SALAMU ZA MAYAHUDI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Assalam aleikum welcome to Fauz production support us by subscribing to our channel shukran wa jazakumu Allahu kher FAUZ PRODUCTION Is an Islamic channel where you can find daily islamic reminders SUBSCRIBE and SHARE
    #fauzproduction
    #daawa
    #mombasa
    #kenya

ความคิดเห็น • 94

  • @abdullahiiddi4109
    @abdullahiiddi4109 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sana sheikh wetu, wengi tumezama Katika haya
    Allah atuezeshe kutenda Mema na Kukataza Maovu na atujaalie Mwisho Mwema
    Amin

  • @aminahkimwana109
    @aminahkimwana109 ปีที่แล้ว +1

    Mansha ALLAH tabaraka ALLAH Mwenyezi_Mungu akuhifadhi nimefurahi kukuoana kwa mara nyingine kuna kipindi nilikuwa silali bila kukuona na kusikiliza mawaidha yako.

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 ปีที่แล้ว +2

    Tahiya Askaria,
    Salute ya Kijeshi INAPASWA KUTOLEWA PAMOJA NA NENO HILI:- Jambo Afande!.
    KUTOKANA NA USASA Ndio wananyamaza But Kwa Utaratibu WANATAKIWA Waseme "JAMBO Afande"

  • @aishaothman782
    @aishaothman782 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sheikh wetu mwenyezi mungu akujaalie umri mrefu wenye kheir Insha allah

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 ปีที่แล้ว +3

    Barakh Allah fikh wa jazakh Allah Khair

  • @user-ng7fi7nl2r
    @user-ng7fi7nl2r 2 หลายเดือนก่อน

    Sema simuungi mkono mtume uyo shekh ananukuu tu apo ukimkataa mtume utakuwa kafiri nakuusia usiwe ivyo sio itikadi ya muislam kukataa mafundisho ya mtume s.w.w

  • @user-vi4jw1lc9y
    @user-vi4jw1lc9y 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah allah akubarik Asante kwa darsa zuri

  • @MrNoNonsenseYes
    @MrNoNonsenseYes ปีที่แล้ว +2

    Duh na mimi ilkua nikipenda sana, shukran ya sheikhuna 😢

  • @mbaroukngoma2058
    @mbaroukngoma2058 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu atuafikishe inshallah

  • @mwanasitidzengo6691
    @mwanasitidzengo6691 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah watabaraka Allah. Bora utukumbushe shekhe maana ndivyo waisilamu tunasaliamna zama hizi

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว +4

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Shukran Jazilah

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn ปีที่แล้ว +1

    Shujran kwa kutuelimisha
    Alhamdulilah

  • @saidmohamud2190
    @saidmohamud2190 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah❤❤❤❤

  • @NMS0193
    @NMS0193 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah Duktuuur Islam....Allah atuongoze sote katik njia sahihi.....na ntafurah ukilingania daawat ssalaffiyyah inshaallah

  • @user-xp7og8zu7i
    @user-xp7og8zu7i ปีที่แล้ว +2

    Mashallah allah akulipe kheri

  • @jambojomba9042
    @jambojomba9042 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana kwa mchango wako ktk dini

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 ปีที่แล้ว

    Sheikh umenifungua macho, Allah akulipe kheri

  • @husnaally7964
    @husnaally7964 ปีที่แล้ว

    Jazaaka llah khair.kumbusha kaka etu hakika ya ukumbusho utamfaa alieamin.umetufunua macho umetutoa ujinga

  • @naswiharashid7166
    @naswiharashid7166 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah shukran Yaa Sheikh nimefurahi kukuona mwanangu napenda sn mawaidha yako Allah akulinde akuhifadhi akupe swiha njema Amin

    • @fauzproduction
      @fauzproduction  ปีที่แล้ว

      Amin

    • @Allykatera
      @Allykatera ปีที่แล้ว

      Shukran Sana kwa ukubusho atazigatia kwa mwenye akili

    • @mav2zmajamboz624
      @mav2zmajamboz624 11 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Amin

    • @umalyamaya6718
      @umalyamaya6718 11 หลายเดือนก่อน

      ❤ Marsha Allah

    • @user-mz3vf6ln4o
      @user-mz3vf6ln4o 4 หลายเดือนก่อน

      😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😊

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po ปีที่แล้ว +3

    mashaAllah,Allah ibarik fik ya sheikh

  • @mohamedbinzuberi9362
    @mohamedbinzuberi9362 ปีที่แล้ว +1

    shukran sana sheikh wetu na ALLAH akujaze kila la kheri

  • @saalimnyange4901
    @saalimnyange4901 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah.....shekh hajaelezea mabubu na viziwi wasalimiane vp

  • @husseinshehuna68
    @husseinshehuna68 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah ostadh

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 ปีที่แล้ว +1

    Barakaallah fiq

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 8 หลายเดือนก่อน

    Jazzakallahu khayra

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana Allah akulipe malipo bora

  • @user-fj2xx8wd4b
    @user-fj2xx8wd4b ปีที่แล้ว

    Jaazakallah khayra❤❤❤

  • @chulululicious6061
    @chulululicious6061 ปีที่แล้ว +1

    Nilitaka kujua Sheikh dkt islam mohamed kama asharudi kufanya darsa zake bahat ya mtihan wa ajali aloupata ..shukran

  • @aminasharif-bz2gz
    @aminasharif-bz2gz ปีที่แล้ว

    JazakaAllahu kheir

  • @naamanomarimohamed9364
    @naamanomarimohamed9364 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @user-tl5pf2sb7s
    @user-tl5pf2sb7s ปีที่แล้ว +2

    Jazak Allah

  • @salmasuleimanabass8687
    @salmasuleimanabass8687 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallahu khaira

  • @SaidAbdul-pj5ni
    @SaidAbdul-pj5ni ปีที่แล้ว

    Allah akubarik

  • @abdirahmangarad2622
    @abdirahmangarad2622 ปีที่แล้ว

    Scw scw scw scw scw scw scw scw

  • @RahimKhamis-zy3np
    @RahimKhamis-zy3np ปีที่แล้ว

    Jazzakkallha khayra

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 ปีที่แล้ว

    🍒🍒""""shukran sheikh wetu """"🍒🍒

  • @affaanothmaan6287
    @affaanothmaan6287 ปีที่แล้ว

    Jazaka Allah khayra...

  • @MaySissamo-dp9jc
    @MaySissamo-dp9jc ปีที่แล้ว

    Jazaakallahu khayr

  • @elallymoussa2980
    @elallymoussa2980 ปีที่แล้ว

    Dah Ndio maana tukaambiwa tusomeni

  • @fadhilimussa5067
    @fadhilimussa5067 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khairaaa shekh

  • @mkkitchenware4930
    @mkkitchenware4930 ปีที่แล้ว +1

    Isnaad ya hiyo hadith ni dhaifu shekh

  • @hassanwambugu606
    @hassanwambugu606 ปีที่แล้ว

    Kuna wengine hoja zao si kufahamu na kupata elimu dkt Allah amuhifadhi amesema ifwatiwe na kutamka salamu

  • @user-is2db1rl5n
    @user-is2db1rl5n ปีที่แล้ว

    Jazak Allah khair

  • @yusufuabdi4664
    @yusufuabdi4664 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakallahu kheyran

  • @abuhurayrahabibu4545
    @abuhurayrahabibu4545 ปีที่แล้ว

    Jazaakillah khayra

  • @muhsinsalim6257
    @muhsinsalim6257 ปีที่แล้ว +2

    Nakuomba yaa shaikh ukawatembelee wanajeshi pia uwaelimishe 😂

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 ปีที่แล้ว +2

    Shukrana jazzakka ALLAH kheir

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo unawwashaulije waislamu ambao wapo jeshini na wanaswali shekhe wache kazi kwaajili hiyo au wasemaje

    • @samiathkhalid1577
      @samiathkhalid1577 16 วันที่ผ่านมา

      Tuombe Allah atufungue macho tuone uhalisia wa haya anayozungumza Kuna mitego mingi kila mahali tumewekewa ili tufate mila za kikafiri na kazi nyingi ktk kada nyingi zimewekwa km mitego kwetu

  • @walesjulius5493
    @walesjulius5493 ปีที่แล้ว +1

    Wabaguzi

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +1

    ALHAMDULILLAH
    UNAMAALUUMAT SHEIKH,TATIZO HUIKUBALI DAWATUL SSALAFIYA,WAKATI HIYO NDIYO NJIA SAHIHI WALIOKUWA NAO SSALAF

    • @user-rn1cm9dr8h
      @user-rn1cm9dr8h ปีที่แล้ว

      Hakuna anaekataa salafi kwani salafi ndio njia sahii ila hatutaki salafi mihemko ndo linalokataliwa

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 ปีที่แล้ว

      Sh ni salaf sema hasemi t kuwa mm ni salaf lakin nisali pure

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani huyo analingania katika mipito gani, suffi au so salafi ukimtambua maana ya salafi huwezi umiza kichwa mpk ujitangaze na mabango Mimi salafi ? Shekhe utheiminy kasema ukipita kulingania kuruani na sunnah kwa ufahamu wa wema walotangulia maswahaba ukakataza shirki na bidah, huyo Ni salafi hata asiojitangaza wew unataka usalafi ule wakujitangaza kama chama hiyo haipo hiyo

  • @amanihamisi7863
    @amanihamisi7863 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani jaziila Shaikh

  • @mkkitchenware4930
    @mkkitchenware4930 ปีที่แล้ว

    Sana ya hii hadith inaweza kua dhaifu kutokan na huwenda na aliyemo anaye itwa amru ibnu shuibu kutoka kwa baba yake kutoka kwa babu yake, huwenda ndo sabab ya hii hadith kua ktkt martaba ya udhaif,
    Kwa sabab tuki soma ktk hadith ya asmaa bint zaid tunaona kua mtume muhammad, ali pita msikitin na ilihali kuna kikund cha wanawake wame kaa akawasalim kwa ishara ya mkono na pia aka toa salam,
    Asmaa akasema "kisha aka tusalimia tuka itikia salam"
    Hivo tunaona hadith ya kwnza ni dhaifu na hadith ya pili ina tuinyesh kua atakaye salimia kwa ishara kisha akaambatanisha na maneno atakua sahihi zaid na ndoo sahih.
    Nadhn uwo ndo sahihi zaid

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +1

    NATAMANI UKIIPENDA NA KUJUA DA'AWATU SSALAFIYA!!

    • @msafiriwaziri6059
      @msafiriwaziri6059 ปีที่แล้ว +1

      Kwani hii ni daawa gani? acha uhizbiyya

    • @ibrahimpesa30
      @ibrahimpesa30 10 หลายเดือนก่อน

      Wallah mmi pia

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa muislam unakuwa special sana?

  • @saideassanencacha2294
    @saideassanencacha2294 ปีที่แล้ว

    Allah te abençoe cheheik

  • @MadrasatHassanayn
    @MadrasatHassanayn ปีที่แล้ว +1

    Bubu atasalimiaje hpo .....mnaifanya dini kuwa ngumu

    • @fauzproduction
      @fauzproduction  ปีที่แล้ว

      Usiwe mwenye haraka kujibu kua makini na utaskia bubu atatoa vp salam kama hizi

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 หลายเดือนก่อน

      Chunga mdomo wako, shekhe amesoma hadithi sahihi ya Mtume (s.a.w) usipoiamini utatoka kwenye uislam

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 11 หลายเดือนก่อน

    Hicho kipaza sauti pia ni mila za kinaswara sheikh😂😂😂

  • @mombasaraha1502
    @mombasaraha1502 ปีที่แล้ว +1

    Je.mtu akiwa.mbali akakuashiria hio unaisemaje

  • @brothersalim001
    @brothersalim001 ปีที่แล้ว +1

    Kama mtu yuko mbalii na wapitah na garii wafaa umsalimie vipi

  • @aminasharif-bz2gz
    @aminasharif-bz2gz ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 ปีที่แล้ว

    Mambo mengine bwana

  • @ybyb8657
    @ybyb8657 ปีที่แล้ว +2

    Assalam aleikum ✋🏻 shukran akhui

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 ปีที่แล้ว

    Mashehe jamani tupe hadithi au Aya

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 ปีที่แล้ว

      Io aya na hadithi ya kukuridhisha ww haipo

  • @RamadhaniAlysalafi-rv6hi
    @RamadhaniAlysalafi-rv6hi ปีที่แล้ว +1

    Sasa Kama mtu Yuko mbali nika msalimia kwa ishara Nika mnyanyulia mkono mimi sikuungi mkono

    • @ramadhanikioza9913
      @ramadhanikioza9913 ปีที่แล้ว

      Hiyo juu yako ye kamnukuu Mtume saw kama muislamu hauna hiyari kitu akishasema Mtume saw ni kukifuata hakuna mjadala

    • @ibrahimpesa30
      @ibrahimpesa30 10 หลายเดือนก่อน

      Shauri zako

  • @hamadngaiza6397
    @hamadngaiza6397 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo wakati wa korona bado tulitakiwa kushikana mikono😮😮😮, nadhani tunaifanya dini kuwa ngumu sana,, kwa hiyo wanaofanya hivyo wanapata dhambi???

    • @hassanwambugu606
      @hassanwambugu606 ปีที่แล้ว

      Afwan shekhe sikiliza darsa vizuri.amesema Kama utaashiria Basi pia utamke Salam. Hilo nalo nikufanya dini kuwa ngumu

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@hassanwambugu606kwaio HATA mkiwa kwenye mwendo kasi mmekutana distance muanze ku shout up? Ukiachilia mbali DINI hakuna salamu za kibubu salamu za ishara ni kutegemea na mazingira na umbali