Fauz Production
Fauz Production
  • 470
  • 2 643 350

วีดีโอ

Hatari ya kusambaza jambo la madhambi katika Social media//Duktur Islam Muhammad.
มุมมอง 34319 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hatari ya kusambaza jambo la madhambi katika Social media//Duktur Islam Muhammad.
DUA UNAPOAMKA USIKU KUSWALI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 1.4K21 ชั่วโมงที่ผ่านมา
DUA UNAPOAMKA USIKU KUSWALI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
WATU WENYE SIFA YA NG'URUWE//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
มุมมอง 76021 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WATU WENYE SIFA YA NG'URUWE//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
Madhara ya betting kwa vijana/Duktur Islam Muhammad (Allah Amhifadhi)
มุมมอง 437วันที่ผ่านมา
Madhara ya betting kwa vijana/Duktur Islam Muhammad (Allah Amhifadhi)
NASAHA KWA WAZAZI BAADA YA TAASISI ZA MASOMO KUFUNGWA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 41214 วันที่ผ่านมา
SAMBAZA UJUMBE
SHAFAA'AH YA MTUME ﷺ // DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 36214 วันที่ผ่านมา
PART (1) th-cam.com/video/6brBaszrLZ0/w-d-xo.htmlsi=-MT_bAOtRNsNe4L3
AINA ZA SHAFAA'AH/DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 35814 วันที่ผ่านมา
AINA ZA SHAFAA'AH/DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
JE UNATAKA ALLAH AKUHIFADHI??//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
มุมมอง 25114 วันที่ผ่านมา
JE UNATAKA ALLAH AKUHIFADHI??//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
Soma Dua hii baada ya kutawadha//Sheikh Abdusattar Ahmed
มุมมอง 97314 วันที่ผ่านมา
Soma Dua hii baada ya kutawadha//Sheikh Abdusattar Ahmed
AINA ZA KAMARI NA UHARAMU WAKE/DUKTUR ISLAM MUHAMMAD ALLAH AMHIFADHI
มุมมอง 55421 วันที่ผ่านมา
AINA ZA KAMARI NA UHARAMU WAKE/DUKTUR ISLAM MUHAMMAD ALLAH AMHIFADHI
MSIMAMO WA AHLU SUNNAH KWA FAMILIA YA MTUME (ﷺ)
มุมมอง 71428 วันที่ผ่านมา
MSIMAMO WA AHLU SUNNAH KWA FAMILIA YA MTUME (ﷺ)
NASAHA ILIO BORA KWA WALINGANIZI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 862หลายเดือนก่อน
NASAHA ILIO BORA KWA WALINGANIZI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
KUWAPENDA WALIOPENDWA NA MTUME ﷺ//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
KUWAPENDA WALIOPENDWA NA MTUME ﷺ//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
MAANDAMANO KATIKA UISLAMU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 4.8Kหลายเดือนก่อน
MAANDAMANO KATIKA UISLAMU//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
UZUSHI KATIKA SIKU YA ASHURA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
UZUSHI KATIKA SIKU YA ASHURA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
FADHLA YA MWEZI WA MUHARRAM NA SIKU YA ASHURAA//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
มุมมอง 801หลายเดือนก่อน
FADHLA YA MWEZI WA MUHARRAM NA SIKU YA ASHURAA//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
BID'AH KATIKA MWEZI WA MUHARRAM//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
มุมมอง 985หลายเดือนก่อน
BID'AH KATIKA MWEZI WA MUHARRAM//SHEIKH ABDUSATTAR AHMED
UKUMBUSHO KUHUSIANA NA KHUTBAH YA IJUMAA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 470หลายเดือนก่อน
UKUMBUSHO KUHUSIANA NA KHUTBAH YA IJUMAA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
UBORA WA MWEZI WA MUHARRAM//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 4.8Kหลายเดือนก่อน
UBORA WA MWEZI WA MUHARRAM//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
RITHAA YA DUKTUR ISLAM KWA SHEIKH ABUU MUAWIYA (Allah Amrehemu)
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
RITHAA YA DUKTUR ISLAM KWA SHEIKH ABUU MUAWIYA (Allah Amrehemu)
UMEKATA TAMAA?//SHEIKH ABDUSATAR AHMED
มุมมอง 5222 หลายเดือนก่อน
UMEKATA TAMAA?//SHEIKH ABDUSATAR AHMED
UADILIFU KWA ALIE NA MKE ZAIDI YA MMOJA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 8172 หลายเดือนก่อน
UADILIFU KWA ALIE NA MKE ZAIDI YA MMOJA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
CHANGAMOTO ZA KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 9892 หลายเดือนก่อน
CHANGAMOTO ZA KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
SABABU ZA MUME KUOWA MKE ZAIDI YA MMOJA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
SABABU ZA MUME KUOWA MKE ZAIDI YA MMOJA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
HUU NDIO USALAFI.
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
HUU NDIO USALAFI.
KHUTBA YA EID AL ADH HA//SHEIKH ABDUSATAR AHMED
มุมมอง 4702 หลายเดือนก่อน
KHUTBA YA EID AL ADH HA//SHEIKH ABDUSATAR AHMED
JE WAISLAMU TUNATAKA UMOJA?//SHEIKH SWALEH IBIRAHIM
มุมมอง 6452 หลายเดือนก่อน
JE WAISLAMU TUNATAKA UMOJA?//SHEIKH SWALEH IBIRAHIM
ADABU KATIKA KUKHTALIFIANA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
มุมมอง 7K2 หลายเดือนก่อน
ADABU KATIKA KUKHTALIFIANA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
KUFUNGA JUMAMOSI KATIKA SIKU YA ARAFA//SHEIKH YASSIR ABDULQADIR
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
KUFUNGA JUMAMOSI KATIKA SIKU YA ARAFA//SHEIKH YASSIR ABDULQADIR

ความคิดเห็น

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Natamani ungeendelea ah

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alla awalaze mahala pema waliotangulia

  • @TwizeyimanaHassan
    @TwizeyimanaHassan 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    حياك الله

  • @AminaRamadhan-f9x
    @AminaRamadhan-f9x 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allahuma ghfirlahum warhamhum wasqinhum fil janna amiin nyanya mwanaisha Allah akupe Nuru na akuepushe na adhabu ya kaburi

  • @mohamedashur5543
    @mohamedashur5543 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MashaAllah ..Allah akuhifadhi Dr.Islam

  • @BAHATIJUMANNE-h1m
    @BAHATIJUMANNE-h1m วันที่ผ่านมา

    Allah atuhifadhi sote akiwemo mwalimi wetu dk Islam Muhammad

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda Shekh wangu kwaajili ya Allhwa Allhwa akulipe kheri Nyingi Shekh wetu mbora hata wakuseme vp tupo na wewe kupata faida tufaidishe kwa Ghilmu Allhwa atakulipa biza biza bina tuwa weke pembeni Twantwana wakae pembeni

  • @abuuawadhassalafy1594
    @abuuawadhassalafy1594 วันที่ผ่านมา

    Jamaa ashaingia na baridi alivokuja akiandika kirisala chake hakuna hayo asuburi fimbo zake alivotia watu tabia zakike hakuna hayo alivofananisha watu na mbwa hakuna hayo asuburi kubainishwa Sasa na hayo maneno afaa ayafanyie yy kazi kwanza aioende haqqi na watu wahaqqi aache kufuatana na watu wabtwil

    • @Sunnahchannelkenya
      @Sunnahchannelkenya วันที่ผ่านมา

      Mbona mwajishuku? Mbona kila video inaotolewa mwaona mwakusudiwa nyinyi? Ama nimsumari unawaumiza?😂😂

    • @repentingservant4384
      @repentingservant4384 วันที่ผ่านมา

      Twasubiri muifanyie raddi risala zake!!! Na twatarajia kalamu zenu ndio zitaongea ilhali midomo yenu yanyamaze.... Hatutaki tabia zenu za kupayukwa payukwa....mnaropokwa ropokwa,kama nyinyi mko hivyo, sijui wake zenu na madada zenu wako vp????? Haya mazungumzo yalikuwa ni halaqah yake ya taseer tena ilikuwa kitambo sana....

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 วันที่ผ่านมา

      @@Sunnahchannelkenya si kujishuki hayo yuwakusudia masalafi wazi ababika mwambieni atule ashaandika kirisala chake atulie awekwe sawa hii ni dini si biashara asitulete ubabishaji

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 วันที่ผ่านมา

      @@repentingservant4384 usiwe na wasi wasi raddi iko karibu alafu uje utukane Ivo ivo si ajabu kuskia maneno hayo kutoka kwako ameeanza mwalimu wako huyu kuita watu mbwa na wanawake kwenye kirisala chake na ndo kawaida yenu WAtu wabwatil midomo yenu imelelewa kwenye matusi

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 วันที่ผ่านมา

      @@repentingservant4384 si kitambo hayo maneno darsa zake za kitambo na Sasa zajukikana Wacha urongo

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa วันที่ผ่านมา

    Baarakanllah fiikum

  • @SharifaA-y4t
    @SharifaA-y4t วันที่ผ่านมา

    Masha Allah

  • @jafarijuma
    @jafarijuma วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 วันที่ผ่านมา

    Jazakallahu kheir Dr kwakutulimisha

  • @jkizondoswahilibites434
    @jkizondoswahilibites434 2 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah Allahu Akbar 😢 Allah awalaze pema waliotutangulia Ameen. Na atupe na sisi khusnul Khatma ameen yaa rabb 😢

  • @DavidTweve-dj5uh
    @DavidTweve-dj5uh 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu atujalie mwisho ulio mwema

  • @AdamAli-mh4bk
    @AdamAli-mh4bk 2 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah akulinde na Shari maalim wete

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 3 วันที่ผ่านมา

    Jazakallahu kheir Dr

  • @user-st2ig6ds3f
    @user-st2ig6ds3f 3 วันที่ผ่านมา

    Allah awape makazi mema maiti wetu waliotangulia mbele za haki nasie allah atupa husnil hatima

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 4 วันที่ผ่านมา

    Mimi jana nimemuota Baba yangu mzazi Allah ampe Kauli Thabeet ❤

  • @VenusMakbel
    @VenusMakbel 4 วันที่ผ่านมา

    HASBUNALLAH WANI'MAL WAKIIL

  • @Ummubanaat-gd9wp
    @Ummubanaat-gd9wp 4 วันที่ผ่านมา

    Shukran Sheikh kwa ilmu

  • @LatifaSalumu-o2g
    @LatifaSalumu-o2g 5 วันที่ผ่านมา

    Allahuma amiyn

  • @LatifaSalumu-o2g
    @LatifaSalumu-o2g 5 วันที่ผ่านมา

    Allahuma amiyn

  • @hamisiabeid8613
    @hamisiabeid8613 5 วันที่ผ่านมา

    Kwani me niulize ukiomba Dua baada ya swala unakua umekufuru

  • @ravascodealmeida4573
    @ravascodealmeida4573 6 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah nmemuota bibiangu kipenzi usiku wa kuamkia leo n asubui napatana n video hii...Allah awarehemu maiti zetu🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @SADABEJA
    @SADABEJA 6 วันที่ผ่านมา

    Shukran ashshekh.ALLAH atupe mwsho mwema sote inshllah

  • @samirahmed5891
    @samirahmed5891 6 วันที่ผ่านมา

    I very often dream about my dad many times i can't even count, he passed away back in 2017

  • @goldenashtv5136
    @goldenashtv5136 6 วันที่ผ่านมา

    Maa shaa Allah Ya Rabb

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 6 วันที่ผ่านมา

    Kwa mtazamo wangu ndoto nyingi ni za shetani ila hatujui ya mungu zaidi

  • @mohamedmustafa2656
    @mohamedmustafa2656 7 วันที่ผ่านมา

    Subuhanallah

  • @AdamAli-mh4bk
    @AdamAli-mh4bk 7 วันที่ผ่านมา

    Maalim tunakuelewa ni hasadi tu za baadhi ya tanganyika

  • @DonTwaha
    @DonTwaha 7 วันที่ผ่านมา

    Je kama uliwahi kumuota mzazi wako aliefariki kwa mda wa siku moja inaweza kuleta maana

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 7 วันที่ผ่านมา

    Ameen ductur ww ni salafi wa kweli kabisa tukiacha wale mafezuli wa kijadida wanao kubeza ilmu yako ipo mbali na hawasikii kabisa wanapoteza mda wao bure kutuma rudud zisizo za kiilimu.

  • @MwanaidKiluwa
    @MwanaidKiluwa 7 วันที่ผ่านมา

    Allahu atupe mwisho mwema inshaallah

  • @yasirshee3152
    @yasirshee3152 8 วันที่ผ่านมา

    Darsa nzuri sanaa ila mumeikata sanaa wekeni ndefu tuelimike

  • @FardosaSarmalah
    @FardosaSarmalah 8 วันที่ผ่านมา

    Naomba utuandikie hio dua ya Mtume SAW

    • @hadiyamohamed594
      @hadiyamohamed594 6 วันที่ผ่านมา

      Allahumma Rabba Jibril wa Maika'il wa Israfil; Fatirus-samawati wal-ard, 'alim al-ghaybi wash-shahadah, anta tahkumu bayna 'ibadika fima kanu fihi yakhtalifun, Allahumma ihdini limakktulifa fihi min al-haqq innaka tahdi man tasha'ila siratin mustaqim

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 8 วันที่ผ่านมา

    Allah Akubariki dr wetu, Na allah akukinge na madhara ya mahasid wanapokuhusud ,

  • @ayoubkhamicmzume7970
    @ayoubkhamicmzume7970 8 วันที่ผ่านมา

    Allah akupe umri wenye heri uzidi kutuzindua na cc tulokua hatuna elimu nasi Allah atupe wasaa na moyo wakuisoma elimu ya kisheria

  • @ayoubkhamicmzume7970
    @ayoubkhamicmzume7970 8 วันที่ผ่านมา

    Innalillah wainna ilayh rajiun Allah atuhifadhi😢

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 9 วันที่ผ่านมา

    Allahuma ghafilahu waliwalidaiyya wa arhamahumaa kama rabbayan swighar🤲allahuma ghafil lilmuslimin walmuslimat wal muuminina wal muuminat al ahyaa minhum l amuat birahmatika ya arhama rahimeen.🤲

  • @SalumKeya
    @SalumKeya 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @abuusuhayl7830
    @abuusuhayl7830 9 วันที่ผ่านมา

    Ambae anajua naweza pata wapi kofia kama Ya Duktur anijuze

  • @WardaWarda-gi2wn
    @WardaWarda-gi2wn 9 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah, Jazakallahul khayr ❤

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 9 วันที่ผ่านมา

    Nasaha imefika kwa alie na elimu atafahamu na alie ghurika bas atazid kughurika Allah akulipe kheri kwa nasaha zako hizi japo na ww watakuchapa t maana umezungumza ukweli usio pingika

  • @abuJamal15
    @abuJamal15 9 วันที่ผ่านมา

    Huu ndio mtindo uliopo hizi karne zetu. Swadakta ndugu kwa kuweka hii clip

  • @SheikhTaymiyyah
    @SheikhTaymiyyah 9 วันที่ผ่านมา

    MASHALLAH IMEFIKA HIYOO

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 9 วันที่ผ่านมา

    Kwali kabsaa sheikh

  • @user-ur8ir5qz5z
    @user-ur8ir5qz5z 11 วันที่ผ่านมา

    Sio hivyo. Ndugu zangu ktk imani. Maana ya aya hiyo. Ni baadhi ya nafsi atazilipa malipo yake,baada ya kufa kwake. Kabla ya cku ya kiama. (Waliola) yani walio kufa. Nafsi na roho vitu viwili tofauti.

  • @AbdiNdayishimiye
    @AbdiNdayishimiye 11 วันที่ผ่านมา

    Shukrani scheikh wetu

  • @chafimmatuidipogbacatorze5217
    @chafimmatuidipogbacatorze5217 11 วันที่ผ่านมา

    Allah tujaliye mwisho mwema inshallah rabbih lá minnah

  • @bakarimwangazy9126
    @bakarimwangazy9126 12 วันที่ผ่านมา

    Swadakta shekh wetu Allah akuhifadhi..