NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • SWAHILI WORSHIP SONG
    Listen:
    Swahili heaven Worship on Spotify: open.spotify.c...
    Swahili heaven Worship;
    .."Bwana ndiye Mchungaji wangu sito pungukiwa na Kitu"..
    Download and listen on all digital platforms;
    Spotify: open.spotify.c...
    Itune: / swahili-heaven-worship
    Boomplay: www.boomplay.c...
    Facebook: www.facebook.c...
    Instagram: ...
    Contact us through;
    Phone number, +255759496895
    Email; andreanico211@gmail.com
    #nyimbozakuabudu #nyimbo #kuabudu #swahiliworship #swahiliworshipsong #lyrics #nonstop #nyimbozamaombi #maombiyausiku #maombi #swahiliheavenworship

ความคิดเห็น • 896

  • @nyimbozakuabudu2650
    @nyimbozakuabudu2650  ปีที่แล้ว +190

    Sikiliza nyimbo mpya za 2024 kupitia link hii pia usisahau kusubscribe and kulike ili kuweza kupata nyimbo zote
    LINK
    th-cam.com/video/66UGJ1fEW20/w-d-xo.htmlsi=kjFZkvU7VrsTFLvi

  • @SinorinanikodemuAmma-zi1jz
    @SinorinanikodemuAmma-zi1jz 24 วันที่ผ่านมา +5

    Munguu fanya kitu leo kwenyee maisha yanguu

  • @gilbertkatembo2253
    @gilbertkatembo2253 20 วันที่ผ่านมา +3

    Nyimbo za tupatiya faraja,mimi ni Gilbert nikiwa DRC goma

  • @ayubunnko4177
    @ayubunnko4177 6 หลายเดือนก่อน +90

    Ambao tumetendewa kupitiwa nyimbo hizi 2024 like hapa

    • @aminaisuja6081
      @aminaisuja6081 4 หลายเดือนก่อน +1

      Amen😢

    • @TAJIRICALVIN
      @TAJIRICALVIN 4 หลายเดือนก่อน +1

      Amina

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน +3

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖

  • @ERASMUSRUBUNGA
    @ERASMUSRUBUNGA 3 หลายเดือนก่อน +10

    ameen, Mungu akatende katika maisha yangu na maisha ya watu wote wenye shida mbalimbali,😭😭😭😭

  • @jassysk9961
    @jassysk9961 9 หลายเดือนก่อน +27

    Ee Yesu naomba umbariki kila mmoja alie kuwa au atakae kuwa hapa,Amen.

  • @nahishakiyeaugustin-te4ni
    @nahishakiyeaugustin-te4ni 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kristo Yesu awe uzima kwako wewe Muslim na njaa na kiu ya Gospel ikaongezeka zaidi yamkini unaweza kupata Nuru kama watakatifu wengine walivyoipata.Zaidi ukawe na afya tele katika jina tukufu la KRISTO YESU MFALME WA WAFALME ALIYE MWANZO NA MWISHO KATIKA YOTE MILELE NA MILELE.

  • @marijanijackson5597
    @marijanijackson5597 5 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu ni mzuri jamani mpaka nahisi napaa..nabarikiwa sana na nyimbo hizi

  • @nyakatongongo4292
    @nyakatongongo4292 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atatutetea sana,

  • @Pascaline-z2d
    @Pascaline-z2d หลายเดือนก่อน +1

    Amen mubarikiwe sana mungu abongezeye mafuta

  • @AnnMutua-bd9jk
    @AnnMutua-bd9jk 4 หลายเดือนก่อน +12

    Bwana ni mwaminifu anaweza kufanya mambo makubwa Amina

  • @NibigiraGasper-k1s
    @NibigiraGasper-k1s 24 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna mwingine wa kuabudu ni Mungu tuu

  • @martinmsendo9591
    @martinmsendo9591 4 หลายเดือนก่อน +16

    Unaweza kutenda mambo makubwa zaidi ya matarajio yangu. Amina

  • @gloirealimasi9198
    @gloirealimasi9198 ปีที่แล้ว +12

    Kama nyimbo hizi zinatuweza karibu na Mungu Muumba, waliyo ziimba Mungu awatendee mema.

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  ปีที่แล้ว +1

      listen and download through various Digital platforms through the link below
      Boomplay; www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID
      Spotify; open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=BWxUtRGYSSiG9Ct8aEY8yg&
      Apple Music; music.apple.com/tz/artist/swahili-heaven-worship/1690080319

  • @marthayamba2908
    @marthayamba2908 9 วันที่ผ่านมา +1

    Sema na moyo wangu yesu

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 หลายเดือนก่อน +3

    Great worship songs! Asante sana na barikiwa sana. And Glory be to Jesus always.

  • @NcpbBondo
    @NcpbBondo หลายเดือนก่อน +1

    Blessings ,’blessings, Ni Milly

  • @breakingnewstz8396
    @breakingnewstz8396 27 วันที่ผ่านมา

    Ahsante Mungu Baba kupitia Jina la Yesu

  • @MarthaNyoni-o2g
    @MarthaNyoni-o2g หลายเดือนก่อน +2

    Hakima mungu anaweza kufanya na kutenda kadri ya ahad za maneno take kama asemavyo isaya49:14-19

  • @AidanMtalemwa-jb5cn
    @AidanMtalemwa-jb5cn 5 หลายเดือนก่อน +14

    Anastahili kuabudiwa siku zote Amen. 🙏🙏🙏

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @prosistalaswai5196
    @prosistalaswai5196 หลายเดือนก่อน +1

    Jamnii simfungue tudownlod wapendwaa

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai9954 ปีที่แล้ว +6

    Nmebarikiwa sana na hizi nyimbo za kuabudu mbarikiwe zaiidi amen and 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @robertkimani2420
    @robertkimani2420 10 หลายเดือนก่อน +23

    Dear brathren be blessed and those who are listening may u see Jesus working wonders in ur lives amen

  • @JabarDavidy-if5jn
    @JabarDavidy-if5jn ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo hii inanibaliki sana jamani ninapo isikia nafalijika sana pia mungu awabaliki sana kwanyimbo nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @josesantos2603
    @josesantos2603 หลายเดือนก่อน +2

    Asante! Muziki mzuri!! Ninatoka Brazil!

  • @AnnKoki-i7d
    @AnnKoki-i7d 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉

  • @godfreycharles2731
    @godfreycharles2731 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu. Nakupenda yesu. Asante kwa baraka za maisha Yangu. Unafanya mambo makubwa. Amen

  • @AidanMtalemwa-jb5cn
    @AidanMtalemwa-jb5cn 5 หลายเดือนก่อน +10

    Nabarikiwa sana Amen 🙏🙏

  • @JacksonSinga
    @JacksonSinga 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nafarijika san kila nikisikia nyimb hiz nahis moyo wang kua na aman kubwa sana namshkr Mungu sana kwa kuguswq

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @mercyndunge7119
    @mercyndunge7119 ปีที่แล้ว +6

    Nimembarikiwa na uu wimbo Mungu awatangulie zaidi

  • @tausikatale9037
    @tausikatale9037 ปีที่แล้ว +7

    Mungu wa mbinguni awabariki sana kwa nzuri zilizojaa utukufu wa Mungu🙏🙏

  • @Briget-x8q
    @Briget-x8q 3 หลายเดือนก่อน +2

  • @RubanguraMichel
    @RubanguraMichel 9 หลายเดือนก่อน +8

    Umunsi umwe tuzahurira mwijuru abamwizeye Bose baturutse mumpande enye zisi, Kandi tuzamenyana ntituzongera gutandukana, Amen

    • @AnnaNzuttu
      @AnnaNzuttu 5 หลายเดือนก่อน

      Ni kulii nchutt y'anje k'and vyose vyatufashe vyizoturetse kulii

    • @tumpedaudi6681
      @tumpedaudi6681 4 หลายเดือนก่อน

      AMEN 🙏

    • @mulungiester8675
      @mulungiester8675 2 หลายเดือนก่อน

      Amen, Imana Ihimbazwe

  • @marthayamba2908
    @marthayamba2908 9 วันที่ผ่านมา

    Tenda miujiza katika maisha yangu kupitia nyimbo hizi mungu wangu

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 ปีที่แล้ว +8

    Hakika nimebarikiwa sana nanyimbo zenu fanyeni matendo mazuri kamanyimbo zanu. Barikiwa sana

  • @lilianosward8319
    @lilianosward8319 4 หลายเดือนก่อน +2

    Na ashukuriwe Mungu asiyekataa maombi yangu Zaburi 66:20
    To God be the Glory

  • @richardavelini5567
    @richardavelini5567 5 หลายเดือนก่อน +5

    this gospel mix always made me go deep in Gods presence 🥰

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @SarahLukusa-ls5gf
    @SarahLukusa-ls5gf ปีที่แล้ว +7

    Mungu Aendelee kujitwalia utukufu katikati Yetu. Ameen 🙏🙏🤲

  • @dinermafuru4433
    @dinermafuru4433 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu wetu ni mkuu sana

  • @ModesterPetro
    @ModesterPetro 29 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba anitendeee🙏🙏

  • @KulwaStephen
    @KulwaStephen 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kwel mungu sema na moyo wangu nipate kukupenda na kumutumikia ipasavyo, barikiwa watumishi ,nawapenda🎉🎉❤

  • @andjelaniilombe-go5kj
    @andjelaniilombe-go5kj 7 หลายเดือนก่อน +7

    Nainuwa macho yangu juu

  • @Emmanuel-cp1no
    @Emmanuel-cp1no 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huwa nabarikiwa sana na nyimbo kama hizi machozi ya imani hunibubujika zina mguso mkali sana wa imani yaani kama unaona na Mungu uso kwa uso

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖

  • @womenkilimanjaro298
    @womenkilimanjaro298 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Mungu Kwa kila kitu katika Maisha Yangu , Naomba utuguse wote tuliobeba Vitu vizito moyoni, Tunaamini hakuna lisilowezekana kwako Amen🙏🏾

  • @munsakazaali721
    @munsakazaali721 7 หลายเดือนก่อน +14

    Am Zambian and though I do not understand Swahili, properly , I love this song " Wewe nimungu wetu ". This song drives me in a worshiping mood. I have became addicted to this song. May the Almighty God grant me all my heart desires this year 2024. 🙏

    • @peterachuka8565
      @peterachuka8565 7 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @ziro-creativity001
      @ziro-creativity001 7 หลายเดือนก่อน

      @munsakazaali721 God will Give you what you deserve and not what you desire

  • @self.car3._.glowi3
    @self.car3._.glowi3 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anaweza zaidi ya tuombavyo.Baraka tele

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 8 หลายเดือนก่อน +2

    ♥️🙏

  • @KALUNDAELIE
    @KALUNDAELIE 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana nasikiya nafajirika sana Mungu azidi kuwapa nyimbo nyingi yabiblia😅 asante sana ☝️

  • @ClareWema
    @ClareWema 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni Mungu wetu.. unaweza yote bwana... come and reign my life God, I face many challenges in life.. I wish my mum was with me.

  • @RubanguraMichel
    @RubanguraMichel 9 หลายเดือนก่อน

    Imana ibahe umugisha bana bi Imana Umwuka Wera abakomeze

  • @philipowmngonja
    @philipowmngonja ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo nzuri sanaaaaa zintianguvu.

  • @MichaelWilfred-hu2ch
    @MichaelWilfred-hu2ch 4 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa sana watumishi nyimbo zinaleta uwepo wa mungo ndani mwetu

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @Mariaemanulmagomba-rr1xp
    @Mariaemanulmagomba-rr1xp 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu nimwema kira wakati

  • @nickmsangaa8506
    @nickmsangaa8506 ปีที่แล้ว +5

    ameni nabarikiwa sana leo juma pili hii tarehe 7mwenzi wa 5/23 asante mungu asantee 😭😭😭😭

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @livingstonechurchtz8400
    @livingstonechurchtz8400 11 หลายเดือนก่อน +2

    Safi

  • @esther.r.kulundumuruto1019
    @esther.r.kulundumuruto1019 ปีที่แล้ว +10

    Mungu ni Mungu. Nakupenda Sana. Everyday am Alive I will Continually Bless the LORD 🙏

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @cathyuwimbabazi5125
    @cathyuwimbabazi5125 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Hallelujah 🙌🙌🙌 Amen Bwana Yesu anawezaaa Yote,God bless abandantly ❤❤❤

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖

  • @AnthonyRingoma
    @AnthonyRingoma 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sana hizo gospel,hakika mungu awabariki hawa waimbaji

  • @ShangaziShangazi
    @ShangaziShangazi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina🙏🙏🙏🙏

  • @PaulinaMlelwa-pv9fw
    @PaulinaMlelwa-pv9fw ปีที่แล้ว +2

    Amina sana ,hakika mungu wetu atupenda sote,tusichoke kumwabudu yeye

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 9 หลายเดือนก่อน +2

    🙏🙏🙏🙏😊😊👏🤲👏👏❤️

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Unaweza mungu wagu amen

  • @Mariaemanulmagomba-rr1xp
    @Mariaemanulmagomba-rr1xp 4 หลายเดือนก่อน +2

    Unaweza yesukutenda mambomakubwa zaidi yaniombavyo amina

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @GodefroidMunganga
    @GodefroidMunganga 5 หลายเดือนก่อน +1

    Afu mwenyezi Mungu akuwezeshe kwa wimbo nzuri ambawo unajaza'nguvu ndani ya moyo wangu Mungu akulinde akongezeye afya njema kwako

  • @MaureenMidega
    @MaureenMidega 4 หลายเดือนก่อน +3

    Amen naona nyota yabaraka ndani yangu

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @Jenipherjrsamsoni
    @Jenipherjrsamsoni หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza kunipa ridhiki yangu yesu nisaidie kunipa kazi yakudumu

  • @VeronicaJoshua-p7t
    @VeronicaJoshua-p7t ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki sana nyimbo nzur sana

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @MathiasSemu
    @MathiasSemu 29 วันที่ผ่านมา

    Nimeshiba zaidiya kushiba

  • @hamisimganga3328
    @hamisimganga3328 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo nzuri

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @WITNESSSIMBA-c2v
    @WITNESSSIMBA-c2v 7 หลายเดือนก่อน +2

    M ungu wewe unaweza kufanya makubwa❤❤❤

  • @eunicenjeri4098
    @eunicenjeri4098 หลายเดือนก่อน

    When my mouth can't allert any word lord Jesus hear my heart😭😭😭

  • @MalampakaBranch
    @MalampakaBranch 6 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @InesZakayo
    @InesZakayo 6 หลายเดือนก่อน +4

    Yan nyimbo zote nzurii sana

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @magdalinejuma2028
    @magdalinejuma2028 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kusikiliz tu hizi nyimb nabarikiw sana ❤❤❤😊

  • @KaweKidscouture
    @KaweKidscouture 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeen nabarikiwa sana Mungu akubariki mtu wa Mungu

  • @piusmtimili8457
    @piusmtimili8457 ปีที่แล้ว +19

    Ninabarikiwa sana na nyimbo hizi.kuimba kwenu kuendane na matendo yenu yaliyo mazuri.MUNGU awabariki sana.

  • @WilfredLaurent-ni8fi
    @WilfredLaurent-ni8fi 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖

  • @dianamwangi-j2v
    @dianamwangi-j2v 4 หลายเดือนก่อน +2

    My all time worship 🎉... powerful 💪. Lord God receive all the glory and honour ❤

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @nanciewakesho3730
    @nanciewakesho3730 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli Mungu aweza kufanya mambo makubwa zaidi ya yale tuombayo.....be blessed for this song am blessed more❤

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @selemanilucas2312
    @selemanilucas2312 ปีที่แล้ว +3

    Amina nabalikiwa Sana nanyimbo izi🙏🙏🙏na mungu awabaliki sanah..

  • @MaryYagunga-o5k
    @MaryYagunga-o5k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante

  • @andjelaniilombe-go5kj
    @andjelaniilombe-go5kj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Niguse Baba , ukinigusa nitakuja salama

  • @reubenismail385
    @reubenismail385 ปีที่แล้ว +1

    Matendo yana sound sana kuliko kuimba tu!mambo muimbaya tafsirini pia kwa matendo hakika mtabarikiwa sana

  • @mariammake5298
    @mariammake5298 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏 utukufu kwake yesu kiristo Amen 🙏

  • @AdhiamboElizabeth-r6c
    @AdhiamboElizabeth-r6c 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hallelluyah, amen amen Mungu anaweza fanya mambo makuu kuliko tuombayo.He is above everything.

  • @JudithMaombi-j3f
    @JudithMaombi-j3f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Akuna kitu yakukushinda Mungu wangu nikumbuke baba. Una jua haja ya moyo wangu

  • @iamedoco7193
    @iamedoco7193 5 หลายเดือนก่อน +3

    God is great have mercy on us

  • @Elishaisaya-to1ri
    @Elishaisaya-to1ri ปีที่แล้ว +2

    Unaweza kufanya mambo mkubwa

  • @Loice-c9o
    @Loice-c9o 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kila siku lazima ni sikize Mungu akubariki sana

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza mix tofauti tofauti kwenye channel yetu ,usisahau kusubscribe na kuturnon notification bottom ❤️

  • @serahwangari9487
    @serahwangari9487 5 หลายเดือนก่อน +2

    Deep worship be blessed for ur good doing

  • @CondradHaule
    @CondradHaule 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nazipenda sana nyimbo za kuabudu,kwani zinavuta hisia na upako. Barikiwa sana.

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kwenye channel yetu . Subscribe and turn on notification bottom kwaajili ya kuweza kupata taarifa za vitu vyote tunavyovituma

  • @NEEMAMUGOLI
    @NEEMAMUGOLI 2 หลายเดือนก่อน +2

    Na mimi napenda niwe kama ninyi mnao mwimbia bwana wa majeshi mungu awa bariki

  • @AnneMithika
    @AnneMithika 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa Roho wako kweli utarejesha yote yaliopotea

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍

  • @NehemiaJulius-pp7bp
    @NehemiaJulius-pp7bp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahishwa sana nisikilizapo

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖

  • @TchikomaLazar
    @TchikomaLazar 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vizuri sana nimebarikiwa sana

  • @LouiseKanyana-h9o
    @LouiseKanyana-h9o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amena Yesu unaweza nakuamini kwakira jambo nabarikawa na nyimbo

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee kwa nyimbo nzur nimebarikiwaa sanaa ameeen and ameeen god is good all the time ❤

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650  2 หลายเดือนก่อน

      @@Faines-qj1nt Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖

  • @andjelaniilombe-go5kj
    @andjelaniilombe-go5kj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wetu ni wewe tu unayeweza

  • @Munezerojeancloude-lm7ej
    @Munezerojeancloude-lm7ej ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwasana kupitiya yimbo hi

  • @jeanettemurekatete8475
    @jeanettemurekatete8475 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏God bless you ❤❤