Nna swali jamani nisaidieni. Mwenzenu Sina karai ya kuchoma vitumbua ila nna tray ya kupika cup cake. Swali langu ni naweza tumia hiyo tray na nipike vitumbua kwenye oven badala ya kuchoma kwenye motowa makaa?
Nimeelewa vzr lkn wakati anautengeneza alikua kama mtu anaesonga it means ulikua mgumu sasa imekuaje mpaka ulivyoumuka ukawa mchanganyioo wake mwepesi???Hakuongeza kitu ili kuufanya laini?
Asante Sana, hata mimi nilikua na muona bibi yangu akipika vitumbua au mkate wa kumimina lazima atumie uji, vitumbua vinakua vizuri Sana.
Nakupendaga bureee unaelekez kw usahih na ustara. kabisa nilisubiria kw a hamu pish hili
Nilikuwa natamani sana kujua uswazi wanapikaje vitumbua duu....umegusa sana leo big up
Thanks for sharing. I will try your recipe without coconut milk
Shukrani dada kwa darasa lako la mapishi ya vitumbua
Wawoooo tamu sana na hongera🎉🎉🎉
Ma sha Allah mpenzi 👌👌
Asante kwa elimu yako nzur
Asante sana kwa maelekezo
Asante nimefurahi❤❤❤❤
unapka vzr mashallah
Naomba dd nisaidiee nataka vya biashara 🙏🙏
Nimekupenda bure my dear
My first thought was my set book in high school.."kitumbua kimeingia mchanga".......anyway, good recipe.
Hahaha yeah
@@njerinajma5009 At least siko pekee yangu. That book...say less.
Naomba samba yako.
Ninachokupendea huchoshi kima elezo sio wengine ku elezatu lisa lizima mpaka ham yakuona video inaisha hongera dada
Mwenzangu kweli shuhuli
Thanks for sharing
Maashaallaah ila moto mwingi inatakiwa moto kidog ili viwe namvuto
Yaani kwa kweli hii clip imenisaidia sana. Nimejaribu kupika vitumbua vimetoka bomba hadi nimejisifia mwenyewe. Hongera sana mummy
Mbona Mimi vinaganda alafu vinakuwa vigumu vinakakamaa. Pia unatumia kikaangio gani? Mana hiki Mimi kinanisumbua ni kipya nawaza ninunue cha dukani
Usiku sio vizuri
Kazi nyingi hivio
Nilikua natafuta huu upishi sana hatimae nimeupata kwa sisi tusio na blenda
Asante sana
تبركاله جميلة شكرن
Siamini mi ni wa kwanza hahahaha kucomment na wa pili
Je ukilala umeumua sio nzuri au
Unakua mkali
Njema! Ahsante
lazima kuweka unga wangano
Hahahahaaaa Safi saan vyauswaz vitamu saan nimependa maandaliz ya kikwetu kwetu kbs had sufuria aweeeeeeeeeee piga kelele kwa uswaz kwetu eeeee
Asante sana Nauzaje kama hivyo?
Dah natamani kupika but sina kikaango jaman
je unga wa mahindi na unafaa kukologea uji wa vitumbua naomben kujua😊
Na ukiwa na unga kilo Moja unaweka Amina kiss Gani
Hiv mm ndo najua ila vya kusaga na blenda sivielew
Mm vyakwangu mbona vinakua vigumu sado4 zaungawamchele uji wasembe naweka kiasi gani
Nimepeda jomon
Je Inga wa Donna haufakkuchanganyia?
Je mchle baada ya kuosha au kuloweka unaanikwa juani kabala ya kusaga?
Asante Nani pia huwa nafanya ivo
Hebu nijulishe kuhusu vipimo kama sina hivyo vikombe nitumie nini kupima
Kabisa
Nilazima utumie uji wa sembeee?
Je unga wa ngano uliweka muda wataka kupika inafanyaje?
Nakupenda sana
Kikombe unacho pimiya mchele ni kikombe cha ahina ngani? please nisaidiye
Any chance we might get video ya Mkate wa kumimina I really want to know tht one. But thanks for this one pia it's a good one
Naomba pishi la bagia za dengu nzuri za kuchambuka ndani
Kilo moja nitaweka amiral kiasi gani
Nitajaribu
Maashallah
Mshlh naomba nijifunze zaid mara nyingi nimejaribu vitumbua vya uji vinanishinda
Weka na yai utavipenda au ulikuwa mwepes sana unga
❤
Chai iwapi dear??😋😋😋
Inakuja 😂😂
Jaman nami ndo nafanya hivyo kumbe napatia mwalimu wanguuu
Shukurani
Masha Allah kwaiyo uweki nazi
na mimi nimejiuliza hivyo hivyo...iatakua vitumbua vya uswahilini hawaweki nazi
@@verachikulupi8063hata mie ninehisi ivyo , ahsanteee
Hup uji alotengeza ametumia unga gani???n huo unga wa sembe ndo gani???
Nimevipenda
Huo uji wa sembe unatakiwa uive?
iLike that kwani watanzania tumor wapi mambo mazuri yanatupita
Mbona karai langu la vitumbua linashika nikipika vitmbua
Sasa hivi vitumbuwa mchele haurowekwi usiku mpaka asubuhi
Kama una umuwa usiku
Naomba kujua kilo inatoa vitumbua vingap my dear
USWAHILINI 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 💯🚀😇🔥🥰😘🇰🇪💯🔥🌶️💋🌶️💋💋
Chef Ika ina maana vitumbua vile vya uswahili huwa hawaweki nazi si ndio? au hapa nime miss kitu?
Wewe ukivila unaonaje?
Vzurii dear😍
Asante
Asante
@@ikamallenliacha unga uumuke kwa lisaa 🙃🙃
Kwan nilazima hio uji waunga wakawaida je nikikosa nanikakoroga tuu hio Unga wamchele
Ni sawa
Kwan nilazima kuweka unga wa sembe?
Ukipika vitumbua vinaweza kukaa hata siku tatu bado laini au siku ngapi?
Nngependa kujua ni mchele gan zaid unaofaa. Mana huku kwetu zanzibar kuna mchele wa mapembe ndo tunautumilia lkn nmejarib sn cjafanikiwa
Yummy
Please send mi full recipe
Nna swali jamani nisaidieni. Mwenzenu Sina karai ya kuchoma vitumbua ila nna tray ya kupika cup cake. Swali langu ni naweza tumia hiyo tray na nipike vitumbua kwenye oven badala ya kuchoma kwenye motowa makaa?
Nafkir utateseka kuja kuugeuza. Tafuta chuma, sikuhizi vipo vingi. Andaa elf 25 hadi 30
Asante lakini tunaomba utuoatie vidéo nyingi za kutufunza
Mchele unaacha uchuje maji ndio unaenda kusaga mashineni au unauanika
Nmepend
Mchel ni wowt au upo maalum kwa vitmbua
Wowote nimetumia
Tuletee recipe hii kwa vipimo kwa ajili ya vitumbua vichache vya nyumbani
Maji huweki unaweka uji tu
My friend please make a small quantity not all people have big family
Then what will my family eat?
Habari? Naomba uonyeshe jinsi ya kupika kashata za ufuta, na za machicha ya nazi
yani sijui nisemeje asante aika, hiki sasa ndo kitumbua the original recipe sio vile vya nazi
👌 OG
Daa ika mm naomba recep ya kilo 2
Vipimoo vyakee yaan
Wow
Sorry lakini amira ni nini mu english
Ni yeast
Kwanini unapikia uji vitumbua
Hiyo wenye kupika vitumbua wanaita madida 😊
Nafatilia nataka kuanza biashara
Naomba kuuliza unaweza kusaga mchele mwingi?yaan namaanisha ili utumie muda mrefu,🙏
Ndio
Hapana ukisaga unga mwingi unawai kuharibika unatoaga harufu mbaya
ASANTE SANA LAKIN TU TAKA KIPIMO BASI - FULL RECIPE THANK YOU
Fabulous!
ll
0
Mbona hujairudia hii video
Sijaweza kuzipika bado
Nifundiche kupika vitumbuadada
Ahsante
Mchele ni wa chenga chenga?
Unaweza tumia wa chenga ama wakawaida...
@@ikamalle thank you
Je hajauloweka?
Ulioshwa tuu then ukaachwa kwa dakika 30 , ukaenda kusagwa mashineni
Asante utuletee na mkate wa kumimina km unavyoita pishi la kiswahili my
Mchele unasiaga???
Ndio
Sasa aviekwi nazi basi uji wasembe na sukari na amira alafu nilaini
Hazijawekwa nazi
Mmm
Nimeelewa vzr lkn wakati anautengeneza alikua kama mtu anaesonga it means ulikua mgumu sasa imekuaje mpaka ulivyoumuka ukawa mchanganyioo wake mwepesi???Hakuongeza kitu ili kuufanya laini?
Kilicho sababisha kuwa laini ni amira
Unga wa sembe...ni ule wa ugali au?
Ndio
Inatoa vitumbua vingapi kilo moja
Kitumbua kama kitumbua