SIRI YA VITUMBUA LAINI VINAVYOTOKA VIZURI IMEFICHUKA🫣, RECIPE NDO HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @asyajumajuma8446
    @asyajumajuma8446 2 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah vitamu. Hapo ukichanganya hiliki hamira na Hapo hapo unatia sukari ikisha ndiyo unachoma .Nakuuliza ukhty

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@asyajumajuma8446 unaacha uumuke kwanza kwa saa nzima

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 หลายเดือนก่อน

    Man Sha Allah Tabaraka Rahman 🙏napenda sana vitumbua ,kwa upande wa chenga wakati umebled unatakiwa uweje mana hpo ndo natatizuka na pia upande wamikate ya sinia uji unatakiwa uwe na chenga nyingi au kiasi shukran ❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@muhinanjowa7229 miye nasaga hadi chenga zinapotea sana. Yaani nikiugusa hakuna machenga ya kusikika vidoleni.

  • @zuuhjumadar2584
    @zuuhjumadar2584 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah 👌 upishi wa leo daa hongera

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Shukrani mpendwa

  • @zainabrishad4650
    @zainabrishad4650 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah shukran love from Nairobi Kenya 🇰🇪 salams 🇰🇪

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      🥰🥰🥰

    • @PendoIbrahimu
      @PendoIbrahimu 2 หลายเดือนก่อน

      P❤​@@Mapishi_TV

  • @HafswaKhamis
    @HafswaKhamis หลายเดือนก่อน

    Mashaallah so yummy

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      Thank you🥰🥰

  • @LindaPamba
    @LindaPamba 2 หลายเดือนก่อน

    Looks yummy, thanks for the recipe. Pole kwa homa

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 2 หลายเดือนก่อน

    TabarakaAllah Ma Sha Allah 😍

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@sheikhanasser4714 amiin🤲

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 หลายเดือนก่อน

    Mash allah vitumbua vizuri sana shukran

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana🙏

  • @Suburo767
    @Suburo767 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah ngoja nijalibu na mm

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Kila la kheri

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah habibtiy hujatuonesha ile shamba yako ya mchicha 😅

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@fatmasaid9765 😄😄shamba msimu wa summer ushakwisha baridi limeanza kilimo kimesimama hadi mwakani inshallah .

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishi_TV Ahaa sawa shukran jazaka Allah kheri kwa majibu yako

  • @zayanamshana268
    @zayanamshana268 2 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah katoto katakua kapishi kazuri

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana🙏

  • @HawaOmary-gw2oo
    @HawaOmary-gw2oo 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah vitamu kweli na ipi basmat nzuri kwa biryani

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Mi huwa natumia basmati yoyote ambayo ni ndefu. Sio fupi

    • @HawaOmary-gw2oo
      @HawaOmary-gw2oo 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishi_TV subhanallah sijui basmati ipi ni ndefu naomba jina hata moja InshaAllah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@HawaOmary-gw2oo Dawaat basmati

    • @HawaOmary-gw2oo
      @HawaOmary-gw2oo 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishi_TV jazakallah khayri alhabiby 🙏🙏🙏

    • @HawaOmary-gw2oo
      @HawaOmary-gw2oo 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Mapishi_TV jazakallah khayri alhabiby 🙏🙏

  • @rehmatabdallahasham3323
    @rehmatabdallahasham3323 2 หลายเดือนก่อน

    mashallah ila tunakuombazidisha sauti yako ninapenda sana matumbua

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@rehmatabdallahasham3323 sawa, shukrani

  • @CHRISTINEMAPENZI-e6e
    @CHRISTINEMAPENZI-e6e 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa❤❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@CHRISTINEMAPENZI-e6e Asante🙏

  • @hadijafundi383
    @hadijafundi383 2 หลายเดือนก่อน

    Maasha Allah

  • @saidasaleh7596
    @saidasaleh7596 2 หลายเดือนก่อน

    Masha ALLAH

  • @BenderasKitchen
    @BenderasKitchen หลายเดือนก่อน

    Yummy

  • @noellabibe6520
    @noellabibe6520 หลายเดือนก่อน

    Vizuri kabisa, anaweza tuonesha kikombe ulicho pimiya mchele please

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน +1

      th-cam.com/video/2yB20o25EZU/w-d-xo.html kikombe ndo hicho cha pink

    • @noellabibe6520
      @noellabibe6520 หลายเดือนก่อน

      @Mapishi_TV Asante sana dada yangu

  • @madamrachel793
    @madamrachel793 2 หลายเดือนก่อน

    Dada nimependa ❤ je naomba kujua baada ya kusaga unaacha kwa mda gani kuumuka,,

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@madamrachel793 saa moja inatosha. Ila kama uko kwenye baridi inaweza kuchukua zaidi ya saa moja kuumuka

  • @rehmatabdallahasham3323
    @rehmatabdallahasham3323 2 หลายเดือนก่อน

    sauti kidogo bhona hatu siki vizuri

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Sikujua kama microphone zijaziwasha wakati wa kurekodi

  • @johniablandes1868
    @johniablandes1868 19 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa mapishi ya vitumbua, je kikaango chako ulikinunua wapi?

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  19 วันที่ผ่านมา

      Mume wangu alikinunua Zanzibar madukani darajani.

  • @Sarinekhamis
    @Sarinekhamis หลายเดือนก่อน

    Basmat pi umetumia dear

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน +1

      Daawat

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 หลายเดือนก่อน

    Kikaango umenunua wapi, niliagiza kimoja waloniletea kidofo sana

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Nimenunua Zanzibar madukani. Nina hicho kidogo na hiki kikubwa. Vyote vimo madukani Zanzibar

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 2 หลายเดือนก่อน +1

    Utamu wa Vitumbua Kasahau kusema Bissmillah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@bimumaulid1171 😄😄kweli

  • @aminarashid1743
    @aminarashid1743 2 หลายเดือนก่อน

    Sitawai choka kula vitumbua

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@aminarashid1743 Mimi pia

  • @zainabrishad4650
    @zainabrishad4650 2 หลายเดือนก่อน

    InshaAllah upowe haraka

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Amiin🤲. Asante sana

  • @PhilibetiNtankana
    @PhilibetiNtankana หลายเดือนก่อน

    Kabla ya kuchanganya umeanza na kupika uji hujatuonesha

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      Sijapika uji wala sijatia uji. Ni mchele tupu nimeusaga. Kila nilichofanya ndo hicho nilichokionyesha kwenye video.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

    Mzima samahani naomba jina la hiyo Basmat

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Mi mzima alhamdulillah. Inaitwa Daawat.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishi_TV Shukran sana ubarikiwe

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishi_TV Je upo Instagram?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishi_TV Nimeona Daawat Basmat lakini mifuko ipo ya rangi nyingi sijui umetumia wenye rangi gani?Asante sana

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@leokamil6284 Kijani