ONGEZA KIPATO KWA KUFANYA BIASHARA HIZI 5 ZITAKAZOKULIPA VIZURI KWA MTAJI WA KUANZIA ELFU 50 TU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 451

  • @agnesjohn5871
    @agnesjohn5871 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe sana, Mungu azidi kukutumia kufungua watu kimawazo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  8 หลายเดือนก่อน

      Amina dear, Asante sana.

    • @rozinangeti4996
      @rozinangeti4996 3 หลายเดือนก่อน

      Magande ni nini mimi mkenya sijui​@@annaclaireshija

  • @kofisaidi3756
    @kofisaidi3756 ปีที่แล้ว +8

    Asante sana Mimi nitaanza na mitumba ya akina mama na icessories. Nitatangaza mtandaoni, haviozi nitauza, ubarikiwe

  • @SophiaKavisheSOPHYSTAN
    @SophiaKavisheSOPHYSTAN 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada mungu akubariki nimejifu za kitu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  9 หลายเดือนก่อน

      Amina dear 🙏🏾 Ubarikiwe.

  • @EliudBalua
    @EliudBalua 14 วันที่ผ่านมา +1

    Idea nzuri sana wengi wakifuata watainuka kiuchumi

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  14 วันที่ผ่านมา

      @@EliudBalua Asante sana mpendwa.

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana dada kwa somo zuri

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  10 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru 🙏🏾👍🏾

  • @SELINAANNAN-vq2ff
    @SELINAANNAN-vq2ff 6 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks,Mungu akubariki kwa elimu kwa uma. Keep on doing it!

  • @NgoloJoseph
    @NgoloJoseph 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana nimejifunza sasa nikuingia kwenye utekelezaji tu barikiwa sana mama

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Amina dear, ubarikiwe pia.

  • @ApeleKihungu
    @ApeleKihungu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu bariki dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ApeleKihungu Amina dear. Mungu akubariki.

  • @benedictampery3275
    @benedictampery3275 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa elimu Bure wewe ni wa maana kulikoni wanaojitahidi kusema uongo

  • @roseshayo6676
    @roseshayo6676 ปีที่แล้ว +4

    🙏♥️somo nzuri dada ,ubarikiwe! wengi wataelimika na kujikomboa kiuchumi kupitia wewe👏

  • @DeltaUrassa
    @DeltaUrassa 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks dada. Ongeza na ujuzi mwngine hapa unalijenga taifa. Asante

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@DeltaUrassa shukurani dear ❤️

  • @AdelinaElias-mm3lm
    @AdelinaElias-mm3lm ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza kitu Asante

  • @peninabensonpen870
    @peninabensonpen870 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa mafundisho mazuri nimependa

  • @KimathFabian
    @KimathFabian หลายเดือนก่อน +1

    Amazing business tips.👍

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@KimathFabian thank you 🙏🏾

  • @NeemaShija-g9o
    @NeemaShija-g9o หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante dada yangu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@NeemaShija-g9o Karibu dear.

  • @MohamediAyubu-h3g
    @MohamediAyubu-h3g หลายเดือนก่อน +1

    Asante dd kwa ushauli

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@MohamediAyubu-h3g Asante kushukuru

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah shukran sana kwa elimu ALLAH azidi kukuhifadhi my sister.

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada kwa yshUri wake nitaufNuia kszi

  • @kabayesankula7895
    @kabayesankula7895 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana ume nifundisha kitu hapo nime kuelewa

  • @Zuwenamuhammedy
    @Zuwenamuhammedy 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante dada kwa ushaur mungu akuzidishie kwa kila jambo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@Zuwenamuhammedy Amina, karibu sana.

  • @SuzanLeonardMoleli
    @SuzanLeonardMoleli 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutunze dada SoMo lako nizur naomba unifundishe jinsi yakutumia mtandao kibiashara❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน +1

      Wasiliana nami kwa namba 0687786576.

  • @JemaIssa
    @JemaIssa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwakwel kwa nasaha nzur. ❤.

  • @AGNESBISEKO-t5g
    @AGNESBISEKO-t5g 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sana ,na nimejifunza kitu ubalikiwe

  • @TheGAMEchanger8844
    @TheGAMEchanger8844 4 หลายเดือนก่อน +2

    Umeongea vizuri sana mama💕 asante sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 หลายเดือนก่อน

      @@TheGAMEchanger8844 asante dear.

  • @shijagalula9744
    @shijagalula9744 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa ushauli wako mzur❤❤

  • @bintrashid6967
    @bintrashid6967 ปีที่แล้ว +12

    Niko kenya dada nimependa sana maelezo yako mungu akubariki

  • @AnethKanza
    @AnethKanza 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa Elim mungu akulinde

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@AnethKanza Amina dear 🙏🏾

  • @shacool9627
    @shacool9627 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki kwa kazi na elimu unayo saidia vijana wenye nia yakutafuta na kujituma kupata kipato halali

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว

      Amina, ubarikiwe sana.

    • @JedyIsack-ec1kx
      @JedyIsack-ec1kx 11 หลายเดือนก่อน

      Dada nimekuelewa, lakini umezungumzia kwa watu walioko mjini tu, je kwa walioko vijijini?

  • @gadyjamohamed1350
    @gadyjamohamed1350 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dadangu nmejifunza kitu kwa kupitia maelezo yako barkiwa sana🎉

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว

      Amina, asante sana ubarikiwe pia 🙏🏾

  • @AidaLivin
    @AidaLivin 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dogo kwa exposure nzuri sana big up sana ❤❤

  • @ShSh-q9j
    @ShSh-q9j ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana nimejifunza kitu kutoka kwako mungu akubariki

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว +1

      Asante sana dear. Amina 🙏🏾 ubarikiwe.

  • @teddiminja4079
    @teddiminja4079 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana dada Mungu akubariki sana

  • @SaumuIddy
    @SaumuIddy 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Dada. Kwa ushauri

  • @jenifferkahangwa6350
    @jenifferkahangwa6350 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana,mdada kwa mashule haya

  • @SuzanaMchunguzi
    @SuzanaMchunguzi หลายเดือนก่อน +3

    Dada nashukur Kwa ushaur wako❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@SuzanaMchunguzi karibu dear ❤️

  • @makrinamgombela1138
    @makrinamgombela1138 ปีที่แล้ว +3

    Nimekupenda sana kwa utoaji wa Elimu hiyo nzuri..

  • @doreenotwori4636
    @doreenotwori4636 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada kwa kunihelimisha

  • @SityLuu
    @SityLuu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada kwa SoMo zuri

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@SityLuu Karibu sana. Unaweza pia kupata Vitabu vyenye mafunzo mbalimbali ambayo yatakusaidia kujipatia maendeleo 0687786576.

  • @LewinaLeopold
    @LewinaLeopold 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada shija❤

  • @saidomar9845
    @saidomar9845 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada kwa mafunzo mazuri

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 หลายเดือนก่อน

      @@saidomar9845 Asante sana 🙏🏾

  • @HappyMathias-f1d
    @HappyMathias-f1d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana dada mungu akubariki kwa ushauri mzuri

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@HappyMathias-f1d Amina dear. Ubarikiwe pia.

  • @hellenAndrew-t2p
    @hellenAndrew-t2p 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe nimejifunza kitu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  12 วันที่ผ่านมา

      @@hellenAndrew-t2p Asante dear.

  • @MarianaKayoka
    @MarianaKayoka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  8 หลายเดือนก่อน

      Amina dear 🙏🏾 Ubarikiwe pia.

  • @reginalaurent8422
    @reginalaurent8422 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mum wewe ni super woman ushauri wako umenijenga kiimani na kifikra pia💕😘

  • @fredrickmutabilwa8269
    @fredrickmutabilwa8269 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Sana kwa Elimu yako nzuri ya Biashara Dada angu.

  • @luckiestmeckson2222
    @luckiestmeckson2222 ปีที่แล้ว +8

    Thanks so much kwakunifungulia dunia kwa mawazo konki kabisa kilicho baki ni kazikwangu kuchukua hatua yani ni Mungu tu nilikua napita tu youtube sahivi ndiyo nikaona hili somo japo ulifundisha siku nyingi miezi 7 imepita Ila sihaba nimepata kitu ubarikiwe mno dada angu yani mh sijui nisemaje kwakweli be blessed indeed

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว +1

      Amina mpendwa. Ubarikiwe pia na Mwenyezi Mungu akufanikishe katika mipango yako.

    • @CosmasMlelwa
      @CosmasMlelwa 4 หลายเดือนก่อน

      Dada ubarikiwe sana kwa ubunifu wako na maarifa yako

    • @AzizaRashid-l2p
      @AzizaRashid-l2p 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@annaclaireshijanaomab naomba yako dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@AzizaRashid-l2p 0687786576.

  • @NgukiJulius
    @NgukiJulius 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Mungu akubariki dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Amina dear. Ubarikiwe pia.

  • @Paschalbalashishi-je8wm
    @Paschalbalashishi-je8wm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa sana Mungu akubless

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@Paschalbalashishi-je8wm Amina, asante 🙏🏾

  • @MilkaJustine
    @MilkaJustine 2 หลายเดือนก่อน +1

    mungu akulinde kwa kutuelimisha

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@MilkaJustine amina dear.

  • @ediphonceedwin1482
    @ediphonceedwin1482 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante ubarikiwe dada

  • @grasiuschalle3735
    @grasiuschalle3735 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana kwa ujumla umetoa somo zuri msingi wa mafanikio nimependa sana somo lako.

  • @HACHIMANAYOCKSHAN-nk8ny
    @HACHIMANAYOCKSHAN-nk8ny ปีที่แล้ว +1

    Asanteh mama kwa somo zuri

  • @MargaretaBusongo
    @MargaretaBusongo ปีที่แล้ว +1

    ubarkiwe kwaushqur mzur Mungu akubarki sana nimeguswa nanitqyafanyia kazi

  • @SityLuu
    @SityLuu 5 หลายเดือนก่อน

    Asante dada kwa somo zuri

  • @IsmailMchimani-hm8fy
    @IsmailMchimani-hm8fy 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada vp kuhus biashar ya vikapu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  7 หลายเดือนก่อน

      Ni nzuri tu mpendwa hasa ukizingatia sasa hivi matumizi ya mifuko ya plastic hayaruhusiwi.

  • @ChristarCyprian
    @ChristarCyprian หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa Sana Dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@ChristarCyprian Asante sana.

  • @gladymbisse7646
    @gladymbisse7646 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa elm yko endlea kutpa maujuziii

  • @Ipyana-g6d
    @Ipyana-g6d 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dada nashukur kwa somo zur

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  3 หลายเดือนก่อน

      @@Ipyana-g6d karibu dear.

  • @upendokasumani8384
    @upendokasumani8384 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana umenifungua na umenipa nguvu

  • @EmmanuelChinguile-t7x
    @EmmanuelChinguile-t7x 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa ushauri dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@EmmanuelChinguile-t7x Karibu sana.

  • @FredyEric
    @FredyEric ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana mama waeleweshe

  • @JoviethLucas-lj4zb
    @JoviethLucas-lj4zb ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa Sana dada angu ahsante Sana Barikiwa Sana.

  • @zawadithomas1008
    @zawadithomas1008 ปีที่แล้ว +1

    thanks so much mom nmeamua kitu sasa

  • @PriscaMwakyoma
    @PriscaMwakyoma ปีที่แล้ว +2

    Asante dada nakuelewa sana

  • @GraceManase-dm9bf
    @GraceManase-dm9bf ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mpendwa kwa kutuelim8sha

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว

      Akina dear, ubarikiwe pia kwa kutazama.

  • @JoshuaMaganigani
    @JoshuaMaganigani ปีที่แล้ว +1

    Ni nzuri sana, utawasaidia wengi

  • @FirminaGabrielOmari
    @FirminaGabrielOmari 11 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwe dada yangu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Amina Amina tubarikiwe sote.

  • @janeelias7839
    @janeelias7839 ปีที่แล้ว +1

    Asante nimeipenda sana somo zuri

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉thankfully madame

  • @ShabaniDavidi
    @ShabaniDavidi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana❤❤❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@ShabaniDavidi Amina dear 🙏🏾🙏🏾

  • @BahatiNdogosa
    @BahatiNdogosa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Sana Dada kwa mashauri yako

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@BahatiNdogosa amina, nashukuru 🙏🏾

    • @rosemsabaha1705
      @rosemsabaha1705 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ahsante

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 หลายเดือนก่อน

      @@rosemsabaha1705 ❤️

  • @FatumaBakari-i4j
    @FatumaBakari-i4j ปีที่แล้ว +2

    Asante dada kwa ushauri ubarikiwe.

  • @lucassongo-n4u
    @lucassongo-n4u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nice ideas

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 หลายเดือนก่อน +1

      @@lucassongo-n4u thank you 🙏🏾

  • @LovelyOutdoors-wd5nh
    @LovelyOutdoors-wd5nh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe dada nimependa ushauri wako,umeongea kweli

  • @silvialyimo4877
    @silvialyimo4877 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana madam ❤

  • @JosephGhwanga
    @JosephGhwanga 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awe pamoja nawe

  • @ArthurMhagama-z6m
    @ArthurMhagama-z6m ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa darasa tamu

  • @berttha847
    @berttha847 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana. Inaelimisha sana

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +3

    Yaan ww Dada una mawazo mazuri ya Ujasiriamali🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @mwandazifatma8210
    @mwandazifatma8210 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo zanzibar asante sana kwaushauri wako tutaufanyikazi asante

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Asante dear. Karibu sana.

    • @MariaLinus-j2l
      @MariaLinus-j2l 3 หลายเดือนก่อน

      Nipo pia Zanzibar tufanye jambo

  • @AnnaSanga-bs7pl
    @AnnaSanga-bs7pl ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa elim ya biashara

  • @CarolineMinde-cg6ut
    @CarolineMinde-cg6ut ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa elim yako mama.

  • @NeliaAmbele
    @NeliaAmbele 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dada ubalikiwe sana kwa somo zur.mim nilikuwa naomba unisaidie kitu mim nimeajiliwa duka la vinywaj jumla.naenda kazin saa mbil asubh nalud saa mbil usiku.naomba unisaidie naweza nkafanya biashala gan mpendwa.ambayo inafaa kuanzishwa kwa mtaj waelf 50

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  3 หลายเดือนก่อน

      @@NeliaAmbele Amina dear, karibu tuwasiliane 0687786576.

  • @GraceMethuselaNtwale
    @GraceMethuselaNtwale 11 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Amina dear. Ubarikiwe pia.

  • @LucyChistopha
    @LucyChistopha 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte sana mama kwa biashala ya chakula nimeipenda sanaaa

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@LucyChistopha asante kushukuru dear.

  • @tobiasokwa2525
    @tobiasokwa2525 ปีที่แล้ว +10

    Hamjambo,
    Mimi kikweli nipo ulaya na mtaji wangu sio mdogo, naona ki kweli nipo na uwezo mkubwa. Nahitaji kufanya Biashara ya REAL ESTATE TANZANIA ila sijui nianziye wapi...
    Naomba sana usaidizi...
    Shukran

    • @Royal_priest1
      @Royal_priest1 ปีที่แล้ว

      😅

    • @victormagafu7652
      @victormagafu7652 ปีที่แล้ว +4

      tuwasiliane niko tarime Mara kwa rel estate hapa ardhi ipo na kilimo cha mahindi misimu miwili na soko zuri kwa nchi ya Kenya na South Sudan
      Ujenzi wa nyumba na kupangisha au kuuza soko lipo tuko mpakani soko lipo
      vile vile ununuzi wa dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo waliowengi hapa

    • @fredrickmutabilwa8269
      @fredrickmutabilwa8269 ปีที่แล้ว +2

      Mzee karibu Tz sisi tupo Mzee uwezo na uhaminifu ktk Biashara ninao na najihamini kwa Hilo japo Sina wakunibusti tuwasiliane napatikana Tanzania Bukoba Kagera

    • @fredrickmutabilwa8269
      @fredrickmutabilwa8269 ปีที่แล้ว

      Aridhi ya kilimo Cha parachichi ninayo karibu Sana

    • @HazlaKisungu
      @HazlaKisungu 4 หลายเดือนก่อน

      Napenda kufanya biashara ila Sina msiñgi

  • @TausiMalema-gw7dk
    @TausiMalema-gw7dk ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa dada, nimechukua mawazo yako.

  • @pendodavid3793
    @pendodavid3793 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa somo.

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa ssna asante

  • @shabankasimariseandshineta6459
    @shabankasimariseandshineta6459 25 วันที่ผ่านมา

    Dada napenda kukufatiria sana nakukusikiliza naomba kujua nanzaje kutafuta wateja mtandaoni namna ya kuposti mana moyo wangu akili kiu mawazo ni biashala tu nawaza. Japo mtaji ni mdogo nguo nazo chukuwa ni za gharama nishauri dada nifanyeje

  • @EileenMavura-kp8wq
    @EileenMavura-kp8wq ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa dada.

  • @LovenessFedrick-cy9fh
    @LovenessFedrick-cy9fh ปีที่แล้ว +1

    Thanks dear ❤

  • @abiamasinde-dr1xp
    @abiamasinde-dr1xp ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana dada Kwa elimu hii

  • @florageofrey9486
    @florageofrey9486 ปีที่แล้ว +1

    Asante barikiwa

  • @marysway865
    @marysway865 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe dada ❤

  • @richardmvuyekule6300
    @richardmvuyekule6300 ปีที่แล้ว +11

    Safe sana, darasa nzuri, endelea kuelimisha jamii, nimeipenda.

  • @AngelaBaden-kw2ot
    @AngelaBaden-kw2ot 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubaruki

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Amina dear, ubarikiwe pia.

  • @Saumbish1606
    @Saumbish1606 ปีที่แล้ว +1

    Shukran dada❤

  • @bakarimsuya3090
    @bakarimsuya3090 ปีที่แล้ว +1

    madam SHIJA umetisha

  • @erickegidius6625
    @erickegidius6625 หลายเดือนก่อน +1

    Super woman

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@erickegidius6625 thank you 🙏🏾