Angalia hapa Uongo wa Chief Godlove wa TikTok | Hana Utajiri ni Uongo | Toka Magetoni Wamuumbua

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 135

  • @MatiasclementeMmangule
    @MatiasclementeMmangule 4 หลายเดือนก่อน +1

    Love Moçambique

  • @MatiasclementeMmangule
    @MatiasclementeMmangule 4 หลายเดือนก่อน +1

    Love Moçambique ❤❤

  • @djpassovertz..tunaishimaramoja
    @djpassovertz..tunaishimaramoja 10 หลายเดือนก่อน +4

    Anawanyoosha lakn mi napenda idea zake na tumemjua kupitia Hilo

  • @tynegeemajor
    @tynegeemajor 10 หลายเดือนก่อน +3

    Daah nimemkumbuka Legendi Dk Shika 😢

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 10 หลายเดือนก่อน +14

    Duuh ila nilicho gundua kumbe mwamba alikua anaumiz wengi sio sisi tu kumbe TikTok 😅 hongera Chief leo bongo mzima yako

    • @JackieCharles-vl9px
      @JackieCharles-vl9px 10 หลายเดือนก่อน

      Anawaumiza ad clouds 😂😂🥲

    • @VukaRails-jp6mf
      @VukaRails-jp6mf 16 วันที่ผ่านมา

      Tapeli tu huyo kwani ukiwapata wajinga Mia tu una 20M

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 10 หลายเดือนก่อน +2

    Toka magetoni ndio Logo

  • @lizyonce7414
    @lizyonce7414 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi kweli clouds mmeacha vyote mnafatilia ya watu nyinyi

  • @kingfire7874
    @kingfire7874 9 หลายเดือนก่อน

    Noma sana

  • @hallin9561
    @hallin9561 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya nabii shillah

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mudu munaopoteza kufuatilia maisha ya watu kama mwengepambana na maisha yenu mwengefk mbali sana

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 หลายเดือนก่อน

      Ww umefika wapiii

  • @temistemis3328
    @temistemis3328 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mnashindwa kuelewa pointi yake ya msingi : anashauri utafutaji kwa vijana : sawa hela hizo ni za uongo : mnachofaidika ni nini : akili ndogo : kama una uelewa kwenye ubongo utajua nini cha kuchukua kutoka kwa jamaa vingine weka pembeni

  • @ibrahim_427
    @ibrahim_427 10 หลายเดือนก่อน +3

    Pesa kidogo Mbao nyingi 😎

    • @freddiemax7181
      @freddiemax7181 10 หลายเดือนก่อน

      😂 kidog9 nivunjike mbavu @ibrahim_427

  • @abrahamanthony5010
    @abrahamanthony5010 10 หลายเดือนก่อน +16

    Bora cheif Godlove hatakama hela hana kweli,lakini anaakili na ushauri wake unakuwaga mzuri.Kuliko Tajiri chui,huyu hana akili kabisa😂

    • @Hadzabetribe3
      @Hadzabetribe3 10 หลายเดือนก่อน

      Umeongea ukweli

    • @SaadaKiyungi-uz6jn
      @SaadaKiyungi-uz6jn 10 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha! Mbavu zangu jamani

  • @ben_digital
    @ben_digital 10 หลายเดือนก่อน +1

    Clouds ni Brand kubwa..sio kumpa airtime mpuuz huyu

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good love pemba boy Tajiri chui Serikali tunawapa wiki 1 muwakamate kwanza waseme pesa feki wanaprint wapi isije ikawa ndio wahalifu wanaosambaza pesa feki mitaani.

  • @jackmukundwa7856
    @jackmukundwa7856 9 หลายเดือนก่อน

    Kaumbuka 😂😂

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 10 หลายเดือนก่อน

    Yote sawa2

  • @allytwahir2305
    @allytwahir2305 10 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mwamb ela anayo ...ila ni kujiongeza tu kwani at hawa master wakubw tunawajua huwa wanacopy life na kuishi maisha ya kuigiza. ....soo mimi sijaon ubaya wake ...ila tokea nimjuee sijawaii sikiaa mtu akilalmik kia kazulumiwa n uyu mtu ....bali naon kila mtu ajihitaji kupewa life na uyu jmaa ......

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 10 หลายเดือนก่อน +2

    kweli bwana za chin hazina maandishi 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FastpayMauzo
    @FastpayMauzo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi clouds na nyie mnafatlia vitu vidogo kiasi hiki?

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 10 หลายเดือนก่อน

    Ni Pesa kwel bhana, Vijana tutafte pesa tu😂

  • @khiidomuzik4009
    @khiidomuzik4009 10 หลายเดือนก่อน +2

    Maskini😂😂😂😂

  • @TheCentkiduku
    @TheCentkiduku 10 หลายเดือนก่อน

    Sio twilaa, ni Twitter

  • @aliseif564
    @aliseif564 10 หลายเดือนก่อน

    😂Toka magetoni

  • @teenbamazaga9973
    @teenbamazaga9973 10 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni wivu kima nyie tafuteni Hela😅

  • @jumahatibu9240
    @jumahatibu9240 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni mshamba wa hela anataka watu waishi kibosi wakat yy mwenyew maskin anajifarij mwenye...😅 dah na watu kama hao wapo wengi mjin pesa za kuazima 😂😅

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 10 หลายเดือนก่อน +1

    Karatasi za pink😂😂

  • @othmanseyyidy2235
    @othmanseyyidy2235 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hadi clouds mlkua mnateseka 😂😂

  • @Namanda425
    @Namanda425 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli clouds mnajidhalilisha.

  • @sekiboko-tv
    @sekiboko-tv 10 หลายเดือนก่อน

    Hiii imeeenda😂😂😂😂😂

  • @inosentitesha8494
    @inosentitesha8494 9 หลายเดือนก่อน

    Atakua ana kitu kama milioni kumi tu na vimbao vyake😂

  • @hastatz
    @hastatz 10 หลายเดือนก่อน

    900 itapendeza

  • @allysalim4779
    @allysalim4779 10 หลายเดือนก่อน +1

    Clouds sasa mwambieni mwandishi wenu arudi kujifunza kuongea vzr kiswahili

  • @migosmigo8099
    @migosmigo8099 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ela mpya hzo ni kama mbao hata zinaweza kukukata ukatoa damu!

  • @NyagoIncmedia
    @NyagoIncmedia 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nyieee mafalaaaaa hata kama ni mbao hizo anazimwaga tu kumamae acha ufala ....we mwenyewe hunaaaa

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 10 หลายเดือนก่อน

      Watasema kaazima

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD 10 หลายเดือนก่อน

    Maanina anaekti maisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @cattovan_tz228
    @cattovan_tz228 10 หลายเดือนก่อน +7

    NITAJIE TAJIRIII MWENYE MANENO MENGII??,. HUYOO MASIKINI TUH😂

    • @osumsafi2095
      @osumsafi2095 10 หลายเดือนก่อน +2

      Moo

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@osumsafi2095amewahi kujitanganza kama hao tujiurize jamani umenena vyema mzee🙏🙏

    • @cattovan_tz228
      @cattovan_tz228 10 หลายเดือนก่อน

      @@osumsafi2095 mo huwaga anataja exactly amount aliyo-invest nitajie wapii mo alijisifia kuwa yeye ana hella wewe😂

    • @rajabushedafa6397
      @rajabushedafa6397 10 หลายเดือนก่อน

      Simba dangote

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@osumsafi2095koma wee

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hatuonyeshi anapofanyia kazi tunaona hela tu

  • @SaadaKiyungi-uz6jn
    @SaadaKiyungi-uz6jn 10 หลายเดือนก่อน

    Limbukeni

  • @user-xr2ze8wv5w
    @user-xr2ze8wv5w 10 หลายเดือนก่อน

    motivation 😂😂😂😂!

  • @FilipefocasRodriguez-vi3sr
    @FilipefocasRodriguez-vi3sr 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @DoreenWilliam-df6ti
    @DoreenWilliam-df6ti 10 หลายเดือนก่อน +4

    Maskin akipata lazima asumbuwe af cku zote matajir waliofanikiwa kwa njia halali huwa hawan maneno mengi lkn Kuna hawa sas mh.

  • @Florisvevotz
    @Florisvevotz 4 หลายเดือนก่อน

    Iko napesa muache zenu

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 10 หลายเดือนก่อน

    sjawaelewa hapa

  • @user-ty7gd7wc8d
    @user-ty7gd7wc8d 10 หลายเดือนก่อน

    Ww acha kuwatania wtu kuwa izo ni ela kaka

  • @mrfestomsyangi1305
    @mrfestomsyangi1305 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan hii media kuna kitu inabid mjifunze sku zote hamjawah kum post et Leo ndo unajifanya kumpost kisa kikowap

  • @user-zl9jz5fw8k
    @user-zl9jz5fw8k 10 หลายเดือนก่อน +1

    SAsa hatakama ni pesa feki hatukatai
    Swali kwa poster -- Anacho kifanya huyu mwamba kina faida katk sisi vijana ambao tuna ndoto za utaftaj au pia ana tudanganya??
    Answr me pls
    It's
    Postv
    Or
    Negtv impact??🎉🎉

  • @GloriaAlexanda-ld5zt
    @GloriaAlexanda-ld5zt 8 หลายเดือนก่อน

    Mnaihaibisha midia ya clauds mnafatilia mambo ya kishamba sanaaa huyo mwamba mchuzi upo

  • @jumahatibu9240
    @jumahatibu9240 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wenye hela hawajitangaz wapo busy na life

  • @kodimjeshi-cz1nt
    @kodimjeshi-cz1nt 10 หลายเดือนก่อน

    Mnataka mseme na ulemjengo sio wake

  • @user-tc7dh5gd1f
    @user-tc7dh5gd1f 8 หลายเดือนก่อน

    Hello guys u jus take t positive no one know f ts fake,think as someone with bg wish, get out of ur comfort zone avoid those big fear, halls to all figters

  • @muwezahasani4017
    @muwezahasani4017 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hela Anazo huyuu

  • @KasianBarua-fj4sl
    @KasianBarua-fj4sl 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe ukifatilia uyo anaela chizi nyny wenyefikla mavi au nanyinyi mnataka kiki mjini apa

  • @musafirbaba2100
    @musafirbaba2100 10 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo izo gari ni Zambao😂

    • @boazmosses8204
      @boazmosses8204 10 หลายเดือนก่อน

      Umeangalia usajili wake lakini?😂😂😂 Au umekuja tu kucoment

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 10 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu mtandaoni ni feki
    Mitandao ina uwongo mwingi

  • @Singer-of-wonder
    @Singer-of-wonder 10 หลายเดือนก่อน

    MWAMBAAAAAAAA HUYO PESA ANAZO

  • @TIZZOBOYOFFICIAL
    @TIZZOBOYOFFICIAL 10 หลายเดือนก่อน

    Wedit hio video hamuoni poa

  • @bullahrwabatika8014
    @bullahrwabatika8014 10 หลายเดือนก่อน

    Kama hana hela hayo magari makali anayotembelea katoa wapi???

  • @mosseskahemela2969
    @mosseskahemela2969 10 หลายเดือนก่อน

    Unakuta anajiwekeaga soda anajifanga Hennessy

  • @mohammednyemaga4793
    @mohammednyemaga4793 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa Kwann serikari isimchukulie HATUA Kari za kisheria

    • @novaelias5010
      @novaelias5010 10 หลายเดือนก่อน

      Achukuliwe hatua kakosea nn sasa kama hupendi kumwangalia video zake bas uwe una zipita

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 10 หลายเดือนก่อน

    TAFUTENI HELA, SIO KUUTAFUTA UMASIKIN WA TAJIRI,,, USHAMB

  • @kodimjeshi-cz1nt
    @kodimjeshi-cz1nt 10 หลายเดือนก่อน

    Mwamba hela anayo sema matusi anayo watukana ndomana mmeamua kusema Hana kitu

  • @ADAMLULIKO-ix6vb
    @ADAMLULIKO-ix6vb 10 หลายเดือนก่อน

    Kulaleki huyu

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 10 หลายเดือนก่อน

    endeleeni kujifariji ni vibao ww unavyo????

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 10 หลายเดือนก่อน

    anae elekeza et ka elfu kumi kako juu kamekunjuka on chin

  • @wiseman-or8xv
    @wiseman-or8xv 10 หลายเดือนก่อน

    Pombe zime expire

  • @kodimjeshi-cz1nt
    @kodimjeshi-cz1nt 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi binafsi namkubali manake anatutia moyo wa kupamba vijana

  • @jamesesau9964
    @jamesesau9964 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa izo ndo dalili za kimaskin hawenazo hasiwe nazo ww nn chakuwasha sema kawakela na mwamba anakela

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc 10 หลายเดือนก่อน +1

      sasa kama haiwahusu watu yeye sii ndyo kaanza kujitangaza kwa mitandaoni kama yeye nitajiri we umewahi ona moo dewj au bakhresa kujitanganza kama yeye nitajiri wazo rangu ilo kaka mkubwa 🙏🙏🙏

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 10 หลายเดือนก่อน

    Mim nasema hela anazo

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 10 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wengi tulikuwa tunamfatilia uyu mwamba

  • @deocosmas8708
    @deocosmas8708 10 หลายเดือนก่อน

    Tunashabikia tuu hata kam anfake lakin jiwe analoo wazee....angalia tu Gari anayotumia n za watu wachach bongo...

    • @sialoson4066
      @sialoson4066 10 หลายเดือนก่อน

      Kadi ya gari alikuonyesha original?

  • @FreddyElengabo-kn3ks
    @FreddyElengabo-kn3ks 10 หลายเดือนก่อน

    Poa ya kawaida san

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa Ana fedha nyingi na Hakuna mtu anaye weza kufake maisha

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 10 หลายเดือนก่อน

    Na Zambia alikuja je alikuja na vimbao

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 10 หลายเดือนก่อน

      Ndo swaliiii

  • @khamisnassor2427
    @khamisnassor2427 10 หลายเดือนก่อน

    huyu mpumbavu atadhirika karibu tu sijui tatizo ni nn nashindwa kuelewa hawa wapuuzi kama huyu wakija mjini inakua taabu alikuwepo mpuuzi mmoja akijita shilla sijui na yeye kapotelea wapi saivi alikua na upumbavu wake kama huyu mporipori

  • @NyagoIncmedia
    @NyagoIncmedia 10 หลายเดือนก่อน

    Au ndio mtasema hela feki....watanzania umasikini ushawaroga ...mkiwa masikini mnataka Kila mtu awe masikini ...acheni roohoo mbayaaa..nyambaafuuu

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 10 หลายเดือนก่อน

      Utakuwa ulikimbia shule dogo, si bure

    • @radotyga
      @radotyga 10 หลายเดือนก่อน

      Mbao kwel kwan uongo

  • @IJUEMITAATV
    @IJUEMITAATV 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona magari na nyumba hamjasema 😅

  • @official_wjb_tz1589
    @official_wjb_tz1589 10 หลายเดือนก่อน +2

    Haijalishi mshikaji kama ana hela au hana ila binafsi napenda jinsi anavonichochea kupambania mafanikio

  • @alfredkadomole1114
    @alfredkadomole1114 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi kwanini huwa tunahangaishwa na vitu vya hovyo? Tabia hizi niza wavivu na wasio na kazi, huu muda si bora mngefanya jambo la kufanya mpate faida!
    Kwani kudanganywa watu wameanza leo?, Na vipi kama ikiwa kweli ni adhabu gani mnadhani itafaa zaidi tu kila mmoja anaangalia siku yake iwaje.

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 10 หลายเดือนก่อน

    Acheni ujinga jamaa anafanya madini wanaela sana

  • @VenasPaschal
    @VenasPaschal 10 หลายเดือนก่อน +9

    ela anazo sema haziko kwenye kiwango tunachofikilia ila ukweli na ela anazo gorofa na gari haviwez kununulika Kwa mbao sema ela alizo nazo haziko kwenye kiwao tunachowaza kikubwa tumuache na maisha yake Kwa sababu hayatuhisu ila me naiman ela anayo japo so Kwa wingi tunao fikilia ila ela ipo bhana Ile nyumba alojenga naiman haijengwi Kwa mbao sema mungesema anamikopo ndo ningeamin ila et Hela Hana uku kagenga gorofa ipo sema so Kwa wingi anao onyesha

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hata hizo vitu sio vyake usipagawe navyo.mwehu tu huyu

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 10 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂kwel bwana huyu jamaa simpend mbwa huyu halina helaaaa kelele kama kuruwe

  • @chire4574
    @chire4574 10 หลายเดือนก่อน

    Anzazo ....ndo maana yuko proud na pesa zake

  • @GeorgeMichael13
    @GeorgeMichael13 10 หลายเดือนก่อน

    Clouds na nyie mmekosa content kiasi hicho hadi kumuongelea huyu mjamaa

  • @tahiyasaidi6532
    @tahiyasaidi6532 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmekosa agenda

    • @nurumbamba184
      @nurumbamba184 10 หลายเดือนก่อน

      Umeona eee yan pesa anazo kam iyo iliwacjangany ila pesa anayo na anawqpa inspirational nzur2

  • @gervasmalimi5126
    @gervasmalimi5126 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mwamba anahela ona mjengo

  • @user-qe4ut3ou1x
    @user-qe4ut3ou1x 10 หลายเดือนก่อน +1

    Anayo hela huyo mwamba . Kwani hyo gari nishngap?

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 10 หลายเดือนก่อน

      Sawa, ila hela feki

  • @drdd774
    @drdd774 10 หลายเดือนก่อน +2

    Unajiita tajiri harafu una ving'ora vingi mdomoni, wenye akili wanakuona mjinga tu.

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani nyie mnashida gan?

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani shida nini sianafanya yeye

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 10 หลายเดือนก่อน

      Hakuna aliyesema ni shida

  • @mkmunguiko8858
    @mkmunguiko8858 10 หลายเดือนก่อน

    Fake life😅

  • @allytwahir2305
    @allytwahir2305 10 หลายเดือนก่อน

    uyu mtu anapg ela kupitiaa chanel zake ...na apa apa antfta fursa ...kupitiaa mitandao y kijaamiii ....kwn anaiman watu weng tunatazama masikin n tajili piaa ...lakin ebu tujiulize mlishawai on wapi tajili anajisifia ...jibu ni noooo..........

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni kapuku tu Hana lolote

  • @bongostorytz
    @bongostorytz 10 หลายเดือนก่อน

    hela anayo..ndo.maana mnamleta story zake . Kama mnaweza si mfanye nyie

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 10 หลายเดือนก่อน

    Clouds hamkupaswa kupost huyo jamaa bado mtoto.

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 10 หลายเดือนก่อน

    Mjinga sana atafute kazi ya kufanya

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nyinyi ni media kubwa na redio kubwa sasa kunafanyaje uongo kama huu ivi mutu anawezaje kudanganya watu wakati misada anatoa sana izo hela aliokota misada yote aliyo toa kwawatu na watoto yatima acheni wasema walio saidiwa kama walidanganywa ama la nasio ninyi kama radio acheni kutaka watu waendele kuwa masikini kwani kawaibia watu hela zao nyinyi wenyewe kuna ndugu zenu kibao hawana hela ni masikini nahuwa hamuwasaidi

    • @Mpanda_boy_Tv
      @Mpanda_boy_Tv 10 หลายเดือนก่อน

      Kuwa na akili

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 10 หลายเดือนก่อน

      Staki shule utawajua tu. Haya kaungane na mwenzako Godlove mkayajenge

  • @kivuyohalalmeatsupply9215
    @kivuyohalalmeatsupply9215 10 หลายเดือนก่อน

    Huyo anahela.waache uwongo na izo alizokuwa anapepete ni maindi

  • @cattovan_tz228
    @cattovan_tz228 10 หลายเดือนก่อน +2

    NITAJIE TAJIRIII MWENYE MANENO MENGII??,. HUYOO MASIKINI TUH😂