Wow mtoto mzuri anapikavutumbua vizuri sana endelea ivo mama kumfundisha .alafu anamfanana sana mdogo wangu mpaka nashindwa kwani ni lipacha wake au ninependa anitafute niongee naye kweli ❤
Habari niblend mchele niliupga sana chengachenga zilibakia na hata ninapouhumua unakata maji maji yanakuwa juu unga unabaki chini na wala hauumuki kabisa tatizo ni nini? Kwa wanaopika uji wao unakuwa mzuri wala haujitengi na maji na unakuwa na povu kiasi ukiweka uji kwenye kikaangia kitumbua ukikigeuza kinageuka vizuri. Je nifanyeje basi kwanzia hatua ya kuandaa mchele kuuloweka , kuusaga na hata kuhumua. Naomba unifahamishe nijue hatua zote hizo . Asante
Eti dada nimejaribu kutengeneza na mm but haziivi kati uji unabaki kati afu nje zimeiva nakosea wapi? Ninaacha kwa muda wa dakika 45 nikaona zimefura hadi kumwagika nieleweshe plz
Wow mtoto mzuri anapikavutumbua vizuri sana endelea ivo mama kumfundisha .alafu anamfanana sana mdogo wangu mpaka nashindwa kwani ni lipacha wake au ninependa anitafute niongee naye kweli ❤
It is so amazing teaching your beautiful daughter how to cook I will definitely try the recipe looks delicious,
Welldone. Your daughter is brave and beautiful. I like the idea of using minimal oil. Great job.
Your baby gal is so pretty 😁😍with love from Kenya
Maa shaa Allah
Hongera Ni vizuri he vyombo kikiwa kipya unafanyaje changu si special
Nmependa sana convo zako na mwanao! Nme imagine nikiwa na binti yangu 😄 Allah awatunze 😍
Hongera zako dada umekuza bintiyo anaelekea vizuri Sana ktk mapishi na anapenda Big up to you dada
Asante ❤️
So cute girl mashallah ❤
Habari niblend mchele niliupga sana chengachenga zilibakia na hata ninapouhumua unakata maji maji yanakuwa juu unga unabaki chini na wala hauumuki kabisa tatizo ni nini? Kwa wanaopika uji wao unakuwa mzuri wala haujitengi na maji na unakuwa na povu kiasi ukiweka uji kwenye kikaangia kitumbua ukikigeuza kinageuka vizuri. Je nifanyeje basi kwanzia hatua ya kuandaa mchele kuuloweka , kuusaga na hata kuhumua. Naomba unifahamishe nijue hatua zote hizo . Asante
Mashallah
Dada anajua kazi hongera
Mashacala
Mansha'Allah mwanao au wa mziwanda bakers😍😍
Dada anajitahidi sana ❤️ nashukuru sana kwa recipe nzuri 😘
Karibu sanaa
@@ikamalle ikaa umetumia mchele gani dear
Dada ameweza aisee ananishinda had mm 😃😀😀
😂😂😂
@@ikamalle itabid nikaze buti 😀😀😀
Mashallahaa
Kama huna nazi huwezi kutumia maziwa? Fresh
Hodari mwanao kaweza💪💪
Nakupenda bure dada 🥰🥰🥰
Mashalla
Nimeipend hiyo
Maziwa haiwezekani tumia nasfasi ya nazi
Jaman nataka kujua jinsi ya kuchanganya unga wa mchele wa biashara msaada please 🙏
Your Daughter is so pretty 💜
Thanks for the recipe
Your welcomed
Nataka hicho chuma cha kuchomea vitumbua nitakipata vipi? Niko mombasa kenya. Shukran
Eti dada nimejaribu kutengeneza na mm but haziivi kati uji unabaki kati afu nje zimeiva nakosea wapi?
Ninaacha kwa muda wa dakika 45 nikaona zimefura hadi kumwagika nieleweshe plz
Unaweka amira nyingi na maji au tui jepesi sana
Kwa nn mm vyangu vinakuwa kati na tundu au flati aviwi duala ukikibinua
Dada miye kila nikijaribu nashindwa kabisa
Kikubwa uckate tamaa pambana utaweza tu rahic my
Hatukuona kipimo camcele umepia kikombe gani
❤️❤️❤️❤️
Vikombe viwili mbona vimetoka vingi
Hadi raha kumfundisha mtoto mapishi🥰
Kwani mnaweka maji kiasi gani
Hiyo pan naeza ipata wapi
Hii niliinunua kwenye duka la vyombo vya mtumba
listen please?
Na hawataki kwely kujeuzika jamani
Mbon ujatumia uji wa sembe
Umetumia mchele gani
Unatumia mchele gn naomba kujua
Wakawaida
Unga wa mahindi unawekwaga kwa ajili gani dada. Naona wewe hujaweka na wengine wanaweka
Ni recipe 2 tofauti…..
Ni lazima kuweka Nazi!?
Sio lazima
Maa shaa Allah
Mashaallah