Kila kizuizi kilichowekwa kinyume na maisha yangu nisipaate ndao nakivunja kwa damu ya Yesu kivunjike kivunjike kwa jina la Yesu kila mlango wote uliofungwa kwa maisha yangu nauvunja kwa jina La Yesu.😊
Kiukweli haya maombi nimesikiliza nimemaliza kusikiliza mpaka sasa hivi sina nguvu naandika huku mikono inatetemeka nimefunguliwa asante mungu kwa maombi haya from Malaysia 🇲🇾 🇲🇾🙏
Kila kizuizi kichopangwa kwenye maisha yangu, kazi yangu, familia yangu ninakitangua katika jina la yesu kristo. Ninafungua milango ya baraka na mafanikio yangu kwa jina la yesu.
Naomba Mungu aendelee kuniletea Kwa kuvunja vizuizi, malango ya vizuizi vinavyofanya magonjwa kusakama mwili wangu,Yesu wewe ndio mkombizi wa maisha yangu nami nasema nimepona Kwa Damu ya Yesu kristo.Ameen
Ee bwana yesu nakuomba ukaondoshe vizuizi vyote vilivyo katika ndoa yangu,maisha yangu,familia yangu,na maisha yangu bwana nakuomba ukavivunje vyote bwana mana hakuna mungu kama wewe bwana. Ee mwokozi wangu nakuomba ukanijibu maombi yangu kumi na mbili. Kama ulivyo mjibu sara na Anna kama ulivyo mjibu yusufu na danieli nami unijibu leo bwana kwa damu ya mwanao yesu krsto
Yesu kristo unitangulienajiandaa kwa jili ya ndoa naomba uniondolee kila kizuizi ndani ya safari hiyo na pia naomba bwana yesu umsaidie mpenzi wangu awez kugutegemea kwa kila kitu Anacho kifanya bwana yesu tunaomba ututumie loho mtakatifu azidi kutuongoza na kutushauli cha kufasha siku zote za maisha yetu katika jina la yeweza yesu kristo naomba nikushukulu ameeeen
Kwajina la Yesu navunja kila vizuiz vyote vilivyoko mbele yangu kweny biashara zangu navunja navunja kwa kuna La YESUkristo wanazalet Mungu alie hai Mweza ya yote mmliki wa kila kitu! Pumzi yangu , uhai wangu watoto wangu wazaz wangu kila kitu kiko mikononimwako🙏🙏 navunja leo miamba yotee naaungusha chini kwajina la Yesu🙏🙏🙏
Najiunganisha na haya mathabau kubomoa kunguvu za kiza na vizuizi vyote vilivyomo ktk Familia yetu na maisha Yangu ktk jina la yesu kristo 🙏🙏 amen,ubarikiwe mutumishi Kwa uchumbe huu wa kujenga kiroho.
Ameeena, ninajisikia na ninaamini yakwamba mirango mibaya yote Papa God amefunga na akafunguwa mirango mipya halleeluiaaa ninakushukuru Baba na tunabariki pia mchungaji umutendee wema......Mungu tunakushkuru milele Amen🙏🏽😭
Baba Kwa Jina la Yesu Naomba unitete Mimi na watoto wangu na Uvunje vizuizi vinavyozuia baraka kwenye uzao wa Tumbo langu. Fungus Mlango huyu ng'ombe Apate mteja atakakaemchukua Kwa bei nzuri Kwa Damu ya Yesu na Kwa Jina la Yesu Kristo
Nimepokea Kwa jina la yesu ñimevunja mabaya yote kwangu Kwa jina la yesu wanaonifutilia washindwe na kuvunjwavunjwa Kwa jina la yesu bwana yesu nitangulie
Ahsanteee mtumish naamin milango imefunguliwa na naanza kufanikiwa katika ndoa yangu katika uzaz katika kupata Kaz kwa jina la yesu kristo wa nazalet aliye hai
Amen mtumishi wa mungu maombi haya yamenigusa wakati naomba Kuna kitu kama kichomi nikikisikia katika ya kifua changu,na nikatapika naamini mungu ameniponya na kupitia maombi haya naamini vizuizi vyangu vinaenda kufunguliwa
Naomba mungu a kuvunja kila vizuizi katika maisha yangu na family yangu vivunjeke kwa jina la yesu kwa damu ya yesu kila vizuizi katatika ndoa naomba mungu kavichome kwa jina la yesu naamini mungu amendenda barikiwa mtumishi wa mungu
Amen🙏🙏🙏 Asante bwana yesu kwaku niponya majera yangu yote namakovu asante kwa uchumi wangi asante kwaki zazi changu nina kuchukur wewe nakuku abudu wewe bwana bwana wamaicha yangu asante kwaku ni weka huru siku ya leo ninakusifu nakuli abudu jina lako AMEN🙏🙏🙏🙏
MUNGU wa mbinguni kila kizuizi kinacho zuia maendeleo yangu na mume wangu, wasambalatike kwa damu ya YESU KRISTO 🙏🙏 watu wote walio kinyume wakafichuke kwa damu ya YESU

Asante yes Kristo kwakunifungua 🙏 😢naamini hii wiki nitabarikiwa ameni 🙏 yesu nakupenda ❤️
Kila kizuizi kwenye maisha yangu kibomoke kwa jina la Yesu Kristo
Kiukweli haya maombi nimesikiliza nimemaliza kusikiliza mpaka sasa hivi sina nguvu naandika huku mikono inatetemeka nimefunguliwa asante mungu kwa maombi haya from Malaysia 🇲🇾 🇲🇾🙏
Ameen ameeen
Mungu akubariki sana sana
Vizuizi juu ya watoto wangu, ndoa yangu, kazi yangu na afya yangu navivunja vyote leo kwa jina la Yesu... Vunjikaaa Yeremia 1:10
I declare and decree that no barrier will come on my way in jesus mighty name 🙏
Ee Mungu niondlee kizuizi cha kutokupata miradi kwenye shirika langu
Ninavunja kila aina ya vizuizi katika maisha yangu watoto wangu kazi zangu ndugu zangu kwa damu ya yesu aliye hai
Kila kizuizi kichopangwa kwenye maisha yangu, kazi yangu, familia yangu ninakitangua katika jina la yesu kristo. Ninafungua milango ya baraka na mafanikio yangu kwa jina la yesu.
Mungu wangu! Yesu wangu! Nisaidie kuvuja vizuizi vyote vilivosimama juu yangu, juu ya maisha yangu na uzao wangu; kwa jina na kwa damu yaYesu kristo!
Naomba Mungu aendelee kuniletea Kwa kuvunja vizuizi, malango ya vizuizi vinavyofanya magonjwa kusakama mwili wangu,Yesu wewe ndio mkombizi wa maisha yangu nami nasema nimepona Kwa Damu ya Yesu kristo.Ameen
Amen Amen ninafurahi milango yangu imefunguka Asante munguwangu kwakuni funguwa milango yangu imefunguka aleluyaaaaa💃💃💃💃💍👰♂️🗣
Ameen ameeen
Ee bwana yesu nakuomba ukaondoshe vizuizi vyote vilivyo katika ndoa yangu,maisha yangu,familia yangu,na maisha yangu bwana nakuomba ukavivunje vyote bwana mana hakuna mungu kama wewe bwana. Ee mwokozi wangu nakuomba ukanijibu maombi yangu kumi na mbili. Kama ulivyo mjibu sara na Anna kama ulivyo mjibu yusufu na danieli nami unijibu leo bwana kwa damu ya mwanao yesu krsto
Yesu kristo unitangulienajiandaa kwa jili ya ndoa naomba uniondolee kila kizuizi ndani ya safari hiyo na pia naomba bwana yesu umsaidie mpenzi wangu awez kugutegemea kwa kila kitu Anacho kifanya bwana yesu tunaomba ututumie loho mtakatifu azidi kutuongoza na kutushauli cha kufasha siku zote za maisha yetu katika jina la yeweza yesu kristo naomba nikushukulu ameeeen
Asante yesu kwa kunifungua katika kila vizuizi kwenye kila eneo kwenye maisha yangu 🙏
Kila kizuio kilicho katika njia yangu au kifungu chochote kile yesu ukifungua week hii yesu tuweze kulipa madeni haya yesu nakupenda sana nakutegemea
Bwana Yesu uniondelee vizuizi vyote vinavyozuia mipango yangu ya miradi SIHA na nyumba yangu kuuzika
Ee mwenyezi MUNGU vunja vizuizi vyoye vinavozuia nisifanikiwe katika maisha maisha yangu
Ee bwana yesu ondoa kila ainaya kizuizi kinacho zuia katika familia yangu naimanutatenda kadri ya uwezo wako
Kila zuizi lililofungwa katka maisha yangu katka biashara yangu nafuta kwa damu ya yesu amen
Kila kizuizi ambacho kimefunga mm nisiendelea kimaisha, ndoa yangu isiwe na Amani na familia yangu isiendelee, naingoa katika jina la yesu kristo.
Amen mtumishi wa mungu uzidishwe kwa Jina la yesu🎉🎉🎉
Kwajina la Yesu navunja kila vizuiz vyote vilivyoko mbele yangu kweny biashara zangu navunja navunja kwa kuna La YESUkristo wanazalet Mungu alie hai Mweza ya yote mmliki wa kila kitu! Pumzi yangu , uhai wangu watoto wangu wazaz wangu kila kitu kiko mikononimwako🙏🙏 navunja leo miamba yotee naaungusha chini kwajina la Yesu🙏🙏🙏
Ameen
Grory to God
Amina
Asanteeee baba Leo nimefunguliwaaa 🙏🙏🙏🙏🙏Nakupenda Yesu❤️niliteseka sana 😭Yesu Ahsanteee🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ee mungu nakuomba ukaniondolee vizuizi vyakunirudisha nyuma kw maisha yngu, pitia ujumbe huu naomb ukajb hoja ya moyo wangu Amina🙏🙏🙏
Ooooh yes lord nitangulie bwana ninatamani kufika 🙏🙏 maana bila ww siwez 🙏🙏 kutana na hitaji la moyo wangu 🙏 🙏🙏
Yesu tufungulie milango na pia vizuzi zinazo fanya tusiendele mbele.tunaomba hao kwa njia bwana Yesukristo Amina
You have touch me Apostle
Amen amen ameeeni mungu akutie nguvu mutumishi Morris na akujaze nguvu za roho mtakatifu kwa jina la baba mwana na roho mtakatifu amen
Najiunganisha na haya mathabau kubomoa kunguvu za kiza na vizuizi vyote vilivyomo ktk Familia yetu na maisha Yangu ktk jina la yesu kristo 🙏🙏 amen,ubarikiwe mutumishi Kwa uchumbe huu wa kujenga kiroho.
Ameen ameeen ameeen
Ubarikiwe pia
Kila kizuizi kilicho kuwepo kwenye familia yangu vifunguliwe Kwa jina la yesu
Nimebarikiw mtumishi wa mungu .asante bwana Yesu
Ameen
Yesu nione yesu niguse nifanikishe kujenga yangu kwa mikono yangu 👏👏👏 i
Amen atanitakulia kwa kila njia aina zote za vizuizi vitashindwa kwa damu ya yesu kristo
Damu ya yesu initetee, kila mlango uliofungwa juu yangu, nafungua kwa damu ya yesu
Amen
@@holyspiritconnect amen
Naomba Jehova unitangulie
Amen
E bwana yesu kavunje vizuizi katika maisha yangu kwadamu yayesu
Mwenyez mungu kavunja vizuizi vyote vibaya ktk jina la yesu 🙏🙏
Ameeena, ninajisikia na ninaamini yakwamba mirango mibaya yote Papa God amefunga na akafunguwa mirango mipya halleeluiaaa ninakushukuru Baba na tunabariki pia mchungaji umutendee wema......Mungu tunakushkuru milele Amen🙏🏽😭
Ameen
Amen Natangaza katika ulimwengu wa Roho na mwili kwa kunifungua kwa Damu ya Yesu
Natangaza ktkt dam yayesu nimefunguliwa ktk vizuizi
Baba Kwa Jina la Yesu Naomba unitete Mimi na watoto wangu na Uvunje vizuizi vinavyozuia baraka kwenye uzao wa Tumbo langu. Fungus Mlango huyu ng'ombe Apate mteja atakakaemchukua Kwa bei nzuri Kwa Damu ya Yesu na Kwa Jina la Yesu Kristo
Nimepokea Kwa jina la yesu ñimevunja mabaya yote kwangu Kwa jina la yesu wanaonifutilia washindwe na kuvunjwavunjwa Kwa jina la yesu bwana yesu nitangulie
Asante sana mtumish kwa kuniongoza maombi haya mazuri,naamini dam ya Yesu inaenda kunena jambo jipya kwangu kupitia haya maombi,Amen🙏🙏
Ameen
Kila kizuizi kilichopo kwenye maisha yangu na familia yangu watoto wangu ndugu zangu nakwenda kukivunja kwa damu ya Yesu kristo aliye hai
Ni mm hapa Niko na mlima chakutofaulu kimaisha , financial breakthrough,,damu ya yesu osha yote amen 🙏
Ameen
Ahsanteee mtumish naamin milango imefunguliwa na naanza kufanikiwa katika ndoa yangu katika uzaz katika kupata Kaz kwa jina la yesu kristo wa nazalet aliye hai
Amen Amen ninaita Damu ya YESU kwa kila mlango uliofungwa juu yangu
Damu ya yesu initetee kila mlango uliofungwa juu yangu naifungua kwa damu ya yesu😭😭😭
Amen mtumishi wa mungu maombi haya yamenigusa wakati naomba Kuna kitu kama kichomi nikikisikia katika ya kifua changu,na nikatapika naamini mungu ameniponya na kupitia maombi haya naamini vizuizi vyangu vinaenda kufunguliwa
Vizuizi juu ya maisha yangu, ndoa yangu na kwa biashara yangu navunja vyote leo katika jina la yesu.
Vizuizi ni vingi mbele yangu ee yesu naomba unitangulie navunja milango yote iliyosimama mbele yangu nabomoa katika jina la yesu Ameee👏
I connect my self i brake all covenant made against me uchawi mahasidi wote
Amen amen amen, nimabarikiwa Sana na nimewekwa huru vizuizi vyote na milima yote imesawazishwa natembea Kama mtoto wa kifamle
Amen
navunja roho za vizui juu yangu kwa jina la Yesu 🙏🙏
Asante Sana Mwwnyezi Mungu kwaajili ya haya maombi ,,,Yesu nasema Asante kwakuniweka huru ,,, NAKUPENDA YESU WANGU
Amina mchungaji kwa kweli sijawahi omba nikajibiwa papo hapo kama leo ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,nami bwana akanibariki amen
Amen , kila kizuizi chochte kwenye maisha yagu kitoweke kw jina la yesu , ndoa ,kazi ,maisha yagu yafunguliwe leo kw jina la yesu😢😢
Napomoa vizuizi katika Jina la Yesu Kristo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante kwakunifungua Yesu Christi🙌🙌🙌🙌🙏🙏
Asante kwanifungua kwajina la yesu christo Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏
Kila kizuizi kilichosimama katika maisha yangu nakivunja katika jina la Yesu 👏👏👏👏
Mungu naomba kila kizuizi kilichowekwa katika utafutaji wangu mahusiano yangu kiondoke katika jina la yesu amen
Nimekwama sana maombi haya naona ni yakwangu mungu anisaidia vifungo vitoke
Asante mwenyezi mungu kwa kujifungulia vizuizi vyote amen
Amen bwana kaniponya kupitia maombi haya 🙏🏿
Allelujah barikiwa sana pastor am so blessed
Ameen
Nimefirahia mungu tangulia kila kitu changu nataka nikutumikie,barikiwa Mtumishi wa mungu
Kupitia maombi haya naamini Mungu ataviondoa vizuizi vyote ktk maisha yangu pamoja na familia yangu Mungu awashangaze Yesu Ahsante
Amin mungu amenisikia leo hata kufungua tu haya maombi nineema kunawakati nilikuwa napita tu
Mungu anitangulie and unianianalie mbele na milango zangu zilzizo funga zifunguliwe katika jina la yesu
Kila kizuizi kilichowekwa kinyuma namipango yangu nakivunja kwajina layesu nafungua milango yangu ya riziki kwa dam yayesu kristu ameen
Ameen nimekombolewa🙏🙏🙏🙏
Ameen
Ee bwana yusu nakuomba ukaondoshe kila vizuizi vyote kwenye ndoa ya ngua na maisha yangu pamoja na family yangu
Naomba mungu a kuvunja kila vizuizi katika maisha yangu na family yangu vivunjeke kwa jina la yesu kwa damu ya yesu kila vizuizi katatika ndoa naomba mungu kavichome kwa jina la yesu naamini mungu amendenda barikiwa mtumishi wa mungu
Kila vizuizi vivunjike! Kwa jina la Yesu!
Bwana Yesu nitangulie ukasawazishe mahali penye vizuizi vinavyonizuia nisisonge mbele ktk jina la Yesu
Amen kwa jina la yesu kristo kizuizi kilicho simama katika ndoa yangu kivunjike katika jina la yesu
Ninafurahia kukua ndani ya uwepo wamungu mungu atukuswe millennium na milele
Amen🙏🙏🙏 Asante bwana yesu kwaku niponya majera yangu yote namakovu asante kwa uchumi wangi asante kwaki zazi changu nina kuchukur wewe nakuku abudu wewe bwana bwana wamaicha yangu asante kwaku ni weka huru siku ya leo ninakusifu nakuli abudu jina lako AMEN🙏🙏🙏🙏
Naomba iyo mlima uliko bere yangu ishushwe navuja mipango yote ya shetani juu yangu na watoto wangu najiosha katika damu ya yesu amen
Aleyuya Mchungaji ubarikiwe sana 💛💛💛💛
Navunja vizuizi vyote vinavyozuia nisisonge mbele in Jesus name I pray Ameen
Amen
Mungu akuzidishi nguvu maana unatuongoza ktk maombi
Mungu baba wambinguni katika jina la yesu kristo niondolee vizuizi katika baraka za baba yangu wambinguni
Kizuizi kile kilichofunga njia zetu tuwe na madeni hayo nayawangia damu ya yesu leo hiiiii
Naomba mungu aniondolea kizuizi kutokwa na damu kwa miaka kumi na tano kila nikipiga hatua narudi nyumba
YESU kristo mwana Mungu uliye hai unitangulie katika hatua zangu,katika safari hii ya Mbinguni 🙏🙏
Yesu wangu naomba unitangulie ktk kila eneo ninatamani kufika
Asante kwakuniona nasema Asankwakuniweka huru asante Yesu nkukuza
namuomba mungu anifanyie wepesi katika mambo yangu yote kesho naenda uhamiyaji naomba mambo yangu yakawe mepesi
Mungu akupe haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo
Kila kizuizi kitoweke kwa jina la Yesu biashara zilizofungwa zifunguliwe
Bwana yesu nitangulie Amen 🙏🙏
Ee. Mungu naomba ukavuje vizuizi vyote ambavyo vinazuia mafanikio kwenye maisha yng
MUNGU wa mbinguni kila kizuizi kinacho zuia maendeleo yangu na mume wangu, wasambalatike kwa damu ya YESU KRISTO 🙏🙏 watu wote walio kinyume wakafichuke kwa damu ya YESU
Mungu nakuomba mwamba uliofungwa juu yangu ufunguke ktk jina layesu aliehai amen
Ameeeeeen pstr barikiwa sana mumishi wa mungu ❤❤❤😂
Maombi ya nuru ya Kristo itawale maishani mwangu
kila vizuizi vilivyowekwa kwa ajili ya maisha yangu kwa siku ya leo vifunguliwe kwa jina la YESU kristo✊️👏🙏✊️👏🙏✊️
Mungu kupitia maombi haya navunja kila kizuwizi kilchozuia uponyaji huu ya mwili wangu kishindwe kwajina la Yesu
Nakupenda bwana yesu kwakili zanguzote nakupenda wewe
Kila kizuizi kilicho kamata watoto wangu kinakwenda kuharibika kwa damu ya Yesu
Ameen barikiwa mtumishi wa Mungu, hata kama hujui kusali unajifunza
Damu ya Yesu ifungue milango yangu yote iliofungwa Ameen
Ameen
Amen .amen
Bwana yesu bwana unitangulie ninatamani kufika