Habari nilijaribu kusaga mchele kutumia blender lakini chengachenga zinabaki na hata ivyo naupiga Sana wewe unafanyeje hata visiwe na chenga? Swali 2 na hata baada ya kuupigapiga na kuuweka hamra unakata maji maji yanakuwa juu na unga unakuwa chini na Wala hauumuki kabisa tatizo ni Nini? Naomba nijulishe ili nielewe kwanzia kuandaa mchele, mpaka kusaga na hata kuhumua
Wa mahindi ni kidogo tu kwaajili ya uji na uji usiwe mzito wala mwepesi uwe saizi ya kati,wa mchele ina tegemea unataka kupika vitumbua vya idadi gani,labda nusu kilo,kilo na nk
Mi huwa naumua usiku kwa ajili ya asubuhi nisicjelewe kupika ila nakutachamganyiko wangu umekuwa mwepesi Sana navitumnua huganda yani havigeuziki kwenye chuma et shida makosea wapi
Ukiumua usiku hakikisha mchanganyiko wako unakua mzito sana hata ukiuchota na upao haumwagiki mpaka ugonge kwenye bakuli au sufuria ulilo changanyia ndio uanguke
Hii ni kwa sababu hamira ikianza kufanya kanzi huwa inapunguza ule uzito ndio maana ukichanganya ambao si mzito na unatakiwa ulale lazima uwe mwepesi,nibora uchanganye mzito asubui utakuta ume kua ile rojo unayoitaka kuchomea vitumbua au ikawa nzito kidogo na uongeze maji ya vuguvugu kidogokidogo mpaka upate rojo inayotakiwa pia zingatia na vipimo vya hamira my dear
Huenda uji unaweka mwepesi sana inabidi uji wako uwe mzito kiasi na unavochanganya na unga wa mchele mchanganyiko uwe mzito kiasi Ili wakati unaweka sukali hapo utakuonyesha uongeze maji ya vuguvugu kidogo aula
Ukiumua usiku, unatakiwa mchanganyiko wako uwe mzito sana kama inaelekea kwenye ugari laini sana na amira ni kijiko kidogocha sukari nacho kisijae sana. Hasubui utakuta umelainika vizuri kabisa kwa kupika ukiona mzito sana unaongeza maji ya uvuguuvugu kiasi cha izito upendao
Kama utatumia hamira ile inaya umua haraka na mazingira yakawa ya joto inachukua lisaa mpaka lisaa na nusu,kama ni hamira ya kawaida inachukua hadi masaa mawili
Ukitumia hamira ile inayo umua hataka ni lisaa limoja au moja na nusu inategemea na hali ya hewa ya ulipo,kwa hamira hizi za kawaida ni masaa mawili mpaka matatu
Mambo Joyce,kwa biashara hapa inategemea labda unatengeneza vya kilo ngapi, mfano labda kilo tatu hapa cha muhimu kuzingatia ni uji na hamira ndio vya muhimu kwa kilo tatu unaweza kukoroga uji kwenye sufuria la kilo na nusu au robo au hata uji ukiwa mwingi haijarishi ila usiwe mdogo baada ya kuupooza uji kwenye kuchanganya sasa inatakiwa usiweke uji wote mojakwa moja weka kidogokidogo mpaka mchanganyiko wako hapa usiwe mwepesi,uwe mzito saizi ya kati(ata uji ukibaki unaweza kutumia kwa matumizi mengine) nakama utakua mzito sana baada ya kuumuka (namaanisha ukishaweka hamira na kwa kilo tatu ni vijiko vitatu vya chakula)na bado ukawa mzito chemsha maji ya vuguvugu na ongeza kidogokidogo mpaka upate ile rojo ambayo itafaa kuchomea vitumbua.usijali uliza kama kunasehemu ujaelewa kwenye maelezo
Hapo itakua uji wa kuvurugia uliweka kidogo,ikasababisha mchanganyiko ukawa mzito,pili unatakiwa uache unga uumuke vizuri kulingana na aina ya hamira kuna ile active unaweza ukaacha lisaa limoja na kuna ile ya kawaida unaacha kama masaa mawili na nusu(ila sanasana ni upended wa uji itakua uliweka kidogo
Okay,tumia sufuria la nusukilo kukoroga uji na uji usiwe mzito wala mwepesi,sasa uji ukipoa kwenye kuchanganya uji na unga usiweke ujiwote kwa wakati mmoja ,weka kidogo kidogo ili usizidishe uji na mchanganyiko wako usiwe mwepesi uwe mzito kidogo ili baadae ukiumuka uwe unauzito utakao kupa vitumbua vitavyo chambuka,na kama ulichanganya mchanganyiko na baada ya kuumuka ukawa bado mzito chemsha maji ya vuguvugu kisha weka kiasi ambacho kitafanya mchanganyiko wako uwe na ile rojo (unga wa vitumbua ulio korogwa)ambao sio mwepesi sana na sio mzito ambao utatoa vitumbua vyako vikiwa vimechambuka ndani
Kwenye upande wa vitumbua vya mahindi ukisha koboa mahindi unayaloweka siku tatu baadae unayaosha unayaanika kidogo yasikauke sana kisha unayasaga ukisha pata unga kwenye kuchanganya unatumia mrorongo huohuo kama ivi vya mchele unakoroga uji ukisha maliza unachukua unga wako wa mahindi na kuchanganya
Hongera Sana kwa upishi rahisi kwa wamama wote na pia hauna mahitaji mengi unapikika kwa Kila Hali ya mtu Asante sana
Ukipika vitumbua utumii nanz
Hongera Kwa mapishi mazuri
Hongera dada, nimependa
Hongera dada ninakuelewa sana
Mimi uwa napika uji wa Mchele kitumbua kinakuwa kizuri sana wa mahindi bora dona
Naomba namba yako ili.unielekeze zaid
Hongera aise
Hongera! Lakin ungekipasua tuone na ndani
Unga wa mahindi ulio changanyika na mihogo unafaa??
Vizuri utumie wa mahindi pekee
Congratulations
Naomb namb yako naitaj Kuanz biashara hii naitaj unielezee zaid
Jitahid ukiwa unafundisha uwe unasema vipimo,hapo hatujui unga kias gan umesema tu amira
hongela
Waoooo❤❤❤
Very good
Hongera
My unga ulitumia sembe au
Ndio mamii nilitumia sembe
Mimi huwa napika vitumbua vinapasuka km andazi nakosea wapi, huwa nakanda ukiwa mzito Kwa kupika huwa naweka maji ya barid
ASANTE
Na ukitumia unga uwo was mchele inawezekana??
Ndio
Vp my dear mbonae yametoka maugal jamn
Cjakuelewa yani umepika vimetoka ugali au
Umejaribu kidogo
Mimi vinakua na maganda magumu shida nini mamy
Moto utakua mdogo kwaiyo unapika kwa mda mrefu ndio husababisha ganda kua gumu
Habari nilijaribu kusaga mchele kutumia blender lakini chengachenga zinabaki na hata ivyo naupiga Sana wewe unafanyeje hata visiwe na chenga? Swali 2 na hata baada ya kuupigapiga na kuuweka hamra unakata maji maji yanakuwa juu na unga unakuwa chini na Wala hauumuki kabisa tatizo ni Nini? Naomba nijulishe ili nielewe kwanzia kuandaa mchele, mpaka kusaga na hata kuhumua
Dada minataka nijafunze kupika
Karibu,pia ingia kwenye channel yangu yani bonyeza jina la channel yangu upande ulio andikwa video utakuta nyingi na zamapishi mbalimbali
Unalalamo au
Uji kwa kawaida uwe km wa kunjwa au nisaidie dada nafeli sana jinsi ya kuandaa
Dada mm nashindwa kuandaa uji nikipika kitumbua linaiva juu ndani ni uji
Je kama n vitumbua vya biashata una viumiua usiku
Umeandaa vizuri ila moto wako wa kuchoma umekuwa mkali uneviunguza
Havikuungua ila simu nilio tumia kurekodi haiku quality, na siku na sapoti ya mwanga
Manshaallah vizuri
Vyakwangu vinakuwa na ugar ila uji naweka wa mchere shida nini madam
Itakua uji ulikua mzito au mchanganyiko uliufanya mwepesi sana au mzito,ukipika tena jitaidi mchanganyiko uwe wa kati
Nitaka kujua jinsi kuuchanganya maana sijawahi kuona au kupika kabisa hata mara moja unga mahindi unakwepo
Vizuri san
Nice 👍
❤ 4:19
Dada mbona vitumbua vyangu havichamnuli
Unamaanisha havichambuki
Nataka unifunze kupika vitumbua dada
Usijali nitakuelekeza we uliza swali
Mi Nina unga wa mchele kutoka supermarket sasa nataka. Kuanza na robo ili nijifinze vipimo vinakuwaje?
Je kati ya unga wa mahindi na unga wa mchere upi unatakiwa uzidi
Wa mahindi ni kidogo tu kwaajili ya uji na uji usiwe mzito wala mwepesi uwe saizi ya kati,wa mchele ina tegemea unataka kupika vitumbua vya idadi gani,labda nusu kilo,kilo na nk
Nimejaribu vimetoka vzr ila katikati havijaiva
Mi huwa naumua usiku kwa ajili ya asubuhi nisicjelewe kupika ila nakutachamganyiko wangu umekuwa mwepesi Sana navitumnua huganda yani havigeuziki kwenye chuma et shida makosea wapi
Wakati unapo changanya uji na unga wa mchele itakua mchanganyiko wako unaufanya mwepesi
Ukiumua usiku hakikisha mchanganyiko wako unakua mzito sana hata ukiuchota na upao haumwagiki mpaka ugonge kwenye bakuli au sufuria ulilo changanyia ndio uanguke
Hii ni kwa sababu hamira ikianza kufanya kanzi huwa inapunguza ule uzito ndio maana ukichanganya ambao si mzito na unatakiwa ulale lazima uwe mwepesi,nibora uchanganye mzito asubui utakuta ume kua ile rojo unayoitaka kuchomea vitumbua au ikawa nzito kidogo na uongeze maji ya vuguvugu kidogokidogo mpaka upate rojo inayotakiwa pia zingatia na vipimo vya hamira my dear
Huenda uji unaweka mwepesi sana inabidi uji wako uwe mzito kiasi na unavochanganya na unga wa mchele mchanganyiko uwe mzito kiasi Ili wakati unaweka sukali hapo utakuonyesha uongeze maji ya vuguvugu kidogo aula
Ukiumua usiku, unatakiwa mchanganyiko wako uwe mzito sana kama inaelekea kwenye ugari laini sana na amira ni kijiko kidogocha sukari nacho kisijae sana.
Hasubui utakuta umelainika vizuri kabisa kwa kupika ukiona mzito sana unaongeza maji ya uvuguuvugu kiasi cha izito upendao
Done ✅
Nice
ukisha tengeneza mchanganyiko unakaa Massa mangap
Kama utatumia hamira ile inaya umua haraka na mazingira yakawa ya joto inachukua lisaa mpaka lisaa na nusu,kama ni hamira ya kawaida inachukua hadi masaa mawili
sawa,asante
mchele tuloweke masaa mangapi
@@EmmanuelWankogere-rq9fg mchele loweka mpaka ulainike nadhani aichukui ata saa moja,
Type muda baadae yakuandaa kuumuka ni muda gani
Ukitumia hamira ile inayo umua hataka ni lisaa limoja au moja na nusu inategemea na hali ya hewa ya ulipo,kwa hamira hizi za kawaida ni masaa mawili mpaka matatu
Je huo uji ni wa sembe au wa dona
Nimetumia sembe
Assnte sana kwa darasa zuri mmmo.
Sioni kutiwa kwa tui la nazi. Vp hapo
Ivi ni vitumbua vya kukorogea uji,apo uji ndio umetumika kama tui kipenzi
Unga wa mahindi uliyo korogea uji ni mahindi ya kukoboa au na inaliweka au hivyohivyo
Nimetumia mahindi yaliyo kobolewa
Mahindi hayakulowekwa
Nataka vya biaxhara vp hapo
Nimependa unavo elekeza lakin naomba kuelekezwa mamma yakuandaa mchele mwingi keaajili ya biashala
Mambo Joyce,kwa biashara hapa inategemea labda unatengeneza vya kilo ngapi, mfano labda kilo tatu hapa cha muhimu kuzingatia ni uji na hamira ndio vya muhimu kwa kilo tatu unaweza kukoroga uji kwenye sufuria la kilo na nusu au robo au hata uji ukiwa mwingi haijarishi ila usiwe mdogo baada ya kuupooza uji kwenye kuchanganya sasa inatakiwa usiweke uji wote mojakwa moja weka kidogokidogo mpaka mchanganyiko wako hapa usiwe mwepesi,uwe mzito saizi ya kati(ata uji ukibaki unaweza kutumia kwa matumizi mengine) nakama utakua mzito sana baada ya kuumuka (namaanisha ukishaweka hamira na kwa kilo tatu ni vijiko vitatu vya chakula)na bado ukawa mzito chemsha maji ya vuguvugu na ongeza kidogokidogo mpaka upate ile rojo ambayo itafaa kuchomea vitumbua.usijali uliza kama kunasehemu ujaelewa kwenye maelezo
@@homecookingtz2488 i love you so much
Love u more
Mm v
Mbona mm naumua napika asubuhi ni kosa
Upo sahihi kabisa si kosa na vitumbua hutoka vizuri vilevile
Me vyang vinakua na ugaali ndani shda nn
Hapo itakua uji wa kuvurugia uliweka kidogo,ikasababisha mchanganyiko ukawa mzito,pili unatakiwa uache unga uumuke vizuri kulingana na aina ya hamira kuna ile active unaweza ukaacha lisaa limoja na kuna ile ya kawaida unaacha kama masaa mawili na nusu(ila sanasana ni upended wa uji itakua uliweka kidogo
@@homecookingtz2488 mfano kwenye unga wa Mchele kilo moja natakiwa uji wa sembe kiasi gani nipike?ahsante kwa video yako najifunza.
Okay,tumia sufuria la nusukilo kukoroga uji na uji usiwe mzito wala mwepesi,sasa uji ukipoa kwenye kuchanganya uji na unga usiweke ujiwote kwa wakati mmoja ,weka kidogo kidogo ili usizidishe uji na mchanganyiko wako usiwe mwepesi uwe mzito kidogo ili baadae ukiumuka uwe unauzito utakao kupa vitumbua vitavyo chambuka,na kama ulichanganya mchanganyiko na baada ya kuumuka ukawa bado mzito chemsha maji ya vuguvugu kisha weka kiasi ambacho kitafanya mchanganyiko wako uwe na ile rojo (unga wa vitumbua ulio korogwa)ambao sio mwepesi sana na sio mzito ambao utatoa vitumbua vyako vikiwa vimechambuka ndani
@@khadijakombo7006 👆
@@homecookingtz2488 asante sana nimekuelewa nitajaribu
Mimi Huwa zinakiwa lain ndan
Itakua mchanganyiko wako unakua mwepesi sana
Jeh kwa vitumbua vya mahind inakuaje hp kweny kuchanganya
Hii!
Kwenye upande wa vitumbua vya mahindi ukisha koboa mahindi unayaloweka siku tatu baadae unayaosha unayaanika kidogo yasikauke sana kisha unayasaga ukisha pata unga kwenye kuchanganya unatumia mrorongo huohuo kama ivi vya mchele unakoroga uji ukisha maliza unachukua unga wako wa mahindi na kuchanganya
Vizuri tu
Unaumuka kwa mda gani dada
Kama kuna Hali ya joto inatumia dakika 45 hadi 60,kama kunaubaridi Acha lisaa limoja na nusu