MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI by Innocent Morris
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI by Innocent Morris
Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.
MSTARI:
"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."
Mathayo 15:13
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
TH-cam Link:
/ holyspiritconnect
Pando lolote aduu alilo panda kwenye maisha yangu au family yangu Nina ngwoa kwa jina la Yesu kristo wanazareti naachilia damu ya Yesu
Naomba kila pando lililokinyume kwenye maisha yangu na family yangu likapate kung'olewa Kwa jina la Yesu na presha inayoni sumbua itoweke Kwa jina la Yesu Amen.🙏🙏
Naomba Kila pando ambalo si mpango wako Bwana, juu ya uzao wangu na uchumi wangu yakang,olewe Kwa jina la Bwana
Niombee mambo na madeni, magonjwa,visirani,,, viondoke katika jina la yesu, Amen 🙏
Amen and Amen hallelujah 🙌 🙏 👏🏻 napokea ushidy
Eeeh MUNGU 🙌🧎🙌🧎🙌🧎🙌🧎🙌🙏🙏🧎🧎🧎🧎🧎😭😭😭😭😭😭😭yaondoe mapando ndani yangu na Kwa watu wangu wa katibu pia familia yangu
Ameeeeeen
Pando katika kifua changu ishindwe kwa damu ya yes🙏🙏
Eee mungu naomba kile kilicho pandwa kwa ndoa yangu na watoto wangu wanikatae eee Mungu naomba ukaweza kung'oa
Jambo mtumishi.mtoto huyu ame uuguwa na ugonjwa wa kifafa naomba msaada kwa maombi.
Tutamuombea
Mungu niondolee mikosi yote iliyowekwa na adui ili nisifanikiwe niwe mtu wa kuhangaika
Naomba mungu ukangoe kila pando la wachawi maadui pamoja na maagano ya kifamilia kiukoo naomba mungu aende akavingowe kwa jina la yesu kristo naachilia dam ya yesu ikanitawale maishani mwangu amina
Bwana yesu nakuomba niondolee mapando yote yliyopandwa maishani mwangu kwa siri na kwa dhahiri. Niondolee maradhi yote mabaya. Niondolee Tamaa za dunia hii.. Niondolee roho zote za kudhulumiwa kwa Jina la yesu ameen
Mungu naomba uondoe mapando yote ayaliyo pandwa na shetani na niweze kurudi kazini ,naamini Mungu unaenda kujibi maombi yangu na tukae sawa mimi na mume wangu tofauti Zetu zitoke kwa jina la yesu😭🙏
Bwana yesu naomba Kila pando lililo panda juu yangu, juu ya famillia yangu naomba lingoke kwa Jina La yesu krisito
Mungu wangu gusa uzao wangu maana unashida mungu wangu nisaidie nikishika mimba na ikue na izae isitoke tena in Jesus name 🙏
Eeh mungu wangu kula Pandora lililo kinyumebchangu niliso tokana kwako lishidwe katika jina la yesu christo mwana wa mungu😊
Yesu Naomba ung'oe kila pando la madeni magonjwa kufanya biashara na usione hela zinapokwenda na kila uchawivuliopandwa kwanye maisha ya mama yangu na familia yake iwe ni madhabahu upande wa mama au baba yake ving'lewa kwa jina layesu
Naomba mungu aniondolee maumivu ya tumbo mkuno wa kushoto na mimba mwili wote zaidi sana miguuu nasikia maumivu makali sana
Ninaomba kila vizuizi vya maisha yangu mungu aiondoe
Ameen
Amen Amen,, asante Mungu kwa kunikomboaa,,, nakataa madeni katika maisha yangu na njia zangu za biashara ziimarike...
Naomba mungu ango'e kila pando lililowekwa nashetani juu ya uzao wangu mimba kuharibika,magonjwa yanayonisumbua
Niko
Burundi naomba muniombee mungu aniponye niko naugonjwa wakuvunjika kichwa nina maumi mingi sana na nina stress mingi kwaju ya kichwa hiki sasa nataka Mungu aniponye katika jina Yesu Kristo
Kila pando lililokaa kwadadaangu kila nikipata pesa dadaangu anapata ajar maradhi kuteswa nawachawi nang,oa kwajina layesu
Muondolee baba 😢😢😢😢
Mungu naomba kupona mguu wangu ulio vunjika na mapamdo mabaya kwenye uzau wangu wazazi wangu wadogo zangu pia katika sehem yangu ya kazi
Asante bwana Yesu kwa kunifungua,. This is such a powerful prayer I've ever had/heard
Pando la uzito lililopandwa na shetani na mawakala wake Shani ya mwili wangu LITOKE. Kwa jina la YESU!
Nang'oa roho zamauti mizimu waganga majini wachawi miungu kwenye Familia yangu mikataba ya mauti kabla yawakati inaaribiwa kwa jina la yesu
Baba Mungu wangu nimeleta matatizo yangu mikononi mwako magojwa yasioisha vidonda aviishagi tumbo aliishagi matatizo kizaza kuto kuzaa kwasalama mume wangu kulalishwa moyo kuto kuji fafa nua anatembelea maamuzi familiayake wadogo zake Mungu wangu nichini yamiguu yako pia Mimi nimtenda zambi nioshe kwadamuya
Asante kwa kufungua MAISHA YANGU .Mimi digna,tabia mbaya imepandikizwa ndani ya MOYO wangu ninashindwa kukua kiroho ziachia NAFSI YANGU. Naomba niwe huru
Nataka mwanagu Gablier akuwe mtuh wa mungu mwenye atamuwinda yote mungu amupige fimbo namutiya mikononi la bwana yesu na afanikiwe kwenye maisha yake Kwa jina la yesu
Naomba Kila kilicho kinyume na maisha yangu na kwa familia yangu kiondoke kwa damu ya Yesu kristo..
I pray that any spirits tormenting my family members are defeated in Jesus Name. That everything will be exposed
Naogopa ata kuandika apa lakina naomba mungu anitoe vitu nilivyo kua navyo kwenye mwili wangu Amen.
Ameen. Mungu akupe haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo
Amen napokea majibu katika jina la yesu kristo
Naombea mume wangu afunguke apate kazi ,kudharauliwa,magonjwa kwa watoto wangu ,kiburi pia naomba iniondokee in jesus name
Ameen
Mashemeji wabadilike ma father in law mungu tenda yaliyo ya ko🙏🙏🙏
Ameen
Kila pando linalozuia watoto wangu wasifanye vizuri darasani zinang'ooka in jesus name
mtumishi naomba uniombee nipo kwenye uchumba kila akipata pesa mambo mengi yanatokea kwenye family yake,,,kila akipata pesa ya kuleta mahari nyumbani basi unakuta jambo linatokea kupitia madhabahu haya naamini mungu anaenda kutenda kupitia uchumba wangu naamini hivi karibuni atakuja nyumbani kutoa mahari
Mwenye nyumba anipende mm na asinitoe chumbani kwa jina la yesu🙏
Naomba aondoeo matatizo katika familia yangu magonjwa,mapepo maradhi yote .amina
Eemungu wangu naomba unitosheye blocage yote yenyi kuwa ndaniya maisha yangu mimi n'a familles yangu yote
Kila pando lilopandwa na adui katika Familia yangu namwambia Yesu ayaondoe kwa damu yake Takatifu Amina
Amen roho ya miscarriage inaondoka Leo katika jina la yesu kristo
Nami nimemupokeya Bwana Yesu kristo kuwa mokozi wa Maisha yangu! Amen
Very good brother, keep, going
Ninang'oa kila pando kwenye maisha yangu na familiya yangi pia kwa rafiki ya yangu philip
Mungu ondoa kitu kinachonizuiya nicsonge mbere katika maisha yangu niwe uru sasa Amen 🙏🙏
Eee Mungu babayangu ondoa mapando ya magonjwa, ulafi,kucheleweshwa haki , ndoa kwa ajili yangu na wanangu, wanangu wafunguliwe; kimasomo, kikazi , kiafya n ktk safari zao
Kila pando alilo aslolipanda MUNGU ndani yangu naliamuru litoke katika Jina la YESU krito
Naomba Joseph Busongo Kashindye apone ktk maginjwa yake. Kwa jina la Yesu Kristo aliye hai milele.
Mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana niombee sana utabarikiwa na mungu ❤❤umenibariki saaana namushukuru mafundisho Yako yanaponya hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤
Ee Mungu naomba uniondolee magonwa , kurogwa, laana kukosa amani , ninaomba Mungu ukavingoe kwa Jina la Yesu, Mungu kalinde ndia na watoto wetu Mungu katuondolee kwa jina la Yesu🙏🙏
Nataka nipone uvimbe tumboni upande wa kulia chini in name Jesus Amen 🤲🤲🤲🤲
Mtumishi biashara yangu..😢😢🤲🤲
@@juditholoo8809❤
Ww Amin tuu Yote Kwa Mungu yanawezekana
😊😢😊😊😢😢😢😊😊😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮@@SuhailaSintamei
Mungu anisaidie nipate mtoto ndoa yangu inakoxa aman kwaajil yamtoto😢
Ameen
Bwana naomba ondoa magonjwa yote mwilini mwanangu 😢😢😢😢
Amen and Ameen Be-Shop🙏🙏Wacha Mungu abariki maombi 💯🤲🤲🤲🙏
Pando lolote ambalo adui amepanda kwangu na familia yangu ili tusisonge mbele naling’oa katika jina yesu kristo ameen
Roho ya madeni iniachie kwa jina la yesu kirisho
Àmina
Kila pando alilopanda ndani yangu linalonirudisha nyuma kila mara ling,oke kurudi nyuma kila mara lingoke kwa jila la Yesu kristo alie hai🙏🏻🙇🏻
Ameen
Mungu naomb kil kilicho kinyume na mapenz yako ukiondoe kwa jina la yesu kristo iliyoshinda kifo na mauti
Ewe mungu baba Naomba uniondolee Tabia yahasira,kusaidia watu wasio nashukran😢
Sylvester naomba familia yangu iwe na mafanikio kuazia leo na pia nakuomba kijana wangu anayetarajia kufanya mtihani wa kiatu ch nne wewe na ufaulu wa kishindo
Naomba dam ya yesu inilinde Nina kuwa na hofu kila Mara na kunitengenezea pressure. Mungu niguse na Naomba uiondoe hofu, wasiwasi
Ameen
Naomba adui chochote alichopanda katika maisha yangu leo naing'oa kwangu kwa mumewangu kwatoto wangu
Ninakushukur bwana yesu. Kwa kupitia mtumishi wako kila milango ya adaui imekwisha fungwa ,napokea kubarikiwa na kufunguliwa mungu azidi kukuinua baba kwa maombi.
Nimefuatisha haya maombi nimetapika sana mpk nimejiona mwepesi
Naomba Mungu kila Pando lililopandwa kwenye maisha yangu na family yangu yenye inasuiya maisha ingolewe kwa jina la yesu
Mungu naomba uondoe mapando waliotupandia ya madeni naya kushindwa na maisha
Kula nguvu z ngiza zishidwe katika jina la yesu christo
Nakata nipone ganzii presha moyo wasiwasi off roho zamauti ndoto mbaya ndoto zakula usiku mtoto wangu tumboni akue acheze ageuke azaliwe salama kwa damu ya yesu
Naomba Yesu uondoe mapandikizo ya magonjwa yanayozuka ghaflaghafla ili nisisonge mbele lakini kwa imani nitashinda kwa sababu najua Yesu kristo ndiye jibu la maisha yangu,na familia yangu Ameeen
Nang'oa Kila mapando ya majini mahaba katika mawili wangu kwa jina ya Yesu kristo na kwa Damu ya Yesu kristo iliyomwagika pale msalabani. Amen🙏
Ameen Ameen Asante Sana Mchungaji kwa ajili ya haya maombi nna imani kua babangu ambaye anagonjeka magonjwa ambavyo hayajulikani atapona kwa Jina la Yesu kristo
Mungu anipe kusonga mbele katika maisha
Amen
eeee!!! bwana yesu nalomba ongowa mapando ya aduyi katika maisha yangu.
Ninang,oa pando lolote ambayo adui amepanda ndani yangu Amen
Mapando yote yachomoke from my life in Jesus name, spirit of rejection, relationships dont stay, sickness vitoke in Jesus name amen
Aniponyesheye maman yangu mwili yote inauma shigo moyo mikono migulu bya mingi
Mungu Nakuomba Nisaidie Kuondo Katika Maisha Yangu Mapamdo Ya Magonjwa Mapamdo Ya Kukataliwa Katika Mahusiamo Kwa Watoto Wamgu Vipele Vyeusi Vyeusi Vitoke Vitoke Kwa Wangu
Na Vyote Magojwa Na Kila Magonjwa Yaliyopandwa Na Shetani Yashindwe Katika Jina La Yesu Kristo.Na Katika Familia Pia Na Wagonjwa Wote Mahospitalini Na Walio Majumbani Mungu Awapomye Katika Jina La Yesu Kristo Amém Amem Amen.
Ninang’oa mapando yaliyopandwa kwangu, kwa watoto wangu n familia yangu… Yang’oke yote kwa jina la Yesu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nataka nikapone sukari kwa damu ya yesu kristo. Nataka nikapone maumivu yote kwa damu ya yesu kristo nataka afya yangu ikaimarike kwa damu ya yesu kristo.
Bwana Yesu atakuponya. Tutakuombea
Mungu ahondoe kilabaya kwenye maisha yangu namaisha ya watot wangu
Roho magonjwa nakuamurisha Toka kwa jina la yesu kristo
Mapondo iliyopandwa kwa maicha yangu. Na ngowa kwa jina la yesu kristo
Asante bwana yesu hujawah kuniacha cku zote umenipigania
Nang'oa pando lilompandwa kwenyefamilia yangu isiendelee
Eee Mungu naomba Kila pando la maagano na mizimwi ya ukoo wetu ukalingowe leo
Ubarikiwe Mtumishi Sana Sana Asante Yesu Kwa kunifungua 🙏🙏
Mipango yote mliopanga maadui itaaribiwa kwa jina la yesu latifa said moza bayuu na wengine hitaaribiwa kwa jina la yesu🙏
Nacommande katika damu ya yesu ,magonjwa yote atoke kwara rafiki yanguuuuu katika jina la yesu!
mungu aondoe chuki na ukimya kwa mchumba wangu vikang'olewe vyote kwa jina la yesu
Nimempokea bwana Yesu kristo Leo
MUNGU niondolee Kila kizuizi kinacho zuia mafanikio yangu Kwa damu ya YESU Aminaa
Naomba ning'oe ulemavu nakupiga keleleusku kwajina la Yesu
Kila pando la adui lilopandwa lingoleww kw jina l Yesu usikuu huu wa keo🎉
Naomba milango yangu iliyofungwa na shetani ifunguliwe kwa jina la Yesu. Narejesha vyote vilivyo liwa nzige madu madu na tunutu.
Mtumishi niombe,mm chance naipata ya kusafiri mbali ju ya kazi bt mwili wangu iniruhusu niombe nipone ugonjwa sugu nilionayo nipone niende kazi nichunge hawa malaika wa mungu
Niondolee mapando bwana nipe kibali bwana nikaonekane bwana Yesu nikaketishwe na wakuu bwana
Nang'oa kizuizi kicho fanya tusibariki ndoa kwajina la Yesu
Nakomandi Kila chote Cha Giza kinacho zuia uchumi wangumashambani ,mifugo kukataliwa,vitoke Kwa damn ya Yesu
Mungu aondoe pando la chuki kwa baba ya mtoto wangu , agape ministry wache Kunichukia waniajiri.... roho yakukataliwa ikufe
Ameeen amen amen nakataa watoto wangu kutoeleweka ktk jina la yesu nakataa magonjwa ya kuridhi Mimi ni mteule ukoo WA abrahamu nakataa roho za kushindwa kazi nakataa umaskini nakataa ndoto mbaya mafuta Kwa damu ya yesu kristo huna mamlaka juu ya watoto wangu familia yangu mafuta Kwa damu ya yesu
Ameen
Nuru ya yesu iangaze kwa maisha yangu,damu yake nayo ikaniongoze