@@hatamimnimempendabulejaman1596 asante sana😊 naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen na ninakukaribisha uangalie na zingine.
Aisee asante sana bs magic kitchen sikufahamu ww dada ila umenisaidia sana nimepika vzuri na nko mwenyewe huku U.A.E DUBAI basi nimewza kupata maharage ya hamu ya tanzania mana huku utayapatia Thank you so much sana sana na ntaendelea kuwapa support Thank you Thank you Thank you much love. Abdy salem
Asante dear kwa kuangalia na kuelewa somo maana hiyo ndio maana ya hizi video, nakukaribisha kuangalia na video zingine na pia naomba usubscribe na kubonyeza kengele ili usipitwe na video zangu.... Insta @bmagickitchen naomba unifollow. Thanx👏
Asante my dear na ninashukuru sana kwa kuangalia naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
Thanx dear, sure... Feel free to add whatever, cooking is about creativity. Thank you for watching please don't forget to subscribe and click that bell icon also follow me on insta @bmagickitchen thank you very much👏
Sio kila wakati mumy, nikiwa na muda naloweka lakini kama sina muda siloweki. Asante sana kwa kuangalia, nakukaribisha kuangalia na zingine ukipata nafasi. Naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen 👏
I love the recipe so much!!!...na hio coconut Milk i really like that but my question is some coconut Milk are more having sugar so for me i hate it..😏hadi nakua naweka Milk. Ambayo yale maxiwa ya majii...😄😄kwaio now days natumia Milk tuu😁😄
Kabisaa, hata mimi huwa naweka wakati mwingine na yanakuwa matamu sana tu. Naomba usubscribe na kubonyeza kengele, pia naomba unifollow insta @bmagickitchen karibu tena uangalie video zingine.
Usikoroge sana yatarojeka hutakula maharage utakuja mchuzi wa maharage but excellent
Just know that when i wanna try something new, i always visit your page😊👌🏻Thanks
Thank you for this simple recipe. My meal ilikuwa tamuuuuuuuuuu! I used pojo and it still came out delicious. Shukran!😊
Yaaaaani marage yamekolea nazi vizuriiiiiiiiiiiiiii ..... nimependa unavyoelekeza dear 🥰
Aaaawww!!! Jamani dear asante sana kwa kuangalia... Hata mm napenda sn unavyoelekeza my dear, naipenda Channel yako😊🥰😘
Ya ika anajuwa kuelekeza vizur kama mimi. Halafu anapika kama mimi
Nice my
@@hatamimnimempendabulejaman1596 asante sana😊 naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen na ninakukaribisha uangalie na zingine.
Inapendeza my
We dada weeh, acha nikanunue jiko...kupika nitajifundishia humu kwako😍😍
😂😂😂 sawa sawa na krb tena tena ujifunze.
Asante umnsaidia leo mn nlkiwa sjui at iy kupka alf mama alikuw hyp nymbn kwhy asant
Aisee asante sana bs magic kitchen sikufahamu ww dada ila umenisaidia sana nimepika vzuri na nko mwenyewe huku U.A.E DUBAI basi nimewza kupata maharage ya hamu ya tanzania mana huku utayapatia
Thank you so much sana sana na ntaendelea kuwapa support
Thank you Thank you Thank you much love.
Abdy salem
Aaaawww!!!🤗 Hongera sana na ninakushukuru sana kwa support yako🙏🏾
Vzr
Naomba mungu anijalie mwanamke anayejua kupika na maufundi ya jiko kama wewe,mbona nitadeka mie mtoto wa mombasa.
Mungu ni Mwema atakujaalia na pia shukrani kwa compliment🙂🙏🏾
Nichukue mm
Wow so amaizing
Ahsante kwa mazuri ya Maharage.
Asante sana👏
We pika mama Ma Sha Allah ❤️.. showing love from uk
Thank you so much i really appreciate it🙏🏾
Wow nmelipenda sanaa pishi lako dadangu😂😂shemegi yako kula nje itakuwa marufuku✌asante kwa mafunzo
😂😂😂😂 safi sana my na ninashukuru kwa support yako👏🏾❤
Nimejaribuu yametokaaa mwaakeee thanks mmy
Asante kipenzi na ninashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Waoo yani mate yananitoka hapa
Nimependa maharage yako Dada Thanx tumepata somo LA kutosha
Asante dear kwa kuangalia na kuelewa somo maana hiyo ndio maana ya hizi video, nakukaribisha kuangalia na video zingine na pia naomba usubscribe na kubonyeza kengele ili usipitwe na video zangu.... Insta @bmagickitchen naomba unifollow. Thanx👏
Samahni...naomba nifahamu hiyo kidogo ni kama dk ngapi mama...
Bila samahani na pia naomba unisamehe na mimi kwa kuchelewa kujibu, ni dakika 3 mpaka 5. Nashukuru sana kwa support yako na karibu tena.🙏🏾
Hongera my unaelekeza vizuri wengine mmmmhh majanga utadhani anakimbiza kuku
😂😂😂😂 umenichekesha sana, nakushukuru pia sana kwa support yako🙏🏾
Yummy 😋 😋 Naomba plug ya pahali naweza nunua kisagio cha 🍅 na 🌶
Maharagwe yavutia hadi raha👌
Asante sana my dear❤❤❤
Mwanamke jiko naweye unaliweza best
Asante sana my dear👏❤
Nime enjoy sana❤❤❤❤❤❤❤,easy way to prepare beans,be blessed sister
mboga ya kifamilia unatakiqa kujazaaa maji mengi
na jion ifike !
hahaha
Hahahahaha
Twaibu Mikidadi hahahahaaa yaan we acha tyuu
Taaaam iyo
Taaaam iyo
Kabsaaaaa
Unajua kuelekeza mamy... wth love from R chuga!
Aaaawww!!!😊😊😊 Asante sana my dear❤ I'm sending you lots and lots of love back❤❤❤
Thats amazing wow inaonekana tamu sanaa
Thanx dear, tamu sana👌😋
Mwanamke jiko 👌👏
Yan nmependa sana unavyo elekeza ndg yang mpk nmejarib kupika na mm
Amazing one sistet mmm .yummy much love from.kenya.🇰🇪
Thanx dear, and i appreciate your support🙏🏾❤ much love.
Tamuuu sana jamani...hongera!
Asante sana, nashukuru kwa kuangalia👏
Kitunguu somu mamy ila nimelipenda😘😘😋😋
Oooh ok, asante sana.
Madame uko vzr cyo kwa kunoga huko
Asante sana my dear👏🏾❤
Who is here in 2024
Mimi😹😹
Nilikuwa natafuta recipe ya hii, asante umetuelekeza vizuri. 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️naenda kupika sasa
Asante na wewe my dear kwa support yako na karibu tena🙏🏾❤
Kama mimi safi sana!
Kwakweli nikupe hongera unajua kupika🙌🙌
Nipo site bibiye,,, nashukuru
Hiyo karoti kama nikiweka ya kusugua hile vp haifai?
Inafaa my dear wala hakuna shida, nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Wooow i love it🎉
Unaelekeza vzr dada
Asante sana my dear na ninakushukuru sana kwa support yako mumy🙏🏾❤
Wenye majiko ya mkaa tuna comment wapi
😂😂😂😂 hapa hapa
Hahhhhh
Ally Ahmed 😂🤣🤣🤣🤣
Hahahahaaa
Kawaida2
Mbona chumvi ujawek😋
*Niliwahi kufata maelekezo yako kuhusu kupika pilau niligombana na demu wangu alipokuja ananiambiwa haiwezekani mimi nipike pilau ya namna ile siwezi*
😂😂😂😂😂 pole maana najua lilizuka balaaa.... lakini alienjoy?
@@MsBupe sanaa
@@lucasmhagama8166 safii👍🏾
🤣🤣🤣🤣
Waoooh hongera my dia.. 😊
Asante my dear na ninashukuru sana kwa kuangalia naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
@@MsBupe Okay.. Ahsante, nitafanya hivyo dear
@@upendoissah1999 poa mumy nashukuru
@@MsBupe haya mamy wangu
Nko naangalia ndio nipike.nmependa hii video
Nashukuru kwa support my dear, mapishi mema❤
Mom unajua Jaman kupika
Please, Are they pinto beans?
No they are not, thanx for watching.🙏🏾
Manshallah Hadirahaaa
Asante sana my dear na ninashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Mashaallah 🥰
Loved your simple recipe.. Is it okay to add spices?
Thanx dear, sure... Feel free to add whatever, cooking is about creativity. Thank you for watching please don't forget to subscribe and click that bell icon also follow me on insta @bmagickitchen thank you very much👏
numependa
Asante my dear😊 karibu tena na ninashukuru kwa support yako👏🏾
What i know u kiwa mpenzi wa spice.ukiweka pilipilimanga kdg,mdalasini kdg,uzile kdg inakua more better....
Ndo maan nakupenda mmi uko vizur my dear
Aaaaaawww!!! Asante sana my dear👏🏾❤ nami nakupenda mpz wangu na ninakushukuru sana kwa support yako👊🏾
hello dear...ntka nipike nusu kilo ya mahrage...nieke nazi ya azam pakti moja ama mbili?
Hello! Weka moja tu my dear, asante kwa kuangalia👏🏾❤
maashalla chakula kitam san
Asante sana my dear na ninashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Mkiambiwa hamjui kupika mwasema oooh oooh oooh ayaulionapi maharagwe yanazi yakatiwa mafuta namakorombwezo kiasihicho? Angalieni mtakujakupika sumu
Mbona kama umepanic?!!!🤔
Mashallah nice dear
Thanx dear👏
Omg you blende chilli mbuzi it will b very spicy 🔥
I like it spicy😃 Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Nesfast ndiyo nazi?
Kingereza matata
Thank you mom lov u much
Nimejifunza
Which beans are those
Yellow beans or redkidney beans
Yellow Beans dear.
Unajua dada alaf unajua tna😘
I ll cook tomorrow itself inshl
Ok dear, all the best.
Ila sijui mbona nkipika chakula na tui la Nazi lazima nizidishe chumvi
Punguza chumvi unayoweka dear, nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Nice sana
Thank you sana my dear🙏🏾❤
Selina kabila marange matamu San😍
santeee👌 wacha niingie jikon sasa
Asanteee
Kabla ujachemsha maarage unayaloweka???
Sio kila wakati mumy, nikiwa na muda naloweka lakini kama sina muda siloweki. Asante sana kwa kuangalia, nakukaribisha kuangalia na zingine ukipata nafasi. Naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen 👏
Mi nachukia unakuta maarage yanapasuku yanakuwa hayana mvuto tena
Sasa cjui apo nakoseaga wap
@@luciapeter5141 yanapasuka wakati wa kuchemsha au wa kuunga?
Wakati wa kuchemsha yakiiva
Nice simple recipe
I love the recipe so much!!!...na hio coconut Milk i really like that but my question is some coconut Milk are more having sugar so for me i hate it..😏hadi nakua naweka Milk. Ambayo yale maxiwa ya majii...😄😄kwaio now days natumia Milk tuu😁😄
Great job 👏 👍
Thank you so much🙏🏾
Ahaaaa mwanamke kujiamini dear,mapishi yako sawa mbona,nameza mate tu
Asante my dear❤
I will try this....no curry powder?
Goodluck dear, you can def use it dear, it's a matter of preference.
Recipe hii unaweza kutumia nazi ya kujitengezea ama nazi ya kopo?
Yoyote my dear, nashukuru kwa support👏🏾❤
Unajua sana jamani
Yak vizuriii
So Siri ya coconut milk isikatike ni kukoroga Ukiweka?
Yes dear.
Maharagwe umeyachemsha na Nazi nyepesi ama tu na maji ya kawaida?
Na maji tu ya kawaida, nashukuru kwa support yako 🙏🏾❤
Maharage yana acid nyanya ya nini
Very nic
Thank you very much for your support🙏🏾
Mbona hatukuoni
Na mm huku na pika wali fanya ulete harage hilo liliwe.
😂😂😂😂 niko njiani nakuja...
Zuena Mohamed machine hiyo ya kusaga napata wapi
@@floramwaijele9322 kwa Tz sijui mumy.
Nimeipenda kesho nitajaribu.
Asante mpz, jaribu.
Wapika makange au maharage? Uliiawapi mahrage yanazi yakatiwa makorokoo hayo kama maharage ya mafuta (hujui mambongwa)
Yummy ...
Thank you🙏🏾
Ajjabest
Asante sana
Nimepika yamekuwa matamu❤️❤️
Hongera sana my dear na ninashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Yummy
Thanx luv❤❤❤
tofauti ya coconut milk na coconut cream ni nini?
Coconut Milk ni nyepesi wakati cream ni nzito yaani tui la kwanza na la pili.
So simple and easy...i like it
Thank you dear and i appreciate your support🙏🏾❤
Sasa unatanguliza tui jepesi kwanza ama unaeka zote kwa pamoja..hujaonyesha
dah,harage kama harage linanukia mapka huku😝😝😝😝
Hahahhaaa😂😂😂 ni balaaa. Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾
Taamu kwa chaapati👌
Yaani ni balaaa👌🏾😋 Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾
Nimependa
Asante sana my dear na ninakushukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Maashallah shukran, naomba kuuliza hio nazi ya mkebe inapatikana wapii
Kwa Tz sijui ndugu yangu, asante kwa kuangalia. Naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
It looks yummy😋... Je Unaweza weka kitunguu swaumu na tangawizi dear????
Kabisaa, hata mimi huwa naweka wakati mwingine na yanakuwa matamu sana tu. Naomba usubscribe na kubonyeza kengele, pia naomba unifollow insta @bmagickitchen karibu tena uangalie video zingine.
nimependa hilo pishi.
nimependa hilo pishi.
@@shadrackmatonge5422 asante sana.
napenda sana
Nakushukulu Sana tangu nione ii vidio jamani nimepika vizuli
Nasikia kuikulia kwa simu yangu
😀😀😀
Wanawake wengine huwa wanajifunza wapi! Mbona hawapiki hv??😂
Simple and clear😋
Kama mchemsho vileeee matamu hayo