Nimekosa Bwana Yesu ninaomba Toba Na msamaha nihurumie Roho mtakatifu nioshe nitakase Kwa damu yako nikapate kuiona Nuru yako Ahsante Yesu Kwa kuwa unanipenda🙏
I leave upon this Alter my sons Kenzo and Leon.. naomba rehema kwa Ajili yao.. neeema yako Yesu isiwapungukie, Ulinzi wako Yesu usiwapungukie, Ile Hekima yako ikawe juu yao., kokote walipo kibali kiambatane nao katikaaaaa jinaaa La Yesu na kwa damau yako ya thamani.
Niko hapa YESU ni rehemu nioshe dhambi zangu kwa Damu ya YESU
Niko Apa yesu nisamehe mm na watoto wangu kwa damu ya Yesu🙏🙏
Barikiwa mtumishi w mungu nimepokea bwana yesu leo 🎉🎉
asante mtumishi nimempokea bwana yesu bwana wa maisha yangu
Barikiwa mtumishi w mungu nimepokea bwana yesu leo
Asante Yesuu kwa maombii hayaa naaminii kuna Jamboo Mungu atafanyaaa
Amen.
Nimempokea Bwana yesu
Ameen. Hongera sana sana
Mungu akubariki sana sana
Nmepokea Bwana YESU leo
Amen nimempokea bwana yesu leo
Mtumish nimempokea bwana yesu
Nimepokea bwana yesu leo
Amen Amen. Bwana Yesu tunaomba Toba kwa ajili ya kazi yangu. Bwana Yesu nisamehe... Nisamehe Yesu.
Amen 🙏 🙏 🙏
Nimempokea bwana Yesu leo
nimempokea Bwana yesu leo
Nimempokea bwana yesu leo
Asante nimempokea bwana yesu leo
Bwana yase asante kwa kunisamehe
Nimempokea Bwana yesu leo mtumishi zidi kuniweka kwa maombi🙏
Nime mpokea bwana yesu leo
Nimempokea bwana Yesu Leo
Asante bwana Yesu nakushukuru
Amen amen nimempokea Bwana yesu kwa moyo wangu na maisha be blessed pst mungu ni mwema.
God i connect myself with this player, na madhabahu hii🙏 naomba toba ya kweli Jehova🙏
Najiunganisha kwenye madhabahu hii katika jina la Yesu Amen 🙏
Amen barikiwa mtumishi
Nmempokea bwana yesu leo
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Nimempikee bwana yesu
Bwana asifiwe namshukuru Bwna Yesu nime pata kibari cha kutubu siku ya leo Mungu akubariki Sara ya toba 🙏
Asante Yesu bkwa maombi haya ya Toba
Amen. Asante mtumishi kwa somo zuri. Mungu atusamehe na atupe neema ya kuishi kwenye utakatifu
Nmempokea bwana yesu
Asante Yesu kwa neema ya kusamehe na kuachilia
BAlikiwa baba wetu amen
Nahitaji haya maombi zaidi sana😢
Naomba Toba kwa ajili ya mke wangu Irene
Amen kaka , Barikiwa wewe na mke wakoo Mungu awatunzee
Tusamehe yesu kristo kwa kila jambo
Ameen
Bwana yesu ni ponye
Ahsante Yesu
🙏🙏🙏
Ameeeeen kubwaaa ubarikiwe sanaaaaa mtumishi wa Mungu kwa somo nzuri sanaaaaaa
Nimemupokea mwana yes katika maicha yangu eee mungu namimi kabadiliche maicha yangu kwaka unaokuja 🤲🤲
Barikiwa nimempokea bwana kuwa mwokozi wa maisha yangu siku zote
Haleruyaa asante Bwana Yesu kwa kunisamehe. Najuwasamehe wengine
Ubarikiwe mt
Nmempokea Yesu leo..Amen
Nimempokea yesu leo
nimempokea bwana leo mchungaji niombee kwa ugogwa mguu wangu wa kushoto umegonjeka miaka sote kinonda sugu amina👏👏👏👏
Asante Yesu
Nimempokea bwana yesu,, najiunganisha na madhabahu hii nioate toba ya kweli
Asante kwa kuniogoza maombi ya toba ubarikiwe asana Amina
Ameen
Nimekosa Bwana Yesu ninaomba Toba Na msamaha nihurumie Roho mtakatifu nioshe nitakase Kwa damu yako nikapate kuiona Nuru yako Ahsante Yesu Kwa kuwa unanipenda🙏
Nimempokea bwana YESU leo
Ameen
Naomba unisamehe bwana yesu kWa kujua na kwa kutokujua nisamehe bwana yesu
Amen, asante mtumishi kwa somo zuri
Ninaomba toba juu ya ndoa yangu
Ubarikiwe mt. Asante yesu kwa kunisamehe nami nimewasamehe walionikosea
Bwana yesu Leo naomba nisamehe pale nilipo anguka na unitakase kwa damu yako ya thamani
Ameen nimekosa baba naomba toba narehem katk jin la yesu
AMEN AHSANTE BWANA YESU KWA KUNISAMEHE NA KUACHILIA NEEMA YA MSAMAHA JUU YANGU❤❤❤
Ameen
Nimepokea bwana yesu Leo. Kupitia maombi Yako ya Toba.
Amen... Barikiwa sana Mtumishi was Mungu.
Nakushuru Bwana Yesu kwa Maombi haya🙏
I leave upon this Alter my sons Kenzo and Leon.. naomba rehema kwa Ajili yao.. neeema yako Yesu isiwapungukie, Ulinzi wako Yesu usiwapungukie, Ile Hekima yako ikawe juu yao., kokote walipo kibali kiambatane nao katikaaaaa jinaaa La Yesu na kwa damau yako ya thamani.
Mzigo wangu nimemwachia Bwana,nimepokea yesu ❤
Mtumishi nimempokea bwana Yesu Leo,Mungu akubariki
Ameen ameeen
Ubarikiwe sana sana
Nime pokea bwana Yesu kama mwokozi wangu siku zote
Nimempokea Bwana Yesu leo, Ameen.
Mungu nakuja mbele zako unisamehe unioshe na damu yako
AMEEN
Asante yesu kwa kila jambo. 🙏
Ameen
Amen,mtumishi kwa somo, Mungu naomba neema ya kuishi katika maisha ya msamaha na kuishi katika neno lako
Nisamehe yesu🙏🙏
Bwana asifiwe baba yangu Mimi nana omba nema ya kuomba sana
Ameen
Nimempokea bwana yesu Leo amen
Ameen ameeen
Mungu nakupenda wewe ni mwema wastahili heshima zote na kuabudiwa
Nimempokea yesu leo mtumishi
Nimepokea bwana yesu leo🙏🥺
Ameen ameeen
Mungu akubariki sana sana
Amen pastor ninabarikiwa Na nimempokea yesu kama Kristo WA Maisha yangu
Barikiwa mtumichi tupo rirongwe tunafatiria maombi barikiwa sana
Ninataka nimpokee Bwana Yesu sasa!
Ameen
Nimempokea Bwana YESU leo
Ameen ameeen
Amina... Nashukuru mnoo umenifungua pa kubwa mnoo
Nimempokea bwana Yesu leo ameeen
Ameen pastor MUNGU akubariki
Naomba neema juu ya maisha yangu pray for me debts
Nimetua mzigo mzito sana ,Eeeh Mwenyezi Mungy nakushukuru 🙏
Amen Amen
Unirehemu
ASANTE YESU
Naomba toba kwa kwaajili ya Sweden 🇸🇪 Tanzania 🇹🇿
@bertha uko Sweden
Wee up Po huko swideshi
Nimempokea bwana Yesu leo🙏🙏
🙏
Amen baba
Eeee MUNGU wangu unirehemu mimi mwenye dhambi naomba toba kwa ajili ya familia yangu na rafiki zangu wote
Nimempokea Bwana Yesu mwokozi aweza yote
Amen Amen Amen
Amen 🙏🙏🙏
Nimempokea bwana yesu Leo
Ameen
Eeeh! Mungu unirehemu sawasawa na fadhiri zako...
nimempokea bwana Yesu asant Yesu
nimerudi kwa Bwana leo
Amen mungu utusamehe makosa yetu na uturehemu mwana yesu
Yesu Cristo funguwa ufaham wa toto wangu
Amen Amen nimempokea bwana yesu kristo
Amen. Naomba mungu connect me with this prayer