Ninamshukuru mungu kwa matendo makuu aliyonitendea, akiniponya magonjwa yaliyoshindikana kwa madaktari;na akanibariki na mtoto;baada ya kukaa kwa ndoa 4 five years na nikakosa. Bwana yesu ninakushukuru
Ahsante Mungu kwa afya njema, asante kwa kunipa kazi, asante kwa ajili ya wazazi wangu pia asante kwa yote ambayo umenitendea na ambayo bado hujanitendea lakini kwa IMANI naamini umenitendea. Ninakushukuru sana Mungu wangu! Hakuna kama wewe Mungu na hatakuwepo.
Nakushukuru Mungu wangu umeniponya ugonjwa mkubwa sanaa wa tumbo nashukuru pia kwa maombi yako ya uponyaji nilikuwa naifungulia you tube kila niingiapo kwenye oparation mara zote 4 asante sana Yesu hukuniacha jamani
Asante Mungu kwa kunitendea mengi , na pia nakushukuru kwa ajili ya ukoo wangu uliofanya wakawa sawa, pia asante kwa kazi uliyonipa na asante kwaajili ya kunipgania na kunipgania asante kwa afya njema, asante kwaajili ya Khaliphan kwa neema na baraka unazompatia asante Yesu, asante Yesu kwa kusikia maombi yangu
Asante bwana yesu uliyo yatenda kwangu ni mengi mno shuhuda zako hazielezeki ata niseme Asante mala elfu haitoshi mm ninashukuru kwa kila jambo kwenye ndoa yangu umetenda kwenye uzao wangu umetenda ni kwenye kazi yangu umetenda mm ninashukuru 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Namshukuru huyu Mungu wa ajabu maana amenijb ombi langu la kuolewa jina lake litukuzwe milele daima bwana anatenda kila sk katika maisha yangu. Nitamshukuru kila saa kila dk kila saa kwa sababu anatenda
ASANTE sana MUNGU maana unanipenda umeniketisha Kati ya wakuu uimidiwe unanibandilisha kila leo sita choka kukutukuza kwa makuhu yote umenitendea AMEN AMEN 🙏 sifa kwa bwana AMEN.
Asante Mungu wangu umenitendea makuu mno mimi na familia yangu unisamehe pale nilipolalamika kwa namna moja ama nyingine bali wema na fadhili zqko zimekuwa nami kwa mwaka huu asante sana Bwana Yesuuuu asante Mungu wangu,Asante Jehova asante sanaaa baba wa mbingunii
Madhabahu hii ikawe kumbukumbu kwa yale umetenda kwangu Yesu,NAKUSHUKURU YESU WANGU wewe umeniwazia nje ya mipaka niliyoomba🙏umenitendea zaidi ya nilichoomba🙏nimerudi kusema Asante Mungu Asante sana🙏
Ahsante mungu kwa yote unayo tujalia mimi na mtoto wangu tunakushukuru baba kwa ajili ya ufulu wa mtoto wangu kwenye masomo yake tunasema Ahsante baba upendo wako ni mkubwa sana kwetu🙏🙏🙏
asante mungu kwa kunipa kibari kazini umetowesha makahaba katika ndoa yangu ndoa yangu imelejea kwa upya nashukur kwa ajiri ya malengo ninayo yapanga kuyafanya kwa yaliyo timia na ambayo natalajia yatimie asante mungu ata kwa changamoto zote nilizo pitia naninazo pitia nitaomba nahayo nikiamin kupitia jina la yesu kristo🙏
MUNGU awe mfalme WA mbingu na Duniani. MUNGU nakushukuru imenifanyia Baraka kubwa sana maishani mwangu. Wanawake wenzangu msikate tamaa kuhusu kuolewa. Mimi nimeona mkono WA MUNGU. Hakika hakuna zaidi ya MUNGU 🌹🙏🙏
Yesu Kristo.. mungu uliye hai..nasema asante kwa kunipa eneo langu la kuishi.. niliomba kwa kulia.. nae mungu kanitendea leo nimeamia.. asante bwana yesu kwa neema yako na baraka zako..
Mungu wangu nakushulu manake nimeiona siku ya leo.amenipa uhai amenkubuka siku ya Leo nashukulu juu ya kazi yangu Nampa shukulani nashukulu juu ya watoto wangu tena kukubaliki kazi I mwangu asante baba nasema ni asante
Pia kupitia maombi Hy Mungu amemfungua mwanangu aliyekuwa anadondoshwa mapepo Kila akitaka kwenda shule maombi na sadaka ndio silaha yang nmemuona Mungu Uso Kwa Uso ahsante Yesu Kwa kuwa hukuwafrahsha adui Zang🙏🙏🙏
Ahsante bwana Yesu kwa kunitoa kwenye janga la kutaka kubebewa mtoto Ahsante kwa kumuokoa mwanangu Ahsante kwa kuwa hakuna awezaye kunitenganisha na mtoto wangu
Nakushuru saana Ehhe Mungu wangu. Nalihimidi jina lako kuu limenitendea maajabu makuu kwa mwaka huu, na zaidi saana siku hii ya leo. Umemfikuza adui zangu mbele yangu. Na lihimidiwe jina lako kuu, asante saana Roho Mtakatifu
Mungu ninakushukuru kwa yote umetenda maisha I mwangu..in Jesus mighty name,nakutukiza nakukuinua siku zote za maisha yangu.Amen..hakika,wema wako nafadhili,zitanifuata milele,nitakaa,nyumbani mwa bwana,siku zote za maisha yangu
Baraka zako Yeau ni nyingi mnoooo kwangu, nikitafakari wema.wako kwangu naweza hata kulia umenitendea mambo makubwa mno, umenitoa kutoka ktk kuamini na kuanza kukuamini wewe hilo tu ni kubwa sana kwangu, Glory to God.
Asante Yesu,Asante kwa kila kitu Maishani mwangu,Asante kwa matendo yako makuu maishani Mwangu,NINAKUPENDA Kwakuwa unanipenda Sana Sana Unaniwazia Mema na unanipendelea Asante kwa kunipa watoto wazuri ,Asante kwa kujiamini niwe Mama Asante kwa uhai Asante kwa chakula Asante kwa mavazi Asante Mungu wangu
Ahsante Yesu kwa kuwa u pamoja nami...Ahsante kwa ajili ya watoto wangu..Ahsante kwa kuwa maombi yetu yamejibiwa. Ahsante Mungu kwa kunipenda na kunifanya mimi mwenye haki wako katika Kristo Yesu.Jina lako lihimidiwe.
Nashukuru mola kwa Mapenzi yake na kuniondoa katika shimo na majaribu mengi sana ❤ ,,,,,Maana yeye ndo kila kitu kwangu kulala kuamka yote ni kwa nehema shukran kubwa kweke!bwana asifiwe sana 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Nakushukiru Mungu Kwa Mume wanguuuu na watoto wangu, Asante sana Mungu Kwa WEMA MLIOTUSAIDIA Mimi na mume wangu ❤️🙏,Asante ATA Kwa ajir ya biashara tunayotegemea kufanya, nakushukuru Mungu Kwa ujauzito huu ninaotegemea kujifungua muDA wowote Yesu Asante Kwa Mtt ALIYEKO tumbon mwangu....mlinde na mbariki ktk makuz yake ❤️🙏

Nashukulu Bwana Yesu kwa Uzima ulionipa na Uhai
Asante sana Yesu 🙌🙌
Nakushukuru bwana yesu kwa matendo yako makuu umeniponya magonjwa taliyokuwa yaneshindikana kwa madaktari na ukaniondokea aibu
Nakushukuru Mungu wangu umeniponya ugonjwa mkubwa sanaa wa tumbo nashukuru pia kwa maombi yako ya uponyaji nilikuwa naifungulia you tube kila niingiapo kwenye oparation mara zote 4 asante sana Yesu hukuniacha jamani
🙏🙏Asante Mungu kwa ulinzi wako na kulinda kizazi changu chote!!nimengi sana umetenda kwangu siwezi kuimaliza kwa siku moja!!!
Asante mungu kwa uzima kwa urenjesho wa maisha mapya ,na neema ya baraka telele,pamoja na kunilindia watoto nikiwa mbali, Amen 🙏 🙌 👏
Namshukuru Mungu sana Kwa siku ya Leo, Kwa matendo yake makuu siku ya Leo, amenipa Afya njema na amenisaidia mtotoo wangu kapata mkopo wa eimu ya juu
Asante Mungu kwa kunitendea mengi , na pia nakushukuru kwa ajili ya ukoo wangu uliofanya wakawa sawa, pia asante kwa kazi uliyonipa na asante kwaajili ya kunipgania na kunipgania asante kwa afya njema, asante kwaajili ya Khaliphan kwa neema na baraka unazompatia asante Yesu, asante Yesu kwa kusikia maombi yangu
Asante Mungu Kumponya Mwanangu kichwa na tumbo,nazidi kuomba ulinzi wako kwa Wanangu Wote
Asante bwana yesu uliyo yatenda kwangu ni mengi mno shuhuda zako hazielezeki ata niseme Asante mala elfu haitoshi mm ninashukuru kwa kila jambo kwenye ndoa yangu umetenda kwenye uzao wangu umetenda ni kwenye kazi yangu umetenda mm ninashukuru 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen
Mungu Wangu nakushukuru kwamatendo makuu ulionitendea siwezi kukulipa nasema aAsantee baba🙏🙏
Ameen
Asante mungu kwa kuniwezesha kwa baraka zote ulizonitendea katika maisha yangu
Namshukuru mungu kwa kibali Cha kusikilizamaombi haya Asante yesu kwa kibali hikki😊
Asante bwana yesu kwa matendo makuu unaonitendea asante kwa neema yako ya uponyaji namshukuru kwa kinywa nakupenda 🎂🥳🧭 Sana
asante bwanayesu kwakujibu maombi yangu kwasiku 1 😢😢😢😢ee mungu ee mungu sitachoka kukutumikia
Nakushukuru Mungu kwa kufungua mlango wa uchumi wangu
Asante Mungu kwa kila jambo
Namshukuru huyu Mungu wa ajabu maana amenijb ombi langu la kuolewa jina lake litukuzwe milele daima bwana anatenda kila sk katika maisha yangu. Nitamshukuru kila saa kila dk kila saa kwa sababu anatenda
Mungu ahsantee Kwa sababu hujawahi niacha mtumishi ubarikiwe pia libarikiwe tumbo lililokuzaa
Namshukuru Mungu nmejifngua salama asante sana Mungu naomba Mungu wangu unituzie watoto wangu
ASANTE sana MUNGU maana unanipenda umeniketisha Kati ya wakuu uimidiwe unanibandilisha kila leo sita choka kukutukuza kwa makuhu yote umenitendea AMEN AMEN 🙏 sifa kwa bwana AMEN.
Amen asante bwana yesu umendeta mambo mkuu katika maisha wetu 🙏🙌
Ahsant mungu umeniepusha na mabaya mengi mm ni nani kwako bwana😢😢umeifuta aibu yangu 🙏🙏
Asante Mungu wangu umenitendea makuu mno mimi na familia yangu unisamehe pale nilipolalamika kwa namna moja ama nyingine bali wema na fadhili zqko zimekuwa nami kwa mwaka huu asante sana Bwana Yesuuuu asante Mungu wangu,Asante Jehova asante sanaaa baba wa mbingunii
Mungu nina kushukuru sana kwakila jambo maishani mwangu.
Bwana yesu nashukuru kwa kila kitu Amina 🙏
BWANA YESU NAKUSHUKURU KWA MTUMISHI INNOCENT MORIS
Ameen
Mungu wangu. Nakushukuru kwa mema unayonijaria siku ya leo
Ameen ameeen 🙏 🙏🙏
Asanteee MUNGU wangu 😭😭🙏🙏 asante kwa kila kitu🙏🙏🙏
Nashukuru mungu kwa utukufu wako unaojidhihirisha maishani mwangu hakika wakati wa mungu ndio wakati sahihi
Nakushukuru Mungu wangu kwa Mema mengi unayonite dea
Mungu wangu namshukuru kwa kila hatua yamaisha yangu.
Madhabahu hii ikawe kumbukumbu kwa yale umetenda kwangu Yesu,NAKUSHUKURU YESU WANGU wewe umeniwazia nje ya mipaka niliyoomba🙏umenitendea zaidi ya nilichoomba🙏nimerudi kusema Asante Mungu Asante sana🙏
Namshukuru mungu Kwa Mambo makubwa aliyonitendea hayapimiki amenifanyia kicheko.
Bwana Yesu namshukuru Kwa wema wako sku ya leo
Aksanti bwana nakushuru sana kwa yote napitisha kupitia musiba ya muloko yangu upewe sifa yote nimapenzi amene
Ameen
Asante Bwana Yesu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nashindwa hata chakuandika ila niseme asante mungu asante Yesu kwahili ulionotende😢😢
Ameen
Asante Mungu kwa mema yote Asante kwa Kila hatua ninayoipitia
Amen Asante Sana Tunashukuru Mungu Akubariki Kwa Maombi Ya leo Bwana Yesu Nimebarikiwa
Ameen ameeen
Ubarikiwe sana
Namshukuru mungu kwa kumpa mwangu ajira ameeeni
Nashukuru Mungu kwa yote, na kwa wewe pia Amina
Ahsante mungu kwa yote unayo tujalia mimi na mtoto wangu tunakushukuru baba kwa ajili ya ufulu wa mtoto wangu kwenye masomo yake tunasema Ahsante baba upendo wako ni mkubwa sana kwetu🙏🙏🙏
Asantee mungu kwa kuniokoa katika a
Jali mbaya
Na mapito yote ninayopitia amina
Asante kwa kuwapigiania watoto wangu na biashara yangu amina
Eeh Mungu ninakushukuru kwa wema na fadhiri zako kwangu.
Bwana ahsante Kwa zawadi ya family yang ubarikiwe Baba
Nashukuru Mungu wa madhabahu hii amerejea Amani ya moyo wangu ina kurejesha upendo kwa mume wangu uliokuwa umepotea miaka mingi 🙏
asante mungu kwa kunipa kibari kazini umetowesha makahaba katika ndoa yangu ndoa yangu imelejea kwa upya nashukur kwa ajiri ya malengo ninayo yapanga kuyafanya kwa yaliyo timia na ambayo natalajia yatimie asante mungu ata kwa changamoto zote nilizo pitia naninazo pitia nitaomba nahayo nikiamin kupitia jina la yesu kristo🙏
Ameen
Amen ubarikiwe Sana mtumishi Kwa maombi
Nashukulu MUNGU kwa yote AMINA
Ameen
Namshukuru mungu kwa kunitunza nakunipokea nilivyo
Asante Yesu kwa kunipa watoto wazuri asante kwaajili ya biashara yangu
N amshukuru Mungu Tena na Tena na mshukuru
Asante mungu kwa ku usikilize maombi yangu
Nakushuru Mungu kwa kutusaidia kushinda salama siku ya leo amee
Ahsante Yesu Kwa Kila jambo ulilonitendea
Asante mungu nasem asanteeee kwa vyote asanteeee kwa kumiwezesha Asante kwa kunibrk
Asante yesu kwa kila jambo katika maisha yangu🙏
Ahsante Yesu kwa kunitoa kwenye hili balaa la kubebewa mtoto
Nashukuru Mungu kwa kuniokoa kesi iniliyokuwa nayo zaidi ya yangu na adui yangu Ameen
Asante Yesu kwa wema wako kwangu umetenda mambo makubwa na yaajabu. Kwangu nasema Asante sana baba Nashukuru sana sana sana mambo makuu kwangu Ameen
Tunamshukuru Kwa matendo mema uliyo tujalia
Kwa maombi haya ya shukurani kwa MUNGU napokea kwa jina la YESU KRISTO!
Mungu nakushukuru kwa yote uliyonitendea Mimi na familia yangu
MUNGU awe mfalme WA mbingu na Duniani. MUNGU nakushukuru imenifanyia Baraka kubwa sana maishani mwangu. Wanawake wenzangu msikate tamaa kuhusu kuolewa. Mimi nimeona mkono WA MUNGU. Hakika hakuna zaidi ya MUNGU 🌹🙏🙏
Nashukuru MUNGU kwa kujibu maombi 6ang7
Yesu Kristo.. mungu uliye hai..nasema asante kwa kunipa eneo langu la kuishi.. niliomba kwa kulia.. nae mungu kanitendea leo nimeamia.. asante bwana yesu kwa neema yako na baraka zako..
Ameen
Asante yesu Kwa wema wako kwangu umetenda mambo makubwa na yaajabu kwangu nasema Asante sana
Ameen
Asante Mungu katika jina la Yesu kristo
Ameen ameeen
Ee BWana YESU asante sana. Umemulinda. Ndugu yetu katka Kristo tunaomba uzidi kutulinda Siku zote tumalize mwaka
Bwana Asante Kwa wema na faziri zako kwangu ubarikiwe sana
Ameen
Nashukuru mungu umenipa pumzi mpya tena
Mungu wangu nakushulu manake nimeiona siku ya leo.amenipa uhai amenkubuka siku ya Leo nashukulu juu ya kazi yangu Nampa shukulani nashukulu juu ya watoto wangu tena kukubaliki kazi I mwangu asante baba nasema ni asante
Ni wewe Bwana, unastahili sifa hizo!
Mungu ahsante Kwa kunirejeshea kilichokuwa kimeibiwa adui na shindwa nseme nn mbele za Mungu mm jaman mtumishi ubarikiwe sana nmejifunza mengi kwako
Pia kupitia maombi Hy Mungu amemfungua mwanangu aliyekuwa anadondoshwa mapepo Kila akitaka kwenda shule maombi na sadaka ndio silaha yang nmemuona Mungu Uso Kwa Uso ahsante Yesu Kwa kuwa hukuwafrahsha adui Zang🙏🙏🙏
Mungu ahsante Kwa wema wako kwangu
Ameen
asant Mungu wakunipa afya njema bwan
Ameen
Amen baba tunafunguliwa sana🙏
Oh dear lord Jesus am sorry 😭😭😭 forgive me 🙏🙏🙏 thanks for My life
Ahsante bwana Yesu kwa kunitoa kwenye janga la kutaka kubebewa mtoto Ahsante kwa kumuokoa mwanangu Ahsante kwa kuwa hakuna awezaye kunitenganisha na mtoto wangu
Ameen
Nakushuru saana Ehhe Mungu wangu. Nalihimidi jina lako kuu limenitendea maajabu makuu kwa mwaka huu, na zaidi saana siku hii ya leo. Umemfikuza adui zangu mbele yangu. Na lihimidiwe jina lako kuu, asante saana Roho Mtakatifu
Yesu ww nfaraja kwangu
Mungu ninakushukuru kwa yote umetenda maisha I mwangu..in Jesus mighty name,nakutukiza nakukuinua siku zote za maisha yangu.Amen..hakika,wema wako nafadhili,zitanifuata milele,nitakaa,nyumbani mwa bwana,siku zote za maisha yangu
Ameen
Asante mungu kwa yote Asante kwa uhai Asante kwa Kazi Asante kwa kurinda familiar yangu hata marafiki thanks for everything 🙏 ♥...
Ahsante Yesu Kwa wema wako kwangu
Baraka zako Yeau ni nyingi mnoooo kwangu, nikitafakari wema.wako kwangu naweza hata kulia umenitendea mambo makubwa mno, umenitoa kutoka ktk kuamini na kuanza kukuamini wewe hilo tu ni kubwa sana kwangu, Glory to God.
Asantee Mungu Kwa kunitendea mema na kujibu maombi yangu Kwa wakati🙏
Bwana ninakushukuru ahsante kwa Afya yangu, ahsante kwa familia yangu
Asante Yesu nakushukur kwayote
Amen wewe ni mwema ndani yamaisha yangu 😂
Asante Yesu,Asante kwa kila kitu Maishani mwangu,Asante kwa matendo yako makuu maishani Mwangu,NINAKUPENDA Kwakuwa unanipenda Sana Sana Unaniwazia Mema na unanipendelea Asante kwa kunipa watoto wazuri ,Asante kwa kujiamini niwe Mama Asante kwa uhai Asante kwa chakula Asante kwa mavazi Asante Mungu wangu
Amen barikiwa mtumishi wa Mungu
Balikiwa na Bwana.
Ahsante Yesu
Ahsantee Yeesu Kwa hatua
Amen 🙏
Ahsante Yesu kwa kuwa u pamoja nami...Ahsante kwa ajili ya watoto wangu..Ahsante kwa kuwa maombi yetu yamejibiwa. Ahsante Mungu kwa kunipenda na kunifanya mimi mwenye haki wako katika Kristo Yesu.Jina lako lihimidiwe.
Asante Mungu kwa Baraka zako na rehema zako zisizopimika kwangu
Amen asente mungu
Ameen
Nakushukuru BWANA YESU kwa we.ma na huruma zako kwangu nafamilia yangu🙏🙏🙏
Asantee kwa mafundisho mazuri mtumishi
Nashukuru mola kwa Mapenzi yake na kuniondoa katika shimo na majaribu mengi sana ❤ ,,,,,Maana yeye ndo kila kitu kwangu kulala kuamka yote ni kwa nehema shukran kubwa kweke!bwana asifiwe sana 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Ameen ameeen
Ahsante Mungu kwa Kila jambo ulilo nifanyia katika maisha yangu.
Ahsante Yesu kwa kuniinua
ASANTE MUNGU 🙏😭
Asante mungu kwakila jambo