SAMPULI YA NYOKA WASIOFAA KUULIWA//SHEIKH ABDUSATAR AHMED

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sheikh kwa elm

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk หลายเดือนก่อน

    Jazakhallah khairan sheikh

  • @suleimannationy-ln1wu
    @suleimannationy-ln1wu หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hizo siku tatu utakua ukilala wp n nyoka yumo ndani

  • @jamilabadru8087
    @jamilabadru8087 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @mwanajuma595
    @mwanajuma595 หลายเดือนก่อน

    Kuna cku nilimpiga mtoto wa nyoka lkni aliwa kupotea hakufa lkni nilimwacha na jeraha,baada ya cku tatu mwanangu alikuwa mgonjwa nusra kufa,nikahisi ni yule mtoto wa nyoka mi naamini haya maneno sabab yashani

  • @lexygeisar8303
    @lexygeisar8303 หลายเดือนก่อน +6

    Zamani nilimkuta nyoka kwenye draw ya cherehani. Alivyo ingia sijui Nili mwagia mafuta ya taa. Alikimbia Na hakufa. Sasa ndio najua Nili muumiza jini. I hope ale ni samehe

    • @NamiriNamiri-oz4xs
      @NamiriNamiri-oz4xs หลายเดือนก่อน +2

      I nataka moyo ukae na nyoka siku Tatu na ulale usingizi ukupate Huo ni mtihani kwa kweli

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim หลายเดือนก่อน

    Baba nyokaaaaa heeeee

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do หลายเดือนก่อน +1

    Aljinan nyoka ni Jini huyo mwenye wa kufuga

  • @alhabibismail3031
    @alhabibismail3031 หลายเดือนก่อน +1

    mambo mazito.Allah atuhifadhi

  • @user-qt5eo8lx4t
    @user-qt5eo8lx4t หลายเดือนก่อน +2

    Kifutu .

  • @umnadyaful
    @umnadyaful 24 วันที่ผ่านมา

    Hili neno la kusikitisha,huyu amemnukuu Mtume swalaLlahu alehi wa salam sasa uwahabi umeingia wapi hapa?ama tumekua ni kuchukiana tu bila ya msingi?

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 หลายเดือนก่อน

    Anaitwa puff ader kwa kizungu

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 หลายเดือนก่อน +3

    Majini hawo ndungu zenu waislam 😂😂😂😂

    • @HeboniBabu
      @HeboniBabu หลายเดือนก่อน

      Kuwa mstalabu Majini Ni viumbe vya mwenyezi mungu waisilamu awakuja nao

  • @user-wm7ci4sc5r
    @user-wm7ci4sc5r 25 วันที่ผ่านมา

    Mtu akiswali na akamuona nyoka amuuwe huku akiswali kwa vitendo katika swala ,je nyoka hawa ni nyoka gani hawa na pia wanaurafiki gani kwa bina Adam

  • @kassimbitogwa6992
    @kassimbitogwa6992 หลายเดือนก่อน

    Ambao hawa uwaw tutawajuaj?

  • @shabansaid2323
    @shabansaid2323 หลายเดือนก่อน +3

    Mungeweka picha za hao nyoka ingependeza

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e หลายเดือนก่อน

    Shida yenu MAWAHABI mnajazba,Watu walikua wanajua dini kabla UWAHABI haujaja.
    Umesema mlikua mnaambiwa mkae mbali nahuyo nyoka badala muamini mnasema ni ukurafi!

    • @user-hq5fg1zj5n
      @user-hq5fg1zj5n หลายเดือนก่อน +3

      Ndio ujue sasa kuwa manhaj yetu haitaki kusikia sikia ila yataka kusomwa

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e หลายเดือนก่อน

      @@user-hq5fg1zj5n Kuabudu mungu ambae nikijana mwenye vijinywele vilivyokunjamana!!SUBUHANALLAH

    • @usrahismail3196
      @usrahismail3196 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi ni dhehebu gani sababu masunni ahutTawhiyd ndio mnaowaita Wahhabi na je nyinyi ni pote ipi?
      Kisha hiyo ilikuwa ni fikra yake na rika yake wala haiwakilishi wengine

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 หลายเดือนก่อน

    Kwa Kiswahili pumu nyoka