MAOMBI YA KUOMBEA HATUA ZAKO by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Ni jambo la muhimu sana kuombea hatua zako. Hatua zako ni vyema kuongozwa na Bwana. Neno la Mungu limetuelekeza na kutupa muongozo namna ya kuombea hatua zetu.
    Omba hatua zako zishikamane na njia yake maana yake akuwezeshe kuifuata njia yake daima. Ikiwa hivyo hatua zako hazitaondoshwa.
    "Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuondoshwa."
    Zaburi 17:5
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 148

  • @hafsahassan2567
    @hafsahassan2567 3 ปีที่แล้ว +7

    Eeh bwana yesu takasa atua zangu nilinde na mikono na mtu isiyo haki mimi pamoja na familia yangu 🙏🏻

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba unisaitie kila kamba walio nifungia kila eneoLa Maisha yangu zikatike katikajina lya Yesu kamba zilio funga watoto wangu zikatike katikajina lya Yesu

  • @lafsahassan2908
    @lafsahassan2908 ปีที่แล้ว +1

    Jina libarikiwe kwakuwa wewe Mungu ni mzuri na mwaminifu

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asante kwa kufungua hatua zangu,naomba uilinde hatua zangu milele adui asipate nafasi tena

  • @baenimuhimafabrice
    @baenimuhimafabrice 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu Kristo naomba ufunguwe kila hatua yote ambao nahitaji ku fikia nipante contrat ya kazi mbele ifiki tarehe 20ya mwezi huu wa kumi na moja maana naamini ya kwamba inawezekana katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth nimefunguwa naku bariki kila mpango yangu ya ndoa déclaration ya mke wangu ambaye yuko uganda Mungu mwaka huuu wa 2024 usifike mwisho na Bado hajafika hapa Sueden katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth naamini na sema Amennnnnnnnnnn

    • @paulinekisalikisali4631
      @paulinekisalikisali4631 7 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏🙏🙏 aky hua siwezi kufaulu kwa mipango zangu

    • @paulinekisalikisali4631
      @paulinekisalikisali4631 7 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏🙏🙏 aky hua siwezi kufaulu kwa mipango zangu

  • @anngachacha1393
    @anngachacha1393 ปีที่แล้ว +1

    Eeh Bwana Yesu natakaza miguu yangu kwa damu yako kila matope nilitumbukia kwa ndoto naiosha miguu yangu kwa damu ya Yesu🔥🔥🔥🔥

  • @neemamarco6112
    @neemamarco6112 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa mungu nnaomba maombi kila nikifatilia maombi akili yangu inahama kabisa nakuwanjee ya maombi

  • @lisakuingwa7337
    @lisakuingwa7337 ปีที่แล้ว +4

    Thankyouuuuu man of Godddd in deep im healed 🙌

  • @paskalinanesphory3425
    @paskalinanesphory3425 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu takasa nyayo zangu kwa damu yesu

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l ปีที่แล้ว +1

    Yesukombia hatua zangu na mawazo yangu

  • @NathalieNgongo-dg2bp
    @NathalieNgongo-dg2bp 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽napokea uponyaji kwa jina la yesu kristu

  • @machaglory1937
    @machaglory1937 ปีที่แล้ว +2

    Naosha hatua zangu kwa damu ya Yesu,,nazishikamanisha na hatua Zako Ee Bwana,,hatua zangu zielekezwe na Neno lako Bwana na unilinde na wote wanaopotosha hatua zangu na unifanyie nafasi katika jina la Yesu,Amina

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu itakase miguu yangu.na anifanyie wepesi atua zangu na miguu yangu isiteleze

  • @EsterMichaelMkudukwa-lh1qz
    @EsterMichaelMkudukwa-lh1qz 9 วันที่ผ่านมา

    Kwa dam Ya Yesu ninaombea hatua zangu na kuziosha kwa Damu ya Yesu

  • @victoriarehema7183
    @victoriarehema7183 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen naamini na kuungana na maombi ya kufungua hatia zangu... Ee Yesu niongoze...

  • @user-ju1fz8fr7r
    @user-ju1fz8fr7r 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu nakuomba ufungue hatua zangu zote

  • @cesiliamsei3335
    @cesiliamsei3335 3 ปีที่แล้ว +1

    Najiunganisha na madhabahu hii kwa Jina la Yesu Kristo 🙏

  • @vivianlyimo670
    @vivianlyimo670 3 ปีที่แล้ว +3

    Nachovya Hatua Zangu kwenye Damu ya Yesu 🙏

  • @ChristerbellaAngelo
    @ChristerbellaAngelo 18 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 ปีที่แล้ว

    Naomba nifunguriwe. Atua zangu zishikamanwe na njia yabwana amina

  • @anngachacha1393
    @anngachacha1393 ปีที่แล้ว

    Yesu niwezeshe kuzifwata hatua zako

  • @devothapoyongo4440
    @devothapoyongo4440 ปีที่แล้ว

    Mungu akubalik sana mtumishi kwa maombi hayo Naamini tukiomba kwa Imani tunapokea ushindi.Bwana Yesu nakuomba usafishe hatua zangu na Damu ya Yesu

  • @user-qh4de7gz6i
    @user-qh4de7gz6i 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu na hitaji unifungue hatua zangu iliniende viwango vyengine

  • @JustineKabimbi-uo2so
    @JustineKabimbi-uo2so 11 หลายเดือนก่อน

    Damu ya yesu itakase famililia yangu yote

  • @fridahsarah775
    @fridahsarah775 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed nimekuswa sana na ombi ni mkenya nikiwa Saudi

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp ปีที่แล้ว

    Mungu komboa hatua zangu zilizofungwa na mwovu ibilisi asante mungu unaenda kutenda ameen

  • @hindahnambela6628
    @hindahnambela6628 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @fortunatajohn8598
    @fortunatajohn8598 2 ปีที่แล้ว

    Asante Bwana Yesu nimefunguliwa....Mungu akubariki mtumishi

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 ปีที่แล้ว +3

    Aisee,Yesu in mwema!
    Hii kitu sijui kwann inanisumbus this time pamoja na kuomba kote sijui nakosea wapi!
    Mtumishi yaani naota Mara 3 km sikosei natembea pekupeku,tena maeneo tofauti!
    Kilichoniudhi zaidi niliota Niko chooni pekupeku!

  • @scoviaokaronon4305
    @scoviaokaronon4305 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏 asante sana mtumishi wa MUNGU kwa hayo maombi. Mungu akunariki zaidi

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwa ajili ya maombi mungu akubariki sana na azidi kukutia nguvu na imani ameen

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 หลายเดือนก่อน

    Nami Najiunganisha katika maombi hayo

  • @misscathy3974
    @misscathy3974 3 ปีที่แล้ว +2

    Glory to god

  • @agnesmbone231
    @agnesmbone231 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen nimejifunza sana

  • @vivianlyimo670
    @vivianlyimo670 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu Asante kwa Maombi haya 🙏

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 หลายเดือนก่อน

    Nakasa hatua zangu na uniwezeshe hatua zangu zifuate nyayo Za yesu

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 ปีที่แล้ว +1

    Mungu fungua hatua zangu

  • @liliankiondo9332
    @liliankiondo9332 2 ปีที่แล้ว

    Ni mazur sanaaaa yananigusa

  • @BahatyYusuph
    @BahatyYusuph 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni farida nickson mdohe naomba maombi yako napigwa vita kazin na naoteshwa ndoto mbaya naitaji maombi yako na juu ya familia yangu nisaidie mchungaji

  • @rehemaandrew2500
    @rehemaandrew2500 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante YESU kwa neema yako🙏🙏🙏 Nalitukuza jina lako AMEN

  • @jasminerushingwa3638
    @jasminerushingwa3638 2 ปีที่แล้ว

    Ameen barikiwa sana

  • @claraebson1647
    @claraebson1647 3 ปีที่แล้ว +1

    Thank God

  • @burtonvyesa5583
    @burtonvyesa5583 2 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @theresiaraymond5353
    @theresiaraymond5353 2 ปีที่แล้ว

    naamin hatua zangu zimekombolewa

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 3 หลายเดือนก่อน

    Ebwana yesu uniraishie njia zangu ili nifike kwaye nimetarajia

  • @constanceq6244
    @constanceq6244 3 ปีที่แล้ว +1

    AMEN: ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @madamleticia94
    @madamleticia94 ปีที่แล้ว +2

    Ameen 🙏🙏

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory 5 หลายเดือนก่อน

    Hatua zangu nazipaka kwa mafuta ya roho mtakatifu

  • @vivianlyimo670
    @vivianlyimo670 3 ปีที่แล้ว +1

    Nachilia Ulinzi wa Damu ya Yesu Kristo
    Kwenye hatua zangu

  • @oissooisso8317
    @oissooisso8317 3 ปีที่แล้ว

    Hatua zako zimebalikiwa kupitia hichi kipindi

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 ปีที่แล้ว

    Hili somo naliona leo

  • @gladyscarlos958
    @gladyscarlos958 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏 🙏 🙏 Amen

  • @mariamidrisa1359
    @mariamidrisa1359 ปีที่แล้ว

    Zaburi 139:3 ; Zaburi 140:4 ; Zaburi 17:5 ;

  • @carolndungu9307
    @carolndungu9307 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen in Jesus mighty name 🙏🙏🙏🙏

  • @johanithakaihula5351
    @johanithakaihula5351 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Sana kwa maombi haya ubarikiwe sanamungu aendelee kukutia nguvu

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen and amen be blessed man of God

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen amen amen amen amen amen

  • @nicelynice4030
    @nicelynice4030 3 ปีที่แล้ว +3

    Amina Amina Amina
    Balikiwa sana

  • @sabinamwashi3510
    @sabinamwashi3510 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @misscathy3974
    @misscathy3974 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙏

  • @siasamweli372
    @siasamweli372 3 ปีที่แล้ว +1

    Dam ya yesu kristo ipite kwenye ufaham wangu

  • @tinnahfamilyjewelandjewell9848
    @tinnahfamilyjewelandjewell9848 3 ปีที่แล้ว +1

    Thank you ohhh Lord

  • @emmaflorian1755
    @emmaflorian1755 3 ปีที่แล้ว +4

    Thanks you Jesus

  • @sudiadiane
    @sudiadiane ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @drostaflorian7970
    @drostaflorian7970 3 ปีที่แล้ว

    Katika izo kamba zote katika jina la Yesu Kristo Mnazareti

  • @emmasidi9446
    @emmasidi9446 2 ปีที่แล้ว

    amen 🙏

  • @dorexmamabraflee1756
    @dorexmamabraflee1756 3 ปีที่แล้ว

    Amen nikweli kabisa mtumushi nikumbuke pia

  • @liliankiondo9332
    @liliankiondo9332 2 ปีที่แล้ว

    Hata maombi

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu

  • @drostaflorian7970
    @drostaflorian7970 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuna kushukuru ee Yesu

  • @natalnavel5735
    @natalnavel5735 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameen asante Bwana Yesu

  • @hafsahassan2567
    @hafsahassan2567 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🏻

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana sana

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @friedamkiramweni9500
      @friedamkiramweni9500 3 ปีที่แล้ว

      Hatua za miguu yangu zinafuliwa, ktk Jina la Yesu Kristo. Asante Mtumishi wa Mungu kwa kuniombea.

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeen 🙏

  • @radiahassan323
    @radiahassan323 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen asante BWANA YESU 🙏🙏

  • @wilsondynes6978
    @wilsondynes6978 3 ปีที่แล้ว +3

    Amein!!!!
    Thank you Jesus 🙏🙏🙏

  • @kemmywilliam4310
    @kemmywilliam4310 3 ปีที่แล้ว

    Amen naita damu ya Yesu katika hatua zangu.

  • @winfridafrank2864
    @winfridafrank2864 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen, thank Jesus🙏🙏🙏🕊

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😪Ubarikiwe sana

  • @اليزابيثمجيني
    @اليزابيثمجيني 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Kwa maombi haya

  • @ajunanekhemia9549
    @ajunanekhemia9549 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @siasamweli372
    @siasamweli372 3 ปีที่แล้ว +1

    Dam ya yesu kristo ipite kwenye miguu yangu

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @deborahjuma6869
      @deborahjuma6869 3 ปีที่แล้ว +1

      Damu ya BWANA yesu ipite katika miguu yangu kila kinacholudisha nyuma hatua zangu bwana ukashughulike nacho,,kupitia maombi haya Nina Imani bwana sitabaki ka Kama nilivyo (Amen)

  • @dainesdaudi5683
    @dainesdaudi5683 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @Godneverfailed
    @Godneverfailed 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @irenebayo8860
    @irenebayo8860 3 ปีที่แล้ว

    Ameeeen 🙏🙏🙏

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @theresiajohnmrimbo9446
    @theresiajohnmrimbo9446 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @liliankiondo9332
    @liliankiondo9332 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @cesiliamsei3335
    @cesiliamsei3335 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameen barikiwa sana

  • @zuwenamutoni5185
    @zuwenamutoni5185 3 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @Joycematenga
    @Joycematenga 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @fortunepaul3992
    @fortunepaul3992 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @frankkaijage9726
    @frankkaijage9726 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @heriethaissa5972
    @heriethaissa5972 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @fredrikndinda7553
    @fredrikndinda7553 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @fredrikndinda7553
    @fredrikndinda7553 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @annamkongo5084
    @annamkongo5084 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen