UKIOTA NDOTO HIZI UJUE NI Billionaire TAJILI MKUBWA ILA BADO AUJAJIJUA Pastor_Ester Samwe0768643036

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @stephanomaduhu5426
    @stephanomaduhu5426 14 วันที่ผ่านมา +1

    Amina Dada. Mm nilisha wahi kuota napewa hela nyingi Sana na mwanaume. Pia hii ndoto ya mvua kunyeshewa mm huwaga naiota Sana. Mvua kubwa inaninyeshea sana

  • @puritynyakio6694
    @puritynyakio6694 5 วันที่ผ่านมา

    Mimi Hizi ndoto zimesumbua sana aki kila siku nimejaribu kutafuta kazi sipati ila izi ndoto nashangaa ni za nini nitafanyaje mimi 😭😭 saindieni please

  • @MalackRichard
    @MalackRichard หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki na azidi sana tena sana kukupatia uwepo wa kuendelea kutuelimisha. Pamoja sana Paster

  • @ryeidaupendo4834
    @ryeidaupendo4834 3 หลายเดือนก่อน +1

    Niliotaga sana izi ndoto za Vito vya dhahabu na pesa na magari lakin kukawa kuna mtu ananinyanganya ckuelewa ,nimeokoka napenda Yesu but cjui nn kilipita,ahsnt Mtumishi wa Mungu

    • @joycekambuga6286
      @joycekambuga6286 7 วันที่ผ่านมา

      Kuna mtu ameshikilia Baraka zako

  • @AshaKinyogori
    @AshaKinyogori หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niliota Nna ela nyingi sana mpaka sina pa kuziweka adi adi nafunga kwenye kanga malundo malundo

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa sana pastor ester kwatufungua

  • @annkatumbi
    @annkatumbi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiota ukiumbiri watu wengi alafu unangeuka unaona watu wamengawayika wengine wanasikiza neno la mungu na wengine wako kwa matanga

    • @Emmanuel-cp1no
      @Emmanuel-cp1no 2 หลายเดือนก่อน +1

      Dah jitahidi kuandika vizuri nimepata shida sana kukuelewa

  • @AlatasaruakiBaraka
    @AlatasaruakiBaraka 4 วันที่ผ่านมา

    Mi niliota nimejaza almasi kwenye mifuko na imejirudia sana

  • @user-le8wg9ci8z
    @user-le8wg9ci8z 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabsaa bt hua naota naua watu kwa bunduki ila yani risasi ila really life sina bunduki au toi gun so me ni nani.

  • @GraceBayyo
    @GraceBayyo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen dada

  • @scholasticakasiso9559
    @scholasticakasiso9559 3 หลายเดือนก่อน +1

    Juzi nmeota napewa elfu tano

  • @wilfredluhwago9246
    @wilfredluhwago9246 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi niliota kuna dhababu nimeipata nikaificha chini ya Meza lakini kuna mtu akaichukua.... na nilimuona. Tafri ni nini...

    • @sarahmdindile4301
      @sarahmdindile4301 19 วันที่ผ่านมา

      @@wilfredluhwago9246 omba maombi ya urejesho mpokonye adui vitu

  • @VeronicaMtesigwa-zi4ze
    @VeronicaMtesigwa-zi4ze 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naukiota mmeo anamke mwingine mala kwa mala unamaanisha nini

  • @mathiaskagndakaganda645
    @mathiaskagndakaganda645 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Dada

  • @MathewSakhani
    @MathewSakhani 28 วันที่ผ่านมา

    Mfano kama ukiota ndoto halafu ukawa unazisahau inamaa Isha Nini.

  • @catherinemondo8717
    @catherinemondo8717 22 วันที่ผ่านมา

    Njee ukiota unangongwa nya nyAko

  • @ElizabethMahahira
    @ElizabethMahahira 2 หลายเดือนก่อน

    Yes

  • @morrismusili5171
    @morrismusili5171 3 หลายเดือนก่อน

    Nitamepata ujumbe najua nitafanikiwa❤❤❤

    • @user-xf3rt6xt6n
      @user-xf3rt6xt6n หลายเดือนก่อน

      Mwanangu.aota.mumewe.anamke.nchee.nipe.tafisili.yake

  • @JohnMwita-dv4fl
    @JohnMwita-dv4fl หลายเดือนก่อน

    It's true

  • @ZainabuAbdul-wb2mx
    @ZainabuAbdul-wb2mx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Je!kuota kama unatema mate au unavuka kinyesi hii ndoto inamahana gani?

  • @beatriceauma3260
    @beatriceauma3260 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nliota niko ofisini

  • @ScolaMwamlima
    @ScolaMwamlima หลายเดือนก่อน

    Mimi huwa naota nipo kanisani mara shuleni hospitali

  • @NiceboyTz
    @NiceboyTz 2 หลายเดือนก่อน

    Weeeeee izo ndoto uoti ng, o labda unite mbwa

  • @pastor_Estersamwel
    @pastor_Estersamwel  5 หลายเดือนก่อน +1

    th-cam.com/video/-ffNdxO5k6A/w-d-xo.htmlsi=8tS8xmGJTWqXhidj
    NDOTO ZA VIATU ZENYE Mafanikio

    • @JoyceMsigwa-gt4rj
      @JoyceMsigwa-gt4rj 5 หลายเดือนก่อน +1

      Amina nimefunguliwa ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.

    • @morrismusili5171
      @morrismusili5171 3 หลายเดือนก่อน

      Thanks nitabarikiwa

  • @user-yp5mu3yc9y
    @user-yp5mu3yc9y หลายเดือนก่อน

    Ndoto zote nmeota ktk hii uliyo ongerea

  • @ElizabethMahahira
    @ElizabethMahahira 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi niriota nimeibiwa🎉 7:24 7:26

    • @sarahmdindile4301
      @sarahmdindile4301 19 วันที่ผ่านมา

      @@ElizabethMahahira usipo ikemea hiyo ndoto utakuja kuibiwa kweli, Mungu huwa anatuonyesha vitu kabla havinatokea

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba andiko la nitarejesha vitu ulivyoibiwa na adui

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 หลายเดือนก่อน

    Mimi niliota nipo nchi ya mbali wakawa wanajaza mbolea(Mboji) yenye ardhi ambayo haitumiki lakini yenye udongo wenye rutuba na udongo ambao hauna rutuba kwa ajili ya kilimo hii ndoto ina maana gani Mtumishi?

  • @damalove8139
    @damalove8139 2 หลายเดือนก่อน

    Mie naotanga nikiwa na kisima cha pesa nyingi yaan zimejaa kwenye kisima adi juu adi zimetapakaa

    • @neemakarisa1496
      @neemakarisa1496 หลายเดือนก่อน

      Hmmm 🤔 hapo usiamke endelea ku lala 😂😂

  • @MunyaoMailu
    @MunyaoMailu 21 วันที่ผ่านมา

    Ukiota inafaa uan̈ze wapi ndio ndoto itinie

  • @Cynthia-nw8kg
    @Cynthia-nw8kg 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nimeota mvuwa inaninyeshea ikiwa na balafu nikawa naokota zile balafu badae nikaona zile balafu zikayayuka nikaona ni mchele mbichi jaman apo sijaelewa

  • @rehemaamidu-wn5ph
    @rehemaamidu-wn5ph 2 หลายเดือนก่อน

    Ukiota unapigiwa mawe

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ya mvua inanihusu

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niliota napewa sh 700

    • @pastor_Estersamwel
      @pastor_Estersamwel  5 หลายเดือนก่อน +1

      Ni ndoto njema ila inakujulisha kiwango chako cha uchumi kipo chini Sana Ongeza bidii ya Maombi ili milango yako ya Fedha ifunguke Zaid

    • @sarahmdindile4301
      @sarahmdindile4301 5 หลายเดือนก่อน

      @@pastor_Estersamwel Amen niliota napewa 7000 sio 700

    • @sikujuamwakangata9839
      @sikujuamwakangata9839 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi niliota nipo nchi ya nje i ndoto ina maana gani?

    • @catherinendanu9473
      @catherinendanu9473 20 วันที่ผ่านมา

      Niliota niko kwa dege mzugu akaniambia nikae katkati nisianguke

  • @BasilisaGulamali
    @BasilisaGulamali 2 หลายเดือนก่อน

    Mi huwa naota niko na wasanii wakubwa kama vile diomond nini maana yake

    • @ShalomMutheu-n1q
      @ShalomMutheu-n1q 3 วันที่ผ่านมา

      Maybe uko na talent ya kuimba na hujui do manake

  • @findustechnologies
    @findustechnologies 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmh yan uote hela tu au biblia haha ndoto haziko ivo bana

  • @user-rj4gr3om9h
    @user-rj4gr3om9h 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi niliota 4 days ago eti nimejifungua mtoto wa kiume iyo inamanisha nini

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 2 หลายเดือนก่อน

      utakunya mavi magumu so epukana na vyakula kama mapera na mihogo

    • @user-iw8ey9is8z
      @user-iw8ey9is8z หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂