Ahsante kwa video yako. Nimefata exactly kama ulivyotuonyesha na Alhamdullilah vimetoka vizuri sana kwa muonekano, ila katikati kidogo imekuwa sticky sijui kwa nini unadhani? Lkn kwa sura just beautiful 😍
Yaani niklikuwa sina pan yakutengenezea hivi vitumbua lakini luckily just got the pan today after I ordered online, so I will be following your recipe 2moro.....Saturday 6th June 2020, thanks
Asante sana Dada shunu's kitchen mim napenda vitumbua ila chuma chang nilichonacho kile cha mini vitumbua na sipendi vitumbua vidogo napenda kias kam icho chako nimeranda Dubai cjui ata maduka mangapi cjabahatika kupata apa mpk nikenda Tz nikinunue kikubwa Ila asante sana Mama ake mie
MashaAllah I tried your recipe and got perfect Vitumbua . God bless
Asante kwenye recipe Nina swali je kama umezidisha tui ikawa maji maji
Your explanation is clear and very simple to understand. I'll try your recipe.
Ahsante kwa video yako. Nimefata exactly kama ulivyotuonyesha na Alhamdullilah vimetoka vizuri sana kwa muonekano, ila katikati kidogo imekuwa sticky sijui kwa nini unadhani? Lkn kwa sura just beautiful 😍
shukran may Allah akuzidishie ujuzi na Allah atakulipa kwa hilo
Asante sana leo nimejaribu vimetoka vizuri sana ubarikiwe sana
I tried the recipe, turned out really well appreciate you sharing it. Thank you
And here I was thinking it was very hard making tht recipe!! May Allah SW bless You
Me too was thinking the same
Asante sana kupitia kwako Leo hio napika vitumbua vizuri sana
Mwenzako nlijua lazima niende kusaga kwa mashine😀 kumbe hata juicer asante sana kwa ku share nasi
Pia mim nilijua adi niende kusaga kwa mashine kumbe
Nitajaribu leo vitumbua vya mchele Asante sana from Massachusetts 🇺🇸
Did you really have to mention Massachusetts 🤷🏼♀️
Maa Shaallah vitumbua vimependeza hivo
Mashallah nimependa pia umeeleweka sana umeelewesha Sana
masha Allah vinavutia
kwanza nitafute hy pan ya vitumbua nmeipenda kwel.
Asante sana
Yummy nasubir chuma changu kifike nipike na mie 😆😋😋👌👌❣
Asante Mungu akujaze kheri Amin inshaAllah
Ahsante sana dadangu nimejifunza mengi kupitia kwako
Mashallah napenda mapishi yako.Na nakushur nimejifunza vitu vingi kutoka kwako,kila nikijaripu mapishi yako vinatoka sawa sawa
asante sana my dear nafurahi kuskia hivyo
Mungu akuzisishie
mungu akuweke dada najifunza vtu vingi sna kupitia channel yko ubarikiwe
Looking yummy. Naweza kutumia maziwa
Madam nili penda video sana. Loved your video Shukran. Thanks From: 🇨🇦 Canada 🇰🇪
Nimeipenda sana barikiwa
Asante mpenzi nami Léo nimepika saga noti na vitumbuwa❤
Asante sana kwa kuangalia 😊.
Mashallah, napenda kweli channel yako. Una ujuzi wa hali ya juu Sana .
Yaani niklikuwa sina pan yakutengenezea hivi vitumbua lakini luckily just got the pan today after I ordered online, so I will be following your recipe 2moro.....Saturday 6th June 2020, thanks
Please let me know how it goes 😊
What’s the name of this pan?
Vitumbua mwisho hapo, shuna, yummm. I have to try that recipe.
Mashallah allah akuzidishie ujuzi zaid
Mashaallah fungua Hotel habbty
Shuna's una uwalimu ndani yako unauwelewa sanaa unajuwa kuelekeza mapishi yako hayana mbwembwe nyingi mashaallah mashaallah
❤
Natamani nijifunze kwake mapishi asanteeeeee dada shuna
Mashaallah ❤
Very nice I will try to make them thanks for the receipt Allah bless you 🙏
Hamila ninini kwa English
A. Alaykoum. MashaAllah Alllah abariki mikono yako. Umetumia mchele gani kwa vitumbua?
Mashallah shukran kwani hilo nijiko la umeme na unatumia moto wangapi?
nilipika hivi jaman mme wangu alipenda asante
Asante nimeipenda nami nitajifunza
Mkate wa mofa tafadhali shukran
A tnx so much .can yu use cow's milk instead of coconut milk?
Shukran habibty vitumbua vizuri Allah amubarik
Afwan. Shukran pia kwa kuangalia
Asante kwa darasa zuri
Mchele aina gani mzuri kwa vitumbua
Nakupenda Allah akupe maisha marefu
Hi shuna's,,,,sijui nakosea wap dear kill nikijalibu havitoki,,Yan vinajaa mafuta pia vinakuwa na harufu ya hamira ,,,,naomba msaada tafadhali
These things are soooo delish. A friend made some for me and I can't stop eating them..Not to forget am on keto..Lawd help me
Maziwa
MashaALLAH. Which rice did you use please? Which basmati?
I like this vitumbua
Barikiwa sana
Asanteee dada nitajaribu
It's so delicious 😋 thanks. I like your foods
Nakupenda saaana
Nimependa
Mashaallah mungu aku zidishie kheri kwa kutu elimisha kupika
Very nice looks amazing ulinunua wapi hiyo pan ya kupika. Tafadhali
Ma shaa Allah
Mashallah vizuri ahsant
Thank you , I happy to find original vitumbua recipe
Mashaall ❤
Uko vizuri sana dada
Mashallah barakalah
am ethiopia very good nice❤❤❤❤❤❤❤
Hapa m'menipatia kwelikweli I def try this
Masha all ah👏👏
Mashallah mashallah
Supu imenitoa matee😋😋
Mashallah mashallah vizur mnoo ntajaribu n.a. mm
Asante sana Dada shunu's kitchen mim napenda vitumbua ila chuma chang nilichonacho kile cha mini vitumbua na sipendi vitumbua vidogo napenda kias kam icho chako nimeranda Dubai cjui ata maduka mangapi cjabahatika kupata apa mpk nikenda Tz nikinunue kikubwa Ila asante sana Mama ake mie
Mimi niliagizia znz. Asante sana my dear. Jaribu kuagizia kama unapokaa umekosa
Assalam alaykum dear , nimemiss sana vitumbua. Pan Kama yako inakubali induction ? Jazaakillahu khair @@ShunasKitchen
Tunaomba somo la mapishi na sisi
Mashallah verry nice
Mashaallah Allah akupe unri zaidi utufunze mingi
nzur sanaa 😋
Nimekukubali
Mashallah thy look so yummy. Thnx Shuna b blessed
Shukran from Zanzibar
I have tried uji umekua mwepesi😭😂😂 nifanyejeeee
asante sana, mzuri sana
Thanx for ur class🙏
Mashalla vitumbua inavutia sina chuma niko Jeddah saudia sijaipata
Zipo Amazon
@@shinewithme2023 shuuuqraan jazaq Allakheee
MashaALLAH umetulia mchele gani?maana mie nimefanya basmati lkn vimekuwa sio crunch
Asanteee nitajaribu
Mashaallah tabar rahman vitumbuwa vizuri
Mashaa Allah. .vimetokea vizuri na vya kupendeza.
Maa Shaa Allah
Hongera sana
Asante sana dada a
Allahumma Barik
mashallah yaani tamuuuu
Nimeipenda hiyo dada
💋💋💋💋🙏🙏🙏napenda sana na miss sana
Good work. Nahitaji hiyo pan ya kupikia vitumbua. Naeza pata wapi.
Mashaallah nmejaribu imetoka vizuri sana
Asante sana dada,ila naomba kujuwa kikombe ambacho una pimiya mchele
Kabisa huyu dada namuelewa kuliko mtu yeyote anayefundisha mapishi
Shukrn
Njia hii ninyepesi Sana hii
Hi shuna. Which kind of rice makes the best Vitumbua..... Thank you
Wow thank you so much ❤️ I tried them ad they came out perfect..💃💃💃♥️♥️
M
Nice one
Naomba unisaidie mm nikijalibu ndani haviwivi vinatetema
Nicer usinikose Kwa video nyingine
nimependa sana dear, naomba kujua ni mchele gani uloutumia ahsante tunasubiri majibu
Nimetumia mchele wa basmati lakini mchele wowote unafaa
Ahsante sana kwa majibu yako nitajaribi jioni njema