Bwana Yesu nakukabidhi maisha yangu kwako, nakukabidhi watoto wangu, mamangu na familia yangu yote. Bwana Yesu naomba uniondolee matatizo yote niliyo nayo kwa maisha yangu magonjwa, dhiki, kukosa Amani. Uwatazame pia watoto wangu kwa matatizo waliyo nayo kwa jina la Yesu tunaomba na kuamini Amina.
Bwana yesu nakukabidhi mipango yngu yote.. Nakukabidhi maombi yangu ya kaz nataka nitume barua za kazi kwenye company flan iv mimi na mdogo wangu Naomba Bwana YESU utufanyie njia pasipo na Njia. .🙏🙏
Tunashukuru Mungu kwa kika kitu katika maisha yang,hakika nimeuona ukuuu wako kila iitwayo leo katika kila eneo la maisba ,naomba ukatawale kila eneo la maosha yang,ameen
Mungu nakukabithi mawazo yangu, mahitaji yangu, biashara yangu, kazi yanga watoto wangu, familia yangu Mungu ukatende sawa na mapenzi yako naomba ukatawale popote nitakapokuwa
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Hakika Mungu Baba akutunze na akuhifadhi kwaajili yetu kwani Binafsi nabarikiwa sana na maombi yako na mafundisho yako Ubarikiwe sana ,Nami kwa jina la Yesu kristo najiambatanieha na maombi haya yakumkabidhi Bwana Mambo yangu: 1.Kazi zangu 2.Njia zangu 3.Mipango yangu 4.Familia Yangu 5.Mawazo yangu na mengine mengi kadiri MUNGU atakavyo pendezwa nami....Amen
Maombi haya ya kumkabizi Bwana mambo yangu nimeyapenda sana naamini mungu atalinda kazi zangu mtumishi naomba uniombee mungu anipiganie maadui ni wengi nitashinda tu
Eee mungu wangu nalikabidhi shamba la dadangu Catherine ambalo liliuzwa Kama hajui naomba ee yesu uwaguze roho zao waweze kurudisha pesa na form amen thafadhali mtumishi wa mungu muombee dadaangu cath ubarikiwe sana tena sana anen
Asante Bwana Yesu kwa kutawala katika kila eneo la maisha yangu na uzao wa tumbo langu. Na Asante pia kupokea mizigo yangu yote, katika jina la Yesu Kristo Ameen 🙏
BWANA YESU, BWANA YESU tawala maisha yangu, tawala wazazi wangu, tawala ndugu zangu, tawala mtoto wangu, tawala mahusiano yangu, tawala kazi yangu, tawala kila sehemu ya maisha yangu AMEN 🙏🙏
Asante mungu, namkabidhi matokeo yangu ya mitihan mikinon mwako, namkabidhi bab Jay.namkabidhi mwanang, family angu,mipango yangu yote na kabiddhi mipango ya baba j ikawe ya ukweli, namkabidhi kila kitu ktk maisha angu nakukabidhi yesu, nitendee sawa na mapenzi yako
🙏🙏Nakushukru Mungu Kwa Ajiri yawema wako kwangu na Familia yangu kukubsli Kutawala ktk kila Eneo la Maisha yangu naUzao wa Tumbo langu NaAsante kukubali Kubeba Mizigo yetu yote Nakutawala ndani yetuEmen Emen♥️👏👏
Bwana Yesu nakukabidhi maisha yangu kwako, nakukabidhi watoto wangu, mamangu na familia yangu yote. Bwana Yesu naomba uniondolee matatizo yote niliyo nayo kwa maisha yangu magonjwa, dhiki, kukosa Amani. Uwatazame pia watoto wangu kwa matatizo waliyo nayo kwa jina la Yesu tunaomba na kuamini Amina.
Ameen
Bwana Yesu,, nakabidhi maisha yangu kwako,,, nakutwika mzigo wa madeni,, hasira,,,, mbele zako,,ukaweze kubeba,, nitendee mema kulingana na mapenzi yako Bwana Yesu Amina 🙏 🙏
Bwana yesu nakukabinzi kazi zangu zonte na ulinzi wako na Maisha yangu bwana wangu yesu kristo amen
Mungu naomba utawale kila kitu Changu maishani mwangu na vikabidhi mkononi mwako vyote vya maisha yangu Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙌🙌 🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Bwana yesu nakukabidhi maisha ya na familia yangu
Asante bwana Yesu kwakunitua mizigo niliyokuwa nimebeba Asante Yesu ametenda na ametujibu laivu bila chenga Amen 🙏 🙌 👏 😂😅
Ee baba wa mbinguni ninakuomba yote niliyoyapanga siku ya Leo yakatimie katika jina kuu la Yesu amen
Mungu tawala maisha Yangu na Familia Yangu na kila kitu nilichonacho bwana yesu njoo unitawalie mwenyewe ameen
Bwana yesu nakukabidhi mipango yngu yote..
Nakukabidhi maombi yangu ya kaz nataka nitume barua za kazi kwenye company flan iv mimi na mdogo wangu Naomba Bwana YESU utufanyie njia pasipo na Njia. .🙏🙏
Namkabidzi Bwana maisha yangu,famila yangu,watoto wangu,wajukuu wangu Na huduma yangu Amen
Bwana Mungu tawala maisha yangu na kukabidhi maisha yangu na uzao wangu na biashara yangu na mipangi yangu yote nakukabidhi utawale
Bwana yesu Nina kukabizi maisha yangu nitawale weeewe tuu
Ameen
Asante yesu ,tawala maisha yangu,kila eneo tawala wewe🙏🙏
Ameen
Asante bwana yesu kwa kunitua mizigo niliyokuwa nimebeba na kutawala maisha yangu kwa jina la yesu amina
Bwana Yesu nakukabidhi mipango yangu yote ktk jina la Yesu
Ameen
Tunashukuru Mungu kwa kika kitu katika maisha yang,hakika nimeuona ukuuu wako kila iitwayo leo katika kila eneo la maisba ,naomba ukatawale kila eneo la maosha yang,ameen
Bwana yesu kristo nakkabidhi vyote nlivyonavyo. Afya yangu ndoa, watoto, uzao wangu na mipango yote yesu neno lako likatimie kwangu.
Mungu nakukabithi mawazo yangu, mahitaji yangu, biashara yangu, kazi yanga watoto wangu, familia yangu Mungu ukatende sawa na mapenzi yako naomba ukatawale popote nitakapokuwa
Tawala kila eneo la maisha yangu pamoja na family yangu
Ameen
Kila kitu nilicho nacho familia ndoa bajaji wanangu mke wangu afya kazi yangu biashara yangu namkabidhi bwana kila kitu changu kwa damu ya yesu Amen 🙏
Ameen
Amen amen amen 🙏🙏🙏 thank you Jesus 🙏🙏🙏
Ameen
Bwana yesu nakukabidha uzao wang, ndoa yang, kazi yang, biashara yang na mawaz yang yote utawale
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Hakika Mungu Baba akutunze na akuhifadhi kwaajili yetu kwani Binafsi nabarikiwa sana na maombi yako na mafundisho yako Ubarikiwe sana ,Nami kwa jina la Yesu kristo najiambatanieha na maombi haya yakumkabidhi Bwana Mambo yangu:
1.Kazi zangu
2.Njia zangu
3.Mipango yangu
4.Familia Yangu
5.Mawazo yangu na mengine mengi kadiri MUNGU atakavyo pendezwa nami....Amen
Najiungamanisha mimi na kizazi change mungu atende amen
Evelthng to the Lord i belve amen amen 🙌🙏🙌
Bwana Yesu nakukabidhi mtoto wangu Riordan biashara yangu afya yangu na mtoto na nyumba yangu
BWANA YESU Asifiwe Mtumishi w MUNGU,Nimebarikiiwa Sana n huduma yako,Naomba unitumie no yako kw huduma zaidi, Asante!!!
+255652796450 (WhatsApp)
Ameen. Ubarikiwe pia
Ameni, najiungamanisha ktk maombi haya ya Leo,ktk jina la YESU kristo Alie hai.
Ameen
Bwana Yesu ninakukabidhi mipango yangu yote siku ya leo
Maombi haya ya kumkabizi Bwana mambo yangu nimeyapenda sana naamini mungu atalinda kazi zangu mtumishi naomba uniombee mungu anipiganie maadui ni wengi nitashinda tu
Nakukabidhi bwana mipango yangu yote kwa jina la yesu kristo
MUNGU BWANA YESU BWANA YESU TAWALA maisha yangu tawala familia yangu tawala kizazi changu tawala kz yangu mawazo yangu
Ameen
Lllpp@@holyspiritconnect
Amen 🙏🙏 🙏🙏 pastor
Ameen
Eee mungu wangu nalikabidhi shamba la dadangu Catherine ambalo liliuzwa Kama hajui naomba ee yesu uwaguze roho zao waweze kurudisha pesa na form amen thafadhali mtumishi wa mungu muombee dadaangu cath ubarikiwe sana tena sana anen
Mtumishi,nimejikabizi. Mbele zako uemwokozi wangu
Amen amen amen YESU AHSANTE 😢Ubarikiwe
Ameen
Asante Bwana Yesu kwa kutawala katika kila eneo la maisha yangu na uzao wa tumbo langu. Na Asante pia kupokea mizigo yangu yote, katika jina la Yesu Kristo Ameen 🙏
Ameen
Amen amen Mungu akubaliki Mungu akulide mutumishi wa mungu you are blessed Man
Amen amen Mutumishi wa mungu mungu akubaliki asanti kwa kutuongosa
Amen 🙏 najiunganisha na madhabahu hii katika jina la Yesu Amen 🙏
Ameen
🎉beans nakukabidhi magonjw yote yanayo nisumbua
Namkabithi mungu watoto .kazi
BWANA YESU, BWANA YESU tawala maisha yangu, tawala wazazi wangu, tawala ndugu zangu, tawala mtoto wangu, tawala mahusiano yangu, tawala kazi yangu, tawala kila sehemu ya maisha yangu AMEN 🙏🙏
Ameen ameeen
Amen amen 🙏
Ameen
Nakabidhi kila eneo kwenye maisha yangu, ukatawale wewe tu Yesu Kristo
maisha ya familia yangu na yangu pia nayakabidhi kwa Bwana Yesu katika jina la yesu kristo hakuna mwingine isipokua yeye
Ameen
Tawala maisha yangu bwana
Asante sana mchungaji kwa muongozo wa maombi
Bwanayesu nakukabidhi afyayangu
Amina namkabidhi Bwana Yesu kila kitu changu akatawale yeye
Ameen
Amen ninakukabidhi kila kitu changu bwana yesu ukitawale
Nibalik mm piah na uzao Wang wot
Mungu anisaidie
Mtumishi nimempokeya bwana niombe
Naomba ndoa yangu na nakabidi bwana yesu naomba uniombee nipate kazi Kwa Robinson security office
Ameen
Mungu akupe haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo
Nimempokea bwana Yesu leo
Aminaaa
🙏🙏🙏
CBwanayesu nakukabidhi maishayangu watotowangu
Bwana yesu nakukabidhi kazi zangu zote na mipango yangu yote eeeh yesu nisikie kilio changu
Ameen ameeen
Amen God thank you
Yesu nakupenda Mungu yangu mzuri kutoka moyoni mwangu
Ameen
AMINA AMINA BARIKIWA Sana mtumishi
Asante mungu, namkabidhi matokeo yangu ya mitihan mikinon mwako, namkabidhi bab Jay.namkabidhi mwanang, family angu,mipango yangu yote na kabiddhi mipango ya baba j ikawe ya ukweli, namkabidhi kila kitu ktk maisha angu nakukabidhi yesu, nitendee sawa na mapenzi yako
Ameen
Ameen ameeen
Amen
🙏🙏Nakushukru Mungu Kwa Ajiri yawema wako kwangu na Familia yangu kukubsli Kutawala ktk kila Eneo la Maisha yangu naUzao wa Tumbo langu NaAsante kukubali Kubeba Mizigo yetu yote Nakutawala ndani yetuEmen Emen♥️👏👏
Ameen ameeen
Ameni katika jina la yesu , najiunganisha na madhambao haya juu ya kumkambidhi bwana yesu mambo yangu yote
Nakabidhi kila kitu kwako Yesu ni wewe Bwana Yesu ni wewe hakuna Mungu kama wewe
Ameen
Bwana yesu nakukabidhi mipango yangu yote
Amen. Thanks
Nakabizi kazi zangu ,nakaidhi mipango ya arusi ya mwanangu ili iweze,kuwa mikonono mwake ktk haya mahandalizi yote
Lord Jesus today I submit my daughter and myself anything concerning me in your hands. Thank you Lord Jesus.
Ameen ameeen
Namkabidhi Bwana familia yangu,atawale maeneo yote,ktk jina la yesu !
Nimepokea uokovu
Ameen
Mungu akubariki sana sana
Nakabidhi kila kitu yangu yesu hakuna Bwana yesu kama wewe
Ameen
Amen amen
🙏🙏🙏
Amen
🙏🙏🙏
ameneen
Ameni
Amen.
🙏🙏🙏
Ameen
Nakukabithi yote niliyonayo
🙏🙏🙏
Pastor nisaidie 🙏🙏🙏 nko Saudi Arabia naomba kurudi Kenya plz pastor ntohuku plz🙏🙏🙏😭😭
Nitakuombea. Mungu atafanya njia
Amen and amen 🙏
Amen ❤
Amen amen
Amen🙏
Amen
Amen❤