenyewe....Wewe usiende kazini msikilize huyo chief uone kama atakupatia pesa ya kula..Sanasana ukijichanganya utatakiwa uwachangie matajiri..Daaaah 😢😂😂😂😂😂😂

  • @franklinekakiko8893
    @franklinekakiko8893 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe Chief God love ni mpumbavu na mjinga hivi, sikuwahi jua hili 😏😏,watapeli wajinga wenzio

  • @ayubutwalbu6594

    Jamani mkaabudu mskitini au kanisani acheni upuuzi

  • @RashidMkasigao
    @RashidMkasigao 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Saw

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg 14 วันที่ผ่านมา +5

    😢😢😢😢Duuh Wanadamu mwanadamu ni hatari sana mmmh ata shetan anashangaa wanadamu Yesu anarudi jaman msipende vitu vya haraka na vya bule kila kitu kinagharama yake ...nitamlingana Yesu na kuishi maisha yampendezae Mungu wangu alie wakweli

  • @elmackrambo487

    Chif natala niku représente congo ninsaidiye na sapoti yako

  • @bahatilyimo659

    Mithali.

  • @ElvisDavid-qn5vd

    Good speech

  • @DimaillOfficial
    @DimaillOfficial 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mambo vip Mr.Chief Godlove mimi bwana nihitaji msaada kuna ndoto yangu kubwa ambayo natamani kuifikia ila nahitaji suport ya usimamizi.

  • @omarkapayer1412
    @omarkapayer1412 28 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂😂 professional tapeli

  • @faiditv5535

    Mnajimaliza Bora msinge post

  • @directorkhasi4967
    @directorkhasi4967 21 วันที่ผ่านมา +1

    Director khasi